ALICHOFANYIWA TUNDU LISSU...... MAELFU WAMLILIA

  Рет қаралды 10,598

TimesFMTZ

TimesFMTZ

4 жыл бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 6
@AmeldaKavishe-ry9ow
@AmeldaKavishe-ry9ow 10 ай бұрын
Mungu ❤
@felistagerrard2375
@felistagerrard2375 4 жыл бұрын
Niwape hongera time fm kwa kuonesha wao ndo chombo pekee kilichopeleka muwakilishi wake
@franaelisumari5108
@franaelisumari5108 4 жыл бұрын
Bwana Yesu amlinde.
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
Watanzania lazima tubadili mindset zetu. CCM na Jeshi la Polisi Tanzania ndilo mara kadhaa limekua linasababisha vurugu kwa kuwapiga Watanzania wa vyama vya upinzani bila sababu. Watanzania wa ndani na nje niambieni kumpokea Tundu Lisu leo mumeona vurugu gani haswa. Kwanza viongozi wa CHADEMA wao wenyewe ndio walikuwa wanawaongoza wanachama na wafuasi wao bila shida na kwa bahati nzuri Watanzania ni waelewa na wasikivu sana. Tatizo kubwa sana kwa CCM ni kwamba wanayo matumizi mabaya sana ya fedha za Serekali hivyo hawapendi watu wakihoji. Tanzania ukihoji Serekali ya chama cha CCM iliyopo madarakani maisha yako yanakua hatarini. Mimi naweza kusema kufanya Siasa za Tanzania unatakiwa uwe na roho ngumu sana. Kiukweli MBOWE ni jabari na jasiri sana na ndio maana CHADEMA kipo hadi leo. Baadhi ya vyama wameingiwa hofu mpaka wanaunga mkono juhudi za CCM kwa kutokuweka wagombea kwenye Urais. Hii si kwa sababu hawana wagombea lakini ni kwa kuwa wamengiwa na hofu ya kwenda gerezani kila unapokuwa mpinzani wa CCM. Kila chama cha CCM kinapochukua wabunge wa upinzani na hasa wa CHADEMA wanafikiri utakuwa ndio mwisho wa chama hicho kumbe ndio kwanza kunajitokeza vijana wapya wa kukiimarisha chama. CHADEMA kiukweli ndicho chama pekee cha upinzani Tanzania ambacho kina viongozi na wanachama wasiotetereka. Mimi nawashauri vyama vingine vya Siasa Tanzania viige juhudi za viongozi na wanachama wa CHADEMA. Vinginevyo nawashauri waunganishe vyama vyao wakati wa uchaguzi waweke mgombea mmoja tu apeperushe bendera ya upinzani na wanachama wahakikishe wamejiandikisha sio kuwa washabiki tu wa kusindikiza misafara. CCM mda wake umepita na ndio maana wanatumia nguvu kubwa sana kwenye mikutano na kampeni zao kuwashawishi Watanzania kuwachagua kwa kuwapa nguo bure na kuwatumia wasanii maarufu kwenye majukwaa. Hata sielewi kwa biashara zao wanazofanya CCM wanatoa wapi fedha za kununua nguo za kugawa bure nchi nzima na za kulipa wasanii wasindikize mikutano yao hasa wakati wa Kampeni. Kuna wasi wasi mkubwa sana kuwa kodi za Watanzania wakiwemo wa vyama vya upinzani zinatumiwa vibaya na CCM kwenye maandalizi ya kila uchaguzi nchii Tanzania kwa sababu Rais wa nchi hiyo ni Mwenyekiti wa CCM. Dunia nzima imewasamehe wafanya biashara kodi kipindi hikicha COVID19 lakini Tanzania wafanya biashara wanaandamwa sana na kodi. Kuna baadhi ya nchi Duniani zimewapatia wafanya biashara mikopo na fedha za kujikimu. Tanzania hizo ni ndoto za alinacha. Utakuta Sekta kama ya Utalii hawajafanya kazi toka December mwaka jana lakini bado Serekali inawaandama kwa kodi. Watanzania jaribuni kubadilika mnashidwa kujitambua na nchi ndogo kama Malawi. Ukipita mitaani watu wanalia shida kila pahali lakini kuchukua maamuzi magumu kwa Watanzania labda mpaka waombewe. Waoga sana wa kufanya mabadiliko.
@raphaelmganga374
@raphaelmganga374 4 жыл бұрын
Kuna Taarifa ilisema hairuhusiwi kufanyika Mapokezi ya Lisu hyo inshu ikoje?
@ibrahimzuberi1029
@ibrahimzuberi1029 4 жыл бұрын
Rais wng
TUNDU LISSU: NIMEPONA MUNGU NI MWEMA/KUMUAGA MKAPA KESHO
10:31
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 12 М.
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 26 МЛН
UCHAGUZI 2020:MAPOKEZI KABAMBE YA TUNDU LISSU DAR 27-07-2020
26:10
Jenerali Online
Рет қаралды 22 М.
Мыла наелся
0:21
Pavlov_family_
Рет қаралды 2,3 МЛН
My wife said she wants to show me her true skills
0:27
昕昕一家人
Рет қаралды 60 МЛН
Вся страна в очередях, а ты без очереди...
0:52
МиRRные Чувства
Рет қаралды 4,4 МЛН
Mother Cat Drinks Lots of Coffee to Get By #funny #catlover #cuteanimals #cartoon
0:21
Super Emotional Stories
Рет қаралды 17 МЛН
Бабайка #юмор #рекомендации #прикол
0:32
МэдПринц 👑
Рет қаралды 1,5 МЛН
It worked for me)
0:19
F&T Team
Рет қаралды 11 МЛН
ПОМОГИ РАЗБУДИТЬ ПИЛОТА 😱😱
0:16
ДЭВИД ЛАВА
Рет қаралды 4,5 МЛН