ALIYEMPIGA MKE AJITOKEZA WANANCHI WAMZINGIRA NA KUMSHUSHIA KIPIGO NUSU KUFA.

  Рет қаралды 49,329

GADI TV

GADI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 122
@samsonkhenan8473
@samsonkhenan8473 Жыл бұрын
Kwanini Askari mmoja
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥nguvu ya umaaaaaaaa ,asanteni raia .hapo ndo tunataka sheria mkononi itumike km hivyo.hajakufa ila kafunzwa umbwa uyo
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Huyu dada akili hana kabisa mpaka auliwe pumbavu kabisa
@shadyaadam8919
@shadyaadam8919 Жыл бұрын
Mdada pole sana Ila kwa ushauri wangu hy Sy mume, japokuwa bd unampenda. Ukiendelea nae ipo siku atakumalizia na wanao ndy watapata hasara au wazazi wako kukupoteza ww. Ushauri wangu move on!!!! Wanaume ni wengi sana. Utampata atakaekufaa. Ila pole sana
@elizabethjakobo279
@elizabethjakobo279 Жыл бұрын
Jamani... Ihi Arusha umezidi Sana
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Safi sana wamemshikisha adabu huyo mwanaume katili wangemmaliza kabisa hafai, na hii ndio iwe fundisho kwa wanaume wa namna hii washughulikiwe kweli kweli ili vitendo hivi visijirudie tena
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Duh subhanallah 🤔 Yani ndoa hiyo 😓 sikai kwakwel 😓😓Chunguzeni kwanza akina dada wanaume wengine wababe Astaghfiru llah 😰
@roseafrael75
@roseafrael75 Жыл бұрын
Na bado dada anampenda mume wake jamani hapa sidhani kama sheria itakuwa na nguvu hata kidogo. Wanawake tuache kuwa watumwa wa mapenzi jamani hapa nikutafuta kifo kabisa.
@lucysanga4941
@lucysanga4941 Жыл бұрын
Upo vzr mwenyekiti
@dingadinga6674
@dingadinga6674 Жыл бұрын
Ukovizuri mwkt tumekupata vizuri same kilimanjaro
@marymbilinyi1498
@marymbilinyi1498 Жыл бұрын
Jamani ni kweli hiyo mbona unyama huo huyo mbabe atajuta mbele ya safari
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
Ahsanteni sana wananchi, sasa mwendo mdio huo huo majirani watu km hao kuwapiga tu kipigo cha mbwa koko ndio dawa yao
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Asanteni kwa kumdunda huyu mbwa huyu Yani nimefurahi na nnashukuru kwa upendo wenu na akirudi mpigieni tena ajue uchungu wa kupiga wenzie shuwain huyo
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Huyu mwanamke anaombea msamaha gaidi na haelewi kuna siku atauletewa maiti ama auliwe yeye mh☹
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Weee dd watu anakuonea huruma. Lkn mwenyewe hujionei huruma bado unampenda huyo mwehu
@hopekrish5433
@hopekrish5433 Жыл бұрын
Safii sana tena sana amejifunza
@hadijauledi6995
@hadijauledi6995 Жыл бұрын
Safi sana mgemtowa jicho moja iliiwe fundisho maana wa mama tunateswa sana
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
kabisa
@krizofrancisco5310
@krizofrancisco5310 Жыл бұрын
Punguzeni midomo
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mtihani kabisa 😰
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
@@krizofrancisco5310 hahaha 😂 tuliya 🤣
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
wadada tujitaid kujituma hiyo yotee kuwa Tegemezi ndomana tunajifanya Hooo nampenda mume wanguu 😏😏😏Ngoja Akatowe loho hiyo ❌
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 Жыл бұрын
Kupendaaaa uko kwiyoooo 😃😃😃🤣
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
@@maloomaalmnsj5111 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@christaoman8890
@christaoman8890 Жыл бұрын
Safi sana dawa ya moto ni moto tandika kabisaaa
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 Жыл бұрын
Na afungwe maisha mjinga sana uyo mwanaume
@Johanah7721
@Johanah7721 Жыл бұрын
Afungwe maisha dada etu amesema akanywe tu waludiane waishi akifungwa maisha si hamumtakii mema dada etu😄😄😄
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Жыл бұрын
@@Johanah7721 🤣🤣🤣🤣🤣kwakweli huu upendo wa mwaka
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@lucyjeremia1381 na mufate nyendo zake huyo dada
@Awatee
@Awatee Жыл бұрын
@@lucyjeremia1381 🤣🤣🤣
@joyceabeli3787
@joyceabeli3787 Жыл бұрын
Yan ndoa hizi jamn heri ubaki mwenyewe tu nako ukibaki mwenyewe shida ukiwa na mume shida yan wanawake tunakufa jaman saivi nakuumizwa
@rithaurassa
@rithaurassa 3 ай бұрын
Keanin kituo polisi mtu mmoj na bd giz umeme hamn.mmmh ipo kazi jaman
@Princewaweru
@Princewaweru Жыл бұрын
Mwenyekiti hongera kwa busara yako lakin jeshi la police lijiangalie pia
@EliechiKimario-bv1gz
@EliechiKimario-bv1gz Жыл бұрын
Kw unyama huu alafu mke bd ananipenda na kumtetea musimfunge huyo bwana muacheni huru akammalizie maana anathamini mpenzi kuliko uhai wake
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 Жыл бұрын
Yani wananchi uliweza kuwadhibiti lakin mbabe mmoja aliwajambisha
@reginasigera4204
@reginasigera4204 Жыл бұрын
Mwenye kit na police wake walijuta mbabe kaondka hv hv aaaaa
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Жыл бұрын
Ww mwanamke ni mjinga kbs eti bd nampenda agekuua kbs
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 Жыл бұрын
Wangemtoa macho I've kumbukumbu papa huyo wananchi oyoooo kwa umoja went mumemdunda
@sifasanga7866
@sifasanga7866 Жыл бұрын
Wananchi nawapongeza kwa kweli
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 Жыл бұрын
Tukisema bangi inamazala wengine wanaisifia kijana haikua akri yake eiza pombe au bangi atakua anatumia
@wakatv3704
@wakatv3704 Жыл бұрын
hahahha ngoja kwanza nichekee. Kwamba jamaa ana mwambia askari silali ndani na Nina ondoka mbele yako. sipati picha jicho la huyo askari
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 Жыл бұрын
Anapokosea ni hapo anapoamua kupiga watu hovyo Kwanini asiwe anampiga huyo mkewe anayemtetea hata akipigwa lemyewe laona sawa tu
@dorothysamwel2648
@dorothysamwel2648 Жыл бұрын
Yeye kama anampenda mume wake kwa nini alipiga kelele zako kuomba msaada? Serikali na wananchi wako sawa kuchukua hatua kwa kuwa yeye aliomba msaada kwa kupiga kelele. Kama kweli anampenda angekaa kimya mpaka amuue .
@queenandchill91
@queenandchill91 Жыл бұрын
Mnajichosha bure, yeye kasema anampenda sana mumewe.
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Sasa hata ukimpenda mpenzi wako ndio uwachwe uuwawe?? Us your head 🤠 before you took
@queenandchill91
@queenandchill91 Жыл бұрын
@@fathimamct232 Here comes Bi. Fathima Mct Mtendaji kutoka Dawati la Jinsia na Watoto, Naona unanifokea,😂😂 nikusaidieje?Tuanzie hapo kwenye lugha. Us ❌....Use ✔ Took ❌... Talk ✔
@kiri5807
@kiri5807 Жыл бұрын
huyu mwanamke hawezi kujihudumia ndio maana anamtaka arudi .
@ashakhamis5699
@ashakhamis5699 Жыл бұрын
Kabisa...
@perrygeorges
@perrygeorges Жыл бұрын
police atakama nimoja anashidwa aje na mtu mmoja i wish angekua kenya angenyorooshwa io kiburi iishe
@BT-rp6by
@BT-rp6by Жыл бұрын
Mapenzi dada ogopa mpenzi sio Relative yko ukifaa anaku replace hana hasara
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Huyo mwanamke mbwa tu anasema japo kapgwa lakini bado anampenda
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Жыл бұрын
Labda kakumwekea dawa
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
@@estermahenge5972 Mi naona anamwogopa kwasababu ya huo utemi wake itakuwa anachimbwa sana mikwala
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani jamani bangi sio mboga ona sasa madhara yake kisha uyu dada nimemuona huyu mwanamke anamuombeya radhi mumewe
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
🤣🤣 mahaba ya kikurya
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 Жыл бұрын
Mwenyewe ameisha sema anampenda mumewe.
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Kumbe na huyo mume alipigwa na wananchi safi sana naye kapata dozi yake kutwa mara 1😁😁
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
😂😂👌
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Huyu kijana mlitakiwa mumpasuwe kichwa Ili ubishi umuishe Tena wamefanya vizuri mno
@pieremchome5202
@pieremchome5202 Жыл бұрын
Pongezi kwa askari wa kwanza aliyemuangalia jamaa na hakumfanya kitu,alijiongeza akaona asije akafa kwa kumuweka jamaa rokapu,maana alijua RAIA wakiondoka anabaki na mtrja wake ,na bangi ninavyoijua jamaa alikuwa anatoka na mlango hata kama ungekuwa umejengwa na chuma zaidi ya tatu
@marymbilinyi1498
@marymbilinyi1498 Жыл бұрын
Wanaume punguzeni ukatili muwe na moyo wa msamaha
@stonetown578
@stonetown578 Жыл бұрын
Mbabe kupiga m'ke na akapigane na wanaume wenziwe Mshenzi huyo.
@appiahbatister7303
@appiahbatister7303 Жыл бұрын
Bora amepata adamu yake angetolewa jicho awe chongo huyoooo safi Sana malipo hapahapa duniani
@rahemma3166
@rahemma3166 Жыл бұрын
Wangemuua kabisa ili kupunguza magaidi mana akitoka apo lazima atauwa watu kwa asira
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Жыл бұрын
Polisi ni mtihani chamuhimu rai wema wamemtia adabu Alhamdulillahi Rabbil'Alaamina inatosha ,
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
Arushaaa acheni kurusharusha kila leo hili lile
@reginasigera4204
@reginasigera4204 Жыл бұрын
Uyo jamaa ni balaa aisee police amejibiwaa vyakee
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Жыл бұрын
Ukome tu Safi sana
@veronicahnzembi1756
@veronicahnzembi1756 Жыл бұрын
Pole dada
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 Жыл бұрын
Oii wewe mwenyekiti ni boya tu wanaume watatu mnazibitiwa na mtu mmoja
@gracemkabili4529
@gracemkabili4529 Жыл бұрын
Very sad
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Kwa jeshi la polisi kulinda raia kwa Tz bado tete cha kwanza jeshi halina vitendea kazi vya haraka kituoni anakaa polisi mmoja .mimi nikiongea nafanya kuona aibu. Jinsi hili jeshi linavyofanya kazi zake .mhalifu amtishie polisi?hana hata silaha hata ile yakumdhoofisha mhalifu hadi msaada upatikane?aibu ni kubwa haielezeki
@zainabukivale9571
@zainabukivale9571 Жыл бұрын
Apo mmekosea akitoka atauwa mtu
@fatimahants1526
@fatimahants1526 Жыл бұрын
Maisha ya mahusiano yamekuwa vita
@zehrahaji1566
@zehrahaji1566 Жыл бұрын
Safii bora angekufa kabisaaa
@bizzboy5490
@bizzboy5490 Жыл бұрын
Mwenye kiti umezingua kumfungia ndani
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Жыл бұрын
Mwenyekiti katumiahakiyake yakuokoa Raia
@CHOPAMarwa-im2wc
@CHOPAMarwa-im2wc Жыл бұрын
Huyo ni jambazi hai ndo wale wanatuulia wanawake Kwa ukatilii
@CHOPAMarwa-im2wc
@CHOPAMarwa-im2wc Жыл бұрын
Bora hata mumuondoe Duniani kabisa hafai
@CHOPAMarwa-im2wc
@CHOPAMarwa-im2wc Жыл бұрын
Bora hata mumuondoe Duniani kabisa hafai
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Nimefulai sana mwenyekiti wampige hadi wamuuwe .yeye simbabe
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Жыл бұрын
Amezngukwa na watu Wap??? Acha maneno ya Kuambiwa
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 Жыл бұрын
Wanawake wenzie wakikuhurumia jihurumie na wewe nyooo utakuja kulala ujikute kiungo kimoja hakipo
@jomba6514
@jomba6514 Жыл бұрын
Pongezi kwa wananzengo
@praisesteven7774
@praisesteven7774 Жыл бұрын
hao wananchi wangemtoaaa ubongo kwanza mbwa uyo
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Mkewe asema asamehewe ampenda sana 🤣🤣
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
mambo ya ajabu kabisa..
@estermathias8354
@estermathias8354 Жыл бұрын
Bas kuna watu kichwani hazimo🥺
@Ali-uh9wb
@Ali-uh9wb Жыл бұрын
Rose anampenda mpenzi wake huwezi kumlaumu aliyeumizwa
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Kumpenda jinamizi MLA watu huyo
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Anapiga watu nabado mnamchekea
@rozina2161
@rozina2161 Жыл бұрын
Auwawe tu wacha wananchi wampige hadi kifo
@joycekalago532
@joycekalago532 Жыл бұрын
Mwanamke ameshasema anampenda polis wamkanye tu nyie mnaingilia yann?
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 Жыл бұрын
Demu kama mandongaa kupigwa kote uko lakini bado anapenda mmewe duh 🙄
@Awatee
@Awatee Жыл бұрын
Hahah hajui mahabuba anayo yapata 🤣🤒
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 Жыл бұрын
@@Awatee mbona mahabuba
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 Жыл бұрын
Arafu uyo dem anasema hanampenda yan mtu kakupga kiasi icho kukupofua macho arafu hunampenda
@pieremchome5202
@pieremchome5202 Жыл бұрын
Hao wananchi wamtandike na huyo dada
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Nabado jamila anampenda mumewe loo
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Nahuyo akipona anakuja kuuwa mkewe
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Uwii
@aquarianknight
@aquarianknight Жыл бұрын
Achomwe moto huyo
@laymashabani832
@laymashabani832 Жыл бұрын
Alafu bado anampendraaa
@reginasigera4204
@reginasigera4204 Жыл бұрын
Apa ndo anapo nichanganya uyu dada au wanaume wameisha
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Yaani wewe baba watu zaidi ya watano mna mshindwaje? Ha!
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Wewe unaongea tu
@elieneapalangyo6938
@elieneapalangyo6938 Жыл бұрын
Huyu ni mzee bwana
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 Жыл бұрын
@@Mpakauseme angienda yeye 😆😆😆😆
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Жыл бұрын
ua huyo aliyempiga
@mozaummy327
@mozaummy327 Жыл бұрын
Serekali ina feli sana mtu anamjibu police ivyo duh😢ikisha kituo police moja Tanzania tuna feli
@sixmakochogilbert3331
@sixmakochogilbert3331 Жыл бұрын
Tatzo n huyo police alikosa mbinu za kumtia mbalon. Duuu aibu kwa police.
@evasukuro6619
@evasukuro6619 Жыл бұрын
Kwakweli wamama tujitume tusiwe tegemezi tutatolewa roho🤔👋
@yusuphtwaha8386
@yusuphtwaha8386 Жыл бұрын
Walimpigaaa wakampigaaa
@mamalao8574
@mamalao8574 Жыл бұрын
🤣
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 Жыл бұрын
Wanawake Hawa unaweza kuwaua nakwambia ukweli Bora usioe kabisaaaa nawajua
@hawarajabu4130
@hawarajabu4130 Жыл бұрын
Hakuna mwenye mamlaka ya kumuua binaadam mwenzie ispokuwa kwa haki, nafsi zenu tu ni za kikatili. Kama meshindwana mnaachana tu kwani lazima kuna haja gani ya kuumizana
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 Жыл бұрын
@@hawarajabu4130 Bora kutoooa kabisaaa 1 COR 7
@aliaden5512
@aliaden5512 Жыл бұрын
angechomwa moto
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Wangemuua tu
Nondo anazungumzia kutekwa kwake
15:36
DW Kiswahili
Рет қаралды 15 М.
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 6 МЛН
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
Новости дня | 2 декабря - вечерний выпуск
11:42
Euronews по-русски
Рет қаралды 38 М.
#MIZENGWE  Tafuta kazi
16:27
ITV Tanzania
Рет қаралды 24 М.