ALIYEKUWA MPENZI WA DIDA AZUNGUMZA/ALIA KWA UCHUNGU/NAUMIA/HATUKUWA NA UGOMVI/WANASEMA NATAFUTA KIKI

  Рет қаралды 40,042

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

ALIEKUA MUME WA DIDA AFUNGUKA KWA UCHUNGU KIFO CHA DIDA ,MAISHA WALIYOISHIA AFUNGUKA MENGI #dida #mashamsham

Пікірлер: 307
@agenesntevi3007
@agenesntevi3007 Күн бұрын
Mungu mpokee Dida....na utusamehe makosa yetu...pole kakangu daaaah 😢
@HappyphaniaHipolith
@HappyphaniaHipolith 3 сағат бұрын
Daaah uy kaka ameongea point sana mpka mejikuta nalia😢Mwenyez MUNGU akutie nguvu katika kipindi hiki kigum unachopitia ....Pumzka Kwan Aman Dada Dida🙏
@luendosabah2047
@luendosabah2047 Күн бұрын
Pole sanaaa kaka yangu.Mungu akutiye nguvu 🙏najuwa kipindi hiki kigumu .Dida Mungu amulaze Maharishi pema peponi mwake 😭🙏.acha wenye kusema waseme hautawakataza sisi wanadamu tuko wabaya.
@rerisamba
@rerisamba Күн бұрын
Kuna wengine mnasema huyu jamaa anajifanya lakini mimi naona anaumia kweli
@aishaomar2287
@aishaomar2287 22 сағат бұрын
Anaumia sanaaaaa
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 22 сағат бұрын
huyo anataka kutrend ametoa nyimbo huyo hana lolote
@زينهاا-ش4د
@زينهاا-ش4د 21 сағат бұрын
Tena anaumia Sana maskin
@rithakiondo1099
@rithakiondo1099 21 сағат бұрын
Mkaka wa watu anasema ukweli kwsbb alikuwa Mpenzi wake
@StarMerinyo
@StarMerinyo 20 сағат бұрын
@@wemaMichael-fr4thkutoa nyimbo si o sababu mbona watu waliyoa nyimbo kwa ndugu Zao waliokufa?usipende kujaji kila kitu huyu mtu anamaumivu sana kuondokewa na mpenzi wake
@dedorakanyamale1568
@dedorakanyamale1568 Күн бұрын
Maumivu Yako Mungu ndo anajua pole sanaa brother be strong
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Күн бұрын
Ameumia, hana sababu ya kuigiza😢 tuliowahi kufiwa na wenza tunamwelewa....pole sana kijana, Mungu azidi kukutia nguvu.
@DoriceStanslaus
@DoriceStanslaus 23 сағат бұрын
muachane atoe nyongo huyu alimpenda sana kwahiyo mwachen atoe sumu kuongea kwake nikutoa simu huyu sipoongea anaweza kupata magonjwa, pamoja kaka mungu akupe wepesi❤
@Solohseleh
@Solohseleh 6 сағат бұрын
kwel kabisa
@aidaharuna5549
@aidaharuna5549 Күн бұрын
Kaka mm nilikuelewa vzr kabla ujaojiwa kwenye hivi vyombo vya habari nilikuona ulivyo umia pole sana kk umeumia sana nakuelewa nakuelewa
@tatumhogo5742
@tatumhogo5742 21 сағат бұрын
Kweli kabisa nimemsikiliza kwa makini ameumia sana sana ila sisi wanaadam ni viumbe watatanishi sana kuelewa mtu lakini watajua baadae kwa atakae taka kuelewa jamaa anaongea nini
@StarMerinyo
@StarMerinyo 20 сағат бұрын
Saana kweli kabisa anaumia mno hadi uso unaonekana daha pole sana NN
@rehemalungo8230
@rehemalungo8230 7 сағат бұрын
Allah amhifadhi Hadija. Pole sana...endelea kumuombea dua na sadaka mtolee marehem. Usiwasikilize waja huwawezi.fanya yaliyo mema.
@joycethomas7918
@joycethomas7918 21 сағат бұрын
Mr Nana pole sana, mimi nakuelewa haswa unapoteza mtu unaempenda. Hao wote Mahasidi wanataka upoteze Ufahamu. Mungu atakutunza na kukupa nguvu. Tunakuombea
@regybaby9067
@regybaby9067 18 сағат бұрын
Pole Kaka mtunzee mwanae asipotee Kwa mikono ya wanafik❤
@kuruthumabdallah4395
@kuruthumabdallah4395 8 сағат бұрын
Mlee mwanawe kwani hana baba yake??
@user_faff84
@user_faff84 Күн бұрын
Ma Sha Allah broo... Dua na kumuongelea mema ya kwake mungu Yupo radhi 😢
@aishaabdul9287
@aishaabdul9287 4 сағат бұрын
Allah akutie nguvu Kwa kweli unauchungu sana
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 20 сағат бұрын
Huyu kaka namuelewa sana,pole sana kaka.Fanya kile unachoona kinafaa maadamu umkosei mtu
@khadizahassan4687
@khadizahassan4687 Күн бұрын
Uko sawa kaka ungelea mema yake n hio n njia moja y kumuombea dua mungu akupe subra kwa mda huu mzito InshaAllah
@NajmaMohammed-sn4vh
@NajmaMohammed-sn4vh Күн бұрын
MashaAllah, Yani Mungu amsamehe dhambi zake za Siri na dhahiri ....Amin
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 сағат бұрын
Mungu amtie nguvu ,rip da dida🙏
@BarbaraIssack
@BarbaraIssack 13 сағат бұрын
Pole Sana ,najua namna ulivoumia
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 8 сағат бұрын
Nimelia snaa😢😢😢Allah amjalia jennah na amsamehe makosa ya siri na dhahiri
@SkeetoSsaa
@SkeetoSsaa 3 сағат бұрын
Pole sana kaka uckie tu kufiwa wallah inauma😢😢
@SalmaSamiry
@SalmaSamiry 5 сағат бұрын
Pole sana kaka mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu 😢😢😢😢maumivu yako hakuna anae yajua japo wat wanasema una pretend ila unamaumivu Sanaa Pole sana 😢 😢😢
@abuhassan9552
@abuhassan9552 23 сағат бұрын
Hawa ndugu zetu wa Tanzania wengi wao hi ZINAA kwao ni kawaida tu badili ufite uchafu mulio ufanya saahi waendela ku uchangaza ili watu wote wajue subhana llah Allah atuongoze
@ArafaArafa-e7q
@ArafaArafa-e7q 7 сағат бұрын
Pole sana kaka angu kuwa nasubir 💔💔💔😭😭😭😭 wallha Huy kaka anaumia sana 😢😢pole
@AminaAbdallahRashid
@AminaAbdallahRashid 5 сағат бұрын
Pole sana Bro. Mungu Akupe subra na Imani
@maernov4257
@maernov4257 4 сағат бұрын
Pole sana kaka mshukulu MUNGU kwayote
@NazmaJuma
@NazmaJuma 15 сағат бұрын
Pole sana Kaka angu Allwa atakujaaliya Sahau japo si rahisi kusahau kwa Mara moja zidi kumuombea duwaa Allwa Assamese makosa yake Ameen😊😊😊
@FatumaMwandendi
@FatumaMwandendi Күн бұрын
Pole sana kaka sema tu wema wake maana unaujua zaid ya mashabiki zake na moyo wako utapata amani
@MariamRashid-sm5zw
@MariamRashid-sm5zw 6 сағат бұрын
Mimi nakuamini sana mungu atampa pepo inshaallah
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla 22 сағат бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah Allah amkubalie mema yake na amsameh makosa yake pale aalipokosea amin yaarab
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 17 сағат бұрын
MashaAllah TabarakaAllah kumbukumb ya mwsh namrudia mungu
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Күн бұрын
Allah amuhifadhi janatul firdhaus ampe kauli thabit 🤲 pole sana kska inauma kwakweli nkuona waumia mpka moyoni😢
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 7 сағат бұрын
Firdausi so kitu rahisi ndugu ni pepo ya gharama sana afu kitakachokusaidi ulichotenda duniani duwa hazikusaidii kitu ukishafumba macho ww cha kusema mungu amsamehe makosa yake na amuweke sehemu anayostahili kuwekwa unampa firdausi kabisa ujui Allah anamuweka wapi
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Күн бұрын
Weeeeeeee lisilikute hili la Mr Nana! Huyu jamaa inamuuma Sana! Muwacheni huyu bwana......inaumiza sana!!
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 Күн бұрын
Allah ajaalie Kabri liwe lenye Nuru Inshaallah
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 Күн бұрын
اللهم امين يارب العالمين
@MariamRashid-sm5zw
@MariamRashid-sm5zw 6 сағат бұрын
pole sana kaka mungu ututie nguvu
@GraceGody
@GraceGody 10 сағат бұрын
Pole sana mungu akutie nguvu nana tumuombee
@زينهاا-ش4د
@زينهاا-ش4د 21 сағат бұрын
Pole sana kaka Allah akupe subra na pia amueke marehemu pema pepni😢😢🤲🤲
@eddymaphy
@eddymaphy 2 сағат бұрын
Mwanaume hapendezi KULIA mbele ya Umma au mbele ya Mwanamke hatakama kuna uchungu zaidi
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 22 сағат бұрын
Kaka tulio wengi hata kama tunapata fedha atutowi sadaka wala kuwasaidia wenzetu tunaona hasara,kwa hiyo kaka we wala usijali❤❤❤🎉🎉🎉
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 21 сағат бұрын
Uyu jama yy na juma lokole wanaumia Sana lkn hususani uyu anatumia maana wamefanya mengi yy na marehemu
@rerisamba
@rerisamba Күн бұрын
Dida Dida kumbe ulikua mzuri hivi jamani kumbe hukua mchoyo ulisimama mpaka na wajane pia na yatima
@fauzenkassim8424
@fauzenkassim8424 23 сағат бұрын
M-mungu ukimkopesha atakulipa tu lakini kwa siri 😢😢 Allah amjaalie izo sadaka zake iwe muangaza wa kaburi lake 😢😢 kuondokewa kugumu Allah awajaalie subra
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 Күн бұрын
Pole kaka mtu ambaye hajawahi pata msiba wataongea waache waongee af hao mapresenter wanatafuta maviewers Wanatafuta ugali unaumia sana kaka pole
@Madina-h1g5l
@Madina-h1g5l 3 сағат бұрын
Kwawanao sema hanajifanya huyu kaka hawajuwi uchungu wa kufiwa wamwache kaka wa watu ndiye anaye juwa uchungu aliyo nao
@JanethKassim
@JanethKassim 4 сағат бұрын
Daaah huyu kaka jmn😢😢😢
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Күн бұрын
Binaadamu tunapenda sn ku judge kwa kuona sura ya nje, allah kareem 😢
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 23 сағат бұрын
Pole sana ndugu yangu japo kuwa wanakuambia kik we usijali cha msing muombe dua kila wakati😭😭
@dorahbenard1837
@dorahbenard1837 Күн бұрын
Ndio maana sisi wa kristu huweka msiba siku 3 mtu ili ulie umalize jamn Sasa mtu wanampeleka haraka haraka hata kumaliza mtu huwezi maliza daa! But rest in paradise dada etu dida.😔
@kautharjay5868
@kautharjay5868 20 сағат бұрын
Baada ya siku tatu hamlii??au hizo siku tatu unalia mda wote??.au mkiweka ata wiki mtalia tu .msiba sio kulia tu na kumuombea dua ata ukumuacha mwezi kashakufa Haina mantiki hoja Yako .mtu akifiwa na mtu wake wa karibu anaweza kukumbukaba ata baada ya miaka
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 19 сағат бұрын
Wewe na nani, usichanganye mila na dini. Mfano ndugu zangu wajaluo hukaa hata zaidi ya mwezi wakifanya mipango yao.
@ApoloCasemilo
@ApoloCasemilo 5 сағат бұрын
Kwa mtu unaempenda hata upewe mwaka huwez kumaliza kulia maumuvu Yale yale
@ApoloCasemilo
@ApoloCasemilo 5 сағат бұрын
Pamoja Sana zaid maiti ikiwa ndani maumivu malambili uzikwe Leo uzikwe wiki Hali ya msiba haija wahi kuzoeleka
@rayaali-s2t
@rayaali-s2t Күн бұрын
Allah amfanyie wpc kwenye sfr yake ampe husni hatma yarabilaamina 🙏
@HajaryMuhammad
@HajaryMuhammad Күн бұрын
Allahumma ameen
@hildajoel5
@hildajoel5 4 сағат бұрын
Alikua mkewe halali wa ndoa japo waliachana. Ana haki ya kulia jamani. Hata kama walitofautiana lkn linapokuja swala lakifo ni ishu nyingine kabisa. Sisi mashabiki tumeumia hadi basi sembuse yeye aliyekua analala naye kitanda kimoja😢😢
@angeharushimana7431
@angeharushimana7431 17 сағат бұрын
Pole sana kaka kila nikiona video zako uwa najisikia vibaya sana ila mungu ndo anajua maumivu yako muombeye tu dua apumuzike kwa amani😢😢😢😢😢😢😢
@rerisamba
@rerisamba Күн бұрын
Waa kumbe Dida alikua mtoaji hivi mmm ana taji kubwa
@rukyomar1955
@rukyomar1955 22 сағат бұрын
Jamniii I wish sku nikiondoka some one alie kama ivo kwa ajil yng😢 lakin nashkur watot wng watalia😂😂😂
@devisfrank6637
@devisfrank6637 Күн бұрын
Stay strong brother💪
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 20 сағат бұрын
Nahisi dida kama amesafiri😭😭😭😭😭😭 atarud
@rahema1992
@rahema1992 Күн бұрын
Pole sana kaka allah akupe nguvu na subra na yy allah ampe mwangaza ktk kaburi lake
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija Күн бұрын
Allah ndie ajuwae zaidi ila sasa wew kaka ungekaa tu kimya umeumiya kweli ila ndio kazi yake Mungu atakaejunguwa ni Allah aombewe tu dua ndio cha msingi kitu chakwanza kuulizwa ni swala kama swala zake zitakuwa zimeeongoka basi mambo yake yote yatakuwa vizur tuombe mwisho mwema tu
@SalmaMakuwani
@SalmaMakuwani 15 сағат бұрын
Mungu amlaze mahalipema peponi,pole kaka pole sana mungu akutie nguvu
@priscillahbakari5185
@priscillahbakari5185 Күн бұрын
This guy was hurt jamani....be strong man
@SeverinoLuis-j1h
@SeverinoLuis-j1h 3 сағат бұрын
Kaka acha izo tafuta mchepuko mawazo yataisha
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 5 сағат бұрын
Siku zote ukiona mwanume analiya kwa mfano kama huyu analiya kafiwa.kuna wengine huliya na mapezi.basi ujuwe ameguswa ndani ya roho.mwanaume kulia ni vigumu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 7 сағат бұрын
Daaah mwanangu ukumuowa yule so mke halali kwako hapo ni sawq na kutangaza uzinifu hazarani kuwa ni halali tuuuh
@naimajuma647
@naimajuma647 Күн бұрын
Watu huwa wanajaji juu ya muonekano wa mtu hawajaji moyo wake na matendo ila jibu limeonekana kwenye mazishi yake ni ishara ya mtu mwema. Allah aliangazie nuru kaburi lake na amrehemu na kumpa pumziko la amani daima milele 🤲
@angelraphael4500
@angelraphael4500 7 сағат бұрын
Lazima ulie atakulea nan umaliooo mbaya😅😅😅 mwanaume wa kupaka mkorogo jmn😅😅😅
@HappyphaniaHipolith
@HappyphaniaHipolith 2 сағат бұрын
Angalia manen y kuongea jmnii ujui uy kak anaumia kias gan ..
@HabibaMkopi
@HabibaMkopi 12 сағат бұрын
Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema awaape nguvu ktk kupindi hiki
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod Күн бұрын
😢😢😢DIDA Pole sana kaka
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 9 сағат бұрын
Ifikiye atuwa Waite tue wa cha mungu kwa maana Dujiangyan mapitoe km dida yasaidia kheri allah atatia nuru katika kaburi lake ss unavyo taka watu waseme waseme nini. Jamanii ungesema watu tukuombeye dida tumtoleye sadaka. Ndoo ningekuelewa etiii watu waseme ili arudie acheni ibyo kujitupisha ufahamue na nyinyi ni waislam
@esthermatisho2604
@esthermatisho2604 23 сағат бұрын
Pole sana kaka yake. Mimi mwenyewe kama shabiki tu nililia kweli,mpaka leo siamini,ije kuwa kwa mtu ulio kuwa nae kwa mahusiano it's painful and traumatising. Mungu awe nawe ❤
@ApoloCasemilo
@ApoloCasemilo 5 сағат бұрын
Kaka kiukweli katika vitu vilivyo niumiza katika huu msiba pamoja na ww kiukweli nilikuwa ckufaham tangu utokee msiba nimeanza kuku ona na kuku fatilia naumia naumia Sana zaidi yasana video inae kuonesha upo msikitini unaangalia jenenza la dida wengine wakatoka umebaki pekeyako naumiaaa Mimi nalia kanakwamba nakujuwa daaaa pole haielezek Zaid ya maumivu😢😢😢😢
@FaidaNdayizigiye
@FaidaNdayizigiye 20 сағат бұрын
Pole Mr Nana upo sahihi sana
@JaneDoe-hf3zy
@JaneDoe-hf3zy 23 сағат бұрын
Pole sana kaka ila usiaje kusaidia watu hata kama dida kasha ondoka yeye ame umaliza mwendo
@emmasonanjawe9042
@emmasonanjawe9042 Күн бұрын
Pole mwamba mi nimekuelewa sana pole kaka.Mungu akutie nguvu
@MashaMwakindangi
@MashaMwakindangi Күн бұрын
Nilisema Mimi kama hawa walirudiana kinyemela
@saidimiarage
@saidimiarage Күн бұрын
Hawa hawakuachana Ile ni zuga tu maana alikua hajaachika
@MashaMwakindangi
@MashaMwakindangi Күн бұрын
@@saidimiarage ndio lkn watu walivyo wajinga wanamsema anatafuta Kiki binadamu sisi roho zetu mbaya
@saidimiarage
@saidimiarage 23 сағат бұрын
@@MashaMwakindangi hakuna kiki hapo huyo ana msiba maana kama walikua na malengo ndio bas tena lazima aumie
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 9 сағат бұрын
Sio lazimae mtuu Aden’s kk km weye unasema sense tuu Arawak watu even wakisema dida atarudia soon kikubwa tuu ni kusema atu wamoombeyee dua nawamtoleyee sandakan ss wakisema ndoo dida aarudiae heee
@McT-m1m
@McT-m1m 23 сағат бұрын
Hata mimi mara ya kwanza kumjua alimsaidia msichana elfu kumi nimeitafuta sijaiona
@Tumaini-j9i
@Tumaini-j9i 8 сағат бұрын
Amina kaka pole
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz 19 сағат бұрын
RIP DIDA POLE SANA KAKA KWELI UKIPOTEZA MWEZAKO SIO RAHISI KABISA
@MaryamHAMISI-ei9fq
@MaryamHAMISI-ei9fq 22 сағат бұрын
Pole Sana kikubwa nikumuombea dua
@devisfrank6637
@devisfrank6637 Күн бұрын
Its so paining Dear God atujalie mwisho mwema...
@Freealltheguyz
@Freealltheguyz Күн бұрын
Amiin yaarabi
@marryngaiza2061
@marryngaiza2061 22 сағат бұрын
Kaka haina haja ya kusema mema ya marehemu anayejua ni MUNGU TU
@Wazir-y5k
@Wazir-y5k Күн бұрын
Kwa waliosaidiwa na dida si lazima waongee mitandaon kwamba walisaidiwa bali ulazima upo kwa wao kumuombea dua dida katika ibada zao misikitin na makanisan lkn siyo lazima mitandaon tu
@ConfusedBalkhHound-on2mx
@ConfusedBalkhHound-on2mx 22 сағат бұрын
Mashallah Allah amsamehe makosa yake pole sana ndugu yangu
@MariamRashid-sm5zw
@MariamRashid-sm5zw 6 сағат бұрын
mfanyie duwa aliyekuwa mwenzio namungu atakulipa achana nawatu
@hamisaabdalah6232
@hamisaabdalah6232 18 сағат бұрын
Pole nana mungu akupe imani.
@Adje244
@Adje244 16 сағат бұрын
Huyu kaka anaumia wala sio Kiki kama watu wanavyo fikilia😢😢
@AsiaMsenga
@AsiaMsenga 22 сағат бұрын
Bas usipige tena kinanda ukipata fahamu najua asa hivi hujui ulitendalo mungu akusamehe
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 7 сағат бұрын
Kinanda kina shida gani???
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 6 сағат бұрын
Unataka apige k yako instead?
@Mwanah27
@Mwanah27 15 сағат бұрын
Ungemuoa jaman daaah 😭😭 au me ndio sijasikia ndoa yao
@DiannaDomisian
@DiannaDomisian 7 сағат бұрын
Pole sana kaka
@LucyRafeali
@LucyRafeali Күн бұрын
Sema kaka angu achana nayo hawo wasiyekuelewa Mungu ampuzishe kwa Amani
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 Күн бұрын
Umeongea vizuri sana bro nilazima uwafahamishe kina sheikh Mwaipopo wanaomuhukumu Dida wakati hawamjui Dida
@Tumaini-j9i
@Tumaini-j9i 8 сағат бұрын
Pole kaka
@dorcasmaghuwa8665
@dorcasmaghuwa8665 Күн бұрын
Pole sana
@omanmct135
@omanmct135 10 сағат бұрын
Aaalllah kupesubra kaka
@salimakuyela7813
@salimakuyela7813 Күн бұрын
Uko Sawa kaka amari yake ndio itayomfaa Kwa Sasa🙏🙏
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 21 сағат бұрын
Hili la kutoa sitalipinga maana hata hana isha mashauzi alihojiwa alisema dida alikuwa mtoa sadaka mzuri sana .bro pole sana .maa hata milipoachana hukuwahi kumsema vibayq
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 17 сағат бұрын
Mbegu ya Mungu ikipandwa haiozi hata wasiposema Mbingu zitaongea hazifungamani maana alitoa sirini lakini Mungu ni WA wazi hamnaga Siri.
@NayfatyKisatu
@NayfatyKisatu 19 сағат бұрын
Pole xana kaka Mungu akutie nguvu
@irenematovu2084
@irenematovu2084 23 сағат бұрын
Ohhh love an in usa thats the mindset of African usijari mr Nana thx for loving her dear may her soul rip never mind them dear so sorry hone
@nadhraabdulaziz9193
@nadhraabdulaziz9193 22 сағат бұрын
Ila dida jaman yote tisa alikua humble sana dida
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 21 сағат бұрын
pole sana dear minakumbuka nilikua na boyfriend wangu tangu first year ifm alikua ananijali nakunipenda sana baada yakumaliza chuo tukapotezana nikaja kuolewa na jini lakichaga yani nikapata taarifa kapata ajali nakufariki nililia sana nilimkumbuka pamoja nakwamba nliolewa namwingine mpaka sasa niliamini yule alikua mmewangu mpaka leo inaniuma namuombea huko aliko Mungu amrehemu,
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 19 сағат бұрын
Vp jini lako mnaendeleaje dear! Ushalikemea?
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 19 сағат бұрын
@@rehemavickie6521 tulishaachana nalo hahaa
@joycehaule9717
@joycehaule9717 8 сағат бұрын
​@@rehemavickie6521hahahahaa
@salimakuyela7813
@salimakuyela7813 Күн бұрын
Allah ampe kauli thabiti yarabi 😢 ila hiyo kauli yakusema wewe ni mume usiitumie Tena kaka angu ila mengine uko sahihi mwenyezi mungu ampe kauli thabiti yarabi🥲🥲🥲🥰🥰🙏🙏🙏
@rehemajuma4915
@rehemajuma4915 9 сағат бұрын
Pole kaka it's really hurt
Nandy feat Billnass - Totorimi (Official Music Video)
3:54
Nandy - The African Princess
Рет қаралды 305 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 4 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 111 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 12 МЛН
How England's most traditional meal is changing
6:44
CBS Mornings
Рет қаралды 163 М.
Ex-Hamas-Geisel spricht über ihre Gefangenschaft | auslandsjournal
23:54
ZDFheute Nachrichten
Рет қаралды 28 М.
Players Brace For X Empire Listing As Hamster Dumps
6:38
Channels Television
Рет қаралды 10 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57