AHMED ALLY: WALE WALIBYA WANGENIGUSA MIMI WANGEOKOTA MAITI NYINGI/"SHIRIKISHO NI MASHINDANO BORA"

  Рет қаралды 8,715

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amesema mashindano ya kombe la shirikisho ni bora kutokana na ushiriki wa timu hiyo kwani wanajua namna ya kuyapamba tofauti na timu nyengine.
Aidha Ahmed amewataka mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi siku ya Jumapili na kuujaza uwanja ili kuwapa nguvu zaidi wachezaji kwani Al Ahli Tripoli sio timu dhaifu.

Пікірлер: 47
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Күн бұрын
ASANTE SANA SEMAJI LA CAF MUNGU AWALINDE SANA. HAO WAARABU NI WASHENZI SANA HUWA WANAPOTEZA MUDA UWANJANI NAKUJIANGUSHA OVYO OVYO KM MITOTO MIDOGO
@SalumuRashidi-in1jz
@SalumuRashidi-in1jz Күн бұрын
Wale ni wapumbavu tuu ngoja waje kwa mkapa wataloana kivyovyote vile yatarudia ya mamenlord na Yanga
@swedywamba5535
@swedywamba5535 Күн бұрын
Polen sana majirani zetu wa simba sijapenda kwa kitendo kilichotokea team za waarabu huwa na fujo muda mwingi na caf inaona ila inakaa kimya napenda kuskia wamechukua hatua juu ya hili tatzo natoa uyanga poleni sana ndugu zetu wana simba nimeskitika sana
@TheGreat-lq9tg
@TheGreat-lq9tg 23 сағат бұрын
Hakuna mchango wa fujo kwenye matokeo
@VeronicaPaul-cj1yu
@VeronicaPaul-cj1yu Күн бұрын
Aisee... wewe wakuache tu, hapa nchini akuna msemaji anaekufikia kwa umakini... Hongera sana.
@aminkijangwa1865
@aminkijangwa1865 Күн бұрын
nikombe la luza ndio ila kwasababu zinashiriki Tim bora kama simba limekuwa tamu kuliko hatahiyo champion
@PhilipoLeonard-q5w
@PhilipoLeonard-q5w Күн бұрын
Simba nguvu moja❤❤
@SetiMBANGU
@SetiMBANGU Күн бұрын
Ni jambo la kumshukuru mungu kama mmelejea salama ❤❤❤
@JustineSilukala-io3nd
@JustineSilukala-io3nd Күн бұрын
Na wange kugusa wewe semaji kipenzi chawana Simba sijuw kama nasisi washabiki wa Simba kama tungekuja kuwahacha salama kwel Wacheze nawengine sio wewe semaj la CAFF Tena wakuone kama kituo chapolisi wewe ndio tegemez letu semaj mungu akubalik sana
@ChenchiKing
@ChenchiKing Күн бұрын
Sema Utani Wabongo Tumehuzowey Leo Unasem Ni Kombe Zurii Shrikishooo😂😂
@gallusmbaga5522
@gallusmbaga5522 Күн бұрын
Daaaah kumbe Leo ametambua ligi hiyo ni Bora. Hii itasaidia kuacha dharau.
@Mhabeshi.Madayi
@Mhabeshi.Madayi Күн бұрын
Hao tripoli hata 20 bora hawapo katika ubora na nyinyi kila siku mnajisifu mpo nafasi ya 7 kiubora sasa ukiangalia mechi ilivyokuwa simba ilikuwa ndogo kwa tripoli kwa sababu mwanzo mwisho utasemaje wewe ni mkubwa...Kama sio uendawazimu ni nini😂😂😂
@errydeo8865
@errydeo8865 Күн бұрын
😂😂😂😂jamaa anajua sana kuwapumbaza makolo aiseeee!. Ukitaka kujua shirikisho ni mashindano ya chini, angalia huwa wanacheza lini! Ni baada CAFCL kuchezwa! Ni kama Europa! THURSDAY FOOTBALL 😂😂! wanacheza wanaume kwanza! Ndo mjue STATUS YA SHIRIKISHO!
@flova7022
@flova7022 Күн бұрын
Microcephaly
@errydeo8865
@errydeo8865 Күн бұрын
@@gabrielnybala2165fika hiyo fainali,ndo uongee🤣🤣 hawa tu wamewata MAKAMASI! Na wanawafunga second leg🤣🤣
@errydeo8865
@errydeo8865 Күн бұрын
@@gabrielnybala2165 ila ni vizuri,unatambua ni madogo, mwambie huyo comedian 🤣🤣🤣
@ErastoChilanza
@ErastoChilanza Күн бұрын
Mliwahi kusema hayo ni mashindano ya looser tena yamekuwa bora kwa sasa pole sana hiyo ni shirikisho tu
@saidially5892
@saidially5892 Күн бұрын
Walibya wanaumoja kwenye uwakilishi wa nchi. Shida sio CAF wachukue hatua, Bali na sisi kama watanzania tuungane mashabik tuwafanyie kama timu zetu zinavyofanyiwa kwao
@josephgomalo41
@josephgomalo41 16 сағат бұрын
Hivi ni kwa nini hamurekodi full matches ... ? Simba ni timu kubwa lakini uwekaji wa kumbukumbu ni hadi wafanye Azam TV? Huu ni udwanzi..!
@mitanakadorho2356
@mitanakadorho2356 Күн бұрын
Nyinyi simba ni kamba camelieon, kwa Sababu mupo caf shirikisho minageuza ulimi eti ni mashindano bora, si nyinyi ndio mulikuwa minasema caf shirikisho ni mashindano ya walio feli wakati Yanga ikishiriki?
@bbanyikwa
@bbanyikwa Күн бұрын
Shirikisho ni mashindano bora😂😂😂😂😂 Kipindi hiki mtayasema yote
@MauBonde
@MauBonde Күн бұрын
Mpenja waambie watani Wanatani wajikaze tena nyumbani halafu kuna mabadiliko ya kikosi baadhi ya sehemu ,hatutaki uwanja uharibiwe.uzalendo kwa ila wasimuache beki wao Hussein.sema Tu wasipulizie sumu vyumba vya wachezaji kama kipindi kile cha Jamaa wenu,lakini Ngoma ngumu.msikilizeni kaduguda 😀😀
@ShafiiSoud-b3w
@ShafiiSoud-b3w Күн бұрын
fala kweli😂😂
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 Күн бұрын
Aise! Ulimi ni kitu hatari sana! Hivi si ndiwe uliesema hilo ni kombe la looser!? Na ukaliponda kwelikweli, haya leo tena limekuwa bora tena!? Kweli we kimbwele
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 Күн бұрын
Yaani watu wa nyuma mwiko ni visheti kishenzi. Nyie si manara wenu ndio aliwaambia ni kombe la looser leo mmemgeukia ahmedy kweli akili hazimo nyie
@iddgombellah6750
@iddgombellah6750 Күн бұрын
Nina macho
@aminkijangwa1865
@aminkijangwa1865 Күн бұрын
angalia mechi ya gor mahia na al ahal nayamnyama na tripol niipi yenyehadhi ya champion utopolo vp😂
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 Күн бұрын
Mangungu alisema shirikisho ni kombe la wanawake kwaiyo nyie
@TheGreat-lq9tg
@TheGreat-lq9tg 23 сағат бұрын
Mko mashindano ya kina mama 😅
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x Күн бұрын
Wewe Msemaji ,Mzaramo,Kisugu,Kei Mziwanda Wote Mlikuwa Mnalisema Hilo Ni Kombe La Walioshindwa Leo Vipi Mbona Mnashangaza Dunia Ama Kweli Nyie Wanafiq Wakubwa
@SulemanJuma-bc4sw
@SulemanJuma-bc4sw Күн бұрын
Hata ucheze na bacalona hilo ni kombe la luza usilipambe
@kizitowambura1617
@kizitowambura1617 Күн бұрын
Naamini unaipenda sana Simba ila unashindwa kukiri mapenzi yako. Just admit it my friend.
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 Күн бұрын
Usimpangie chakusems semaji letu wew kuku
@hassanomar8157
@hassanomar8157 Күн бұрын
Unaumia sana mbw ww
@MikidadyAbdu
@MikidadyAbdu Күн бұрын
Malalamiko fc chupa tu kelele kibao
@DeniceTesha-du2fs
@DeniceTesha-du2fs Күн бұрын
​@@MikidadyAbdusawa nyuma mwikooo
@joojombi2341
@joojombi2341 Күн бұрын
Heading mbovu kabisa kwakweli mbna wao walivyo kua Champion league hawajasema hayo???? Mpuuzi huyo na nyie mloandika Heading hiyo
@mitanakadorho2356
@mitanakadorho2356 Күн бұрын
Wahuni nyinyi kabisa
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x Күн бұрын
Nyie Simba Wote Wanafiq Kuanzia Viongozi Wenu Msemaji Wenu Mshabiki Wenu Wapenzi Wenu Wt Wanafiq Wapumvavu Washenzi WA Tabia Pyokoooooooo Fyuuuuuuuuu
@sospeterdaniel5116
@sospeterdaniel5116 Күн бұрын
Kutoka kombe la loser hadi kuwa kombe zuri, tuweke akiba ya Maneno wasemaji wetu. Tuwe tunaongea ukweli
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 Күн бұрын
Ahmed Ally acha kudanganya umma, umasema mbele ya mashabiki 50000!? Mbona hakukuwa na mashabiki kabisa au unadhani hatukuona?
@AdhamAlliy-mg5py
@AdhamAlliy-mg5py Күн бұрын
Huna AKILI wew uwanja ulijaa useme amedanganya katoe mwiko nyuma unakusumbua
@FrankMahuna-xb7lt
@FrankMahuna-xb7lt Күн бұрын
Mimi ni yanga lkn uwanja ulijaaa hakuna maelezo labda hukuangalia mpra
@nichorasjeremiah8821
@nichorasjeremiah8821 Күн бұрын
Hukuona screen kubwa imeandika 50065 au ulijua ni Sasa za kiarabu ndugu
@flova7022
@flova7022 Күн бұрын
Shida za kusimuliwa na binti kijumbe
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 41 МЛН
JEMEDARI ACHUKIA FEISAL KUTAKA KUONDOKA AZAM FC/ ANATAKA KUPOTEA
5:31
🔴BALAA LA SANDALAND AMWAGA PESA KWA MASHABIKI WA SIMBA
3:30
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26