Hongela sana Kwa funzo nzul muliyotufunza nawapenda sana WA Burundi tujuane 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante burundi
@OmanOman-y7z7 ай бұрын
Hongera sanaa kwa kazi nzur sanaa pokea mauwa yako kaka adamu🎉🎉❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante
@LoiceKatana-ci1tx7 ай бұрын
Kazi nzuri sana tena yenye mafunzo nawapenda 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana sana
@priscillahsirya65447 ай бұрын
Waoooh filamu nzuri sanaa na yenye mafunzo kedekede nimependa kwamafunzo yenu barikiweni washirika nyote❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana sana
@AbdullahRamadhani-k2p7 ай бұрын
hongera Adam kazi nzuri❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante
@EyanNizzoh7 ай бұрын
Filamu nzuri sna Adamu yenye mafundisho mazuri kila wakati me nakufwatilia natamani ufanye kazi na Vincent Kigosi❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@EyanNizzoh7 ай бұрын
@@AdamLeoStudios vipi kuhusu kazi na Vincent Kigori maarufu Ray The Great ama utanifanyia kazi ombi langu hilo
@ginafaruque53357 ай бұрын
Duuuh dada mbaya sana Adam nakubali sana movie zako tupe nyengine Kaká adamo❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@Jackymomanyi7 ай бұрын
Acheni shobo nyinyi watu wazima😏badala msupport adam kwa kazi wanafanya mko hapa mnang'ang'ania likes kama watoto nyooo💔😂😂😂pewa mkule basi😢
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Jamaniii!! 🔥🔥😍😍asanteni kwa nyote
@CHRISTINAMAGASI7 ай бұрын
Na ww
@aichatabdillah62157 ай бұрын
Halafu hizi like zina maana gani😂😂😂😊
@RajabuHayyan7 ай бұрын
Wanaboa
@MigoFan-l5n7 ай бұрын
Kazi nzuri bro, filam zako zina mafundisho sana kaka, hongera
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@AsmaWkrtytyo7 ай бұрын
😂😂😂😂mganga waludewa kakaa😂😂😂bonge la move mmeweza ❤❤chukueni maua yenu
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante sana
@jeniphercharles64 ай бұрын
Nimeumia sana😅😅😅😅
@StevenJames-z2l7 ай бұрын
Move Tamu sana Aka sijawahi ona🎉🎉🎉❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@SELINENYANGARESI6 ай бұрын
Adam mungu akubariki sana umetufundisha mambo mazuri sina congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉👏👏👏👏
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante sana
@IreallywanttoknowGod7 ай бұрын
Wow I come from Uganda I really like this movie
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Thanks
@yonzyonz73437 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂unioee mm ama umuee dadangu 😅😅😅😅😅mumejua kunifurahisha,,,,big up brooo Adam ❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante
@Saumu2547 ай бұрын
KAZ nzuri Adamu umnikumbsha 😊😊 mi pia kunao wanllintendea mabaya yakawarudia Mungu n mwema❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Pole
@Zanabissa7 ай бұрын
Tu nakupenda sana Adam uko vizuri kaz yako nzuri❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@emillyajiambo47037 ай бұрын
Filamu zako zina mafunzo nazipenda sana❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante sana
@AminaYazidu7 ай бұрын
Mashaallah kaka Adamu kazi nzur sana kipenz tuletee part 3 broo❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@NiyonkuruSalehe7 ай бұрын
Nampenda Adam anavyo kuaga serious jaman akujie soda yake anatufunza mengi sana nampongeza kwa kazi nzuri Mungu azidi kuafikisha kiwango cha juu❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Amen
@Hemeddymeddy7 ай бұрын
Daah nzuri saaana waigizaji wametendea haki kuigiza kiuhalisia yaani wameuvaa uhusika kikamilifu naiona Tz ikipaa kimataifa kwene sanaa ya uigizaji soon 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@PrinceThomas00Ke3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
🫡🫡
@jobsimpamba717 ай бұрын
Vizuri sana❤❤ god bless you 🙏
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Thanks
@Chaddy2576 ай бұрын
Kazi nzuri mjomba watching from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤️
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante
@BENARDKATETE7 ай бұрын
Adam Leo you are gifted in acting I like your movies Watching u from🇰🇪 Kenya Mie Mkenya. Ewe ❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Thanks
@zainabkutwaa33277 ай бұрын
Kazi zuri kai nime zi fatilia sana yani ni poa azi boi 🎉🎉🎉🎉👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@faithndunge29515 ай бұрын
Kazi nzuri Adamu ongerah mganga wee yaani hivi Dio mtu kajironga mwenyewe 😅😅😅😅😅😅😅
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Umeona eh..
@KhamisJuma-ni1vk7 ай бұрын
Asanteni Kwa Hii Movies Kwa. Ki Tucha Kujifunza Ongerani Sana. I'm Watch From Qatari Big Up Sanaa
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@SumaOmary4 ай бұрын
Dah aiseeh mapenzi haya! Atar sana 😢😢😢
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Noma sana!
@AdejaAhmad-uq4wj7 ай бұрын
Kazi nzuri sana nawapenda nyote❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante sana
@AliJussa7 ай бұрын
Hahaha 😂 Kaka wa Hidaya big up😅 umecheza vizr mno kiasi nimefurahi sanaa😂❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@bennamush46167 ай бұрын
Nilisahauu kumbe ulisema sa nne unaachia mzigo Ila sijachelewa Sana hongera kazi nzuri🎉🎉
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Endelea ku enjoy
@sophiashamimah58957 ай бұрын
Funzo zuri Sana kiukwel maua yenu nyie wote❤❤❤❤❤❤much love from kenya
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Thanks
@morjanoman51817 ай бұрын
KAZI iendelee Kaka akuna kulala pongezi kwa muandaaji mtuzi pia na washiriki 🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante sana sana!!
@ggvv99707 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Nikuoe wewe nimecheka sana hapo 😂❤❤❤❤ Adam mungu akubariki bro nakupenda sana ❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante sana sana
@BrianOscar-oj2xd7 ай бұрын
Brother katika movie zote nimewai ona hii imenibamba sana hasa huo wakati wa kuroga na uchawi ukadunda. Mara mingi movie zetu mtu akikuroga hufanikiwa na unateseka Hadi pia aliyerogwa aende kwa waganga but wew umeenda tofauti.. Big up brother 💪
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante kwa kuona hilo🙏
@RajabuHayyan7 ай бұрын
😅😅😅😅nalo neno
@pkcamlesh24656 ай бұрын
"Ni lini upo tayari nikuoe wewe?!"😂😂😂😂hapo nmejikuta nacheka nikiwa chiooni😂😂😂
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Hahaha
@salumuramadhani34607 ай бұрын
Wow ahsante sana Adamleo nimeziona bwana pati 2 ya aibu yangu good boy ❤ me shabiki ako sana yaani sana to
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante
@salumuramadhani34607 ай бұрын
Karibu mwanza bwana tule makande 😆
@morjanoman51817 ай бұрын
Napenda Sana KAZI zenu ongerani wote washiriki❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante sana
@CharoJohnson7 ай бұрын
Waaaa hapa nimejifunza kitu kikubwa sana uchawi haudumu nikweli,tumuombe sana mungu katika haya maisha ❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Kabisa kabisa
@OdenFukunyula4 ай бұрын
Nimempenda mganga😂😂😂
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Jamani
@SalumNgulya6 ай бұрын
Hidaya umeyakanyaga dah nani funzo kubwa Sana Kwa wengine 🎉🎉kazi nzuri Sana team Adam
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@FethNyagawa-wd5jz7 ай бұрын
Daaah nimecheka sanaa et unioe mm au umuoe yeye
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
🤣🤣
@Mimah8667 ай бұрын
We Acha tu😂😂😂😂😂😂
@LyndaUwamahoro7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@اريناارينا-ق3ط7 ай бұрын
Kazi nzuri mafunzo mazuri nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante sana
@magrethemmanuel54797 ай бұрын
Dah kaka adam namaliza bando kweny move zako safi san kaka part 3 kaka tunaomba
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@SbahHiai7 ай бұрын
Hii filam ni fundisho kwa watu wote 👁❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Naan
@FakhiChapozo7 ай бұрын
Nakubali Sanaa move zako Zina mafunzo Adamu
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana!
@SaidBubaa7 ай бұрын
Yaani adamu wewe ni professional wa kuigiza unajuwa sana na kwa huku Pemba watu wanazikubali sana kzi zako big up sana.
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@VeronicaKalinga-r9d7 ай бұрын
kaz nzuri kaka Adam🎉🎉🎉❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@liylahahmed8297 ай бұрын
Safii sanaaa............🎬⚘️
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana🤝
@liylahahmed8297 ай бұрын
Yaani izi beat🎶🎵 ni nzuri zinaendana na sehemu husika na hisiaaa❤😂
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana sana
@AsiaOmari-w8q7 ай бұрын
Jmn move iko n mafunzo sn shirki sio nzur pia sahii wanawake wengi wanaaribu ndoa za watu kwasababu ya shirki nimeipenda sn wengi wangefanya iv wangepta mafunzo😊😊😊
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@mishitellah28977 ай бұрын
Kazi nzr imeisha vzr👏👏
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@Amandafilmtz7 ай бұрын
Kazi nzur sana boss ❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Nakuonaa nakuonaa😘😘
@HassanNgiriyabandi6 ай бұрын
Shukrani kka kwafilamu yeny mashahuli mazuli
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@PHELISTERGASTON7 ай бұрын
Wow!!! Kazi nzuri Sanaa Adamu.
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante sana
@ashamwanganzi64007 ай бұрын
Mwisho wa ubaya n aibu wallah😂😂😂😂ila mchungaji pongez kwa nyimbo😂😂😂😂😂😂
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asantee jamani
@Athuman-is2vu6 ай бұрын
Adamu leo filam zako huwa zinafundisha sana big up my brother
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@BeatriceNanjira-u8x7 ай бұрын
Waaaah ningepata mwanaume kama Adam ningehisiraha,sana,❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Endelea ku enjoy
@neemamabena-xx5er7 ай бұрын
Ahahahaha 😁😁😁
@elysefuraha45887 ай бұрын
Kazi nzuri ❤❤❤from 🇧🇮
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@MwasitiMsasu7 ай бұрын
Wow😮 kazi nzuli sana
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante
@SalamaTaura7 ай бұрын
Leo nyani mm ndio wa mwisho kweli ☺️☺️☺️ kazi nzuri mashaulllah 🔥🔥🔥
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@LattifTembo7 ай бұрын
Wewe nyani tena jamani
@Seciliasteven7 ай бұрын
Nice ❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Thanks
@faridabikwa99987 ай бұрын
Imeweza sana❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante
@HamzaKitutuma7 ай бұрын
Very nice kaka 🎉🎉❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Thanks
@OmyCrez4 ай бұрын
Mbona unarudia tena maneno unioe mimi au dada yangu😊😊😊
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Yaani hahaha
@Edigahbeb994Beb993 ай бұрын
Mafunzo Poa sana
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Shukrani
@gracemwingwa-jx7yy7 ай бұрын
Aiseee filamu yenu nimeipenda sana imenifundisha mno hongeleni sana
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante sana
@mahmoudnajad2177 ай бұрын
"NYINYI JIANGALIENI KUNA WATU KWAO WAMEAGA" Nimecheka sana😂😂😂
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Noma
@alish21827 ай бұрын
Adamu thank u so much ❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Thanks
@RamadhaniKitala-gx6wc6 ай бұрын
😂😂😂😂 adamu anasimulia kaka nimekaa na kwenye mahusiano nae makala kadhaa lini utakuwa tayar nikuone wew kaka anajibu unipe mimi vipi au umuoe huyu 😅😅
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Hahaha acha kabisaa
@jamillahassan34057 ай бұрын
Eti namba za wanganga ziko zaidii ya mia😂😂😂fika kwa familia namba ni 3 tu tena bila thafathali 👌wacheza na idaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Hidaya nomaa
@JaffarIliasy7 ай бұрын
Ww ukisema wa nn mwenzio yuwajiuliza atakipata lini😂😂😂❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Umeona eh
@magnibrondi31527 ай бұрын
Mwisho wa ubaya ni ayibu idaya. Ila kazi nzuri Adam
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@MahaSaeed-hf3gs6 ай бұрын
Duuuh maisha haya jaman hatariiiiiiiiiiiii mpk naogopa maana mapenzi haya wengine tunaogopa kuingia bora tutafute pesaaaa2 ushirikina upooooo hatr sanaaa good job godbless
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Thanks
@MahaSaeed-hf3gs6 ай бұрын
@@AdamLeoStudios move zako kaka tamu
@fatumaselemani38077 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
😍😍😍
@puritykawira-ir9ys7 ай бұрын
Sasa likes ni x nini uwanga mnaomba pia me niombe kaka Adam 🎉🎉 congrats kwa kazi nzuri unayofanya am watching from Saudi ❤❤❤❤❤🎉
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Endelea kuenjoy🙏
@SarahKalimba-u6t7 ай бұрын
❤❤❤ nakukubali San Adam piga kazi baba 🎉
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Sawaa nashukuru
@janekanini7 ай бұрын
Lete muendelezo kaka hakika nimeipenda movie
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@JenniferBaya-zu5cr7 ай бұрын
ameeeeen. Iman. Ndio. Silaha. ya. Maishà. yetu
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Ni kweli
@EvalineDaniel-l5m7 ай бұрын
Adam iyo nakupenda unavyoitamkaga ❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante jamanii❤️❤️❤️
@RajabuHayyan7 ай бұрын
😅😅😅😅Kaka alijua amekataa yeye kuolewa😅😅😅😅nimecheka.kiboya 😅😅😅😅😅daaaaa hii adamu umeua kinoma😂😂❤❤😂🎉
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@AshirakaYunusu6 ай бұрын
Kazi nzuri sana❤
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asante sana
@موسيمحمد-ه5ظ1ف7 ай бұрын
Kaka mtu jamaniiii yuanivunja mbavu 😂😂😂 et umuoe yeye au mimi niko hoi n kicheko 😅😅
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Endelea ku enjoy
@UyanjoSima7 ай бұрын
Et, waganga wa hidaya wapo wengi kwenye simu kuliko ndugu zake jaman 🤣🤣🤣 ila kaka ni mkali mno jaman......... Kazi nzuri 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Hahaha
@RamadhaniKitala-gx6wc6 ай бұрын
Hidaya mwisho wa ubaya aibu😮😊😊
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Umeona eh
@dipaymarkmediaproduction4 ай бұрын
Nazifwatilia sana movie zako nanazipenda naomba nafasi ya kufanya nanyi kazi
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Karibu
@neemamabena-xx5er7 ай бұрын
Mchungaji wimbo huo wa lango hauimbwi vibaya ivooo😄😄😄 ntakufundisha
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Hahahah aje kwa kwelii😂😂
@allymwashambwa59207 ай бұрын
nitakuunga mkono
@MayarashidiMayarashidi7 ай бұрын
kazi mnzuri mashaailah mashaailah kaka adamu na timu yako mnawezw
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante sana
@AsiaOmari-w8q7 ай бұрын
Masha allah my nzr sn ❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante sana
@HanifaEnock6 ай бұрын
Kazi nzuri bro❤❤❤
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@AminaMpallu6 ай бұрын
Upnyaaji huo haupo tusiongopeane Adam ila hongera kazi zako ni nzuri sana
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Hahahah sawa njoo makanisani kwetu huku mtaani🤣🤣🤣asante hata hvyo nashukuru🙏
@CharolybenedictMlindwa7 ай бұрын
Nakubali sana bro umetisha sana
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante
@nestorysanga53277 ай бұрын
Kaz nzur sanaa Mungu akubarik❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Amen
@MarthaVW7 ай бұрын
Nzr sana inafundisha
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@فيصلالبادي-ح1غ3 ай бұрын
Mm nimependa hilo gauni alovaa hidaya hapo alivyokuja kwa adam sh ngapi nawapi linapatikana