“ALI KAMWE SIO BOSS WANGU” MANARA AVUNJA UKIMYA

  Рет қаралды 48,188

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 91
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in 2 ай бұрын
Manara lazima akubali kuwa boss ni Mr Ali kamwe😂
@ireneseth
@ireneseth 2 ай бұрын
Hpn tuachie alikamwe wetuu
@williamsaulos8769
@williamsaulos8769 2 ай бұрын
#Ustaadh Haji karibu tena kwenye kuisemea timu yetu.Wapinzani wako na wa Yanga wanakuogopa saana,na ndio maana wanajaribu kukuzuia kuisemea timu yetu kwa visingizio mbalimbali.Mtu mjuzi mkubwa wa mpira wa Tanzania,Afrika na Dunia.Timu yetu inapata mafanikio makubwa tena ya mfululizo lkn inakosa mtu wa kuisemea kwa nguvu na kwa takwimu.Nina heshimu waliokuwepo lakini kuna kona wanaitaji sapoti kusema ukweli.#Njoo Haji,karibu Haji.💪🤝🙏
@alexkakwaya4383
@alexkakwaya4383 2 ай бұрын
Viongozi wa Yanga ni vema kuwa waangalifu na Manara. He is a chaotic by nature. Vinginevyo, mgogoro wa magoma una afadhali.
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 neno limeelezewa masaa manne ujue limemuingia😂😂🙌🙌
@kwisa4899
@kwisa4899 2 ай бұрын
Huyu jamaa kufanya nae kazi sio rahisi kwasabu mjuaji juaji sana kuna siku alikua ana mu outsmart Baba yake sasa sembuse Ali kamwe
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 2 ай бұрын
Tofauti na kuropoka na matusi , Manara na Kamwe ni ardhi na mbingu. Manara ni moto sana
@rubbenmabuga3058
@rubbenmabuga3058 2 ай бұрын
Sijapenda kabisa mimi. Mie nataka ali kamwe aendelee na majukum yote
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 2 ай бұрын
Kiutalatibu Unasubilia Kupangiwa kazi na Mwajili wako...Eng Hensi Ndo anatakiwa aseme majukumu yako huezi kuja tu na Ku resume majukumu 😂😂😂😂😂
@ezekielhaule364
@ezekielhaule364 2 ай бұрын
Manara kuballi kuwa chini ya Ali Kamwe. Usije kuleta mgogoro usio wa lazima
@FatumaIssa-w1s
@FatumaIssa-w1s 2 ай бұрын
Kwan we ndo unawapangiaa kazi
@HamidaOmar-ub4kb
@HamidaOmar-ub4kb 2 ай бұрын
Naona kazi umekuwa kubwaa😮😮😮
@stevenhassan269
@stevenhassan269 2 ай бұрын
Manara njoo Simba
@OWENGODFREYSIWALE
@OWENGODFREYSIWALE 2 ай бұрын
Tunakukubali Sana mwamba The return of heroooo
@mwajumaseifu216
@mwajumaseifu216 2 ай бұрын
Mimi shabiki wa simba hila kamwe ni mtu wa watu
@chamyluna8030
@chamyluna8030 2 ай бұрын
Hapo yanga ndio wanazidi kuongeza migogoro
@walidmaguha7487
@walidmaguha7487 2 ай бұрын
Kwani lazma urudi kwenye mpira yakhe😂
@DariusKasitu
@DariusKasitu 2 ай бұрын
Iyo kitaalamu tunaita kazini kwa manara kuna kazi😅😅😅
@shigetemteremko7551
@shigetemteremko7551 2 ай бұрын
🎉🎉
@ramadhaniraphael6955
@ramadhaniraphael6955 2 ай бұрын
Sisi kama yanga hatukutaki manara
@BerthaEdward
@BerthaEdward 2 ай бұрын
Sisi wangapi sema Wewe 😂😂 Ndio humtaki sio wote😂😂
@robertchugu7932
@robertchugu7932 2 ай бұрын
Sasa wewe humtaki mdhamini anamtaka, utaweza 😂😂
@MysarahMohamed
@MysarahMohamed 2 ай бұрын
Usinisemee mm tafadhali
@halimamwingu4478
@halimamwingu4478 2 ай бұрын
Mm pia simtaki, kiherehere huyu! Ameshaanza kujipa majukum mwenyewe hapo😂😂😂
@christophercostancio5185
@christophercostancio5185 2 ай бұрын
Sema ww sio sisi
@Amplifiedtz
@Amplifiedtz 2 ай бұрын
HAJI Ulikuwa bench ila uwe na adabu
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 2 ай бұрын
Tafuta kazi nyingine tuachie ali kamwe wetu
@evancemoevt8597
@evancemoevt8597 2 ай бұрын
We Kafanye TU Kazi Nyingine!!
@IddiHassani-s9j
@IddiHassani-s9j 2 ай бұрын
Hap saw
@halimamwingu4478
@halimamwingu4478 2 ай бұрын
Acha kujipa majukumu ww! Subiri upangiwe kazi na Eng. Ali Kamwe yuko vzuri na mbunifu sn. Amewapa wachezaji heshma na ikasaidia timu kufanya vzuri misimu miwili. Ww mkorofi mkorofi tangu upo Simba, mbele utakuja kulizua lingine.
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 2 ай бұрын
Hapo Leo umeongea vizuri Sana,Ally Kamwe ni Afsa Habari wa Yanga na wewe Manara uliluwa msemaji na mhamasishaji wa yanga,ila wewe haukuwepo yanga muda mrefu ni vyema ukasubiri upangiwe KAZI na kiongozi wa yanga
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 2 ай бұрын
Huyu anawaletea mgogo utopolo mda si mrefu,,Ali kamwe hana raha tena
@othmankhalfan9675
@othmankhalfan9675 2 ай бұрын
Hapo mmenukuu “ALI KAMWE SIO BOSS WANGU” lkn ndani yake hamna sehem haji manara amesema hvyo.. Media jmn tuacheni uswahili uswahili..
@marrymwinuka3105
@marrymwinuka3105 2 ай бұрын
Tusema unwell Ally kamwe ndiye aliyefiti nikijana uyu mzee atarudi kuleta miugomvi tu .namafaini yatakuwa kibao
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 ай бұрын
Safi haji manara wa ni gwiji la wasemaji wa vilabu alafu unajitambua Sana safi Sana kwa majibu yako
@DevotherLeonard
@DevotherLeonard 2 ай бұрын
Tx😅 it
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 2 ай бұрын
Huyu maisha ayake yatakuwa ya kufungiwa funguwa maana hana sitahaa ata kdg anaropoka sana hadi anakela
@evancemoevt8597
@evancemoevt8597 2 ай бұрын
Mbona Unatumia Nguvu Kubwa Sana Kujieleza!???😂😂😂😂😂
@OWENGODFREYSIWALE
@OWENGODFREYSIWALE 2 ай бұрын
Manara oyeeeeeeeeee
@ALBERTNyemba-uk3fr
@ALBERTNyemba-uk3fr 2 ай бұрын
Acheni ugombanishi wote hao ni waajiriwa wa young African. Sasa hiyo ya mflani boss wake flani inatoka wapi,,,boni ni mmoja tu GSM.nb.Acheni kutengeneza chuki sio vema.
@AhmedHussein-l3t
@AhmedHussein-l3t 2 ай бұрын
Huyu anaugomvi na ali sasa ngoja tuonee
@ajuayekilindi4401
@ajuayekilindi4401 2 ай бұрын
Mwamba afyngiww tena ameshaanza kelele zake
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 2 ай бұрын
Ameonyesha atakavyokwenda kuvuruga kitengo cha habari, afisa ni mkuu kuliko msemaji, huyu apangiwe idara ya uhusiano vilabu kimataifa kama ipo
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 2 ай бұрын
Viongoz huyu akafanye Kaz Huko GSM kitengo Chochote hata Cha kuosha vyombo ally kamwe yupo vzr amuache
@jifunzeinadvance1782
@jifunzeinadvance1782 2 ай бұрын
Watu wanatakiwa kujua tofauti ya Majukumu ya Afisa Habari na Msemaji wa club.
@eliashelyongolo4123
@eliashelyongolo4123 2 ай бұрын
Wasemani watatu dhidi ya mtambo wa maneno
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 2 ай бұрын
Ao damu zao haziendani😊..afu wako timu 1 adi laa😊;chanzo ni uyo ally simba kugoma kumtetemekea uyo mzungu wa kibongo....(anapenda kusujudiwa) ally we kaza ivo ivo
@DoryGeorge
@DoryGeorge 2 ай бұрын
Jaman ali wetu itakuaje sas
@mwitajohn4882
@mwitajohn4882 2 ай бұрын
Wavuruge tu😊
@onesmomashembo8495
@onesmomashembo8495 2 ай бұрын
Manara una jeuri sana lazima ufungiwe tena siku si nyingi
@BabuuBar
@BabuuBar 2 ай бұрын
Kumekucha 😂😂😂
@yusuphlean417
@yusuphlean417 2 ай бұрын
Alikamwe utaanza bench, mwenye yanga yake kashawasili
@abuu-bakarshaaban6246
@abuu-bakarshaaban6246 2 ай бұрын
Sisi Kwa sasa Manara hatuna tena shida nae tutaendelea na vijana akina Ali kamwe ww Manara uwe kiongoz Ila sio msemaji
@FatumaIssa-w1s
@FatumaIssa-w1s 2 ай бұрын
Sisi yanga tunasajili wazeee na wasemaji wetyu ni wazeee.. vijana bakieeni nao nyie makolo
@halimamwingu4478
@halimamwingu4478 2 ай бұрын
Kwanza ulitakiwa uwe kimya usibiri kupangiwa kazi na sio kuanza kujipa majukumu! Unajuaje km ww utakuwa msemaji wakati yupo msemaji Ali Kamwe na ww umetoka kifungoni??? Mm binafsi hapana, we urudi Simba tu sikuamini 😅
@kellynsemiti1665
@kellynsemiti1665 2 ай бұрын
We ni mnafiki sana tunakujua utampiga figisu uyo dogo mpaka ubaki peke ako
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 ай бұрын
Huyu jamaa hamnazo kabisa. Anatakiwa kuripoti kazini ili apangiwe Kazi. Kama atapewa Kazi ya usemaji sawa lakini pia anaweza kupigwa chini pia Yanga ni kubwa kuliko yeye asije kutuharibia huyu ni chai ya rangi.
@Mumewangu
@Mumewangu 2 ай бұрын
Huyu ndie aliesema Kule yanga wenye akili ni wawili tu. Kikwete na baba yake. Leo hii anaenda kwa wale aliowazarau jamani mdomo
@zakaria924
@zakaria924 2 ай бұрын
Mafuta na maji lazima Vijitenge na hujulikana, ngoja tusubiri chanya na hasi zikitoa cheche!
@Yuleyule-u6c
@Yuleyule-u6c 2 ай бұрын
KWAHIYO ALLY KAMWE SIYO RAFIKI YAKO?
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 2 ай бұрын
Huyu atasumbuana na Ali kamwe we subiri tu
@theson1987
@theson1987 2 ай бұрын
sanuka Haji Simba
@feliciankabasa8995
@feliciankabasa8995 2 ай бұрын
Umekomea peke yako leo taarifa haina mvuto
@Marjeby
@Marjeby 2 ай бұрын
Kama mie ndiye Ally Kamwe siwezi kukubali kufanyakazi na huyu jamaa ni fitna sana atamfitini Ally hatoamini huyu jmaa hatakiwi kurudi yanga Jamani
@DainessKongela
@DainessKongela 2 ай бұрын
Simpendi uyu zeruzeru tatizo anajiona mjuajiyeyetu
@abdillahhassan6271
@abdillahhassan6271 2 ай бұрын
Naona kama unalazimisha kufanya kazi na yanga haliakuwa uwongozi haujakutangaza
@yahomeshopllc5950
@yahomeshopllc5950 2 ай бұрын
HUYU JAMA HAENDE AZAM FC PLEASE
@MTUMZIMADAWA
@MTUMZIMADAWA 2 ай бұрын
Manara umeanza
@dafrosamonko8254
@dafrosamonko8254 2 ай бұрын
Kamwe
@ziadamuhunzi6210
@ziadamuhunzi6210 2 ай бұрын
kuna makolo wana comit humu tuwe makini sana sisi wenyewe tunawapendaa wote wanaosimamia kitengo cha habari na hawa wote ni brand ytu
@williamsaulos8769
@williamsaulos8769 2 ай бұрын
Kumbe umewatambua makolokwinyo.#wanamuogopa sana huyu mtu.Wanamuhitaji yule wanaemuweza.Halafu wana Yanga,tunawaacha hawa jamaa wawe wengi kwenye comments kwanini ndugu zangu!
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 ай бұрын
Huweza kufanyakazi na Ali kamwe binfsi wewe una ugomvi nae physical
@abdillahmchia8557
@abdillahmchia8557 2 ай бұрын
Ukumbwi
@salumually4447
@salumually4447 2 ай бұрын
Wakwanza mm
@sadickbakari3678
@sadickbakari3678 2 ай бұрын
Picha linaanza
@Yuleyule-u6c
@Yuleyule-u6c 2 ай бұрын
Rudi zako simba usituvurugie kitengo chetu cha habari hakuna sehemu pasipo na uongozi aidha uwe dogii wa ally kamwe au urudi simba ulipotoka.
@faridaamenye8405
@faridaamenye8405 2 ай бұрын
Binafsi namkubari Ali kamwe
@diva_20162
@diva_20162 2 ай бұрын
Kunywa maji mengi sana umeongea point 👉👉
@andrewkaswagula3367
@andrewkaswagula3367 2 ай бұрын
Mdogo mdogo kwa majirani yetu kumeanza kufuka fuka.. Sisi SIMBA tupo paleeeee tunazooom.
@jamaliahmadi1383
@jamaliahmadi1383 2 ай бұрын
Sisi kama yanga hatumtaki alikamwe
@jamaliahmadi1383
@jamaliahmadi1383 2 ай бұрын
Alikamwe hatumtaki amuache Manala apige kazi
@AdamMbwana-p6n
@AdamMbwana-p6n 2 ай бұрын
Kajifunze kuandika kwanza
@ramadhaniraphael6955
@ramadhaniraphael6955 2 ай бұрын
Hatukutaki manara wewe mchochezi tuachie alikamwe kijana mchapakazi we nenda katafute ajira hata ihefu
@elizabethchikoti3534
@elizabethchikoti3534 2 ай бұрын
Ki ukweli mm sio yanga lakini Ali kamwe ni mchakazi pili hawezi kuelewana na manara ni mfitini sana huyu baba ngoja tuone kwa nn ajitabgaze yy mwenyewe pasipo waajili wake mbaya sana huyu anataka kumchanga dogo
@jellysazaina8491
@jellysazaina8491 2 ай бұрын
Yanga ukiangalia kwamakin na kama una d 1 utaelewa kuwa viongoz wake awana akali ya kuendesha krabu zaid ya miemko tu NIMENUKUU KWA MZEE MAGOMA😁😁
@ferdinandikubila3669
@ferdinandikubila3669 2 ай бұрын
Ww na magoma akili wote sana za kuku
@WestChoma01
@WestChoma01 2 ай бұрын
Sasa kama kuandika Kiswahili haujui akili unatoa wapi, kapambane kwanza kujua kusoma na kuandika
@mahmoudhamisi673
@mahmoudhamisi673 2 ай бұрын
Tafuta chaka yanga hatukutaki
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 ай бұрын
Kwa sasa jamaa kapungua U STAR
@jrm9448
@jrm9448 2 ай бұрын
Kichoko Ali Kamwe kitaingia mitini sasa hivi
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 22 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 17 МЛН