Hakika Kristo mwenyewe ahusike ktk kuiponya mioyo iliyozimia na kujeruhika ktk changamoto yoyote ya kimaisha🙏
@TeresiaJohn-wk3sz9 ай бұрын
Jamn huu wimbo unaupako mno nausikiliza kuanzia asubuh mpka jion,,,,Mungu azudi kuwainua watumishi wa Mungu🙏🙏
@MadilishaSimon-sb9kk9 ай бұрын
Duuuh Tanzania nchi yangu imebarikiwa sana , MUNGU ibariki Tanzania na MUNGU ibariki Israel
@beatricemalle442210 ай бұрын
Wimbo uliobeba uponyaji hakika mbarikiwe maana huu wimbo unaweza sikiliza siku nzima moyo ukawa na amani kubwa
@rachelsenni891910 ай бұрын
Amen. Sifa na utukufu kwa BWANA
@samsonbaptistdrummer60711 ай бұрын
Hii mixing apple music lazima itake iwe live ni balaaaa😂😂
@Mwakibingahanna-fz4oy9 ай бұрын
Huyu dada Nataman kumuona live the voice is VOCALIZED ❤❤❤ duh watu wanaimba jmn AIC CHANG'OMBE ❤❤
@Mwakibingahanna-fz4oy9 ай бұрын
Yhe song is anointed mmejua kumwambia MUNGU agange MOYO wangu thanks CVC❤❤❤
@AICTChangombeChoir_9 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@jukaelyelisha631111 ай бұрын
Kiukweli wimbo unaimba sana ndani yangu narudia kila mda kutazama haswa kwa huyu solo mdada aisee anamafuta ya ajabu mnooo
@ngatatv136511 ай бұрын
Hii nyimbo imebadilisha kabisa uimbaji wa cvc aise😊 May God truly use our loved ones in him who strengthens us
@rachelsenni891911 ай бұрын
Sifa, heshima na utukufu kwa BWANA Yesu KRISTO
@ibzanruheta11 ай бұрын
Adelina Gasto Umeutendea Haki huu Wimbo
@Regnard99911 ай бұрын
Amina sana, naulinda moyo wangu maana ndiko zitokazo chemichemi za uzima. CVC Mungu azidi kuwainua viwango hata viwango😭😭❤️❤️
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amina
@happynessmathias408510 ай бұрын
Nmejikuta machozi yananitiririka ahsant kwa wimbo mzr uliobeba maisha ya watu wengi sana, nawapenda sana cvc
@rachelsenni891910 ай бұрын
Amen. Glory be to God
@MaryMalale-r5z11 ай бұрын
wimbo unasikiliza mpaka unasisimka🙌 wimbo mzuri mno
@leonardjoseph420611 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤nawapenda sana hakika wimbo huu unanipa fraja saana😢
@HappySamwel-z6b11 ай бұрын
Wimbo umenibariki sana nilikuwa nasubr huu wimbo utoke
@sund25537 ай бұрын
Huyu dada solo ni 🔥 (ingizo jipya chang'ombe upande wa ma solo) mkaka yupo vizur pia ukisikiliza kwa audio waeza sema ni joellwaga
@ikupakijole656012 күн бұрын
Pia nilijua hivyo,wimbo mzuri
@hellen905611 ай бұрын
Kitu cha muhimu kuliko yote nini hatima baada ya uimbaji huu je tunavyo viimba tunaviishi ? Niushauri tu jitaidi kuishi utakatifu wa ndani na nje msiige staili za Dunia hii na mitindo ya Dunia hii namaurembo ya dunia hii kama watakatifu wapendwao na yesu mokozi Mungu awe nanyi
@nestoryntogwa80511 ай бұрын
Asante kwa ushauri
@stepsdecor9 ай бұрын
Mungu anaangalia moyo !! Haijalishi na karama za Mungu hazina majuto !!! Keep it up guys! Mlindwe na huyu Mungu mnaemuabudu na kumpa sifa zake🔥🔥🔥
@bennyngereza96196 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mpendwa kwa kuuliza hili swali na kutoa Ushauri mzuri. Mara nyingi/ Waimbaji wengi huwa wanatuimbia sisi wasikilizaji na watazamaji, LAKINI WAO HUWA HAYAWAGUSI WALA HAYAWASAIDII KUBADILISHA MAISHA YAO. GOSPEL MUSIC NI KAMA HAIPISHANI NA DANCE MUSIC. MUNGU ATUSAIDIE SANA NA AWASAIDIE WAIMBAJI NA KUWAONDOLEA ROHO YA KIBURI CHA UZIMA
@danielreuben-vg8ro9 ай бұрын
Nimechelewa wapi, kuusikia wimbo mzuri hivi😢😢😢!!! Bless you people of God...the song is very powerful.. The leaders wamefanya wonders..the back vocals...the musicians and arrangements just superb.
@kipkiruigillie433211 ай бұрын
Moyo wimbo mkubwa sana 🙏 kenya mnapendwa sana 🇰🇪
@AICTChangombeChoir_11 ай бұрын
Amen..Tunawapenda pia
@LovenessPeter-r6o11 ай бұрын
huu wimbo niliungoja kwa mda sana hatimaye yamekuwa napenda sana vipenzi vyangu nimebalikiwa sana na huu wimbo mungu aendelee kutenda juu yenu❤❤❤❤❤❤❤
@victoriansolo384211 ай бұрын
Amina
@AICTChangombeChoir_11 ай бұрын
Amen 🙏
@quenlameck283510 ай бұрын
Bro ana sauti ya Joel lwaga,hakika Mungu kaachilia vipawa Tanzania,sifa na utukufu ni kwako Mungu wa isaka,Mungu wa Ibrahim,❤❤
@rachelsenni891910 ай бұрын
Amen
@Sikujuaambonisye-nb3do10 ай бұрын
Ujakosea
@judithlucas336210 ай бұрын
Was looking for this comment
@agapesaligawesasaligawesa27819 ай бұрын
Yeeeees
@elishgurlat471611 ай бұрын
MUNGU Ugangae Mioyo Yetu Tuko Tayari Kupokea Ibaada hii Tuhudumie Bwana Tugange Jeraha zetu Tubaki Salama🙏
@williammtasha18811 ай бұрын
Haaki hahaha imenyooka😂🔥🔥🔥🔥
@festosolomon562511 ай бұрын
Iko hot sana kaka tunabarikiwa sana
@SophiaPeter-fw1ff11 ай бұрын
Jamanii Pongezi kwenuu Kazi nzuriii sanaa❤
@AICTChangombeChoir_11 ай бұрын
Amen
@tumaininicodem190610 ай бұрын
Amen
@DanielMkandama11 ай бұрын
Tunaoponywa mioyo tu gonge like hapa
@floranyefwe346411 ай бұрын
Kila siku naingia four times huku KZbin kuangalia huu wimbo wa Moyo najikuta Mungu ananivusha kwa kuganga Moyo uliojeruhiwa na marafiki, ndugu, mahusiano, kazini lakini Mungu anatuvusha 🙏🙏
Bwana ni mwema,atatenda kulingana na hitaji la moyo wako kwake.
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen
@HurumaMfelo11 ай бұрын
Mungu nigange moyo wangu ,mpaka nimelia Mungu wajua Mapito ninayo pitia. Mungu awabariki sana CVC
@EmmanuelyThomas11 ай бұрын
Amen 🙏 Mungu angage jeraha zetu tubaki salama 😭😭
@AICTChangombeChoir_11 ай бұрын
Amen..🙏
@aziramartine25211 ай бұрын
Yeye ajuaye mahali sahihi pa kuuweka moyo wakati anatuumba anajua huwa unabeba majeraha,huzuni lakini pia furaha na ushindi wetu hivyo ni maombi yangu atugange tubaki salama🙌
@WinifridaJohn-f3i11 ай бұрын
Amen
@jumaamtenganya-868011 ай бұрын
Ameni
@destinygift24249 ай бұрын
Nimejikuta natoa machozi masna jeraha nilizo nazo ni chunguuu 😭😭😭😭😭
@AICTChangombeChoir_9 ай бұрын
Mungu atakuvusha🤲🏾
@mwl.ombimahenge678211 ай бұрын
Mungu ugange moyo wangu katika maisha yangu
@agnesmwangama25539 ай бұрын
Hongera Kwa uwimbaji unaogusa mioyo ya watu mmenibariki mno.
@Rose-c9tАй бұрын
Aic Chang'ombe hamjawahi kushindwa, mtumikieni Mungu siku zote za ujana wenu wote 🎉
@Rose-c9tАй бұрын
Kama Anna wa jua kali kweli duniani wawili wawili
@MaryWMwasupa11 ай бұрын
❤ 😢😢Kwa kweli mmeganga moyo Wang , Mungu wa Mbingun awabariki nimechilia mengi 😭😭
@latifar.kichuna-kwamboka11 ай бұрын
❤❤❤❤ Nita linda moyo wangu
@chazzbenson3187Ай бұрын
Aiseee basi tu, dada anaimba Kwa hisia sanaaa...
@therezastephen136111 ай бұрын
Wimbo unagusa moyo wangu, Mungu unisaidie niulinde moyo maana ndiko itokako chemichemi
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amina
@raphaelntambi640411 ай бұрын
Mlio lead🙌 Mungu awakumbuke
@mwangalimijrOg10 ай бұрын
Yah Wimbo mkubwa sana huu , Mungu awabariki sana watumishi
@BerthaLimbe11 ай бұрын
Kama machozi yangeweza kusmulia namna gani moyo unavumilia Yesu nigange nigange ❤❤❤
@magrethmkemwa92879 ай бұрын
❤❤ 🤗🔥🔥🔥,Soloist ,jiandae kuimba na Malaika,Heven verv soon,Dont lost that you have,Jesus is coming.
@jessicamasepo83209 ай бұрын
Anaimba vizuri sana, Dadaa
@ClaireHappy11 ай бұрын
Oh Halleluyah.. 😢uyo dAda jmn saut tamu kutoka Mbingun
@MafanghaAmos11 ай бұрын
Nausubili sana huu wimbo maana nimesikia kionjo two nautanigagnga moyo wangu
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen
@marymakima909310 ай бұрын
Mungu Baba nifute machozi yangu mimiiii .... mbarikiwe sana jamani.
@rachelsenni891910 ай бұрын
Amen
@dorcastesha42310 ай бұрын
nmeiskiliz hii nyimbo nikiwa kzn najikuta tu nalia 😢 moyo wangu umejaa maumivu ila najua kupitia huu wimbo naamin ntawez kuheal tena Yesu awatunze
@rachelsenni891910 ай бұрын
Amen. Be healed on Jesus's Name
@ezekielmasaga25810 ай бұрын
Amen dada,Mungu awezaye kutenda mambo Makuba na atende kwako
@WisalaJulius10 ай бұрын
Mungu akutane na maisha yako
@MariamMariam-bq3vm11 ай бұрын
❤ umebeba furaha yangu umebeba ba huzuni zangu pia. Mungu awabariki sana watumishi wake
@MaryWMwasupa11 ай бұрын
Mfelo kwa steg.... Mungu aakubariki san best yangu huduma yako ni njemaaa ❤❤😭😭
@rachaelntinyari884711 ай бұрын
Huu wimbo umeninenea sana. Nimeusikia kwa wakati ufaao. Asante wana AIC . Mbarikiwe na Mungu azidi kuinuliwa na kupokea sifa zote.
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen
@GeorgMgaye11 ай бұрын
Hongera sana mfello na hyu dada mmeimba vzri nmebarkiwa mno ila mfello kaimba kma Joel lwaga au ndguu yake nni
@robbysartproductioncompany530611 ай бұрын
Ni fundi anaujua mziki kwa kipaji
@rhobinancy219711 ай бұрын
Utadhani ni yeye
@RuthYusuph-x6o10 ай бұрын
Mungu awabariki katika uimbaji wenu na ailinde mioyo yetu maan ndiko zitokako chemchem za uzima
@officialgivenjacksonngalla10 ай бұрын
Blessed are those pure in heart for they shall see God! Ahsante kwa wimmbo mzuri! Ila ni kazi kuulinda Moyo! Mungu tupe nguvu!
@AICTChangombeChoir_10 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@johnkolingo63239 ай бұрын
Amina! Mungu atusaidie jamani atutie nguvu tuombe uponyaji wa mioyo yetu iwe safi, inayomwadhimisha Mungu siku zoote
@EsterKway10 ай бұрын
CVC never disappoint us ❤❤ Asante kwa wimbo mzurii
@rachelsenni891910 ай бұрын
Amen. Glory be to God
@LydiaMzuri-pb7ne11 ай бұрын
😭😭😭😭Mungu awabariki sana hakika moyo una vitu vingi sana
@neemamboyi990311 ай бұрын
Ganga mioyo yetu kristo ❤😢 tuzidi kuokolewa na neema yako kupitia huu Wimbo
@DanielMkandama11 ай бұрын
Mungu nisaidie kuulinda moyo wangu kuliko yote niyalindayo
@NdutiThomas11 ай бұрын
Hakika MOYO umebeba mengi mazuri na mabaya, yenye kufurahisha na yenye kuhuzunisha pia, Eee Mungu igange Mioyo yetu✊🙏📖🕊️............!!
@NeemaBuluba11 ай бұрын
❤hongereni wapendwa kazi nzuri
@neemaandrew659311 ай бұрын
Mungu awainue zaidi watumishi wa Mungu,Mfelo barikiwa mno,na huyu dada jamani kaimba hadi nimejisikia kulia,nawapenda
@AICTChangombeChoir_11 ай бұрын
Amen
@adamndamayape42811 ай бұрын
Mbarikiwa sana watumishi wa Mungu kazi yenu ni njema
@joycemakiya86729 ай бұрын
Mungu kanipa wimbo,😢 Yesu nigange hakika....
@Rose-c9tАй бұрын
Nabarikiwa sana, naomba Mungu anipe amani ya moyo
@polyjoh54911 ай бұрын
😢😢😢😢❤❤ eeh Mungu naomba ugange jeraha zangu ili nibaki salama 🙌🙌
@faustina224811 ай бұрын
This song Khai, has got something so big ... We look for bigger places to heal forgetting that we have our own heart to guide .... Kama machozi yangeweza kusimulia namna gani moyo unavumilia..... Mioyo inalia sana ndani yetu tunabeba mizigo ... May God keep the hearts that are broken and strengthen the heart..... The lady and man in the song are blessed ... Singing live gives it the heart felt vocals... Be blessed team
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen. Glory be to God. Pray for CVC Team
@AICTBUJINGWAKWAYA-tx2yu11 ай бұрын
Wmbo mzr sana
@PriscarDaniel-eq2jp9 ай бұрын
Nimeusikia kwenye zamaradi TV nikakimbilia huku hongeren kwa kazi nzur mavazi yenye utukufu kwa mungu
@AICTChangombeChoir_9 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@DeboraNgura5 ай бұрын
Me nmeuona Jana usiku arise n shine tv ..nmeona nmechelewa kuujua
@janeanethmtagwaba396710 ай бұрын
Mungu awabariki katika uimbaji wenu mzidi kutuponya mioyo yetu. Hadi mwili unasisimuka. Mungu atukuzwe.
@rachelsenni891910 ай бұрын
Amen. Sifa, heshima na utukufu kwa BWANA
@godlistenmkonyi510910 ай бұрын
Mmeimba kwa kiwango cha juu sana, tunabarikiwa na wimbo huu mzuri wenye ujumbe mzuri
@JanethMathayo-dh8cu11 ай бұрын
Una Wazo zuri sana wimbo huu,unatia moyo unafariji Na una ujumbe my might God Bless you so 🙏
@SamsonJohn-hw1jq11 ай бұрын
Nione like za wanao linda mioyo yao kama mimi hapa🎤
@GracePetro-oz7ns11 ай бұрын
Duu hongereni sana ,,mpaka machozi yananitoka MUNGU azidi kuwainua zaid
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen. Glory be to God
@danielgunyesha71299 ай бұрын
Hapo chang'ombe mmetisha sana
@mkenyaledrummer8 ай бұрын
Kenyans come lets support this heavily. I keenly listened to the lead Lady. last parts of the song. Our own accent from Kikuyu could be felt. All in all this is an amazing and deep message to our hearts. This song speaks heavily to my heart, I cant count how many times i replayed this song after stumbling on it on KZbin. I almost thought its Joel lwaga, but i guess he's part of this team in one way. kudooooooooooooooooos
@floranyefwe346411 ай бұрын
Mioyo yetu Inavumilia mengi mnooo ila Mungu anatuvusha 😢
@mussatv732011 ай бұрын
Mpaka mwili umesisimka
@nestoryntogwa80511 ай бұрын
Mungu akuhudumie
@mariampaulo789410 ай бұрын
Mungu awabariki sana tena sana Jaman wimbo huu umenigusa sana Mungu azidi kuwainua❤
@rachelsenni891910 ай бұрын
Amen. Barikiwa pia
@carolinemballa595211 ай бұрын
😢Bwana waujua Moyo wangu
@geofreyluguma325910 ай бұрын
The lady is talented. Wimbo mzuri sana. Barikiwa sana
@DorcasKachwele9 ай бұрын
Amen wimbo mzuri sana
@KelvinMushi-st6rd11 ай бұрын
Mungu wa mbinguni azidi kuwabariki maana mnafanyika baraka kwa watu wengi sana. Kazi njema kwa uongozi wa kanisa na uongozi wa kwaya pamoja na watu wote waliohusika
@AICTChangombeChoir_11 ай бұрын
Amen..endelea kutuombea lakini pia msiache kutufuatilia kama bado huja subscribe..fanya hivyo na BWANA akubariki 🙏
@KelvinMushi-st6rd11 ай бұрын
@@AICTChangombeChoir_Amen
@ZainabAbdul-dl4jn11 ай бұрын
Tunaendelea kugangwa ♥
@godfreysanziki146111 ай бұрын
Utukufu Kwa Muuuungu ooooh kazi inapasua mbingu patakatifu pake Mungu ☝️
@pendomkumbo826211 ай бұрын
Nigange jeraha zangu Yesu Kristo nibaki salama .......uzima wangu si kitu bila salama na afya ya Moyo wangu
@judithgodifrey42979 ай бұрын
Nifute machozi yangu Yesu unigange jereha nibaki salama
@kentech710 ай бұрын
I love this.... I'll guard my heart, from it comes the spring of life