Asante sana mungu wetu Kwa kutuheshimisha na Hawa vijana , viongozi ,mashabiki na benchi lote la ufundi katika jina la YESU kristo Amen
@ip_header2 ай бұрын
Kazi nzuri kwa wanajeshi wetu, lkn bado kunachangamoto ya kuConvert chances to Goals, forward inabidi waongeze umakini, kupata chance nyingi ni ngumu hasa kwa hatua za mbele zaidi
@musamagulu20232 ай бұрын
Hilo neno bro,yaan inatakiwa tupatapo chance tu iwe goal, H1 tumetengeneza nafasi 9 shot on target lakin goal1 hapo ni kosa kubwa sana.
@AbuhTechTz2 ай бұрын
@@musamagulu2023 hakuna team ya hivo Duniani kwamba kil nafas goal haiwezekn lazim kunanafs zitapotea tu
@samsonkomba00002 ай бұрын
Huu mpira majameni😅😅😅😅😅
@Dilammy67642 ай бұрын
Hiyo Madrid tu haipo hivyo...this is football
@reginaldmapunda67022 ай бұрын
Eee Mungu ahsante kwa zawadi hii kubwa na tutakushukuru na kukutukuza kila iwapo leo . Amina.
@CharlesSylvester-r3r2 ай бұрын
🙏
@emmanueljohn40182 ай бұрын
AMINA MUNGU MWEMA
@joycemmassi50462 ай бұрын
Amina Amina jina la Yesu Kristo libarikiwe
@MariamZanzibari2 ай бұрын
Alhamdulillah mashaallah❤❤❤❤
@TeddyPaul-qo2iy2 ай бұрын
All the best my team hope to see you finally ❤🎉keep it up
@5googleuuu7272 ай бұрын
Yanga oyeeeeeeee raha kama zote tumefurahi 💚💛💚💛💚
@CharlesSylvester-r3r2 ай бұрын
Sana
@ChenchiKing2 ай бұрын
Yanga Bingwa💚💛💚💛
@ZainabuJabiri-c5s2 ай бұрын
Naipenda yanga nikiwa USA my yanga will love you forever inshaa allaah🎉
@MassoudAlly-c9e2 ай бұрын
Upo state gani Zainabu?
@ZainabuJabiri-c5s2 ай бұрын
@@MassoudAlly-c9e Kentucky, na wewe?
@ZainabuJabiri-c5s2 ай бұрын
@@MassoudAlly-c9e oh sorry minipo Kentucky
@MauBonde2 ай бұрын
Jamaa kwenye mechi ngumu anatulainishia big Sana kwake
@edinamwanasenga15842 ай бұрын
Yanga mkubwa 🎉🎉🎉🎉
@beduisega4662 ай бұрын
🗣I love yangaaaaaaaaaa❤❤
@omaryluambano34952 ай бұрын
Mudathir
@barikilangoy47372 ай бұрын
Natamani sana yanga wafike finally ya caf champion,,ila tukipata wachezaji wawili tu beki kisiki na kiungo mkabaji
@stevenbiz60192 ай бұрын
Yanga BINGWA
@mwansasujonny35362 ай бұрын
Mtu sanaaaa
@godblessnetworkcollege99532 ай бұрын
Yanga bingwa
@nabiimgongolwa87282 ай бұрын
CHAMA IS NEXT LEVEL, HE LOVES TO ASSIST ANF IF NEEDS BE FOR HIMSELF.
@UmmyMsafiri2 ай бұрын
Chama kapata kungwi mzur Mr gamondi kwani we huogopi
@ismailkiwawas59822 ай бұрын
😂mi mwenyewe nawaogopa kwakweli mpo🔥🔥
@yasrikomba78742 ай бұрын
Yanga bingwa ligi kuu bingwa club bingwa
@AngelinaHassan-fe3jp2 ай бұрын
Mungu ibariki yanga ifike fainal
@LatifaNyema2 ай бұрын
Naipenda sana yanga
@ziadamiraji95112 ай бұрын
Yanga tamuuu we huogopi 😂😂😂😂 Mudathir uyo
@mwajumampokileomckapela75412 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko ✅✅💛🖤💚
@josepeter80332 ай бұрын
Mungu atusaidie hasa wachezaji wetu
@KudraEliasa2 ай бұрын
Nic San jmn mko vizuli wanayang tuko poa san🎉🎉🎉🎉🎉
@DoryGeorge2 ай бұрын
Chama uyooo
@patridabernard91482 ай бұрын
Jaman chamaaaa
@HEAVENLYTVCINEMA2 ай бұрын
Hyo ndio Mic ya kiuandsh .ila iyafutwe yenye ubora zaidi na ya kisasa
@sosomacharles99202 ай бұрын
Chama alindwe kabisa.
@JacksonKiwike2 ай бұрын
Mimi km BOSS waYANGA BD CJAIYONA YANGA NINAYOITAKA
@MukhusinMahmoud2 ай бұрын
Mliokua mnalia wabadilishe mic mmeiona hio 😂😂
@NeemaAkyoo-s4s2 ай бұрын
Ndyo tumeona na nikawaida kitengo chetu cha habar ni wasikivu mno nadhani wanaptia comment na kufanyia kazi maoni yetu
@davidedward22022 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂hapo hatuwadai maana mimi ni mmoja wao
@Elon-r4o2 ай бұрын
Wee huogopi 😂😅
@selemanmcharazo2 ай бұрын
Mudathiri mwamba huyu sio ndani ya league na kimataifa hii ndo maana ya mchezaji mkubwa.
@sosomacharles99202 ай бұрын
From boda boda to Young Africa🙆🙆🙆🙆🙆
@robertchazya23512 ай бұрын
Gamond mtu mbadi sana, goli 8?!! 😂😂
@patridabernard91482 ай бұрын
Hii IMEENDA Hadi final hakika we huogopi?
@Faustine_Charles2 ай бұрын
maswali yako yanakuwa direct sana, yaani swali lina sehemu yajibu, uliza swali linalotaka mtu mwenyewe ndio atoe maelezo.
@BenPeter-vp2cy2 ай бұрын
Oyooooooo
@budodianthony80942 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤
@mwanangusana2 ай бұрын
Chama kama anapiga akaweka kwa mudathir ...we huogopii 😂😂😂
@TwahaAliMtumbi2 ай бұрын
Mudaaaa
@youngshisha61152 ай бұрын
Here we Go lads
@MalinoKadwame-u1c2 ай бұрын
Muda
@Rolemodel_wa_taifa2 ай бұрын
WE HUOGOPI
@amanilupembe97882 ай бұрын
Mashine hiyo
@BakariMakame-j5f2 ай бұрын
Kizimkazi
@eliaupendo2 ай бұрын
Wehuogop mda buana
@marymoshi5722 ай бұрын
🎉
@Jennyjonh2 ай бұрын
Alwatan huogop 😂😂😂
@joojombi23412 ай бұрын
Akhui Al watan mwambie huyo Primo aanze kufanya mazoezi naona ana anza ananenepa kwakweli