HAKIKA NINAYO SABABU YA KUMSIFU BWANA YESU...HOSSIANA MY FAVOURITE OF ALL TIME TOKA NIUJUE🙌
@turahzakayo48825 жыл бұрын
Jaman wekaka umeimba kwa ndani umegusa mioyo ya watu barikiwa zaidi muombe MUNGU akupe hekima ya unyenyekevu uimbe zaidi ya hapo barikiweni mnooooo👐🏻
@yonamasasi5173 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni aendelee kuweka maono mapya ndani ya huduma yako, barikiwa sana
@ecabelmwai34743 жыл бұрын
Kaka umeimbaaaaaaa
@productionwinderbuly Жыл бұрын
Ooooh my God!!!!!....This is One of the best Gospel hits!!
@pendopeter17903 жыл бұрын
Napenda sana mlivyoimba huu wimbo 🥰🥰🥰
@ivymoraa7832 жыл бұрын
I just can't stop listening to you people.....u guys really touched my heart......blessings 🎊🎊
@agnesngollo37184 жыл бұрын
Mmefanya maajabu ya mwaka mbarikiwe wasukuma wenzangu
@mathewanthony20793 жыл бұрын
😂😂 Hallelujah
@ecabelmwai34743 жыл бұрын
Kwaya zingine igeni huu uimbaji jamn
@El9a4 жыл бұрын
HALLELUYA ATUKUZWE BWANA MWAMBA WANGU... Hii si nyimbo ya kawaida... Mbarikiwe sana Watumishi wa Bwana Yesu... I see the Glory of the Lord in your praises AMEN.
@mrwhynot76264 жыл бұрын
Huyu kijana ana zawadi yake kwa @PastortonyKapola Naomba afikishiwe taarifa na aingie inster kuwasiliana na huyo mtumishi wa Mungu kutoka Morogoro.
@jefredyfrednandy58804 жыл бұрын
Broooooo umetishaaa sanaaaaaa
@hillarytheworshipper4 жыл бұрын
This brother is deep... I love it🙌😭
@esthermasika92023 жыл бұрын
Very deep 🌊🌊🌊 what's his name....
@veronicamoses52243 жыл бұрын
Uimidiwe Mfalme Uimidiwe Mwokozi Nakuinulia Mikono Yangu Aict Dar es salaam kwaya Mungu Aendeless kuwaimalisha zaidi na Zaidi Tunabadilikiwa kupitia Nyimbo hizi 🙏
@umbokeenockmwakagenda39667 ай бұрын
Tutakupataje nyimbo binafsi inagusa sana
@aidandidace82074 жыл бұрын
Huyu Bro nakosa maneno😥🔥🔥, Na choir nzima wako vzr pia, ila leader duh Mungu ampeleke Juu kwenye Uimbaji wake....
@happymwanguo25213 жыл бұрын
Barikiweni watumishi wa Mungu,Nashindwa kuacha kuusikiliza hii wimbo,,najikuta nakosa la kusema
@geofreymhina34723 жыл бұрын
Huu wimbo hauchoshi kusikiliza mtunzi Mungu ampe maono zaidi Yuko vizuri
@mecksedesmkalawa4374 жыл бұрын
Jaman mbarikiwe sana na bwana wa mbing na nchi
@dorrypol9911 Жыл бұрын
Julius Mwombeki ...... Mungu azidi kukuinua kaka katika utumishi wakoooo🎉🎉🎉❤
@rachelmlingwa88804 жыл бұрын
Kwakweli watumishi kazi yenu ni njema
@bundalasosovele29164 жыл бұрын
This song will forever mean so much to me and my family.
@aicdaressalaamchoir4 жыл бұрын
Stay blessed servant of God..
@nsajigwamwasalemba18233 жыл бұрын
Bwana awabariki kwa huduma njema 🙏
@kigandalyehagi38053 жыл бұрын
Mungu awatunze,kazi yenu imetukuka
@suzanReuben-d5p6 ай бұрын
Mwombeki jaman Mungu akuinuie
@janethsaukiwa39664 жыл бұрын
Amen watishi kwel ni usiku wa sifa Mungu azid kuwainua ktk viwango vingine huyo kaka aliye solo🙏🙏🙏 Mungu azid kumuinua kazi ni muifanyayo ni njema sanaaaaaaaa.
@christophersongambele64472 жыл бұрын
hakika mbarkiwe
@priscaponella81972 жыл бұрын
Mbarikiwe sana na Mungu mnayemuabudu na kumsifu katika roho na kweli. Mungu akubariki sana sololist wewe ndiye uliyefanya niutafute wimbo huu, l
@bilhakamau46633 жыл бұрын
I just saw this song on tik tok...i rushed here..real worship🙏🙏🙏...much love kenya
@winmoi20194 жыл бұрын
From +254 Every time I listen to this song I find myself so broken, tears of worship in my cheeks,This song breaks me into pieces for Christ,It got healing,I love lord I love Tanzania
@aicdaressalaamchoir4 жыл бұрын
Barikiwa zaid na Mungu akuonekanie..
@cynthiaolesi65373 жыл бұрын
Wow mi tu manze yani nakosa chakusema
@cynthiaolesi65373 жыл бұрын
Hilibidii nimtafute yani ni mkarimu sana huyu kaka
@doricetibenda24343 жыл бұрын
Kaka umenibariki sana
@maureenwanjiku4129 Жыл бұрын
I just love this choir may God continue uplifting you
@dorminicluvaga99202 жыл бұрын
Asante, nimebarikiwa kwa wimbo huu.
@arjunelly5403 жыл бұрын
Wimbo wangu pendwa
@mlelemafrancis8764 жыл бұрын
Asanteni sana, kwa kweli mnanielekeza nini maana ya kuimba. Mungu aendelee kuwainua katika viwango vya juu sana.
@umbokeenockmwakagenda39667 ай бұрын
Tumekupata mtumishi Jullius Mungu akuinue sana
@gabrielkitetu8914 жыл бұрын
This song has just ministered to me.. Real worship.. Be blessed
@Audifacyben-lk7ri Жыл бұрын
Sichoki kuskiliza ..Kaka ameimba🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼Mungu azidi wainua juu juu
@denniskim62244 жыл бұрын
my favourate.naupenda sana huu wimbo
@paschalmasanilo26174 жыл бұрын
Huu kwangu una maana sana
@marthajohn-gx3cq Жыл бұрын
Sichoki kuusikiliza huu wimbo unanigusa sana mwalimu hongera sana kwa utunzi
@LilianSilas8 ай бұрын
Nawakubali sana watumishi bwana awape kibali milele
@gracematifali52072 жыл бұрын
Wimbo huu kwangu nikiusika unanipa amani. Sana mungu awabriki
@bonfacemukaye78112 жыл бұрын
The arrangement of the song, the instruments, backup and then the lead vocalist just on another level
@agnessjohn78904 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainuwa kwa viwango vingine🥰🥰🥰
@samwelmashauri644 жыл бұрын
Yaan it's very powerful song,huyu kak kanibariki saana anaimba kutoka ndani kabisa, arrangement iko vzr,vocal ataree.mbarikiwee sana.
@kipipakipipa50504 жыл бұрын
Hatari sana huyu kaka
@cieranchillo74 жыл бұрын
Ameleta Amaani🙌 namshangiliaa huyu Mungu jamaan🥰 huyo Kaka ako na sauti nzuri mweee😍😍
@HellenCheptoo-xy6fe8 ай бұрын
Sichoki kuona huu wimbo unanibaki sana❤
@nesticgeneraltraders3323 Жыл бұрын
Kwakwel nimebarikiwa Sana Sana nahuu wimbo
@ministerHappyAllan2 жыл бұрын
Am blessed with this worship Glroy to God Hossana
@evekiswii37802 жыл бұрын
Wooooow...what a song, what a worship!
@paschalmasanilo26174 жыл бұрын
Everyday I feel blessed with this song 💪🙏
@veronicasarita84222 жыл бұрын
Amen amen wimbo unanifarij sana mungu barik Kwaya hii
@shadymoses58134 жыл бұрын
Bila shaka Mungu amesikiliza sifa zake. Wimbo huu kila kitu kipo on point jamani, Analysis yake ipo hivi. 1.Introduction ya Piano, is great...that sound of do ti la so fa mi re do on soul touching key, imekaa njema sana. 2. Arrangements ya melody ya wimbo, na mpangilio wa sauti alto, soprano, teno, na bass zote wamepatia na zinasikika kila moja kweny freq yake. 3. The Solo Guy is wow, amepewa mahali pa kuingilia sauti pazuri sana, pianist amempa kila kitu yaani..jamaa anajua kupanda na wimbo, section kwa section, mpaka anaenda kuhit highest note akiwa na pumzi vizur kabisa, ana express vizur anachoimba In short he is a true worshipper. 4. Bass team, wameimba safi sana...kuna sehemu walitakiwa kubackup kwa bass, aaa ukisikiliza kwa earphones utaona walivyojaza, vocal punch yao hatari asee ukiwatazama unaweza usifikirie... super amaizing. 5. Pianist anayelead amekaa mbele upande wamekaa wawili ni fundi. Amevunja intro, anajua kuchomekea viladha fulani hatari sana, na ndo ameupa utamu huu wimbo, piano yake inagusa nafsi ya msikilizaji kabisa, anagusa jazz, blues na kuna sehem alienda pentanoic scales. Wenzake wawili nao walihakikisha wanamshikia Chords vizuri, ofcoz they did it 6. Drumist....daaa nafikiri kila msikilizaji wa huu wimbo amejionea mwenyewe wewe ni pro sahani zimelia, kick zimesikika. Usikivu wa drum ulikuwa wa juu kabisa. Mwisho kweli Aic Magomeni mlijipanga, Hongereni...keep doing it
@aicdaressalaamchoir4 жыл бұрын
Asante kwa analysis ilotukuka barikiwa mnooo
@agapesaligawesasaligawesa27814 жыл бұрын
Thats true hata Mimi nimesikiliza vizuri
@sumakibona4794 жыл бұрын
Serious, Kaka Unae lead hii nyimbo, ongeza zaidi viwango ,watu tunatoa machozi just kwa sauti ,Mungu aliyowekeza kwakoh. Choir hongera Sanaa ,mko Just kiroho na kimwili
@gideonjames69985 жыл бұрын
mbarikiwe sana wapendwa wangu. kazi njema sana
@rabbistefanos42025 жыл бұрын
Jamaniii this is too much angelic jamanii Yaani vile nimeupenda huu wimbo sijui nisemeje
@monicahallan21023 жыл бұрын
Am much much much much blessed. Kweli ninayo sababu yakumsifu Mungu mwenye nguvu💪
@Mose86 Жыл бұрын
Kwa kweli hapa upako ulikuwa juu yenu, Mungu awabariki
@lameckmboje3181 Жыл бұрын
This song should never be restricted to be downloaded please
@marthajohn-gx3cq Жыл бұрын
Nawapenda sana Mungu amesikia uiimbaji wenu
@NtufyeMwakisimba Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana tunaomba muweke kwenye downloads
@esbonmasanja81755 жыл бұрын
Powerfully message watumishi wa BWANA hii ndio saa inayokuja na sasa ipo ambayo waabuduo halisi watamwabudu BWANA katika roho na kweli 🔥🔥💥
@bupemogha56814 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na nyimbo zenu Mungu awabariki na awainue zaidi kwenye huduma yenu na kaka julius mwombeki wimbo wako wa nafsi yangu naogopa naupenda sana unadhihirisha ukuu wa Mungu
@mwanjokaully49045 жыл бұрын
This song nmeitafuta mDA mrefu... Sikujua ni kina nan wameimba... I love the melody, vocal arrangement, sound, the energy and leader... Musician... And everything is super! Bless you people ❤
@bettyjeremiah10084 жыл бұрын
AICT MAGOMENI DSM
@mercywilliam7334 жыл бұрын
Jamani wimbo kila SAA nausikiliza.....Mungu awabariki mno,,kaka anasauti kiukweli Mungu ana watu....Duuuu!
@aicdaressalaamchoir4 жыл бұрын
Barikiwa zaidi..
@mercywilliam7334 жыл бұрын
Naomba unipe title ya wimbo Wa huyu kaka......wenye maneno ...moyo wangu unaogopa please
@oshaimuafrica83984 жыл бұрын
Mungu nimwema nyimbo nzuri kila lakheri watumishi
@aicdaressalaamchoir4 жыл бұрын
Rudi kundini mzee
@daudiidarabe96603 жыл бұрын
Nimependa sana hii kwaya nilikuwa naomba waweke nyimbo Zao kwenye faili nzuri ya kudownload
@happynessmathias40855 жыл бұрын
hakika mmeugusa moyo Wang zaidi kwa huu wmbo kaka pia umeimba ktk roho na kweli barkiwa pia, nawapenda sana.
@hoccyhilary67894 жыл бұрын
Mwalimu wa Kwaya Mungu akubariki sana, nimekuelewa mno, best teacher yaaani umenibariki sana sana
@janethsparks99664 жыл бұрын
Thank you my brother for bringing out the worship. God bless you as always Am blessed with this song, to God be all the glory
@aicdaressalaamchoir4 жыл бұрын
Amen
@chebetngerechi72893 жыл бұрын
@@aicdaressalaamchoir na ile ya mkumbuke Muumba wako , kindly will you send me through WhatsApp please
@juliusmwombeki67422 жыл бұрын
Your welcome sis
@margaretnjeka46954 жыл бұрын
Great team. Wow wow. You are going distances. Live for God and you will see. That soloist umegusa mioyo ya wengi. Machozi yamenitoka. Ahimidiwe Mungu wangu. Baba nitakupenda daima.
@meretymnyawami28834 жыл бұрын
I'm blessed through it
@kigongomgassa5744 жыл бұрын
Experienced Choir in music sound, vocal and bible word songs, i love the way Convey da word of GOD.
@BarakaWaya4 жыл бұрын
Nimewapenda sanaaaa
@aicdaressalaamchoir4 жыл бұрын
Twakupenda pia...
@estermlawa35294 жыл бұрын
Wimbo mzuri huu jamani naupenda tangu niupate ninamiezi mawili sasa siwezi kulala bila kuusikilza, kila siku na sichoki big up watumishi pongezi nyingi nyingi saaana kwa Sollo katenda hakii bila kusahau kwaya Master Mungu AWABARIKI.
@BarakaWaya4 жыл бұрын
Hii kwaya sikuwahi kujua kama bado ipo daaaaah .Mungu awainue zaidi .Huyu aliyelead hii nyimbo nihazina nchini kwetu
@Mose86 Жыл бұрын
Amazing to this song
@wistonimnanguje34 жыл бұрын
Napenda uimbaji wenu mbarikiwe sana
@tricykalukwa56974 жыл бұрын
Sasa saiz kwl ni AIC Dar es salaam Great!!! Just like @Neema gospel chang'ombe
@peetahluzwilo65604 жыл бұрын
Hallelujah this song is pure angelic, the power behind the song penetrates down to the core of my inner most being....for this song am saying Thank You Jesus For AIC DSM, Lord I pray that they all live long for your Glory....
@aicdaressalaamchoir4 жыл бұрын
Amen we receive in Jesus name..and we real appreciate your company also grateful for you..we raise praise and glory to our Almight Jesus Christ who made it..
@masukajm91525 жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi
@atugonzamujuni36784 жыл бұрын
Siwez zuia machoz yang for Christ
@jmwau904 жыл бұрын
Wow!!! the arrangement first of all, alafu this choir imebarikiwa zaidi. endeleeni kutupa nyimbo zenye kutubariki. Be blessed guys.. AIC DAR ES SALAAM...you people are fire...
@aicdaressalaamchoir4 жыл бұрын
Amen azidi kutukuzwa Yesu...asante kwa support
@asainemutalemwa9154 жыл бұрын
Hakika "Ninayo sababu ya kumsifu Mungu, Mungu mwenye nguvu." Nimebarikiwa sana na wimbo huu, Mungu azidi kuwatumia katika klihubiri neno lake.
@Benjhmaingi4 жыл бұрын
AMEN
@julianaandrea80443 жыл бұрын
@@Benjhmaingi lipo dar sehem gan?
@josephatmagege90524 жыл бұрын
Be blessed guys 🙏🙏🙏 thanks for the nice song. Nimebarikiwa Sana na huu wimbo
@aicdaressalaamchoir4 жыл бұрын
Barikiwa zaidi
@marthamokogoti74314 жыл бұрын
Can't stop listening to the song its a healing song. That voice so beautiful. Karibu Kenya
@aicdaressalaamchoir4 жыл бұрын
Stay blessed madam..Glory to Jesus
@johnsanago29744 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu mzidi kusonga mbele zaid
@dorcaskhamaya94973 жыл бұрын
Aki this song is powerful,the last worship I was in tears 😭 the heavenly sound brings me closer to God. God bless sana
@jonathanmaengo42814 жыл бұрын
Hossiana uuuuwwiiìiiiiiiii mnaniuuaa 🙌
@pendopeter17903 жыл бұрын
Mungu awabariki nyote 🙏
@jenipherdonald41694 жыл бұрын
Sichoki kuusikiliza, n hapo kwa uyo kaka jamaniiii🙌🙌🙌🙌🙌
@aicdaressalaamchoir4 жыл бұрын
Uzidi kubarikiwa
@lydiahkj3 жыл бұрын
This song it's ministration is on another level The leader is really blessed I pray that may this song bring your breakthrough
@modesterjephter62525 жыл бұрын
Hallelujah.
@arboghastalexkayanda31095 жыл бұрын
Hallelujah
@enockjoseph95224 жыл бұрын
Kwakwek mmekuna moyo wangu wanakwaya mungu awabariki
@jaredkarani98784 жыл бұрын
Mbarikiwe jameni🙏
@macknnko66174 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana watumishi wa MUNGU
@mussabulugu63195 жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi
@ludovickmseka13973 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏big up Dar choir
@mercywilliam7334 жыл бұрын
Kuna wimbo Wa huyu kaka niliuona upendo TV........moyo wangu unaogopa....sijui ni Wa kwake au kwaya ,,,sijashika title yake anayeweza kunisaidia please ....he has amazing voice
@stephaniastephen47104 жыл бұрын
Anaitwa Julius Mwombeki, mcheck nyimbo zake ziko humu you tube