Alichosema Rais Samia baada ya kutua kutoka Ulaya | Kuanza na mikoa hii

  Рет қаралды 18,107

EastAfricaTV

EastAfricaTV

2 жыл бұрын

Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 58
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 2 жыл бұрын
Amekaribisha wezi. Yangu macho. !!!!!
@tariqmaduga8051
@tariqmaduga8051 2 жыл бұрын
Mikopo hatupewi bure hilo tuliwekeni akilini
@mzeesuliman3158
@mzeesuliman3158 2 жыл бұрын
Anatuona Kama watoto wadogo atujui kitu Muhongo Matilioni yote ya JPM wamegawana,
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 2 жыл бұрын
Kwani mama hawezi kutumia pesa za ndani ad uende kuomba kwa nanii
@kilmanwasher374
@kilmanwasher374 2 жыл бұрын
Unafiki na roho mbaya ....
@mzeesuliman3158
@mzeesuliman3158 2 жыл бұрын
Watanzania msimsikilize uyu bibi Uongo Mtupu akunaata mmoja la ukweli
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
Hivi tanzanian insfadhiliwaa imekosa Nini kama sio kutafuta Shida amaaa
@ramadhanmgaya1775
@ramadhanmgaya1775 2 жыл бұрын
No comment.
@kubingwalusendeka4295
@kubingwalusendeka4295 2 жыл бұрын
Umeongea nao nn ulienda kuomba pesa tu we huna jipy
@bonifacerugabera7635
@bonifacerugabera7635 2 жыл бұрын
Unafiki isiwepo ktk hutuba zako mama tunakupenda tena Mbowe sio GAIDI#
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 2 жыл бұрын
MUNGU ibariki Tanzania
@mzeesuliman3158
@mzeesuliman3158 2 жыл бұрын
Rais gani uyu
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 2 жыл бұрын
Tz mnaelekea kubaya nyamazeni tu hivyo mutauzwa Na huyu mama walaah iko siku mtakumbuka mlio ambiwa mtakumbuka,yetu macho 🇰🇪
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 2 жыл бұрын
NANI ALIMCHOKOZA MWENZAKE,!
@mzeesuliman3158
@mzeesuliman3158 2 жыл бұрын
Umechoka wewe achiangazi jiuzuru unatualibia nchi
@emanuelshayayi54
@emanuelshayayi54 2 жыл бұрын
Hakuna mwana Adam hajazaliwa na Mama. Mama pambana kwa taifa letu.Mungu atakulipa.Kila hatua unayopiga unaacha alama.Nakuombea kwa Mungu akulinde kwa kila kitu.
@ChidBoy-fz8qs
@ChidBoy-fz8qs Жыл бұрын
Sawa rais wetu naomba kuuliza kwa nn Barbara ya mwendo kas isiwepo arusha pia kwan ajali n nying msongomano n mkubwa
@mzeesuliman3158
@mzeesuliman3158 2 жыл бұрын
HOMBA HOMBA HOMBA unatutia haibu
@hatari9591
@hatari9591 2 жыл бұрын
Ngoja nikakoje Mimi nikalale
@ismailysadic-9863
@ismailysadic-9863 2 жыл бұрын
Mwendo wa kumega safi sana
Why the EU is About to Impose a Hard Border in Gibraltar
9:42
TLDR News
Рет қаралды 411 М.
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 64 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 14 МЛН
Anlam ve Özgürlük - İbrahim Kalın | Kendi Gökkubbemiz
28:21
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4,2 МЛН
UTOTO UTUMWA, UJANA MASWALI, UZEE MASWALI
46:42
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 255 М.
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН