ALIYECHOMA PICHA YA SAMIA AACHILIWA!

  Рет қаралды 753

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Ай бұрын

Hatimaye kijana Shadrack Yusuph Chaula mwenye umri wa miaka 24 ameachiwa huru kutoka mikononi mwa jeshi la magereza baada ya kufanikiwa kulipa faini ya shilingi million tano kutokana na hatia aliyokutwa nayo ya kuchoma picha ya Rais samia suluhu Hassan juma lililopita.
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 8
@user-gy5gu1mn4x
@user-gy5gu1mn4x Ай бұрын
Chadema oyeee ✌️❤️🇹🇿🇹🇿
@jamesmboneko2952
@jamesmboneko2952 Ай бұрын
Wewe ni Shujaa, Umewakilisha Watanzania tulio wengi. Ujumbe umewafikia
@FestolMkumbwa
@FestolMkumbwa Ай бұрын
Nakuona mwanaharakati,madenge,hujawahi ishi kizembe!
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 Ай бұрын
Kama ameachiliwa kweli Hongera sana Ni kweli Mme tumia akili huyu akapimwe Afya ya Akili.
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Ай бұрын
Apewe ulinzi kinyume na hivyo wasiojulikana watampitia kama mwewe ccm sio pw
@yasinkaunda1552
@yasinkaunda1552 Ай бұрын
alitakiwa atandikwe mpumbavu huyu na hawa chadema ndo sababu wanatetea ujinga
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 Ай бұрын
hivi ww umekamilika????
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Ай бұрын
Akili zako finyu kwani kama hampendi na wananchi wameunga mkono juwa awesome kama kwa watanganyika
JOHN PAMBALU ASIMULIA ALIVYOKAMATWA NA KUSAFIRISHWA USIKU KWA USIKU
9:02
Chadema Media TV
Рет қаралды 2,7 М.
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shorts
01:00
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 10 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 36 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 95 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
MWANZO HABARI LIVE: CHADEMA KUWASHITAKI AWADHI NA NYAHOZA
22:12
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 2,6 М.
PATAELEWEKA: CHADEMA KUWASHTAKI AWADHI NA NYAHOZA
6:25
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 1,4 М.
Siku ya nane nane
2:04
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 20 М.
BALAA! POLISI MASHAKANI KWA KUWAPIGA VIBAYA VIONGOZI WA CHADEMA!
4:26
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shorts
01:00
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 10 МЛН