mwenyewe marhum alhabib sayyid hussein bin ahmad badawy alikuwa fundi sana, qaswida zake alizipangilia vizuri kwa naghma na maqaamat nzur wala muimbaji hutakiwi kuongeza ufundi,ukiongeza ufundi utaharibu tu,maaana qaswida yenyewe ukiimba vile alivyoiunda yeye mwenyewe marhum ni nzuri na imepangiliwa kiufundi sana,ukiongeza ufundi utaifanya mbaya
@husseinshamte7129Ай бұрын
HUYU JAMAA ANAJUA VIBAYA MNO ❤
@ZubeirHamadaАй бұрын
Huyu Mzee mwenye Majani tunamuita"SHAWISHI"anafanya vizuri kabisa.
@Herson-yw6cnАй бұрын
Professor
@AsmaGeorge-p3tАй бұрын
Dah qaswida imenikumbusha mbali madrasatulkhayria ndio inaanza qaswida hii tulifundishwa na ostdh juma sarai dah
@ZubeirHamadaАй бұрын
Ustadh Adam Masoud bado hujaacha kuniliza tuu kwenye naghmaaaaaati
@ZubeirHamadaАй бұрын
Hapo naipta ile naghma ya Nahawandi na swabaa
@ZubeirHamadaАй бұрын
Shwikh Adam wewe Allah kakupa kitu chako Wallahi.
@salehemohamed2937Ай бұрын
Ust Masoud, ww ni mwamba
@AsmaGeorge-p3tАй бұрын
Namuona mwl,qayswari nyuma hapo
@EddygogoEddyGogoАй бұрын
Twaha kimaru ukowp kk da vitaaaaaaa kkkkk
@farijalakhalid5558Ай бұрын
Kuna ukweli sasa hivi unaonekana ndani yake. Atafika mbali
@ZubeirHamadaАй бұрын
Huyu wa nai wale wa Misri hawajamuona kweli jamani?