AIC Chang'ombe Choir (CVC) - TUMETUMWA (Official Live Video)

  Рет қаралды 93,434

AIC Chang'ombe Choir (CVC)

AIC Chang'ombe Choir (CVC)

Күн бұрын

#,TUMETUMWA ni wimbo wa Nane katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam.
Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
Tunaamini wimbo huu utaenda kubadilisha maisha yako, katika changamoto zozote usikate tamaa maana MUNGU yuko pamoja nawe. MUNGU AKUBARIKI.
LYRICS
BWANA MUNGU
mwenye huruma
Ametupa, kumjua
Zaidi na Zaidi
Ametutuma kuitenda kazi yake
Kwa moyo wa kupenda
(Tumetumwa na MUNGU)
Ayeeh..Tumetumwa, (Tumetumwa na MUNGU)
Yelele iyelele (Tumetumwa na MUNGU)
Ujumbe tumetumwa
Ujumbe tumeagizwa
Tuangalie mbele
(Tuangalie mbele)
Tusigeuke nyuma
Tusiwe kama mke wa ruthu
Aliangalia nyuma
Kawa nguzo ya chumvi
(Tumetumwa na MUNGU)Ooooh
Yelele iyelele (Tumetumwa na MUNGU
Hatakama tunakatishwa tamaa
Bado tupo na tutaendelea tu
Msaada wetu sisi ni MUNGU
Mwenye uweza
(uweza,uweza)
Yeye ndiye aliyeanzisha vyote
Vilivyomo mbinguni na duniani
Yeye ndiye aliye anzisha vyote
Mwenye uweza
(uweza,uweza)
Furaha tuliyo nayo aielezeki
(Furaha tuliyo nayo aielezeki)
Ujasiri wetu ndiyo furaha yetu
Kumjua MUNGU ndiyo maisha yetu
Tumetumwa na MUNGU
Tumetumwa na BABA
(Tumetumwa na MUNGU kusema haya)
Tumetumwa kusema kweli
Kwamba MUNGU ndiye BWANA na mwokozi wetu
Tumetumwa na MUNGU
(Tumetumwa na MUNGU kusema haya)
Majira haya ni ya kumsikiliza MUNGU
Tusikilize ujumbe
Anavyotuagiza
Neno la MUNGU
La tueleza
La tueleza
(Kwamba tuko siku za mwisho)
Kwamba tuko siku za mwisho)
(Tumetumwa na MUNGU)
Special Thanks
AICT CHANG'OMBE CHURCH
Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje
CREDITS.
Song writer - Barthrolomew Magulu
AICT Chang'ombe Church
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
MUSIC DEPARTMENT
Music Team - Benjamin Makolobela (MD,MAIN KEYS)
Elisha Gurlaty (AUX 1)
Elia Mahuna (AUX 3)
Onesmo Peter (AUX 2)
Emmanuel Yusuph (BASS)
Daniel (LEAD GUITAR)
Mayala Bubele (TRUMPET)
Charles Stenson (TROMBONE)
Meshack Wilson (TROMBONE)
Eliya Makaya (ALTO SAX)
Raphael Luhende (ALTO SAX)
Samson Mathew (DRUMS)
Video production - CVC Media
Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro

Пікірлер: 191
AIC Chang'ombe Choir (CVC) - MOYO (Official Live Video)
10:08
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 509 М.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 9 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Tumetumwa (Live)
14:24
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 3,9 М.
AIC Chang'ombe Choir (CVC) ft. Zoravo - KILA ULIMI  (Official Live Video)
13:02
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 379 М.
AIC Chang'ombe Choir (CVC) ft. John Kavishe - SAYUNI  (Official Live Video)
10:21
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 84 М.
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 2,9 МЛН
Essence Of Worship - Sitaona Haya ( Official Live Music Video )
11:25
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 685 М.
Jeremy Jeradi - Umekuwa Nami ( Official Live Recording Video )
12:05
Jeremy Jeradi
Рет қаралды 467 М.
AIC Chang'ombe Choir (CVC)  -  MSIKILIZE ROHO   (Official Live Video)
9:05
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 151 М.
AIC Chang'ombe Choir (CVC) ft. Joel Lwaga - HABARI NJEMA  (Official Live Video)
9:33
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 155 М.
AIC Chang'ombe Choir (CVC)  -  MAWAKILI (Official Live Video)
7:59
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 74 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 37 МЛН