Ally kamwe Mimi ni shabiki wa yanga, ila yule aliesema "labda washuke malaika mbingu waje tucheze nao" mwambieni afute kauli yake, ni kauli mbaya sana mbele ya mungu, akifuta kauli yake tutaenda vzr inshallah
@Happynesi-d4kКүн бұрын
Ayo ni maneno tu mbona yanasemwa mengi tulisha yafuta kwa damu ya yesu yanga bingwa akuna wa kuizuia
@MonaMaikoКүн бұрын
Mashabiki tuwe makini kwenye kauli zetu tunapoongea kauli za kukufuru ndo maana tunapigwa malaika ni sehemu ya ufalme wa Mungu utafananishaje wachezaj na malaika? Tuwe makini......yanga damu daima mbele nyuma mwiko
@LucianaSintufya2 күн бұрын
Nyie yanga mnamuona msemaji wenu anatongoza anataka demu wakati yeye mwenyewe demu watu wanampakua, mtoto mashalaw
@mojakatunduКүн бұрын
Acha ujinga wa akili dumavu
@Happynesi-d4kКүн бұрын
Unateseka ukiwa wp
@AllyMkunguКүн бұрын
Makolooooo nahuku mmejipenyeza mmh hamna hata aibu ngoja yenuu
@ManjaHisani2 күн бұрын
Natuna wasubiri kwelii gusa achiya twende kwaoo
@mariamMilha-st3qu3 күн бұрын
Yanga tupoooooooooo tunasimama imalaaaaa💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽Courageeeeeeee🇧🇮💯💯💯💯💚💛💚💛💚💛💚💛Musemaji kijana Allah yuponasi🤲🤲🤲🤲🎤
@hamadabdullah9702Күн бұрын
Mwenyekit gn ww ulikuw hun at ushawish hun kwa mvuto kwq mashabiki
@Happynesi-d4kКүн бұрын
Unateseka ukiwa wp
@asmamjema85393 күн бұрын
Mmmh gusa sio ile mikaniki😂😂🎉🎉
@omaraonasir43613 күн бұрын
Gusa Acha twende kwao,alafu mfungwe😂😂😂😂😂😂
@RaphaelSimba-o7r3 күн бұрын
Jersey ya Azam una jidai ipo siku MTA vaa na rangi jekundu
@gabrielnjiapanda37102 күн бұрын
Hakuna shida cha msingi iwe na logo ya Yanga.....
@simeomugeta10913 күн бұрын
Al Hilal tutawapiga hadi wakawalete hao Simba na kukiri kuwa hawa ndiyo walikuwa wanatupotosha.
@barackmoses70033 күн бұрын
Mtapigwa mpk mhame nchi kbs
@josephntungiye62323 күн бұрын
Jeni umeuachia mwili umekua mbaya 😮
@MohdHaji-e4y3 күн бұрын
wenyekiti wa wasemaji Africa Ali kamwe kuzungumza hujuwii
@onesmojustice23482 күн бұрын
Sasa Yule mropokaji wenu anaongeaga Nini?
@khamisdaima14553 күн бұрын
sasa mbona mnatoka kwenye uhalisia wenu sasa si mtatoa jezi ya rangi ya kaniki
@hamadabdullah9702Күн бұрын
At ubunifu wa jez hamn jez za azam mnasem uz mkal
@allymwinyi9703 күн бұрын
Rangi kama jezi ya Azam.
@HabibKhamis-b2x3 күн бұрын
Kichwa km box cku cnyingi tutaskia hwupo😊
@narutonaruto43033 күн бұрын
haya niko hapa kila mtu atampita mwenzek kimy kimy
@Farida-vg5ry3 күн бұрын
Mnajaa wapi wanakujaga sasa wavivu sana mashabiki wa yanga mashabiki wa yanga ni wa supu tu
@barackmoses70033 күн бұрын
Jane amenenepa balaa
@IsakaKinyonga3 күн бұрын
Amekua mbaya kwani mkeo wee vip
@selemanmcharazo3 күн бұрын
Wanajaribu wachambuzi wao wamchongo kucompasate mara jezi nzuri zisiwe na vitu vingi hawasemi ukweli Simba sio wabunifu kwenye jersey hivyo kama uzuri kutokuwa na vitu vingi wameziona jersey za Ac Milan na Juventus?
@RashidiWaziri-f5l2 күн бұрын
Yanga bingwa
@damianmcba95252 күн бұрын
Uzi wa Yanga auna mambo mengi pia zaidi ya neno la mdhamini " WHIZMO na bagde 2 GSM na ya yanga. " Dunia nzima kuna nembo ya Timu mfano barcelona FCB, nembo ya mtengeneza jezi "Nike kisha mdhamini SPOTIFY,,,