ALIYEKUWA MUME WA MARTHA MWAIPAJA AMWAGA MBOGA | AMKANA YUKO UPANDE WA BEATRICE

  Рет қаралды 26,841

VOT MEDIA

VOT MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@RebecaMbembela
@RebecaMbembela Сағат бұрын
Martha mungu akupe kuelewa kama ni kweli Rudi kwa yesu upya
@annanamuyala
@annanamuyala 2 күн бұрын
Anae mujuwa mungu kweli kweli atashuka kwa mwenzie kwani ukijishusha utaonekana mujinga hapa lli moto uzime na ufalime wambinguni ipate🙏🙏
@GlorydavidJeremiah
@GlorydavidJeremiah 3 күн бұрын
Martha Mwaipaja Mungu akupe neema ya kunyamanza
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc 22 сағат бұрын
Kunyamaza Sio ila nikumupmbea apate neema ya Mungu aponywe
@PierreBukasa-fu3yx
@PierreBukasa-fu3yx 3 күн бұрын
Wewe martha na huyo joani ni mawakala washetani, joani sio mtoto wa martha, Ila hao wanamambo wanayo Fanya ya siri, na sio wewe tu martha mpo waimbaji wengi ambao mmevunja ndoa zenu, kuna nini ninyi waimbaji, joani acha kuchonganisha ndugu, beatrec sio kichaa anaona uchungu na ndugu yake, wewe sio mtoto wa martha hana mtoto mkubwa, mtoto wake ni mmoja tu, wakiume, huna haya, eti mamaangu, mungu atawaumbua,
@EstherCharo-lc3md
@EstherCharo-lc3md 3 күн бұрын
Niwapuzi sana
@jkuser7593
@jkuser7593 3 күн бұрын
Wanasagana
@ElyceMwageni
@ElyceMwageni 3 күн бұрын
Huenda mungu anazungumza kupitia kinywa Cha beatrice ila wengi hawajamuelewa pia ule ni ushuhuda siyo story Wala mahubiri
@SaumuSaumu-x8g
@SaumuSaumu-x8g 5 сағат бұрын
Naskikia huwa wanasagana
@SaumuSaumu-x8g
@SaumuSaumu-x8g 5 сағат бұрын
Nasakia niwasagaji kwahyo akimuacha huyo mtoto atamwaga mengi simo😅😅
@EstherCharo-lc3md
@EstherCharo-lc3md 3 күн бұрын
Hatakama wewe na dadako mnaugomvi ndio hata mamako usimsaidie sinilaana hiyo jamani mamako ni Mungu wako pili
@MercyNalomba-d4s
@MercyNalomba-d4s Күн бұрын
Jamani Sasa Toka lini ex akakusemea mazuri huyo jamaa ni chizi 😂
@EvaMongi-y2r
@EvaMongi-y2r 2 күн бұрын
Huyu mwanaume naye hapaswi kuongelea chochote ni kukaa kimya kuliko kuongea yeye alikuwa wapi kuyaongelea haya je alimtuma beatrc aanze yeye amalize au hapaswi hata kidg busara ni nzuri sana hao ni ndg hawaingiliwi hata kdg
@EstherCharo-lc3md
@EstherCharo-lc3md 3 күн бұрын
Ndio maana wanadanganya mpaka martha siku hizi anavaa masuruali na bado ataumbuka sana Mungu hadhihakiwi kwa fimbo ..martha utaibika mzazi wako aliye kubeba tumboni miezi 9 hataka anamakosa kumbuka huyo ni mzazi wako acha upuzi wewe usijione na hivyo vipesa vyako hutazikwa nazo ni mali za dununia tu hizo soooo heshimu mamako uache ujinga utaumbuka kwa Mungu na bado.
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 2 күн бұрын
Kusema kweli haya masharti kina matha wanayopewa na miungu yao inawatesa.kwa macho ya nyama wanaoneka malaika lkn ndani ya mioyo yao wanateketea.neema ya Mungu iwakumbuke.
@SaraM-m1d
@SaraM-m1d 3 күн бұрын
Mungu wangu 😭😭
@RoseMery-r4e
@RoseMery-r4e 2 күн бұрын
hapa sasa naanza kuamini ya Bitrice maana yeye pia alitaja miungu mmh ?? mathar na huyo mwanae waongo
@samweli7985
@samweli7985 2 күн бұрын
Matha, nimsagaji, hii Siri ilijificha nasasa imefichuka
@richardamswetyjesus8017
@richardamswetyjesus8017 Күн бұрын
wanasikitisha sana
@magejuliani5293
@magejuliani5293 2 күн бұрын
Achaneni na maisha ya Martha! Martha endelea kujifunza kunyamaza! Huyu kaka nawe jifunze kunyamaza na ukiachwa kubali kuachika nyie si wa kwanza acha kumchafua Martha!
@JanethMadios
@JanethMadios 22 сағат бұрын
Acha unafki mbwa wewe kwaivo wewe ndo unamjua Martha kuliko walioishi nae??????? Em kwendraaaaaaaaa bwana mmbea mkubwa mnafki unashadadia usenge na usagaji kwenda kule
@joycekalago532
@joycekalago532 13 сағат бұрын
Mwaipaja atakua amepewa mashart asisaidie wazazi wake
@JudithSoko-c8w
@JudithSoko-c8w 3 күн бұрын
Tumuamin nani ee ama kweli ya ngoso mwachie ngoso
@EstherCharo-lc3md
@EstherCharo-lc3md 3 күн бұрын
😂😂😂
@josephkalambi7178
@josephkalambi7178 15 сағат бұрын
Ila huy ex wa matha mh!
@AnisethaWinchislaus
@AnisethaWinchislaus 2 күн бұрын
Jaman mungu ndo aonae sirin
@Zulfakasalile
@Zulfakasalile 3 күн бұрын
Kazi kweli kweli.
@samwelmigera7274
@samwelmigera7274 2 күн бұрын
Mungu ndo anaefahamu ukweli kati yenu na mapenzi ya Mungu yatimizwe kati yenu
@SaraAron-i7t
@SaraAron-i7t 2 күн бұрын
Sio kila kitu ni chakuongelea Siri ya maisha ni ya wahusika wenyewe pia don't like to judge others problem
@MarianLyakurwa
@MarianLyakurwa Күн бұрын
Nyimbo za gospel zikitaja baba badala ya yes hta waislam wsnapennda kuzisikilizs ache uongo Mungu ndio baba
@SaadaNdaro
@SaadaNdaro Күн бұрын
Shida watumishi
@issaalfani1030
@issaalfani1030 3 күн бұрын
Nimependa sana hili maana hawa viumbe wakisha pata pesa tu hawajawahi kuishi kwa misingi ya kiungwana kama mwanaume huna kitu hesabu umeachwa
@YusuphMdaki
@YusuphMdaki 2 күн бұрын
Mume bwege nabii feki unatoa sir za familiar mtumishi wa mshahara hakuna mtumishi anaye ropoka mambo ya nyumbani kwake badala ya kuwapatanisha unachagua upande?????
@MarianLyakurwa
@MarianLyakurwa Күн бұрын
Hana lolote alijua Martha atafel Sasa wameaibika. .mnataka kumuharibia we jamaa huna lolote
@ashurahaji4794
@ashurahaji4794 3 күн бұрын
Kwenye familia Kuna mambo mengi
@samweli7985
@samweli7985 2 күн бұрын
Wasiyo elewa, na wamelewa na mapenzi ya kumpenda matha, wataelewa baadaye
@JaneMinga-x5g
@JaneMinga-x5g Күн бұрын
Hili jambo mlio rohoni omba msijemkaikosa mbingu kwaajili yakushashia mambo ambayohatunauhakika nayo
@RebekaKalinga
@RebekaKalinga 2 күн бұрын
Kama ni kweli humdumii mama utafuta Lana hutakaa ufanikiwe chochote
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p 3 күн бұрын
Ndo shida yakuishi na ndugu matokeo yake ndo haya
@YusthaMlowe
@YusthaMlowe 2 күн бұрын
Dada angu matha mamaako ndiyo nikila kitu unachokifanya kwenye safari yako yamaisha hapa Duniani cheza baba usicheze namama.
@IvanMocha
@IvanMocha 3 күн бұрын
Natamani matha angekaa kimya
@dorisNyanda
@dorisNyanda 3 күн бұрын
Saa ingine shetani mnamuonea,Yuko zake hukoo anamfariji Balthazar.huku tz mnamsingizia eti anawatumia Martha na beat.mumpumnzishe jamani.dhambi zingine hata yeye anashangaa.
@eyleenchepkoech8399
@eyleenchepkoech8399 3 күн бұрын
"Jemedari" I think the latest song ya mwaipaja Haina Yesu?
@phaniceayieno8739
@phaniceayieno8739 Күн бұрын
Really? umeusikiza nyuma ya tv yako au? Acha kufuata upepo.
@shangwefisima54
@shangwefisima54 3 күн бұрын
Yatafunguka mengi
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 2 күн бұрын
Weeee Mwanammeee ni SHETANIIII MKUUUBWA. ACHA KUCHANGABYA DAMU. LOOO. UTEMBEE NA SHEMEJIO WACHAWIII. NYIEEE WALA SIO DINI BALI NI USHANGINGIII WEWE BABA LOOOOOO MCHAGUUU MKUBWAAA WEEEEEWEEEE
@dfremac
@dfremac 3 күн бұрын
X bwana wa martha aongee ukweli kulingana na maongezi yake yeye ni mpenzi wa Beatrice
@chizabuganilo3203
@chizabuganilo3203 3 күн бұрын
Kinachokutatiza ni lugha au ubongo wako mdogo
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 3 күн бұрын
Muachen Matha wetu
@tanzaniatouristsattraction1622
@tanzaniatouristsattraction1622 3 күн бұрын
Duh hawa ndo walokole tunaoiga mfano
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 3 күн бұрын
Washaurini watafute wajomba na mama zao na baba zao waliobaki wawakalishe waelewanae
@DEBORAHMASANJA-yz3go
@DEBORAHMASANJA-yz3go 3 күн бұрын
Kweli kabisa
@gimfilmsandseries
@gimfilmsandseries 3 күн бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤❤
@happyndaga4043
@happyndaga4043 3 күн бұрын
Msimalizane, msipande miiba kwenye njia ya ndugu yenu, iposiku mtapita.
@AnneMwasile
@AnneMwasile 3 күн бұрын
Kumbe matha na Binti yake Joan waongo wanatumiwa na shetani eee Munguuuu weeeee
@carolinecaroline-rs7pr
@carolinecaroline-rs7pr 2 күн бұрын
Lazima amtete sababu alikwa ana mtoba Matha kanyamaza bado Wana familiar tu
@gidiongervas2489
@gidiongervas2489 2 күн бұрын
Huyo Beatrice na huyo Joan ndio sababu ya ndoa kuachika ko achene tuhuma msizozijua
@shangwefisima54
@shangwefisima54 3 күн бұрын
mh mbon mazito
@azizammbaga7936
@azizammbaga7936 3 күн бұрын
Tobaaaa weeee sjw nilizumu lipi mimi jamn uuwiiiiii
@ReginaLyimo-tg8ho
@ReginaLyimo-tg8ho 3 күн бұрын
Mnamchafua
@lucyalto7320
@lucyalto7320 3 күн бұрын
Sema wanpost vitu nusu nusu mgeenda kule alikokuwa anatoa ushuhuda kaongea vitu vingi sanaa Beatrice Yuko sahihi
@chizabuganilo3203
@chizabuganilo3203 3 күн бұрын
Wanamchafuà nan? Au na ww ni mlokole
@ReginaLyimo-tg8ho
@ReginaLyimo-tg8ho 3 күн бұрын
Mnamchafua
Beatrice Mwaipaja - Mama (Official Music Video)
5:43
Beatrice Mwaipaja
Рет қаралды 204 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
🔴E! MATHA MWAIPAJA APASULIWA VIBAYA SANA | VITA YAIBUKA UGONVI NI MKALI
2:43
MAPACHA WENYE DREAD WAWACHANGANYA JUDGES
5:51
BongoStarSearch
Рет қаралды 638 М.
DADA WA KAZI MFANO WA KUIGWA
8:48
WanawakeLive Tv
Рет қаралды 241 М.