kama unaupenda huu wimbo tokea zamani angusha likes zako apa
@selfaamakinat97603 ай бұрын
Nilidownload nasikiza kila wakati 🎉
@simonprosperity95733 ай бұрын
Kama na wewe umeukubali huu wimbo kama mimi ulivyo ni bariki pita ukidondosha like yako hapa na Yesu azidi kutukuzwa milele.
@samsontarimo4 күн бұрын
Dah... Aisee Mungu awabariki sana
@Zilizopendwa_60s3 ай бұрын
Huu wimbo ulitungwa ukatungika...uliimbwa ukaimbika..na tena unaimbwa live unaimbika...hakika..Mungu awabariki sana
@joycehaule97173 ай бұрын
Wallah
@youngmaster41273 ай бұрын
Hatimae Leo Mungu amesikia kilio changu na watanzania wengine tulikuokua tunaonba kuwaona kwa mara nyingine hawa watumishi wa MUNGU❤❤❤❤❤
@SamwelNdilanha14 күн бұрын
Jaman Amina sana2
@beatricemwakalinga41403 ай бұрын
Mama yetu hazeeki kabisa Ukiwa kwa Yesu ni ujana tu
@NeemaAbednegoАй бұрын
Mungu azidi kuwabariki CVC kwa kazi njema
@gracecosmas3 күн бұрын
True Gospel
@ndojes7113 ай бұрын
Likes za Kenya hapa
@patriciakiio37343 ай бұрын
Vile inafaa Kenya 🇰🇪 is watching
@ev.shadrackbendepsalmist.66713 ай бұрын
Sasa ndio mumeaza kuelewa na mambo....hizo nyimbo za kitabo muzirudie tena live pamoja na wale masolo,,Lydia,bahati na Diana🎉
@DanielMumo-g7j3 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰😅yaaah bro It was a blessing TU has at aic syokimau
@poulswai3 ай бұрын
umenena neno zuri san
@WiselightOfficial3 ай бұрын
Kabisa ndo zilinoga zilibariki mioyo yetu na bado znaendelea kutibariki
@nikodemasmwigulu68023 ай бұрын
❤
@linamassawe3 ай бұрын
Wow! Watu wangu wa nguvu. Wamama sololist Mungu awabariki na kwaya kwa ujumla. Nabarikiwa sana.
@beatricemwakalinga41403 ай бұрын
Wimbo wangu pendwa miaka yote❤
@mungawilliam89063 ай бұрын
Hawa wamama hawazeeki,I watched their album nikiwa primary 😂😂😂eish the grace is different apa
@GraceNicolas-tr8sk3 ай бұрын
Hawawezi kuzeeka kihasarahasara kwa sababu Wana Yesu
@daviee_artz3 ай бұрын
Ukishakua mwanakwaya huzeeki😂 You live the Grace
@SamooMongoo-gt9ll3 ай бұрын
Ukiwa unaeyesu uwez zeeka unapendeza tu 😂
@noelmani6853 ай бұрын
Yesu anawatunza kuzeeka siyo rahisi na wanamtumikia kweli Mungu no michanganyo wanaochanganya tunawaona yanayowakumba
@producerbryson3 ай бұрын
It's called the Glow ry of God
@yoshuapaul83003 ай бұрын
Yes wimbo umekaa bomba sana Nasubili tena wimbo wa NGUSA.
@amosbinzi14523 ай бұрын
siyo NGUSA Ni GUSA 😂
@yoshuapaul83003 ай бұрын
@@amosbinzi1452 sawa kaka
@ATUPELEJUNIOR2 ай бұрын
Sijawahi kuwachoka kuwasikiliza tangu enzi za GUSA Mwenyezi Mungu azidi kuwatunza mwendelee kumtumikia milele Ameen.
@Overcomercharlz-913 ай бұрын
I lack no comment no blessed be the name of God
@faithkieti96112 ай бұрын
A choir that inspires me of singing more ,be blessed
@latifar.kichuna-kwamboka3 ай бұрын
Waaaaaaaaaaaau!!!!! Na iyo part ya mwisho na trumpets 🎺 🎺 🎷🎷🎷🎷🎷📯📯📯📯📯📯📯📯📯📯🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺 ime weza zaidi................. usiku wa manane
@Mwana-k2g2 ай бұрын
Unaisikia hiyo base lakin
@joinarenatus49662 ай бұрын
Mungu awabariki Sana na azidi kuwatumia nawapenda saba
@Mwana-k2g2 ай бұрын
HIYO BASE ILIYOPIGWA HUMU NDANI YA HUU WIMBO NI YA HISTORIA MPINI UMEKAZWA UKAKAZIKA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@gadasaSaid2 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na huu wimbo❤
@karibunyumbani38243 ай бұрын
Yani mpaka nimesisimka kuona huu wimbo 😢😢😢😢😢 much love jamani hapa mmatuweza❤❤❤
@GloryLaizer-z8d3 ай бұрын
Hii kwaya 🙌🙌🙌🙌🙌 Itoshe kusema Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi sijawahi kuwachoka
@JustineEbinda3 ай бұрын
Ninaupendo huo wimbo Mungu awabariki kuurudia
@gloriadeogratias46893 ай бұрын
Nawapenda Sana na pia Hawa watu hawazeeki Jamani ..... Kumutumikia Mungu raha❤
@joshuajackson53673 ай бұрын
Waaao asant sana CVC nausubiria ule wimbo wa umetukuka upigwe live🎉🎉🎉
@emmanueljohn73 ай бұрын
Yaaani Kama ninavyopenda mie
@jacksonauson55733 ай бұрын
😂yaan😂
@andrewmatheka97493 ай бұрын
Asanteni sana Wana changombe CVC Aic. Love you big
@GMCBunjuBeachtv3 ай бұрын
Nyimbo inaishi miaka na miaka 🙌🙏
@OliverMmuru-b9e3 ай бұрын
Jmn mbarikiwe Sana masololist wetu ntangu tupo wadogo Diana,Bahati,Lidya kwakweli hamzeeki nawapenda sana
@GetrudaElias-v3zАй бұрын
Mzuri sana
@YemimaMinja-uo4ik3 ай бұрын
Jamni moyo wangu umejaaa furahaaaa sana wakati nimeona cover ya usiku mwema nimekwambia Mungu naona uwe ni wimno ule wa usiku mwema wa zamani
@majutobugali57633 ай бұрын
Jaman hawawatu mungu awalinde sana make nawapenda sana wanavyo imbisha kunasikumoja nitawaombaniwaone laivu👏
@jerrysonjulius71062 ай бұрын
Enzi hizo aki mlikuwa bora zaidi mliimba nyimbo za baraka zaidi ruduni kwa hio mifumo ya awali wapendwa
@paulajoho22233 ай бұрын
Hakika kweli mmefanya vyema sana, kuurudia huu wimbo, na masololist wetu wakiwa walewale. Abarikiwe sana mbeba maono. Kila kitu kiko 100%"I salute all of you" Mbarikiwe sana..
@AyubuKibona-o7hАй бұрын
Wimbo mkubwa sana huu jamani dada Patricia hongera "viwango hata viwango Mungu akuinue jaman kila siku siachi kukuombea tangu ulivyonibariki BSS nilimjua Mungu zaidi kupitia wew dada"
@NaahZephania3 ай бұрын
Haleluya ifate live pls Dada Bahati nakupend mno😊❤Lyidia na Diana
@nehemiahndalawa67203 ай бұрын
Safi sana,.wimbo mzuri sana. USIKU WA MANANE , may Almighty GOD bless CVC 🙌🏿🙏🏿
@andrewasagwile71623 ай бұрын
Mubarikiwe sana kwa Wimbo mzuri sana huu na kuurudia live
@EmerecianaMakaleАй бұрын
Ohh my God thanks for this😢
@mosesbrian66903 ай бұрын
From Kenya I thank God for AIC Chang'ombe Choir
@Maziku-i5x3 ай бұрын
❤❤usiku wa manane sheteni anautumia sana na mm naungana na cvc kuchukua tahadhari kwa sala na maombezi ili shetani asiwe na nafasi usiku wa manane
@EmmanuelEnock-d6g3 ай бұрын
Waliolead huu Wimbooo🙌🙌🙌🙌
@dominamakiya52383 ай бұрын
The best song ever ❤❤ Old is Gold ❤❤❤
@MussaMsumba-yk3pf3 ай бұрын
Yaan mmewaza kama nilivokuwa nawaza Mimi axee wakuu 🙏🙏
@FrankThomas-b2c3 ай бұрын
HII NYIMBO DAH TOKA 2008 😢
@DavidKisumo-t7sАй бұрын
Very nice
@RoseLyimo-ct2ex3 ай бұрын
Nawapenda hao masolo WA 3 sana🎉 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@hamasikatv77133 ай бұрын
Saaaaaaaaafiiiiiiiiiiiiii sasa asanteni kusikiliza maoni yetu tunaomba zote mzilete live dah safi saaaana hii itawarudisha CVC on Top
@ainealessi63883 ай бұрын
Aiseeee Mungu amewainua mnatubariki sana
@emmanuelkili13093 ай бұрын
😭😭😭am just in tears mtanifanya nihamie Tanzania sababu ya uimbaji
@MussaKazimili-jb1mh3 ай бұрын
Amina Mungu Awabariki sana Watumishi wake
@Isack-dr3ol3 ай бұрын
Huu wimbo haujawah niacha salama kiroho yan lazima nijiliwe na uwepo wa Mungu🥹 Nawapenda sana AIC Chang’ombe kwaya,Mwenyezi Mungu aendelee kuwajalia mafanikio mengi sana katika huduma yenu yenye baraka nyingi❤❤❤❤❤❤❤..
3 ай бұрын
Waooh!! Beatiful song ever!! Kumbukumbu nzuri!! Mrudie jinsi zilivyo.
@masalugusessa37023 ай бұрын
Huu wimbo wa jinsi zilivyo ni very simple ila una bamba sana! Live yake itanoga sana!❤
@ukombozichoir-kinenulo75453 ай бұрын
naukubalii mnooo jinsi xilivyo duuh
@ukombozichoir-kinenulo75453 ай бұрын
namm nausubir jinsi zilivyo
@AbelSahan-n9e3 ай бұрын
Mmefanya kaz nzuri.huu wimbo unanibarik Sana wakati wote
@joycejames6883 ай бұрын
Mungu wangu wa mbinguni awabariki sana❤❤❤❤
@HassanHamanya-gg3ss3 ай бұрын
Wow wow big up sana
@partsonbulukhu-zy8mn3 ай бұрын
AIC Chang'ombe🎶🎉🙏 Following from Eldoret Kenya 🇰🇪🇰🇪👏
@AlonMinga3 ай бұрын
Huwa nabarikiwa Sana pindi hawa wamama wanapoimba pamoja nice song 🙏🙏
@shadrackmuoki64383 ай бұрын
Amina barikiweni wapendwa
@parkengideon93743 ай бұрын
Wimbo una Neema ya juu
@stephenmumo1943 ай бұрын
Tamu sana nakubali kabisa
@mwalimuWaZamu3 ай бұрын
Aiseeeeee✅✅✅ Sifa zirudi kwa Mungu hakika. Aliyefanya hii mixing humu ni 🔥🔥🔥🔥
@paulolupaso80543 ай бұрын
Safi sana hii.. Mungu awabarikiii
@DFire-ii8nb3 ай бұрын
Wimbo huu hauwezi kuchuja ad miaka bukuuuu bado utaishii to waoo congratulations 🎉 uski wa manane
@dianaroseclement81393 ай бұрын
Mungu awaweke mahali pa juu ❤❤❤❤
@HappynessEdward-sk2pn3 ай бұрын
Ahsante YESU kwa kutupa tena wimbo huu.🙏🙏
@LynetteKimanyi3 ай бұрын
Kazi safi mbarikiwe sana, sasa mfanye mpiga kristo
@musagervas9473 ай бұрын
Gods first from Japan usiku wa manane
@helenaemmanuel48973 ай бұрын
Love you guys may God bless you. You sing well ❤
@joycehaule97173 ай бұрын
Huu wimbo ni FIRE umejaa nguvu ya Mungu
@joycelaura46113 ай бұрын
Bahati, Lyidia na Diana Mungu awabariki sana nawapenda mno Jamn sifa apewe Mungu
@joycerussa98988 күн бұрын
Nimefurahi sana kuwaona ❤❤❤❤❤❤
@olivesmutunga87453 ай бұрын
Glory be to God, barikiweni zaidi
@yohanadaniel70303 ай бұрын
Bass ilipigwa !! Jamaa anajua sana Mungu abariki kwa kazi yake
@micahjob-o7p3 ай бұрын
Awewe Awa wamama achana nao kabiisa Glory to God😀❤❤❤❤
@adkajisi45363 ай бұрын
Moto wa kuotea mbali
@israelkisaila84013 ай бұрын
Kiukweli IMANI WAMEILINDA SANA,MUNGU AWAENDELEE KUWATUNZA
@BestMirianАй бұрын
Faya
@zebbypower.35203 ай бұрын
Wapiga Tarumbeta 🎉🎉An added Glory to AIct!!!
@MercyChepkorir-g5g3 ай бұрын
Soo glorious
@VictoriaMafie3 ай бұрын
Hakika usiku wa manane ni usiku wa ushindi❤❤
@Brightonychristopher3 ай бұрын
Nawapenda bureeee Barikiwen sanaaa na masor wang pendwaaaa
@sharielkasoma18173 ай бұрын
mungu abariki sana watumishi wa mungu❤❤❤❤
@MaryKalulu-m8s3 ай бұрын
Safi sana wimbo bd uko vizuri na mama zetu pia wako ngangali
@deborahfaustine15013 ай бұрын
Mno
@clintonmutisya40703 ай бұрын
Great i always love this song
@noelmani6853 ай бұрын
Hii Dvd ya usiku wa manane nanayo hadi leo nashukuru Mungu kwa utumishi wenu Mama zangu Mungu azidi kuwapa afya bado wimbo wa Haleluya sijauona live hapa hii Tamasha ilikuwa moto❤
@philmonnem72943 ай бұрын
Nyie wimbo uko moto waimbaji awachuuji wala awazeeki achana na wabana sauti kama wanatoa utumbo kitu kimenyooka DUNIANI hadi MBINGUNI kwanza nmeusikiliza moyo ukafurahi MUNGU akanipa kicheko afu kachozi ( mchozi ) kakashuka aise MUNGU wa MBINGUNI azidi kuwatunza muendelee kuwepo imbeni hadi za GUSA izi nyimbo zina kitu cha ziada ❤
@andrewasagwile71623 ай бұрын
Barikiwa sana kwa huu Wimbo mzuri sana
@quinterodongo87793 ай бұрын
Woow woow...This is it...can't get enough of this song from the big 3 soloists of CVC Bahati, Diana and Lydia..Baraka tele.
@janemoraa99973 ай бұрын
Hongereni kwa kazi njema. The Blessed Triplet Soloists mmesolo vizuri kwa remix hii. Mungu abariki na Kuimarisha huduma yenu na CVC choir.
@petersongok83223 ай бұрын
This the type of songs we need.God bless your singing.
@malifedhamachimu48823 ай бұрын
Dah huuu wimbo 😢😢😢😢
@fadhilidanieli14783 ай бұрын
Rudien zooote dunia saivi ipo huku kwenye live.... Mmeutendea haki kwakweli❤❤❤
@stephenmule54563 ай бұрын
Wimbo umeuongeza mapochopocho na maua waooh mbarikiwe
@josephmuhota94463 ай бұрын
Mshaulekodi tena,I love it ❤❤❤❤❤❤❤❤soloist waoooo.Blessings.
@wanelapaul86053 ай бұрын
Hongereni
@unclesammykaniki11843 ай бұрын
Amen kubwa sana nmepitia comment zaidi ya 367 HAKIKA SIFA ZOTE NA UTUKUFU TUMLUDISHIE BWANA WETU ATUPATIAYE PUMZI YAKU.SIFU NAKULITANGANZA JINA LAKE.
@mayalajbubele96963 ай бұрын
Usiku wa manane
@NechLove3 ай бұрын
Huu wimbo mzuri umetulia na inagusa mioyo ya wamtumainio yeye alieufia msalaba
@emmanueljohn73 ай бұрын
Safi kabisa Mama zetu mmewaleta hapo hapo patamu wazo LETU fanyeni nyimbo zote za zamani Live
@DORAHWEKESA3 ай бұрын
Next Jinsi zilivyo kuu
@alicemumo79743 ай бұрын
I love that song too 😂😂😂
@berylnyengo70183 ай бұрын
I second
@masalugusessa37023 ай бұрын
Yaani utabamba sana
@rebekajulius39183 ай бұрын
naupenda mno huo wimbo duu
@eliufoosimonchuri41603 ай бұрын
Na HAKUNA😅
@victoriajulius74952 ай бұрын
safi sana hata Ile ya zamani Iko vzuri pia nawapenda zidi kubarikiwa
@neziampapo40463 ай бұрын
Blessed 🙏🏾
@zakariaphilemon82753 ай бұрын
huu ni miongoni mwa nyimbo zangu pendwa nilizokua nikikaa kusubiri zitatoka lini
@mbmdigitalpro51983 ай бұрын
Hii choir naipenda sana, I been listening to their songs since long time ago. I’d like to participate to the next live concert