Am a kenyan and i think this team has all it takes to win caf
@peternassari76343 ай бұрын
Exactly
@SweetySabra3 ай бұрын
Hongera sn Mudathir mido wa Mpira assist 2 goli 1umeupiga mwingi mno big up broo
@kambamazig020243 ай бұрын
Kudos to Young Africans for a great performance, I am sure Tanzania has a chance for these two important African championship matches! Yanga and Simba as national representatives you are carrying the Tanzania flag! Let us unite and make sure that one of the cup lands in Dodoma!
@NaftaryMgoye3 ай бұрын
Hongera sana Yanga kwa kufyeka kichaka ili Simba wabaki peupeeee💛💚🏆💪👑
@MohamedAbdallah-dd2dm3 ай бұрын
Young hii tunaweza tukaiona club world very impressive 👏
@KhamisPetroKhamis3 ай бұрын
Leo mpenja umeonyesha utu kwa yanga big up broo
@DoriceSephania-jh6lc3 ай бұрын
Kam we ni mwananchiiiiii like hapa💚💛🇹🇿🇹🇿🥰🙏🙏🔥🔥🔥
@UzimaHalisi-n8z3 ай бұрын
wao hawaogopi??? ❤❤❤ yanga mwaaaa
@DoriceSephania-jh6lc3 ай бұрын
@@UzimaHalisi-n8z😂😂😂😂💛💚💚Ss ndo yangaaa🙌🙌
@HALIMASHABAN-xd9rj3 ай бұрын
Oyooooo💛💛💚💚🖤🖤
@DoriceSephania-jh6lc3 ай бұрын
@@HALIMASHABAN-xd9rjNaona cbe wa dar wameumia kuliko cbe wa sa😂😂😂😂😂
@nicholasakeya67903 ай бұрын
From kenya mwanaunchi mm
@furahambughi49773 ай бұрын
Kwenye shuti la Aziz Ki, Mpenja kasema, "Hiyo ni bunduki, golikipa kwani lazima udake?, maisha yako ni muhimu sana bro!!! 😂😂😂
@HaibaSalehe-tb5vn3 ай бұрын
Ila nyie yanga wanaogopesha Halafu aziz kama umetuminyia kwa ndan ❤❤🙏 kuna namna umevutia vile uliamua kuwa sijui ulikuwajee
@norbytemba12913 ай бұрын
Jamaa anatangaza vizuri sana...... Hands up. Uko vizuri sana Baraka Mpenja
@kwambokka.87263 ай бұрын
I love the commentator.duke abuya is in the best team i !*
@Shadia5443 ай бұрын
Wangapi wa nairudia hii mechi LIKE 10 ILI TUJUANE 😂😂😂😂Ila boka jamaniii zile mbioo😂😂
@SudyKamonongo3 ай бұрын
Nimektumia Namba yangu Zaid ya mara mbili lakn hujanitafuta daah nakuomba tafadhali nichek tuzungumze
@AllyRamadhani-my2zd3 ай бұрын
Mambo
@Shadia5443 ай бұрын
@@AllyRamadhani-my2zd poa tuu
@Shadia5443 ай бұрын
@@SudyKamonongo muongo wewe sijaona namba
@JuliethLughuyu17 күн бұрын
jaman yanga yangu irudi kama hiii🎉🎉🎉🎉🎉
@theresianibret3 ай бұрын
Yanga nyieeeeh yamoto I'll love you yanga 💛💚💚💛
@AshulaMombo3 ай бұрын
I love you yang ❤❤
@davidado96323 ай бұрын
21/09/2024 @yanga on fire 🔥
@اسدحديدي3 ай бұрын
Gonga like kwa mzanzibar mwenzetu mudathir,say hellow
@corneliaprosper82553 ай бұрын
Nimefurahi saaaaana just waoooooh kwa yanga yanguuuu💛💚💛💚💛💚💛
@AziCure3 ай бұрын
Muda ni muda wake yuko moto sana🎉🎉🎉
@aminahussein48663 ай бұрын
Sikulala kwa rahaaa walah yangaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@اسدحديدي3 ай бұрын
Mudathir ni hatari nyinyi. Huu ni wakati wake 🎉🎉🎉 Sifa zake apewe this is zanzibar
@sadahamad61583 ай бұрын
Yanga hii unaifungaje 😂😂😂 nyie ni humu tu 💃💃💃💃 yanga baba lao 💛💚 wakisema cbe ni vibonde waulize wao walipigwa ngapi wanabaki kusonya tu 😂😂
@User-xl1ul4fp9b3 ай бұрын
Hello mpendwa hujambo dada angu. Ila samahani najua si sote ni watanzania tunalijenga taifa letu ila kaa ukijua mnacho kifanya saivi wezio tulisha toka apo yani hapo nisawa na kijana alie zaliwa kwao akazisafisha njia sasa wadogo zake wanapo kuja wakitoboa wanaaza kumzarau kaka yao so ndo kama nyie saivi yanga mnamzalau simba na wakati simba ndo kazisafisha njia❤❤❤😂😂😂😂
@sadahamad61583 ай бұрын
@@User-xl1ul4fp9bsijambo kipenzi ila just for funny usichukulie vitu serious huu ndio utani wa jadi sasa lakin nimekuelewa 🤣🤣🤣🤣🤣
@MkungwaNgwarumbwa3 ай бұрын
Kudos watani kwa kutinga hatua ya makundi 💚💚💚💚💚💚
@Ommywhity73 ай бұрын
Mtangazaji balaa nakubali brather Mungu akujalie ufike mbali Zaidi
@GanguxtorTz3 ай бұрын
Mzize uwa mzize ameuwa😂😂😂
@Olivercharlesjohn3 ай бұрын
Kam kaw jmn yanga mkp❤❤❤❤ raaaaa
@AlfaMwasofu3 ай бұрын
Msimu ujao tutashiriki kombe la Dunia la vilabu Inshallah
@sadahamad61583 ай бұрын
Yanga bingwa yanga tamu yanga rahaa ww huogopi 💚💚💛💛💛💚💪💪
@HamisiMsafiri-m6n3 ай бұрын
💛💚💚💚
@KingKing-hs9xl3 ай бұрын
We huogopi🎉😂
@mwajumampokileomckapela75413 ай бұрын
Ball 🏀🏀 limetembea mno hongera sana wachezaji wetu wote ⚽⚽🟢🟢🖤🖤💛💛✅
@maalimkicheko87313 ай бұрын
Azizi ki kasikia kiliochangu jana Ajafanya masihara mungu Ambaariki na mbaari mudahir na feysal na mzize mojawapo Achukuwe kiatubora
@raynaeafrica9464Ай бұрын
Tènà teñà. Tena bwana teñà..aaaàaa❤❤❤❤😂😂😂😂
@SaidooShaameАй бұрын
Mm mpaka leo naangalia mechi hii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@robbywilson2243 ай бұрын
watanzania sisi cjui tumerogwa na nani?! kiwango anachokionyesha mudathiri akizungumzwi "chama kafunga kigoli kimoja sifa zote kwake..tuwazungumze wachezaji wetu..good performance mudathiri yahya abbasi excellent 👌
@HarunaRamadhani-h7j3 ай бұрын
Huo ubaguzi kila mtu na role model wake...kwahyo watu wasimzungumzie chama kisa mzambia
@dizaiddy19013 ай бұрын
Chama anazungumzia kutokana na mjadala uliokuwepo hapo awali kuwa amezeeka kaka, sasa anawa prove wrong
@hassansaul70983 ай бұрын
Kama wewe unafwatlia mpira, hata ulaya tazama wacheazaji wa katiķati hua hawaimbwi sana japo wao ndio mafunguo ya timu, na hua timu ikifany vibaya wao ndio hulaumiwa
@robbywilson2243 ай бұрын
@@HarunaRamadhani-h7j hakuna ubaguzi hapo ndg" nazungumza ninachokiona kwa mudathiri mpaka National team sio kwa young African tu..
@malietamaliet3 ай бұрын
Hili goli la mama litaua wachezaji wetu adi kocha napna lishamuingia 😂😂😂😂yani sisi ndo tupo mbele ila wavhezaji aanakimbilia mpira kama vile tumetanguliwa 😁😁🇹🇿😁😂💛💚👌 kipa wao kateseka maskin ya Mungu hatokuja kuisahau yanga
@ahmedsalehe94893 ай бұрын
Yanga wakiwa hawaja beti (Platform yeyote ya Betting) hua wanakuaga moto sana
@ziadamuhunzi62103 ай бұрын
kuna vitu vitatu hua namshukuru sana allah ingekuaje nisingekua nimezaliwa kua muislam na ningezaliwa sio mwanaume ningezaliwa sio mshabiki wa yanga.kwq kweli hizi raha nahofia kisukari sasa. mwenyezi mungu nitangulie nilinde zidi ya maradhi na mawazo mabaya. amin
@MaryMpemba3 ай бұрын
Yanga hiyooo!!!💚
@Aphrodite_11223 ай бұрын
Marufuku kuhama timu yako....Wananchi tumetosha!💚💚💚💚💚💚
@cutecutie14113 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@kibegmaster33653 ай бұрын
Wakiamia uku tunawanyonga
@Aphrodite_11223 ай бұрын
@@kibegmaster3365 😂😂😂
@rehemarehema74753 ай бұрын
Mimi shanbiki wa yanga napenda sanayanga ❤🎉 nawapenda sana
@esteralinanuswe3253 ай бұрын
Daah kiukweli Yanga Africans inacheza sana yaan yaan young ni ya Moto.
@jumamaulid35773 ай бұрын
Ilo shoot la aziz ki n ballistic messile 🙌
@reginaldmapunda67023 ай бұрын
Mungu wetu ni yuleyule na ushindi wetu ni humu tuu. Amina.
@mohamedymanzi-h5j3 ай бұрын
yangaaaaa mbeleee mbeleeee yaooh❤❤❤
@LomanaLucasi-yf3qh3 ай бұрын
Duh mtangazaj alikua mzr Hadi lah🎉🎉
@Bongomastermind3 ай бұрын
Maan ya neno bet n kubashiri Wanabet huwa wanabashir kwa timu wasizo kuwa nazo uhakika Ila akiskia yanga inacheza huwa habet but anaweka hela akijua lazma ishinde tuu I love u yanga
@bajakisonzo49353 ай бұрын
This team just wooooohhhhhhhhhh
@IshaeryMwampyate3 ай бұрын
Sem yng y moto xn zimamot hv hawahuoni huu moto wa yng 🙌🙌🙌😚😚😚😚
@SamweliNgandi3 ай бұрын
ukija kichwa kichwa tunakupa salute 3 Zanzibar
@Ashrey823 ай бұрын
Najivunia kuwa Mwananchi🔥🔥
@TysonMwenga3 ай бұрын
Nimeshangilin❤🎉🎉 kama nipo new aman complex raha sana
@SarahAloyce-q3n3 ай бұрын
Love u yangaaa
@abdallahmdiliko80883 ай бұрын
Mimi ni mshabiki wa simba ila kwa chama daaaa mwamba ni smart brain with accuracy boll control.
@GepsonScana3 ай бұрын
Kiukweli Kwa chama tumezingua na tumepoteza mchezaji wa mahanadi kabisa
@ThomsMollel3 ай бұрын
Tukiacha ujinga wa kibongo for sure yanga kwa sasa inatixha
@fat-hiamohd21533 ай бұрын
Hadi Raha yangaaaaa
@FurahaKibiki3 ай бұрын
Aziz ki sana tu. wanyoshe
@MohamedAbdallah-dd2dm3 ай бұрын
Duke abuya uwezo mkubwa 💛💚 🇹🇿 🇰🇪 ⚽️ 🥅
@ZuhuraTwaha-u5n3 ай бұрын
Yanga unaifungaje 💚💚💚💛💛💛
@Khairat-w4v3 ай бұрын
Sijawahi kucomment lkn leo hii nacomment kwagoli lakwanza la azizi kii yani we Acha tu
@rashidmswaki3 ай бұрын
Wana yanga oyeee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZabronMalehe3 ай бұрын
Yanga jitu kubwa sana kipindi hiki
@JohnkagashaMbegera3 ай бұрын
Nakupenda yanga
@MohamedOmari-i9f3 ай бұрын
❤❤❤ naipenda San Tim yang mungu awatagulie mfke mbari
@SidBrand3 ай бұрын
Yangaaaaaa iwe timu ya taifa 🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️😂😂😂
@modohd1723 ай бұрын
Ila mpenja umejuwa kunifurahishaaaaa
@mohamedkutwambi3 ай бұрын
Wananchiiiiii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SHADRACKKAYELI3 ай бұрын
Wakenya tupige likes za duke abuya tukisonga
@JosephChrisant3 ай бұрын
Duke Abuya ni kiungo mzuri sana. Wakenya hii ni azina nzuri sana kwenu.
@naomimassawe48553 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko ❤❤❤❤
@fihirishemaadihussein61243 ай бұрын
Tena bwanaaaaaaa!!!!! Mpenja ana maneno
@alliysaloum25593 ай бұрын
Nimemuona mchezaj wa CBE goli la mwisho akimkataza mudathir asipeleke mpira kati😅😅😅
@bernardgrace38993 ай бұрын
Nimecheka sana…Jamaa anaomba poo
@selemanmaganga-le4zg3 ай бұрын
Mudathir anarohoo mbaya saana na mwenzake bocca.
@VeronicaErasto-l5j3 ай бұрын
yangaaaaaa💛💚
@MaryamMohammed-qk4ub3 ай бұрын
Yanga iyoooo ❤
@eng.lazarongoro3 ай бұрын
yan chama anaimbwa zaidi kuzidi aziz aliefunga goli mbili, hii nchi bhana
@SophiaChmpaya3 ай бұрын
Kafungua njia
@shedadiabdul6543 ай бұрын
Unaumia kutoka Wap?😅
@BornifaceMwampulo3 ай бұрын
Hakika timu inatutendea haki jamani timu tam hii jaman
@GilbertKinula3 ай бұрын
Uyu ki ni atari yanga oyeeeeeee
@FrankDonald-j7i3 ай бұрын
Mpenjaaa salutee
@vitusmzindakaya61663 ай бұрын
Chama Safi sana
@PetruchoHassan3 ай бұрын
Aaah we mpenja vipi kwani arsenal tenaah
@StephanoAdam-hb7zo3 ай бұрын
Wananchiiiiiii ❤❤❤penda sana yanga.
@Ashush-qm6lk3 ай бұрын
Oyooooo❤
@EmanuelGeofrey-o6k3 ай бұрын
Mzize uwa Baba ,, ameuaaaaa😂😂😂 mpenjaa mpenjaa
@AmildaRaymund3 ай бұрын
Mungu ibariki timu ya yanga
@AlawiHassan-z3m3 ай бұрын
Yanga Ndiyo❤
@EliasMambya3 ай бұрын
Hadi nimechoka kushangilia😂😂😂😂😂
@williamuphilipo21203 ай бұрын
Hii ni Real Madrid ama vipi 😂😂😂😂
@Tassyomy3 ай бұрын
Man Of The Match Wa Leo Nampa Mpenja..Dadadeki..Mpaka Anatamani Kulia..😂
@leinaamos3 ай бұрын
Asanteee wananchi
@BahatiMussa-g7l3 ай бұрын
Mwaka huu watasema.mnooooo kwa yanga hiiii😅😅😅
@mkalifanny45553 ай бұрын
Tena tena tena tena bwana😅😅😅😅
@SumaAthuman3 ай бұрын
Tena tena tena yanga tena bwanaaaaaaa ila mpenjaa
@cleriakahemela39333 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🙌
@jmc21963 ай бұрын
Walaekum Salaam warahmatullah mutangazaji ukumbuke wenye siyo wa Islam Amani ya MwenyeziMungu kwawo🙏
@MosesShileka3 ай бұрын
M
@rayisadesigns26463 ай бұрын
Duh udini hadi kwenye mpira? Uliza wanaojua kiarabu wakueleweshe... Assalaam alaykum maana yake ndiyo hiyo hiyo amani ya ya Bwana (Mwenyezi Mungu) iwe nawe!! Soma Bibilia ya kiarabu utaona imeandikwa hivyo hivyo Assalaam alaykum wakimaanisha amani ya Bwana iwe nawe au iwe juu yako... waislam na wakristo hiyo ni salamu ya kawaida tu kwao.... mwachieni Mpenja atupe raha 😂😂😂
@elizabethchabluma-zw5qz3 ай бұрын
Jamani rahahaaaaaa
@fihirishemaadihussein61243 ай бұрын
Chama baba
@Andreamyala-u1j3 ай бұрын
Duuuuh Jana sikuangalia mpira kumbe ulikua mzuri ivi
@UzimaHalisi-n8z3 ай бұрын
wananchi 2nainjoi mnooo jamn,,,, makolo wa2ache na yanga yew🎉🎉🎉
@phina80583 ай бұрын
Goli la azizi ki la kwanza bonge moja la goli6
@TrustMediaGroup3 ай бұрын
Ila AZAM TV ss dk 14 ndio za nn 😢😢😢😢😢😢😢tunaomba iwe mnawekwa nusu saa please 😢😢😢😢😢
@RoranCondrad3 ай бұрын
Hii ndio iwe team ya taifa
@allyachia52583 ай бұрын
We miss 4 clearly chance😢, Dube 2chances, max 1chance ana musonda 1chance😢
@amdeborah_023 ай бұрын
sema muda anaroho mbaya sana imagine dakika ya 93 anachukua mali anawahi kati tena😂😂🙌🏾