Asante sheikh wetu kuna mtu kanambia nimefungwa nyota yangu je itafunguliwa aje
@AliBakari-k1e8 ай бұрын
Shukran jaziilan , sheikh Yusuf , Allah akulipe kila lakheri duniani nakesho aakhera. aamin aamiin.
@PetloPhiri20 күн бұрын
Shekh Mungu akupe maisha marefu izidi kutufundisha
@khadijasaid50653 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah shekha yusufu bin Ali Mungu akuhifadhi akuzidishiye zaidi ilmu inshaallah nampenda sana kukusikiliza tiba zako Mashaallah khadija said Nahdi kutoka mld Kenya
@mariamkilimkae13263 жыл бұрын
Mashallah Allah awakuza ishallah
@nuruamiri34863 жыл бұрын
Ateshengu
@nuruamiri34863 жыл бұрын
She he Kama mwangu Ana one rewa Sana nawachawi
@domingosijachandeijachande5882 Жыл бұрын
mashaallah shce nipo mozabique asante
@loicesidi7222 Жыл бұрын
Www we de de de
@alibomba33043 жыл бұрын
Shukrani saana nilikuwa sijui hili li la mchawi na kuhusu sumu ya katika mti wa muhogo
@bahatikatanga Жыл бұрын
Mashallah our beloved shekhe yusuf mashallah mashallah
@halimandune7317 Жыл бұрын
Allah akubariki kwa elimu muruwa kabisa ya mti wa mhogo.Jazzaka la kheri kwa hilo.
@josephinegagai Жыл бұрын
Allihamududulahi, ✔️✔️ excellent good teachings,God bless you abundantly 🙏🙏❤❤🎉🎉..
@FadhiliChifo5 ай бұрын
Asante shehe elimu Yako inanifungua kichwa
@ishatozz5666 Жыл бұрын
Allah akuzidishie kila lenye kheri duniani na akhera
@rajabumuhidini40693 жыл бұрын
Shekh baraka llah laka je naruhusiwa kuchanganya na maji najipaka mwili mzimaa au
@meswalehmwadarasi19533 жыл бұрын
Mashaalah wallahi miti yote duani ni dawa hatujui jinsi yakuitumia tu mungu akujeze kheri na afya. Usitadhi
@JasmineMushi-bs8pm Жыл бұрын
Mashaallah ila iyo hambari inabei sana shekhe
@Munirakibohe-i9f2 ай бұрын
Mashallah mungu akuzidishie
@mwadimejuma45983 жыл бұрын
MashaaAllah shukran kwa elimu Allahumma Allah ajaalie iwe ni yenye manufaa in shaaAllah
@khamisahmad74693 жыл бұрын
ما شاا الله
@bethkimani92 Жыл бұрын
Thankyou kwa ushauri wako nakufuatilia sana
@arafakiloli749 Жыл бұрын
Mashaa Allah shukran sana Allah azidi kukuhifadhi uendelee kutoa elimu.
@jeanninemadi Жыл бұрын
Masha allah mongu akoubarki
@georgegeorgeojiamboodwori3830 Жыл бұрын
Mungu akujalie George ojiambo Niko Mombasa kenya
@TisaSaba-bl3tk9 ай бұрын
Mungu akubarikie.zaidi
@sabraabdilnasir88263 жыл бұрын
Shukran jazakallahlkhery allah akulishe na kila shari
@daliaabdullah57563 жыл бұрын
Shukran sana shekhe wetu mungu akuzidishie kila la kher Inshaallah
@nooor11203 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu
@abouidrissasibomana40176 ай бұрын
Assalamalaykum I love you bro in faith Allah akulinde na akupe Kila lakheri umri baraka
@BaderjamilcomBader3 жыл бұрын
Mashaallah sheh tunakushukuru kwa kutupa elimu,lakini naomba utupatie somo jinsi ya kumtoa msukure
@bintihassan65343 жыл бұрын
Mashaallah shukran shkh nmejifunza
@abedkarume90883 жыл бұрын
Mashallahu tabaraka Allahu lahaula wala kuwata illa billahi Al aleyul adhweem
@guhgghhg85923 жыл бұрын
Allah akbar ,Allah awalipeni kheiri inshaallah
@mohamedaidani647711 ай бұрын
Mungu akupe Maisha marefu
@Abdullatif-zv2qq3 жыл бұрын
Allah Azidi kukuzidishia ishaallah
@mukaipeter21862 жыл бұрын
Barikiwa sana Kwa wanzo nzuri
@hgfggg39323 жыл бұрын
jazakha allah kher umenifunza kitu
@saeedsaeed73813 жыл бұрын
Masha Allah our beloved Sheikh BarakAllah feek
@aishauganda44773 жыл бұрын
Thanks so much May God bless you inshallah
@vumiliadaudi69083 жыл бұрын
Ppp
@RamadhaniMkunda-ub5oe4 ай бұрын
Ahsante she kwa darasa
@mohamedpengere78893 жыл бұрын
Ongera Mungu akupe taufiq
@personcriticalthinking71623 жыл бұрын
Asante sana barikiwa
@wardasalum53613 жыл бұрын
Mashallah shekh mm nna matatizo meng
@mangalenyota92723 жыл бұрын
Mungu akuzidishie mawazo zaid hata sisi tusiojua tukajue mengi pia inshaallah
@sajidashaban51372 жыл бұрын
Samahani shehe naomba sikuelewa vizuri kuhusu somo la tiba ya majani ya mti wa muhogo
@yusufmohamed98433 жыл бұрын
Jazakallah ya sheikh
@jacksonjoakim41153 жыл бұрын
Asante mungu akubariki
@akaniwasamuel6193 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@Sweetie-im2jd3 жыл бұрын
Masha Allah be blessed sheikh
@diddahjay21853 жыл бұрын
Jazakallah kherain
@bintside9 ай бұрын
Shukran sana akhii
@amosiamosi75343 жыл бұрын
Nimekuelewa shekhe
@Sidik-d7e2 ай бұрын
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@scholarsticajillo965 Жыл бұрын
That's tufunze namba ya kutoka jini mwilini kutumia miti shukrani
@makulaikuku69093 жыл бұрын
Subhaanna Allah ndio naskia hivi vitu leo mtu.kuchukuliwa kivuli uwii
@HamisMussa-sz3re6 ай бұрын
ALLAH AKUHIFADHI
@muhamadhusein80753 жыл бұрын
Somo LA Leo ni zuri mno,asante sana shekh,jazakallahu lkhaira
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nZ7QlZuancaEorM
@shebylove73003 жыл бұрын
S,aF
@mahdiakite18337 ай бұрын
Shukran allah akuzidishie uzidi kutuelimisha 🎉 samahani ntakupatje?
@rizikisebe8903 жыл бұрын
Shukran sanaa sheikh
@rosejohn5774 Жыл бұрын
Asante sana sana
@AnthonyMweu6 ай бұрын
nashukuru asante mama yangu nimgojwa arthritis amepararise mwili pande moja miaka 3 ntampea ndawa gani nisaidie please
@samuelfrancisco4860 Жыл бұрын
Asanteni Sana mganga
@swadaqtr10272 жыл бұрын
Shukran sana
@nangananga413 жыл бұрын
Mungu hakubaliki
@patrickwangota13273 жыл бұрын
Thanks so much, can you help me, translating in English.
@didamsellem26793 жыл бұрын
Shukran wa jazakallah khayran
@RashidiabdallahYusuph-ib2pp Жыл бұрын
Naam sheikh nimefurahi na masomo yako
@youngtomuller-vh2pu6 ай бұрын
Masha-Allah você és muito talentoso ❤❤❤
@hasanially93842 жыл бұрын
Allah akulipe kher
@ramadhanirashidi9054 Жыл бұрын
Asante sna
@NYIRAMUCYOJeannine-z2i8 ай бұрын
Wewe nimtu mzuli sana❤
@joliejolie5983 жыл бұрын
Shukrani kwa Elim
@dkedjffkkldldksjekxkdshl78673 жыл бұрын
Masha Allah asant
@mkasrmohammed37943 жыл бұрын
Shukrn jazzak allah kheir
@fredykibula5253 жыл бұрын
iko vizur sana shehe
@kerush69833 жыл бұрын
Hawa wachawi watusaidie kufurusha wazungu amabao wamehangaisha Afrika tusiendelee!!!! Tunaomba Amani katika Mama wetu Africa.
@husnamohamed94483 жыл бұрын
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wazungu tutakuwa nao sana hapa africa mpaka kieleweke
@SurprisedFuchsiaFlower-on1mt4 ай бұрын
Kuna mafuta unataja na hayapo kwetu hapa Kenya na miti mingine tuonyesha tukaiona juu majina yanatofautiana.ninakushukuru sana.hao wenzetu wametiangaisha Sana.
@OthmanhajiMwalim7 ай бұрын
Mashalla
@MkusaMfaume11 ай бұрын
Shukurani sheh
@Satarfaqueagira5 ай бұрын
kwela sana
@rukiaali27863 жыл бұрын
Asslam alaikum sheik mamangu anasumbuliwa na miguu inaenda na kurudi na pumzi kukata t iba ani it saa msa ui dis
@mkayahamadi73673 жыл бұрын
Asalam alaikoum ya oustadhe vous pouvez nous a Explique en français si vous plaît foudi
@salmafrancis6689 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa unatoa mpaka mimba ukiutumia Vibaya
@kevoomtzkevoo11 ай бұрын
ushajarb hayo mengn
@yasinamiri76493 жыл бұрын
Mashaallah shukuran mno
@onesmobenard24492 жыл бұрын
Ufafanuzi hapo kwenye kisamvu na pili pili mtama Ukipaka kwenye ngozi maumivu ya Ile pili pili inakuaje
@rithaurassa49003 жыл бұрын
Shekh kwa siye tusiozijua hzo dua twafanyaje kabla ya kuzungusha hyo dawa ya mchawi
@aminamohamed39163 жыл бұрын
Salam alekum mungu akupe umri na afia
@SalumManondo6 ай бұрын
Allah.juze.zaidi
@jamilashabani85803 жыл бұрын
Shukraaaaaaan wajazaukum llahu khayraaaaa
@alymohdaly59272 жыл бұрын
Mambo vip
@rydiaermelick87022 жыл бұрын
Kaka asant kwa somo lako
@jofleirashidi79773 жыл бұрын
Inshahlla
@karimkizeba80573 жыл бұрын
Unapatikana wap Shekh
@TwahiriyaHussein3 ай бұрын
Je kugongewa mlango au kutembeya huku umelala inamana gani au watu wamejaa kwako
@nibigiramwajuma79253 жыл бұрын
Shukran
@Winfridankalupia-t8d11 ай бұрын
Asante
@mwanaididebwani1592 жыл бұрын
Assalam alekykum mashukulusa kusikia ayo
@triphonienahimana42313 жыл бұрын
Kinga ni Mungu tu
@nillyjos12033 ай бұрын
Surlatinnunulikati wengine hatuijui shee je unaeza ukatueleza nizipi?
@elizabethwoga51403 жыл бұрын
Shukran..jee hizo dawa zipo Kenya?
@mariawilliam64493 жыл бұрын
shehk mm naomba unifundishe dawa ya kutibu moyo kupanuka ima kwa kurogwa au bila kurogwa
@khamissaid94773 жыл бұрын
Jazakka Allahu kheir
@bmhood6742 жыл бұрын
Asante sana Sheih Naomba Number inbox
@alikarisa Жыл бұрын
❤Jazaka Allah
@DuvinBigaruka10 ай бұрын
Manshaallah
@sophiahassani6363 Жыл бұрын
Shekhe mm naomba niambie dawa ya kuondokana na jini mahaba