Umeeleza vizuri sana.kumbe sio siasa.Hongera sana kwa kutujuza uhalisia wa kifo chake.
@AshaMwamba-m5xКүн бұрын
Pole baba kuwa na subra mzazi tunafanyaje sasa
@ChidyMkojeraКүн бұрын
Hao ni wale watu wasiojulikana poleni sana wote mulioguswa na msiba huu
@yunamirambo2121Күн бұрын
Pole sn kz ya mungu aina makosa
@HamisWawila3 сағат бұрын
Polenta sana kwa mudauu wampito baba ametoa baba ametwaa
@ritapiusnicolaus7068Күн бұрын
Poleni sana
@MasaweMasawe-r5bКүн бұрын
Polen sana nilijua mtasema ni chadema tena
@nyabahailani316913 сағат бұрын
😅 poleni jamani porepore sana
@laninjeje8290Күн бұрын
Kama hujawahi Kuona ndo limetokea sasa😂
@raphaelmacha1173Күн бұрын
Si mbaya hii imekaa vema bado tunamkumbuka sana tena sana marehemu mzee wetu Kibao bado pia twawakumbuka akina soka na wenzake hivyo huyu nae ni sehemu ya wale waliopotea na mpaka sasa hatujui walipo mkuki mtamu kwa nguruwe bado tunawakumbuka nguruwe wenzetu ambao wanatekwa na majibu hatupewi kwa walinda usalama wetu.
@AminaTanzania10 сағат бұрын
Muwe mnawaua nawao waone maumivu ya kuua mwenzao
@laninjeje8290Күн бұрын
Msiba sio changamoto ni janga
@Daniel-g2f6vКүн бұрын
Sio janga ndoto ambayo kila mwanadamu ataitimiza na ndio njia ya haki ya kumuona MUNGU litakuaje janga sasa
@clauschaula2050Күн бұрын
Jamani,jamani,jamani wan,a
@clauschaula2050Күн бұрын
Jamani Watanzania Kwa nini tunazidi kuuana kama wanyama?Hatuna hata hofu na Mungu.Poleni sana wote mlioguswa na msiba huu.