ALIKIBA ALIVYOFIKA NA GARI LA KIFAHARI, AONESHA MBWEMBWE ZAKE MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

  Рет қаралды 169,572

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mwimbaji Star wa Bongofleva Alikiba leo amezindua cover ya Album yake mpya inayotarajiwa kuachiwa rasmi tarehe 7 ya mwezi Oct mwaka huu
Album hiyo imepewa jina la Only One King ambayo ni album ya 3 kwa Alikiba ikiwa ni baada ya album mbili alizozitoa miaka zaidi ya 10 iliyopita
Alikiba ameahidi kutaja nyimbo zitakazopatikana katika album hiyo siku zijazo kabla ya uzinduzi.
Video hii nimekusogezea ushuhudie namna alivyowasili katika Mkutano huo wa waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam.

Пікірлер: 195
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 3 жыл бұрын
Ogopa sana mtu yupo katika game kwa miaka zaidi ya 17 na bado yuko relevant kama wakina mario na harmonize na anawafunika kwa muziki na kimaisha maendeleo
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 жыл бұрын
Sio MASHABIKI sana WA wasanii hawa Ila huyu jamaa ,Alivoutadhani sio msaanii matatoo macheni ,Jamaa so smart sometimes kama yule juma jux WA Mama mtoto V 💰
@mossilamanne3350
@mossilamanne3350 3 жыл бұрын
Kiba hongera,Mimi ni timu mondi lkni MTU akifanya zuri nampongeza kiroho Safi ,eti Range ni gari ya kawaida wewe unayo???pambavu Thana mpongezeni huyu Naye ni binadamu kama wengine .
@abubakarsuleman1983
@abubakarsuleman1983 3 жыл бұрын
Mchizi yupo simple sana, anajielewa kabisa.
@MohamedShedrack-qf8hr
@MohamedShedrack-qf8hr Жыл бұрын
Yap big up sana mtu mzima ally kiba nakukubali kinyama by shabiki wa kings music kutoka manyara
@peterkirigini8976
@peterkirigini8976 3 жыл бұрын
King kiba he's the best!!
@zaitunifamao7777
@zaitunifamao7777 3 жыл бұрын
The press is used to handle Alikiba he doesn't need body guides they know exactly what to do
@jonesiha6919
@jonesiha6919 3 жыл бұрын
Absolutely!
@Blue-vk5ce
@Blue-vk5ce 3 жыл бұрын
Exactly his very simple and private, his not out here trying to show off like other celebrities and I love him for that. Yaani celebrities in bongo is something else, hao wengine wanaotembea na bodyguards pesa they don't got it😆😆fame Yao imeisha, hata kununua sabuni they can't afford it lakini bado wanatembea na bodyguards🤣🤣🤣Sasa huwa najiuliza hao bodyguards wanalipwa shilingi ngapi😆😆
@tamimtours6934
@tamimtours6934 3 жыл бұрын
Hujambowe Zai?🇹🇿🇸🇪
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 жыл бұрын
@@Blue-vk5ce unaongea non sense utakuwa una stress wewe kibamia ana mchongo gani mpaka alindwe
@dimocc9437
@dimocc9437 3 жыл бұрын
His slow wut do expect
@artemisneoy9596
@artemisneoy9596 2 жыл бұрын
What not to love Jamani about King kiba, simply the best
@omanss268
@omanss268 3 жыл бұрын
King kiba 👑 daah upo pisi Sana aisee
@archangemoses345
@archangemoses345 3 жыл бұрын
Aisee kuwa msani ni raha jamani😍😍😍
@kelvinchuwa2212
@kelvinchuwa2212 3 жыл бұрын
Kwel kki ila adi utoke kuna wasanii wanasota tu
@tamimtours6934
@tamimtours6934 3 жыл бұрын
WACHA UJINGA HUWA WEWE. KUWA NA UZIMA NA AFYA ZATITI KABISA ,NDOREHEMA KUBWA KWA MUNGU. HIVO VENGNE VOTE VINAFUATA. BILA YAHAPO NI ZEROTU😉😉
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 3 жыл бұрын
Sio kuwa msanii ila kuwa na afya njema na hela
@salehefeswali5197
@salehefeswali5197 3 жыл бұрын
Yan ili jamaa Alina Mambo meng yeye na meneja wake imeisha hyo
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 жыл бұрын
Yaan kiba wa pekee
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 3 жыл бұрын
Huyu jamaa namkubal sana,he is so simple,Allah maisha marefu
@alexkilonzo7740
@alexkilonzo7740 3 жыл бұрын
Born as King,,,,Live as King ,, ,Die as King,,,,,#ONLY ONE KING,,,,,#Kingkiba.....
@tamimtours6934
@tamimtours6934 3 жыл бұрын
SIMPLE & COOL, SAFI SANA
@omaryaltezza169
@omaryaltezza169 2 жыл бұрын
Iyo range ni ya moto sanaaa nayesema ya kawaida a comment chini hapo
@farajachesco985
@farajachesco985 3 жыл бұрын
More love Kiba❤️❤️
@saidbabaali9082
@saidbabaali9082 3 жыл бұрын
Always a king will remain a king jst simple sio mtu na minyororo ya shingo utadani anapelekwa kichinjioni
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 жыл бұрын
Mashabiki maandazi bwana mnafurahisha hahahahahaa kibamia ana jipya gani uyo eti wavaa minyororo ao ndio habari ya mjini
@ashurahassan6045
@ashurahassan6045 3 жыл бұрын
Hahahahhaah nmecheka sanaaa maana unakuta mtu kavaana na minyororo kaaa mbwa wa kienyeji bhn mshingoo umejaa mujicheni vile sifa
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 3 жыл бұрын
Izo mbwembwe ziko wp hp ss mashaallah mvuwa iyo
@suleamber844
@suleamber844 3 жыл бұрын
Niseme ukwel natamani sana nwe na maisha ya alikiba hta ncpokuwa msanii anaish kwa raha saana huyu jamaa
@bboy2858
@bboy2858 3 жыл бұрын
Kak mbona hujatuambia bei
@jonsonrenatus1655
@jonsonrenatus1655 3 жыл бұрын
Huyu jamaa bana yupo inspired sana
@bennizaramo3332
@bennizaramo3332 2 жыл бұрын
Mamaeee
@saudambinga3832
@saudambinga3832 3 жыл бұрын
🇴🇲 king 👑 Kiba👍🔥💪😍
@yanayojirimitaaniTV
@yanayojirimitaaniTV 3 жыл бұрын
Angalia hapa kzbin.info/www/bejne/iXnLp4mjrtGjsKM
@honestboy3447
@honestboy3447 2 жыл бұрын
Huziwezi wewe pigo za 🦁🦁🦁 kuvimba kibabe🔥🔥
@djkhalid4935
@djkhalid4935 3 жыл бұрын
Cha ajabu uyu jamaa pesa anazo za ku shato lkn anavaa nguo za kawaida kinyamaa kwl katisha baba la baba
@mamakeaisha4926
@mamakeaisha4926 3 жыл бұрын
Nampenda alikiba hachuji kabisaaa
@kareemkiwamba139
@kareemkiwamba139 3 жыл бұрын
Long live king kiba
@nurahyusuph9771
@nurahyusuph9771 2 жыл бұрын
Nakupend kiba hunag makuu
@jonesiha6919
@jonesiha6919 3 жыл бұрын
People are Kibaholic!!!
@jonesiha6919
@jonesiha6919 3 жыл бұрын
The King Rules Both Humankind and Animals in his Kingdom!!!
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
🙌😂
@jonesiha6919
@jonesiha6919 3 жыл бұрын
@@rukiaiddyyahaya9506 🔥🔥💪💪
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
Simba na Tembo anawatawala kwa amani 😁😁😁😁
@jonesiha6919
@jonesiha6919 3 жыл бұрын
@@nilansaid2927 absolutely!😂😂💪🔥
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
@@nilansaid2927 🤣🤣🤣
@madownloadionlinetv759
@madownloadionlinetv759 3 жыл бұрын
gari la binslum mohmed kaazima
@britishboy1112
@britishboy1112 3 жыл бұрын
King kiba
@alisenipeter4307
@alisenipeter4307 3 жыл бұрын
Sema kiba namkubari sana
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 3 жыл бұрын
Eh wasanii ina maana wanahela kuliko cc wakulima
@dogobk7796
@dogobk7796 3 жыл бұрын
Hahaha
@barakae.n6418
@barakae.n6418 3 жыл бұрын
Ashasema hapendi magari
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 3 жыл бұрын
Sawa kaka naona hapo ulikuwa unajifunza kucheza
@khadija5761
@khadija5761 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@dastankahindi6563
@dastankahindi6563 2 жыл бұрын
Only one king
@mishibabu8946
@mishibabu8946 2 жыл бұрын
Msiopenda kiba mukafie mbele 😂😂😂kwanza hawajui wala hamumpi pumzi kiba 4real🥰🥰🥰
@lizmass4253
@lizmass4253 2 жыл бұрын
Yani ukweli kabisa hahaha kiba ni mtu wakukosa kupenda haki
@mishibabu8946
@mishibabu8946 2 жыл бұрын
@@lizmass4253 yah watu wanamchukia bure yake yanamuendea vzr
@antonyngala1977
@antonyngala1977 3 жыл бұрын
Noma sana
@judithwatson6385
@judithwatson6385 3 жыл бұрын
Waandishi walivyokimbizan apo mwanzo utazani wameon dhahabu zmemwagwa Hahahaa Mungu akuweke king kiba
@babybaby8384
@babybaby8384 3 жыл бұрын
😅😅😅😅
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 жыл бұрын
King 👌👌👌👑👑👑👑💥💥💥💥
@fezzyfelex3667
@fezzyfelex3667 3 жыл бұрын
Awap king hanaga shobo izo mbwembwe izo qwio
@emmanuelmwansasu347
@emmanuelmwansasu347 3 жыл бұрын
Mwenye pesa ajigambi
@olivertsumake3212
@olivertsumake3212 3 жыл бұрын
One thing with this guy he is ever simple hana shobo kujiramba midomo kama wale😂🤣😂ishi kawaida duniani mapito hapa
@raymondzara7587
@raymondzara7587 3 жыл бұрын
✌️
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 3 жыл бұрын
sifa ya msanii ni mikogo sasa unataka msanii awe kama mwanafunzi wa yesu ww vipi
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 3 жыл бұрын
@@gooddeeds162 😁😁😁😁😁 nisamehe ndugu yangu
@seifjuma3471
@seifjuma3471 3 жыл бұрын
@@gooddeeds162 sote tuwamoja kaka 😅😅yesu niwetu pia na tunampenda
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 жыл бұрын
@@TUnech7 hahahahahah Kuna watu wanaongea Kama hawana matako Sasa msanii wao kuvaa Kama mkulima ndio wanataka wasanii wote wawe Kama yeye neno msanii lina maana kubwa sana ndio mana Diamond kawaacha mbali sana wasanii washamba Kama haoooo
@hallin9561
@hallin9561 3 жыл бұрын
Dah vyombo vya habari bongo mnaulimbukeni sana. Iyo gari yenyewe ya kifabari ni iyo Range,, Hamjui thamani ya vito
@novatusthadeo1944
@novatusthadeo1944 3 жыл бұрын
sorry,Range haipo kwenye list ya gari za kifahari?
@hallin9561
@hallin9561 2 жыл бұрын
@@novatusthadeo1944 kwanza haiwezi kuingia kwenye list. Maybe kwakuwa tupo kwenye taifa masikini. Lakin range haikuwai kuingia kwenye magari ya kifahari kaka..
@karaniomoit5259
@karaniomoit5259 2 жыл бұрын
We we uko na ngapi tuache wivu na chuki shukuru mwenzio akifanikiwa kwa maisha wafrika Muko na wivu kweli
@officialsbjovea5822
@officialsbjovea5822 Жыл бұрын
@@hallin9561 acha chuki na matajili bro hakujui ilatunajibizana Mashabiki kuanza umefata nn huku
@kingcheater2554
@kingcheater2554 3 жыл бұрын
Kingkiba
@aidancosmas5597
@aidancosmas5597 3 жыл бұрын
Humble
@joshuamollel1398
@joshuamollel1398 3 жыл бұрын
King
@mohdmbarouk8465
@mohdmbarouk8465 3 жыл бұрын
Hakika maisha ya kidunia ni mchezo na akhera Ndio kuna nyumba ya milele na yenye kubakia
@robertkenyark687
@robertkenyark687 3 жыл бұрын
Simple guy king 👑 kiba👊
@pmall8867
@pmall8867 3 жыл бұрын
Tangazo la pamu village liko wapi?😭😭?
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 3 жыл бұрын
hiyo gari kanunua mda mrefu kidogo kama miezi tano iliyopita na mimi niko nae jirani naijua hiyo lakini walimwengu jifunzeni kutojionyesha 😆😆😆
@jackzodY3
@jackzodY3 3 жыл бұрын
Aisee kumbe😆😆😆
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 3 жыл бұрын
@@jackzodY3 ndio ukweli huo mwana jamaaa ana vitu kibao vya kifahari ukienda kwake lakini anakausha tu ajionyeshi
@abdulabdallah9688
@abdulabdallah9688 3 жыл бұрын
Watu wa namna hyo huwezi kuwajua wakichuja wala wakiwa na mpunga mrefu zaid na ndio siri ya pesa waangalie watu kama wakina samatta huwa kuti na mbwembwe ila anafanya yake
@isayagangster1048
@isayagangster1048 3 жыл бұрын
@@edgarnandonde48 oya asante sana kumbe upo jirani na King. Mmebahatika sana mlindeni mtu wetu
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 3 жыл бұрын
@@isayagangster1048😆😆usijali mtu poa sana huyu kwake unaingia tu wala hakuna shida
@shanizyusuf8210
@shanizyusuf8210 3 жыл бұрын
We love u king
@avitydamian1994
@avitydamian1994 3 жыл бұрын
Bado hajamfikia mond
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 3 жыл бұрын
Mashabiki wa alikiba walivyo mazuzu wanajua hyo gari ni level ya rolls-royce
@africanproudly4004
@africanproudly4004 3 жыл бұрын
Aliekwambia sisi tunajali gari lake ni nan
@segeospatialtechnology7482
@segeospatialtechnology7482 3 жыл бұрын
Rolls royce kama ile ya wasafi limited au?
@shayrasaid5041
@shayrasaid5041 3 жыл бұрын
@@africanproudly4004 ata bora umesema tunajali mziki mzur ata akilala rod kwetu poa
@africanproudly4004
@africanproudly4004 3 жыл бұрын
@@shayrasaid5041 anadhani akili zetu ni kama zao
@seifjuma3471
@seifjuma3471 3 жыл бұрын
Sasa wewe ndo zuzu mdogo wangu hujajijua tu
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 3 жыл бұрын
Kibaa
@mgallason...5686
@mgallason...5686 2 жыл бұрын
Simple and clever
@miriam7186
@miriam7186 3 жыл бұрын
Mbona aliki a hatembei na bodygad wha utaona kina fulani huko Haji amini aki tembea mpka walinzi
@jamesvmusic2677
@jamesvmusic2677 3 жыл бұрын
👑♥️
@YWCSTATIONERYNSHAMBA
@YWCSTATIONERYNSHAMBA 3 жыл бұрын
Kumbe kuna kitu nimejifunza
@husnaramadhan7261
@husnaramadhan7261 3 жыл бұрын
Kipi na sie wengine tujifunze
@yanayojirimitaaniTV
@yanayojirimitaaniTV 3 жыл бұрын
Kweli OK angalia hii video vizuri POMBE MAGUFULI kzbin.info/www/bejne/iXnLp4mjrtGjsKM
@idayamataifakey7813
@idayamataifakey7813 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@michaelgeorge1431
@michaelgeorge1431 2 жыл бұрын
Sianasema hajioneshagi huyu
@erickenock3198
@erickenock3198 3 жыл бұрын
Iyo range kwangu yakuendea sokoni kununua mboga mboga na matunda
@emmanuelmartin539
@emmanuelmartin539 3 жыл бұрын
Sawa
@isayagangster1048
@isayagangster1048 3 жыл бұрын
Umeulizwa.? Hater
@emmanuelmartin539
@emmanuelmartin539 3 жыл бұрын
@@isayagangster1048 anateseka huyo
@mohamedmwinyi213
@mohamedmwinyi213 3 жыл бұрын
Kiba
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 3 жыл бұрын
💥💥💥💥king kiba
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 3 жыл бұрын
Sipendi magari sipendi cm
@itNeza
@itNeza 3 жыл бұрын
Hakuna cha Mbembwe Wala Bmwenduki 🙄
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 3 жыл бұрын
Mtu wa watu
@ayshamadege7981
@ayshamadege7981 3 жыл бұрын
😍😍😍👑
@frankchilumba5953
@frankchilumba5953 3 жыл бұрын
Gar ndo ih au kuna nyingune
@shakylahamad8326
@shakylahamad8326 3 жыл бұрын
🤣
@ashajuma7727
@ashajuma7727 3 жыл бұрын
Kuandika kwenyew hujui utaweza kujua gar mxiuu
@elfabriyafab8405
@elfabriyafab8405 2 жыл бұрын
Yes mali sio mchezo ni lazima
@learnandenjoy2373
@learnandenjoy2373 3 жыл бұрын
Mbona gari sio ya kifahari??
@mbarouksaidi8770
@mbarouksaidi8770 3 жыл бұрын
AF haringiii
@conymbetsa9377
@conymbetsa9377 3 жыл бұрын
Bila bodyguard tena sawa tuu
@kakurukakurupacha859
@kakurukakurupacha859 3 жыл бұрын
Kuwa na bodyguard unajikuta ishakubidi ukiwa ktk renk flani au mazingira flani au maisha flani. Kwani manara kipindi yupo simba alikuwa na walinzi??? Je sasa hivi akiwa yanga mbona ana walinzi.
@anthonykondobole3962
@anthonykondobole3962 3 жыл бұрын
@@kakurukakurupacha859 acha uongo, harmola pa, mkali wenu wana renk nao?
@isayagangster1048
@isayagangster1048 3 жыл бұрын
@@anthonykondobole3962 mwambie uyo
@freelancer6368
@freelancer6368 3 жыл бұрын
Kama huna ushawishi bodyguards wa nini
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 жыл бұрын
@@freelancer6368 hahahahahaha umewajibu vizuri sana shida mashabiki wa kibamia wengi maisha yao ya shida ivyo wanavyoona watu wenye maisha mazuri wanajiachia na maisha yao wanaona Kama wanajiona na kujionesha Ila wanapaswa wajue hela haijifichi asije akakudanganya mtu kuwa sijui Mimi nahela Ila sitaki kujionesha fuck off hela haiko ivyo ata usipojionesha yenyewe outomatical itajionesha uyo kibamia hana hela ana hela za kubadilishia mboga kwamuda aliokaa kwenye mziki na vitu anavyomiliki Ni kawaida sana
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 3 жыл бұрын
😁 😁 😁 Star 🌟 asietaka stress!!! Anaishi maisha yake anajinunulia kile anacho kiweza. Nyie nyie msiwaone wasanii wanajimwambafai kuonyesha mali na kulindwa na mabodigadi nyie.. Hee wanastress kupitiliza maana bifu kila kona akiwa hana pesa wanahangaika wasijulikane yaani wanaogopa kupitwa na wasanii wengine wanahaha... 😁 😁 😁
@masundelwa
@masundelwa 3 жыл бұрын
hio gari hata mimi ninayo
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 3 жыл бұрын
Hahaha safisana dogo
@stevenlwakasambula202
@stevenlwakasambula202 3 жыл бұрын
Hivi huyu jamaa nae Ana bodgad?
@mohamedkissima4893
@mohamedkissima4893 3 жыл бұрын
Wa nn sasa wakati yeye hana tambo mtaani
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 3 жыл бұрын
Kucheza kwenyewe ulivyo ujuagi ss
@dannyelias382
@dannyelias382 3 жыл бұрын
Kwan shida iko wap
@shazzywakingsmusic8672
@shazzywakingsmusic8672 3 жыл бұрын
Makn sana
@bonaventuremabula4113
@bonaventuremabula4113 3 жыл бұрын
hiyo gari watumia wanatumia wafnyakazi wa ndani hapa bongo
@leungoshanga4946
@leungoshanga4946 3 жыл бұрын
Sialisema hapendi magali huyu
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 3 жыл бұрын
Range ni gari ya kawaida
@ricksonlyimo5594
@ricksonlyimo5594 3 жыл бұрын
Nikwer ya kawaida mno tena sana tu ila kwakua mimi sina ata passo kwangu range ni yamaana tu kwakuwa wewe unamiliki bugati na mengine makali kuliko hilo range hongera zako
@akizamchunguzi3240
@akizamchunguzi3240 3 жыл бұрын
@@ricksonlyimo5594 🤣🤣🤣
@akizamchunguzi3240
@akizamchunguzi3240 3 жыл бұрын
@@ricksonlyimo5594 ni la maana mno mi hata pkpk sina
@ricksonlyimo5594
@ricksonlyimo5594 3 жыл бұрын
@@akizamchunguzi3240 hapo sasa maana mimi ata baskeri tu tabu maana cna,unajua mtu akifanya kizuri msifie tu ata ukinunua guta nikumpa pongezi tu sasa uyu mwenzetu yeye anasema range yakawaida sana
@alicenice1711
@alicenice1711 3 жыл бұрын
Kweli. Kiba kipenzi cha watu
@musason1680
@musason1680 3 жыл бұрын
Gari ya kifahari mbona dijaiona
@princess-uf5ux
@princess-uf5ux 3 жыл бұрын
Ww unalo bro kila siku mbon unapanda boda boda na bajaji buza
@suleamber844
@suleamber844 3 жыл бұрын
Yan kama alikiba akianza mbwembwe za kuonyesha mali zake kuna watu watapoteana bora akaage tu kimyaa
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 жыл бұрын
Hahahahahah Sasa nani wakupoteana fala wewe sisi tunaishi nae uku tabata barakua hana jipya uyo hahahahaha ndio mana anajifanya hapendi kuonesha mali ukweli hana cha kuonesha zaidi ya nyumba anayokaa na vigari vya milioni kumi kumi usiongee usivyovijua wewe njoo tbt tukupeleke kwa uyo utopolo wenu ujionee kwa machoooo
@robertpeter3679
@robertpeter3679 3 жыл бұрын
@@albertkadyanji9722 we kweli kuma sasa kama unakaa nae tbt ndo nini uyo mwana yuko simple na anataka watu wa mchukulie simple ila kuusu umasikini uyo aujui kabsa alfu magari sio utajiri kuma wewe
@Kobe_254
@Kobe_254 3 жыл бұрын
Anaiga Mondi… kisha anapata show za uakika 😅😅😅😅😅😅😂😂
@karaniomoit5259
@karaniomoit5259 2 жыл бұрын
Kuiga nini kwa mondi?tuache ushabiki za kijinga kwani mondi ndo anamulisha ama anamulipia kodi watu kama nyinyi mnastahili kifo acheni kufananisha wasani
@aishamapalala5433
@aishamapalala5433 2 жыл бұрын
😀😀😀
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 3 жыл бұрын
Bado kwa Diamond hafiki.
@hassansaid9925
@hassansaid9925 3 жыл бұрын
Hahahahahahaa alikiba bhan
@foxmnyama4367
@foxmnyama4367 3 жыл бұрын
Kiiiiiiing
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂eti gari lakifahari
@Mwakitwange
@Mwakitwange 3 жыл бұрын
Ww unayo mangapi?
@dinamollel4057
@dinamollel4057 3 жыл бұрын
Lako na ww liko wap la kifahari zaidi tuone
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 жыл бұрын
Kigari iki ki evog alimiliki jdee miaka kumi nyuma uko yani kibamia ndio anamiliki asa ivi hahahahahahaha wabongo bana washamba sana bado sanaaaaaaa
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 жыл бұрын
@@albertkadyanji9722 umeona eenh??
@karaniomoit5259
@karaniomoit5259 2 жыл бұрын
Yes yako iko wapi
@paulsoprin2042
@paulsoprin2042 3 жыл бұрын
Kuna kitu nmenotice.uyu jamaa anafil guilty coz ya cheed kutoka leo ana pressure coz hana nguvu ya kuwainua vijana.
@supertallone1902
@supertallone1902 3 жыл бұрын
Mmh pole kwa mawazo fake😂😂ingekua ivyo angeanza pale alipoachia Kill. King hanaga kumfuatilia mtu,, na kwan tokea amekua kwenye game la mzik n wangap wamemsalit au kwenda kwa wengne? Acha mawazo ya chuk bhana
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 жыл бұрын
@@supertallone1902 mashabiki wa kibamia akili zenu mnazijua wenyewe
@supertallone1902
@supertallone1902 3 жыл бұрын
@@albertkadyanji9722 😂😂hatuna akil za kushikiliwa bhana
@sephaniashemi2649
@sephaniashemi2649 2 жыл бұрын
Baba wewe nimukali
@rachaelmasiaga5307
@rachaelmasiaga5307 3 жыл бұрын
Hiyo ndo Gari ya Kifaari🤣🤣🤣🤣
@yakwetutv8525
@yakwetutv8525 3 жыл бұрын
Sasa wengi si tuna tumia IST lazima tuone la kifahari
@leonardflavour7533
@leonardflavour7533 3 жыл бұрын
Hana hel ya kunnua mashine kam h
@abdulabdallah9688
@abdulabdallah9688 3 жыл бұрын
Utakuja ufe kwa pressure acha kukunja
@isayagangster1048
@isayagangster1048 3 жыл бұрын
@@abdulabdallah9688 wajinga wanateseka
@fetychina3273
@fetychina3273 3 жыл бұрын
Nyie Ali ailkuizi kachachuka
@awadhally1052
@awadhally1052 3 жыл бұрын
Fety ❤
@fetychina3273
@fetychina3273 3 жыл бұрын
@@awadhally1052 👋👋
@erastoernest8209
@erastoernest8209 3 жыл бұрын
King
@komborashid5891
@komborashid5891 3 жыл бұрын
King kiba
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1,1 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 40 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 36 МЛН
SHINDANO la GARI LINALOVUTIA  lakamilika ARUSHA MANGI aibuka  KIDEDEA
55:26
Global TV Online
Рет қаралды 126 М.
KINGWENDU NA MTANGA ,BALAA LA UGORO WA MASAI AMELANDUKA.
13:01
MTANGA COMEDY
Рет қаралды 154 М.
Yanga SC 6-0 CBE SA | Highlights | CAF CL 21/09/2024
12:21
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1,1 МЛН