AIBU YANGU |3| Love story❤️😘

  Рет қаралды 75,253

Adam Leo Studios

Adam Leo Studios

Күн бұрын

AIBU YANGU |3| Love story❤️😘
Ni filamu inayoelezea maisha ya mwanadada Hidaya ambaye anakata kuolewa na mpenzi wake wa muda mrefu Adam, kitu kinachopelekea shoga yake Zai kuona mwanya huo na kuutumia kumnasa shemeji yake kimapenzi
Fuatilia kisa hiki kizuri na usiache ku subscribe, ni filamu yenye mafunzo mazuri sana.
#film #bongomovie #2024movies #swahilimovies #aibuyangu3

Пікірлер: 465
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
AIBU YANGU |4| FINAL | Love story❤️😘 kzbin.info/www/bejne/e6SxmICIg5mVeac
@gastorykanuth3191
@gastorykanuth3191 4 ай бұрын
Hii movie inauhalisia,inaakisi maisha ya kweli ya kiafrika so big up bro Adam
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 4 ай бұрын
Shukrani sana
@محمدالرويلي-ي1ز9ب
@محمدالرويلي-ي1ز9ب 6 ай бұрын
Kazi nzuri mnayoifanya nawapenda nyote Jamani 🎉🎉🎉
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 5 ай бұрын
Asante
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 7 ай бұрын
huyu zai wa sasa namkubal sana anajuaa snaa piah adam broo upo sahihi mtu aliyekufanyia ubaya huna haja ya kumleta kwa maish yako tena ukiamua ku move on imeish hiyo mana akirudi kwa maish yako ujue umekwisha good job kwa tim ya adam
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@FatmaSaid-w2h
@FatmaSaid-w2h 7 ай бұрын
Kaka unajua na unatufundisha mwentez mungu akupe maisha marefu ishahaallh ❤❤❤❤❤
@HoraceIshmael
@HoraceIshmael 4 ай бұрын
Utunzi poa sana,hongera sana.endeleeni zaidi,nimependa.
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 4 ай бұрын
Shukrani
@methodiuskikoti5870
@methodiuskikoti5870 5 ай бұрын
To have fun sio funny. But kaz nzuri sana. Endeleeni kutuelimisha na kutuburudisha.
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 5 ай бұрын
Asantee
@Jamal411115
@Jamal411115 7 ай бұрын
Jaman me leo ndo wa mwisho naombeni like zangu mtu wa mwisho
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Enjoy
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 7 ай бұрын
God is good. Adamu yupo vizuri sasa. Alhamdulillah. Nakupenda
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante nakupenda pia!
@AndrewKanyika-t9s
@AndrewKanyika-t9s 5 ай бұрын
Guys nawakubali sana mko vizuri sana
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 3 ай бұрын
Shukrani
@AnithaIrankunda
@AnithaIrankunda 7 ай бұрын
Jamani Adam Sina budi kukwambia 👏 congrats maana unatuburudisha saana Wllh MUNGU akulinde Adam wetu
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Amen
@SaidBanzi
@SaidBanzi 7 ай бұрын
Watching from 254 kenya mr adam nakukubali xna bruh hawakuwezi sema huyo mtoto hidaya mzuri ila roho mbaya😂😂😂😂😂
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Shukrani
@SelemanKazimili
@SelemanKazimili 7 ай бұрын
Bro bro pole kwanza kwa kuugua ahsee and thanks kwa kuzidi kutuburudisha MUNGU akutie more powerful ❤❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante sana sana
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x 7 ай бұрын
Love yu guys from kenya nlikuwa nmesahau hii movies mbna Adam unachelewesha sana broo naombeni likes bana wana Adam tv❤❤❤❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Nilikuwa naumwaa
@apaelmbise635
@apaelmbise635 7 ай бұрын
Hzo like zinakuingizia shingap?
@magrethemmanuel5479
@magrethemmanuel5479 7 ай бұрын
Heeee ulikuwa unaumwa pole kaka adam nakuombea MWENYEZI MUNGU aendelee kukutuza​@@AdamLeoTv
@IRENEMENGI
@IRENEMENGI 7 ай бұрын
Pole kwa kuumwa kaka adam😮​@@AdamLeoTv
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@RoseCharles-y6l
@RoseCharles-y6l 7 ай бұрын
Haunaga kazi mbovu bro nakukubali sana kazi zako zote ni 🔥 bro 👏👏👏🙌🙌🙌
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Shukrani
@RoseCharles-y6l
@RoseCharles-y6l 7 ай бұрын
@@AdamLeoTv 🙏🙏
@liylahahmed829
@liylahahmed829 7 ай бұрын
Nimechelewa leo dah....... ila tuko pa1 InshaAllah hongera Adam⚘️✔️
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Enjoy
@اريناارينا-ق3ط
@اريناارينا-ق3ط 7 ай бұрын
🎉🎉kazi nzuri Adamu lakini mbona leo ni fupi hivyio❤❤❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Ya 4 ipo tayari
@SalamaTaura
@SalamaTaura 7 ай бұрын
Kazi nzuri sana 🥰🥰 nawapenda nyote
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante
@RizikiZiki
@RizikiZiki 7 ай бұрын
Napenda move zako Adam mpaka ntazitizama zote nazilizo pita isha Allah ❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante
@sinainkyala7741
@sinainkyala7741 7 ай бұрын
Pole na kuumwa Adam Mungu aendelee kukutia nguvu zaidi na zaid
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Amen
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 7 ай бұрын
Nimechekaaaa ety dawa ikiishaaa utamani mungu ashuke akuchukue mzima mzimaaa duhhh godbless
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Hahah acha kabisa🤣
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 7 ай бұрын
@@AdamLeoTv nacheka nakufurahii maana duuh
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 7 ай бұрын
Mapenzi shikamooo kama kweli IPO hivyooo
@emillyajiambo4703
@emillyajiambo4703 7 ай бұрын
Kazi nzuri Adam ❤ tunakuombea kwa mungu magonjwa yakae mbali na wewe aki
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Amen
@NaifinMohamed
@NaifinMohamed 7 ай бұрын
Punguza makis mimate yawatu Ina maradh 😅
@immaculathaemmanuel8240
@immaculathaemmanuel8240 7 ай бұрын
Tulimiss hizi mambo jaman,,,Mungu azidi kukupa afya njema Adam tuzid kuinjoy
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Amen
@winnienyimbo4526
@winnienyimbo4526 7 ай бұрын
Mpenda makandeeee😂😂😂 Adam leooo napenda kazi yenu
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante
@Aisha-f2g
@Aisha-f2g 7 ай бұрын
Napenda kazi ya huyu kaka kwakweli much ❤from 🇰🇪
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Shukrani
@NoelaKk
@NoelaKk 7 ай бұрын
Love you guys from Kenya send chesawdui chesa thesa Love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
❤️❤️
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 7 ай бұрын
Oya eee wananguuu njooni uku kwa adamu tu enjoy😂😂
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Endeleeni kufurahi
@AminaYazidu
@AminaYazidu 7 ай бұрын
Wawooooo ❤❤Asante broo nmeisubr kwa ham saan mung akubarik
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante
@Jajakanjaniri
@Jajakanjaniri 7 ай бұрын
One Love From Burund Team Adam Leo ❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@Lucylackson-b6v
@Lucylackson-b6v 7 ай бұрын
Katika maisha yangu sitaki kuwa na rafiki Lucy Mimi,..kazi nzuri 🤝
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Shukrani sana
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 7 ай бұрын
Naelimika mno hongera sana mdogo wngu ❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante dada
@IsayaTarakwa
@IsayaTarakwa 7 ай бұрын
Kusema ukweli sijui kama kuna movie ya Adam leo sijakiangalia more love sana kaka
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Endelea ku enjoy
@PrinceThomas00Ke
@PrinceThomas00Ke 3 ай бұрын
Wanawake wana wivu sana, hawapendi kuona ex wao akiendelea 😅
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 3 ай бұрын
Umeona eh
@sylvia3999
@sylvia3999 7 ай бұрын
Ndugu Adam chunga ao wanawake wa Morogoro 😂😂 hizo ni kunguru two, 🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Jamani
@elysefuraha4588
@elysefuraha4588 7 ай бұрын
Kazi nzuri ❤❤🇧🇮
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Shukrani
@MayarashidiMayarashidi
@MayarashidiMayarashidi 7 ай бұрын
❤❤❤ kaka adamu upo juu
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante
@apaelmbise635
@apaelmbise635 7 ай бұрын
Nice brooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks 🔥
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 7 ай бұрын
Dah 🤔 mtihan sasa kwa zai 🔥🔥🔥
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Achabkabisa
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 7 ай бұрын
@@AdamLeoTv zai bandia🤣🤣🤭
@GraceMarco-s8g
@GraceMarco-s8g 6 ай бұрын
Hyu zai Kawa tena wamorogoro mwingine alikuwa wa shy (v) na alikuwa Hana mambo mengi unge enjoy Adam
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 5 ай бұрын
Hahaha we wasema tu
@Jackymomanyi
@Jackymomanyi 7 ай бұрын
Pole sana Adam kwa ugonjwa ila natumai umepona kabisa🎉❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Namshukuru Mungu
@GraceMbulu-rp8ko
@GraceMbulu-rp8ko 7 ай бұрын
Fire🎉🎉🎉❤❤❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@LilianaFesto
@LilianaFesto 7 ай бұрын
kazi nzuri 💯
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante
@Marym-iw2wr
@Marym-iw2wr 7 ай бұрын
Mimi nioneeeni huruma 😢kah sijui like maana yak nn em nipeni hap kdg😢
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Enjoy
@ginafaruque5335
@ginafaruque5335 7 ай бұрын
Idaya mchezi sana duuh sija penda k ukweli maskini mkem WA Adam Léo aibu EP 4
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Keshi
@umaima1178
@umaima1178 7 ай бұрын
Sana mshenzi hidaya
@Latifa123Latifa12
@Latifa123Latifa12 7 ай бұрын
Simpend idaya
@ireneirene4024
@ireneirene4024 7 ай бұрын
Kuwapenda ndio zngu mie ❤❤❤mbarikiwe zaidi adam
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante
@ireneirene4024
@ireneirene4024 7 ай бұрын
@@AdamLeoTv karibu mno
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 7 ай бұрын
Kazi nzuri ❤❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante
@JuniorMakoye-g6b
@JuniorMakoye-g6b 4 ай бұрын
Jaman Pauline ❤❤ ukowp wew
@muleereuben5197
@muleereuben5197 7 ай бұрын
kazi nzuri.mulee from Nrb kenya
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@magretrobert1309
@magretrobert1309 7 ай бұрын
On time🎉🎉
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@ChristineNeema-u5j
@ChristineNeema-u5j 6 ай бұрын
Mbona Zai asha badilishwa mwingine hata kama nikunenepa ila mmetuchora sana🥰🥰😂😂😂😂
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 6 ай бұрын
Polee
@JAPHETWEST
@JAPHETWEST 3 ай бұрын
​@@AdamLeoTv? No 00
@hemediabdallah4604
@hemediabdallah4604 6 ай бұрын
Bro natamani cku 1 tufanye kazi pamoja nakukubali san. Na mm pia ni msanii
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 5 ай бұрын
Karibu Hemed 0652393960 whatsapp
@MwasitiMsasu
@MwasitiMsasu 7 ай бұрын
Move ni nzuli sana na zinamafunzo
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante
@ShebanNyangweso
@ShebanNyangweso 7 ай бұрын
May the Almighty Allah bless your work Adam leo
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@VavaIrakoze-m7o
@VavaIrakoze-m7o 7 ай бұрын
Kazi nzuri sana i'm from🇧🇮🇧🇮
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
🫶🫶
@FurahaKulapha
@FurahaKulapha 7 ай бұрын
Zai huyu yuko sawa kabsa ❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 7 ай бұрын
Wa mwisho mie hapa😂
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Enjoy
@NabalegwaAhamad
@NabalegwaAhamad 7 ай бұрын
I can relate, amazing plot
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@EmilyNelima-p6h
@EmilyNelima-p6h 7 ай бұрын
Jamani imekaa sana hadi nilijua n mwisho
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Walaa
@VenanceKizee
@VenanceKizee 7 ай бұрын
Am here the first
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 7 ай бұрын
Hidaya anajua wala hatumii nguvu. Love yew Hidaya ❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
🤝🤝🤝♥️♥️
@Amandafilmtz
@Amandafilmtz 7 ай бұрын
Shukran beb
@MollelLesipitei
@MollelLesipitei 5 ай бұрын
Zai nomaaa
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 5 ай бұрын
Nima
@jimmyrams7961
@jimmyrams7961 7 ай бұрын
Idaya mshenzi sana😂😂
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Noma
@niceMaclean
@niceMaclean 7 ай бұрын
Kaz nzur
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante
@evesilayo740
@evesilayo740 6 ай бұрын
Zay wa mwanzo alipendezea sana
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 6 ай бұрын
Ni kweli
@Officialrockzompa
@Officialrockzompa 7 ай бұрын
Good job adam
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 6 ай бұрын
Wew zay hicho kiburi umejifunxia wapi Morogoro 😂😂😂 adamu wa Morogoro na makande😂😂😂😂
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 6 ай бұрын
Hahaha morogoro nawapenda
@NuruHussein-sz2be
@NuruHussein-sz2be 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤from Kenya jameni
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@jenifadaud
@jenifadaud 7 ай бұрын
Mhh jaman wamemtowa yule dada mhh kweli wa bongo hatujuwi kuweti
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Kuweti ndiyo nini
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 7 ай бұрын
​@AdamLeoStudios atupe maana yake
@AnnaAmanda-v4q
@AnnaAmanda-v4q 7 ай бұрын
Kaka Adam why everytime unawasema wadada wa Morogoro si kwa ubaya sababu mm pia wa Morogoro 😂😂😂😂😂😂😂❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Nawapenda nikimpata mmoja namuoa
@AnnaAmanda-v4q
@AnnaAmanda-v4q 7 ай бұрын
​@@AdamLeoTv WOW 😳 tunakupenda pia kama unataka kuoa am here😂😂😂
@umfahad2609
@umfahad2609 7 ай бұрын
Lbd pia ni watani wake.😂😂
@AnnaAmanda-v4q
@AnnaAmanda-v4q 7 ай бұрын
@@umfahad2609 kwakweli 🥰🥰👊
@SYLIVESTERKAWONGA
@SYLIVESTERKAWONGA 7 ай бұрын
alikuwa anaumwa, MPE pole kwanza
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante
@IgnasKapita
@IgnasKapita 5 ай бұрын
Mmezingua kumbadilisha mhusika Zai
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 5 ай бұрын
Tusamehe! Ila hujui kilichotokea! Tuliona ni vema kubadilisha kuliko kutoiweka kabisa hiyo filamu yenyewe!
@AshourAli-d3e
@AshourAli-d3e 7 ай бұрын
Good brother 🎉🎉🎉
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thank you so much 😀
@JulesMwerera-qm2ki
@JulesMwerera-qm2ki 7 ай бұрын
Napenda Adam ufike huku kwetu Butembo 🇨🇩
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
One day nitakuja
@salomembise4538
@salomembise4538 7 ай бұрын
Wa 13 jmn, movie nzur mno ina mafunzo.... Haya naomben like zangu😊❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@TantineZuzu
@TantineZuzu 7 ай бұрын
Good job ❤❤❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@alish2182
@alish2182 7 ай бұрын
Adamu courage❤❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@Zeinabmea
@Zeinabmea 7 ай бұрын
Kazi nzuri sana lakin msicheleweshe tena
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Nilikuwa naumwa
@Zeinabmea
@Zeinabmea 7 ай бұрын
@@AdamLeoTv pole sana
@adelinaomani9012
@adelinaomani9012 7 ай бұрын
Pole sana babaaa
@niceMaclean
@niceMaclean 7 ай бұрын
❤kaz nzur
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Shukrani
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 7 ай бұрын
Filamu nzuri from Kenya Adam naomba Janina ya anaeimba background please 😊
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Safelon
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 7 ай бұрын
@@AdamLeoTv asante
@jaliamartinz
@jaliamartinz 7 ай бұрын
That's why sinaga marafiki😢😢😢
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Noma
@DamarisDammie
@DamarisDammie 7 ай бұрын
Wakwanza mie 😂😂 watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 watch nikireject finance bill
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Noma
@DamarisDammie
@DamarisDammie 7 ай бұрын
@@AdamLeoTv mmmh ndio form ya huku kwetu
@JumaaTsuma-w4v
@JumaaTsuma-w4v 7 ай бұрын
Safiiiii
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Asante
@saidiabdalahshabani941
@saidiabdalahshabani941 7 ай бұрын
Adam nimeshakwambia acha kuoa wanawake wa morogoro maan IPO sku watakuja kukuua😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Yaani😅😅
@mariaphilipo
@mariaphilipo 7 ай бұрын
😂😂😂
@jastinedaudi-qi9vr
@jastinedaudi-qi9vr 7 ай бұрын
Aah apo umenboa kwnn ujamueka zai yuleyle nd movie inoge apo nd unafelig kak
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Huwezi kuelewa mkuu
@umfahad2609
@umfahad2609 7 ай бұрын
Hapo Adam anakuonyesha kua Zai wa zamani alikua mwembamba. Sbb alikua hajamuoa Adam. Baada kumuoa amerelax na amenenepa.
@Saumu254
@Saumu254 7 ай бұрын
Hidaya uninin lakin ulichezea shilling sai imeokotwa waitia kutu isiwe na thamni😢😢😢😢
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Yaani
@makkamakka9171
@makkamakka9171 7 ай бұрын
Kwa kubadilisha tu yule Dada nimekata tamaa kufatilia hii story acha nipite ivi 🤔😏
@bennamush4616
@bennamush4616 6 ай бұрын
Sasa huyu ndo kaweza yule happana
@Officialrockzompa
@Officialrockzompa 7 ай бұрын
Ila sasa yule dada mbona wa mala ya kwanza mbona sio yeye au mm nimeona tofauti😮
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Ni tofauti
@Tindoally
@Tindoally 7 ай бұрын
​@@AdamLeoTv 𝙆𝙒𝘼𝙉𝙄𝙉𝙄 𝙏𝙊𝙁𝘼𝙐𝙏𝙄 𝘼𝘿𝘼𝙈𝙐
@aishaallyaishaally3220
@aishaallyaishaally3220 7 ай бұрын
Mumetishaa unyama mwingi
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Shukrani
@Edigahbeb994Beb99
@Edigahbeb994Beb99 3 ай бұрын
Urafiki mimi hapana
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 3 ай бұрын
Haufai kabisa urafiki
@dicksonbenard1741
@dicksonbenard1741 6 ай бұрын
Mbona huyu sio yule zai ninae mjua mmetubadilishia zai wetu ehhh!
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 6 ай бұрын
Ndiyooo
@STANLEYKINYILI
@STANLEYKINYILI 7 ай бұрын
Kenya Watching
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
🙏🙏
@HappyChona
@HappyChona 7 ай бұрын
❤❤❤ mshajaa
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Endelea ku enjoy
@HappyChona
@HappyChona 7 ай бұрын
@@AdamLeoTv thanks
@ThabitJadi-nb4ql
@ThabitJadi-nb4ql 7 ай бұрын
Nice bro❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks 🔥
@JosephineMomanyi-jp8tv
@JosephineMomanyi-jp8tv 6 ай бұрын
Mnatudanganya uyo c sainab
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 6 ай бұрын
Ni kweli
@JudithGeorge-mw7fe
@JudithGeorge-mw7fe 7 ай бұрын
Bora umepona mana tulikumiss sana 🎉🎉❤❤❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Naam
@fayliz3746
@fayliz3746 7 ай бұрын
She's going to have funny 😂😂😂😂😂Rip English
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Polee
@SelemanKazimili
@SelemanKazimili 7 ай бұрын
Bro bro ❤❤❤
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@musorebonheur1933
@musorebonheur1933 7 ай бұрын
Good job
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Thanks
@CharoJohnson
@CharoJohnson 7 ай бұрын
Idaya wewe hay mungu anakuona kwa ulimfanyia zai akhi sio poa😢
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Sio kabisaa
@Amandafilmtz
@Amandafilmtz 7 ай бұрын
Au sio 😢​@@AdamLeoTv
@OmanMuscut-ju3xp
@OmanMuscut-ju3xp 7 ай бұрын
Uyu nae kuomba like tu kusa subscribe aaaaah
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Hahaha jamani
@AndrewKanyika-t9s
@AndrewKanyika-t9s 5 ай бұрын
Kaka wa idaya we ni chuma yaani muda wote nacheka nikikuonq tuu
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 3 ай бұрын
Nomaa
@ameenaalameena4968
@ameenaalameena4968 7 ай бұрын
Sasa adam kulikuwa na haja gani mpake utaje mabinti wa morogoro😂😂😂😂
@AdamLeoTv
@AdamLeoTv 7 ай бұрын
Nawapenda
AIBU YANGU  |4| FINAL | Love story❤️😘
26:40
Adam Leo TV
Рет қаралды 75 М.
KITANDA  | Love story 💕 |Adam Leo Bongo Movie 2025
1:04:25
Adam Leo TV
Рет қаралды 2,9 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
MWANAMKE FULL MOVE
1:32:45
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 398 М.
BINTI AMAYA - SIMULIZI MPYA
2:06:32
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 54 М.
JIRANI EPISODE 1   Majirani ni ndugu ila hawa wanapeana mapezi kipofu
20:05
SHEMEJI MTAMU ❤️ Love Story 💞❤️
1:12:42
Adam Leo TV
Рет қаралды 507 М.
BAAMEDI |2 | Love story❤️😘
46:53
Adam Leo TV
Рет қаралды 97 М.
NDOANO | Full Movie
1:31:55
Adam Leo TV
Рет қаралды 10 М.
KIJANA WA KAZI ❤️ FULL MOVIE
1:20:30
MATUTU MEDIA
Рет қаралды 318 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН