SHINDANO la GARI LINALOVUTIA lakamilika ARUSHA MANGI aibuka KIDEDEA

  Рет қаралды 126,512

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

SHINDANO la GARI LINALOVUTIA lakamilika ARUSHA MANGI aibuka KIDEDEA
Mashindano yakushindanisha muonekano mzuri wa magari yamefikia kileleni Jijini Arusha nakushuhudia ubunifu wa hali ya juu kwa washiriki wa mashindano hayo yaliyofanyika katika uwanja wa shekh Amri Abeid
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: kzbin.info?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:kzbin.info?list...
GLOBAL RADIO TV:kzbin.info?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:kzbin.info?li

Пікірлер: 86
@bahajajuma5947
@bahajajuma5947 4 жыл бұрын
Mawazo chanya😍....huu ni mwanzo tu bt ni show moja kali sn !!
@godwingodwin4215
@godwingodwin4215 4 жыл бұрын
brother ni nzuri Sana hii show
@godhelplatia3044
@godhelplatia3044 4 жыл бұрын
Waoooo mashindano mazuri sana
@danielkwilemba4715
@danielkwilemba4715 4 жыл бұрын
Mwakani ninawaletea yangu kutoka Zanzibar
@mgedzirpm1541
@mgedzirpm1541 4 жыл бұрын
Mangii nimekuelewa sanaa,
@tudijama3710
@tudijama3710 2 жыл бұрын
Good
@nzengomediapro.leonardshum9954
@nzengomediapro.leonardshum9954 4 жыл бұрын
Hongera kwa show binafsi imenivutia sana, sijui sana magari lkn kutokana na show hii nimejikuta napenda magari na kuwa mshabiki wa magari na ikimpendeza Mungu 2020 lazima nikajionee kwa macho na si kuangalia hapa. Kitu ambacho mmefeli sijui waandishi wenzangu mlijisahau au iko mahala pengine sijaiona, nilitamani kuona interview na mshindi Mr Kanani amefanya maajabu makubwa ambayo sijawahi kuyaona hapa kwetu tz. Ushauri siku nyingine msisahau kufanya mahojiano maalum na mshindi wa jumla, kila la kheri Global Tv.
@simbomart6186
@simbomart6186 4 жыл бұрын
Nimependa sana hii
@mukhusinrwekaza4536
@mukhusinrwekaza4536 4 жыл бұрын
Shindano zuri, waboreshe kwa kuingiza na Magari yaliotengenezwa na watanzania ili sku moja na sisi Watanzania tutengeneze magari yetu, sio kila mara yawe magari ya wazungu.
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 4 жыл бұрын
Gari la mangiiiiii hilooooooooooooooooooooooooo . Lina hadi baaa kweli mangi wee umevurugwa.
@augustinolyimo8709
@augustinolyimo8709 4 жыл бұрын
kibasa mohamedi kabisa
@japharpeter448
@japharpeter448 4 жыл бұрын
Ubunifu wa hali juu pongez kwa mangi
@tudijama3710
@tudijama3710 2 жыл бұрын
Ya
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 2 жыл бұрын
Namba moja ni haki yake aisee
@mahersalum2565
@mahersalum2565 4 жыл бұрын
Uyu jamaaa anajuaaa duh mchaga uyooo
@yussufdjroo1446
@yussufdjroo1446 4 жыл бұрын
Mipira nimeikuba SUBARU I LIKE
@gilbertmtey9633
@gilbertmtey9633 4 жыл бұрын
Naomba namba ya mangi
@mohdnyambu5360
@mohdnyambu5360 4 жыл бұрын
Jamani me naomba mnisaidie contact za Huyo Mr.Kanan na za yule mwenye suzuki kuna kazi niwape.
@Gadgetstz
@Gadgetstz 4 жыл бұрын
moh'd nyambu upo wapi
@adamzachariakinyekile6948
@adamzachariakinyekile6948 4 жыл бұрын
Tupeni taalifa lini tena maonesho yatafanyika tuwaletee magari mzimie arusha na moshi tunawatamani balaa
@makorongohcchemba2490
@makorongohcchemba2490 4 жыл бұрын
JAMANI NAOMBA PAWEPO NA MASHINDANO YA MIKWECHE INAYOTEMBEA
@tatiimunisi4961
@tatiimunisi4961 3 жыл бұрын
Nimekuelewa jiran
@damsonkelvin1215
@damsonkelvin1215 4 жыл бұрын
Jamaa yuko vizur sana
@tudijama3710
@tudijama3710 2 жыл бұрын
Ndio mkar
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 4 жыл бұрын
Gari yng mimi ina hospitali, uwanja wa mpira pamoja na mbuga za wanyama, lkn mwakani nitaweka sheli
@anwaryabdallah2982
@anwaryabdallah2982 4 жыл бұрын
Duh
@frankmwafifi6712
@frankmwafifi6712 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@victorkimario3001
@victorkimario3001 4 жыл бұрын
Umetishaaaa chaliii! Angu
@aizoyoung2049
@aizoyoung2049 4 жыл бұрын
Balaaaa umetixh mkaleee baharia
@filbertkapama8824
@filbertkapama8824 4 жыл бұрын
Mohamed Faris cio kwa hiyo bangi
@tycun8496
@tycun8496 4 жыл бұрын
Camera men mnatuzurumu sana mbna vtu vzur hivi ila mnafanya local mno bana
@josephmakonga3201
@josephmakonga3201 4 жыл бұрын
mangi na sigara mkononi
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 4 жыл бұрын
Best show ever
@sumamdachi8144
@sumamdachi8144 4 жыл бұрын
Victor pallangyo unamjua
@tudijama3710
@tudijama3710 2 жыл бұрын
Safi
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 4 жыл бұрын
Hiyo gari ya Mangi si mchezo
@atikombogolo2356
@atikombogolo2356 4 жыл бұрын
Mwaka jana walikufa watu mida kama hii...msituletee tena zile storry zenu
@nuruelymollel707
@nuruelymollel707 4 жыл бұрын
Hiyo Nissan patrol ni balaa
@mekumeku2484
@mekumeku2484 4 жыл бұрын
Naomben haya mashindano yaendelee tutajitokeza wengi
@omarymussa4815
@omarymussa4815 4 жыл бұрын
Kanan ni chizi magari
@johnsonjosephat1701
@johnsonjosephat1701 4 жыл бұрын
Huyu mtangazaji ana mapepe Sanaa
@elsienjane4735
@elsienjane4735 4 жыл бұрын
This has got to be the most boring car meet In history .... it must be a record of some sort...... the first one I'd prefer to stay home than go there
@hajiame583
@hajiame583 4 жыл бұрын
Haya mashindnao fainali hamuja iweka au vip
@valentineevarist5628
@valentineevarist5628 4 жыл бұрын
haha jamaa anapenda magari kweli mangi
@floydchen6850
@floydchen6850 4 жыл бұрын
Aa
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 3 жыл бұрын
Suzuki Samurai
@deusgabri
@deusgabri 4 жыл бұрын
Wachagga bhana....sijui wanapataga wapi pesa...
@elneymamjema5036
@elneymamjema5036 4 жыл бұрын
Hahahaha
@benmbwele
@benmbwele 3 жыл бұрын
Wajanja...
@upendozengula3416
@upendozengula3416 4 жыл бұрын
Sasa mbona sioni manufaa ya shindano maana kama kuna wataalamu kama hao mbona wanishia mashindano tu Si waweke katika matumizi Tanzania tuache kuagiza magari kutoka nje tuwe na viwanda hapa hapa
@tudijama3710
@tudijama3710 2 жыл бұрын
Good
@filbertkapama8824
@filbertkapama8824 4 жыл бұрын
Mafuta lt4 gar inazma??😓😓😓😓
@mekumeku2484
@mekumeku2484 4 жыл бұрын
Mtangazaji hayo magari ya Kanan ni Peugeot ndo unatamka pijot matoleo yake ni 404 na 405 kuna nyuma yake 403 huyo kanan amezitendea haki hizo gari kwakweli
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 3 жыл бұрын
Tunzo bei gani? I have Nissan Micra MK10 1992 in mint condition as it come from factory!
@johnsam4942
@johnsam4942 4 жыл бұрын
Kanan kastahil
@victormneney8236
@victormneney8236 4 жыл бұрын
Moshi mafundi wapo? Naningependa nasehemu nyingine za tanzania na visiwani walete hii ni fursa kwa watu wenye vipaji Mashindano yajayo waje wote mashindano yanoge
@erickmneney2352
@erickmneney2352 4 жыл бұрын
hi Mneney
@Rogasiandesmond6
@Rogasiandesmond6 4 жыл бұрын
Mangi nimekuelewa, Vitz yangu itakoma
@noelkibere8208
@noelkibere8208 4 жыл бұрын
Duu
@fahadfahmy
@fahadfahmy 4 жыл бұрын
Mtangazaji sio pujo ni pojo
@hugoburuda7334
@hugoburuda7334 4 жыл бұрын
Ipi inauzwa?
@salimujuma8662
@salimujuma8662 4 жыл бұрын
jamani nilini mtaweka mashindano ya bakula
@robertbudodi
@robertbudodi 3 жыл бұрын
Hapo nimenwona Ngoso tyu huyo wa Land Rover
@dumesurualikidukutz5376
@dumesurualikidukutz5376 4 жыл бұрын
me nlijua tu categol ya pili lazima ishinde copy of jeep
@ismailmangare547
@ismailmangare547 4 жыл бұрын
Hakuna gar ya kuipita gari ya Kanani hapo
@johnmbise8996
@johnmbise8996 4 жыл бұрын
Du ni hatar
@hijazhija316
@hijazhija316 4 жыл бұрын
Wenge
@amankamnde9807
@amankamnde9807 4 жыл бұрын
Nauza Toyota land cruse v8 peterol vx Model 2002 bei ml 25 kwa maenezo zaid cm 0688198281 gar iko dar
@sandemiddo5916
@sandemiddo5916 4 жыл бұрын
sda
@sandemiddo5916
@sandemiddo5916 4 жыл бұрын
sda song
@stanleychongola4598
@stanleychongola4598 4 жыл бұрын
Mangi katisha
@jbkajanja374
@jbkajanja374 4 жыл бұрын
katisha sana tu kawaida yake huyoo
@abuuda4754
@abuuda4754 4 жыл бұрын
Tuombe Mungu, mwakani tutabanana... Mangi jipange.
@shedrackboniphace7755
@shedrackboniphace7755 4 жыл бұрын
Yaan hapo ni akili angavu katka vyombo vya moto
@mlamufaridi7476
@mlamufaridi7476 4 жыл бұрын
uyo kanan nahisi kama co mtanzania vile
@dumesurualikidukutz5376
@dumesurualikidukutz5376 4 жыл бұрын
ni mkenya yule
@noelkibere8208
@noelkibere8208 4 жыл бұрын
Mchaga mzungu
@privatusngemera2914
@privatusngemera2914 4 жыл бұрын
uyo ni mangi wa ulaya amekuja kuchukua vyake, kwanza kiswahili ni cha kubahatisha na ameteka akili za watu wengi
@gaspermassawe7397
@gaspermassawe7397 4 жыл бұрын
Labda kwa faida yako huyu amekaa ulaya lakini mda mrefu yupo Moshi,anamiliki gereji take na magari ya usafirishaji ( MALORI),HIVYOO HUYU NI MKAAZI WA HAPAAA MORE TOWN
@adamgogo83
@adamgogo83 4 жыл бұрын
Mshkaj mtanzania mwenye hasili ya kihindi wazazi wake wote wamezaliwa moshi sema nimtoto wakishuwa tu anamiliki kampuni yausafirishaji malori kibao
@privatusngemera2914
@privatusngemera2914 4 жыл бұрын
uyo ni mjeruman
@yusuphbanda139
@yusuphbanda139 4 жыл бұрын
mangi ndo mshindi hapo kanani
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 129 МЛН
MTOTO WA BAKHRESA AUNDA BOTI YA KIFAHARI TANZANIA
6:43
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 209 М.
Raila asema kuwa amepokea ujumbe wa Gen Z wa kutotaka handsheki
4:35
KTN News Kenya
Рет қаралды 74 М.
PENEZA ANASEMA CCM OYEEEEE,,,,UZINDUZI WA KAMPENI CHADEMA GEITA MJIINI
10:09
CHEKA TU. Mzalendo Edition. Mr Beneficial kwenye stage.
15:48
Cheka tu
Рет қаралды 1,4 МЛН
DAR SIO YA MCHEZOMCHEZO!! magari ya zamani yaonyeshwa
22:26
Millard Ayo
Рет қаралды 90 М.
Amazing Repair of a Totally Destroyed Car
8:19
Quantum Tech HD
Рет қаралды 11 МЛН
MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.
41:29