Hapa sheikh Alhad kwenye utangulizi amesema, Mtume Muhammad ndiye aliyepewa dini iwemwongozo kwa watu na dini ya uislam iwe juu ya dini nyingine hata Kama makafiri watachukia. Shukran sheikh kwa utangulizi huu. Uislam ndio dini ya haki kweli.
@focusernest56102 жыл бұрын
Ni vitabu vyenu ndivyo vnasema hvyo kuwa ni ya haki na je nami nikisema yangu ni ya haki kuliko yako utaamin🙆 lah kam mungu amekutokea akaongea nawe live nitakuamin na nitaamin nyie ndyo wateule wake vingnevyo msidharau Iman za wengne mnavyotuon nasi tunawaona hivyohivyo tofaut yetu hatujinadi na kujionyesh wema mbele za watu...mhimu kuwa na hofu ya mungu mengneyo tukutane kwenye cku ya kuhesabiw ndipo ukwel utajulikan
@mudighurayra2 жыл бұрын
@@focusernest5610 dah Mungu awe asha kuongoa hio siku ndio nitafurahi maana siku hio ni nzito sana
@alhamdulillahalhamdulillah75292 жыл бұрын
@@focusernest5610 uko huru kaka muhimu umepewa Akili itumie vizuri bila shaka yupo anaefaa kuabudiwa lakini namwenyewe ameweka wazi kila kitu
Nimeliya saaana saaaaana kuona iviiiii Mungu atujaliye ss waslamu woote atuepushe na bala za makafiri inshallah mukono Kwa mkono paka peponi inshallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🌎🌎🌎🌎🌎🌎
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@denisnjaila21822 жыл бұрын
Hahaaaaaa umelia nn
@سعيدالشكري-ت8م2 жыл бұрын
InshaAllah
@tirmidhiikhamisi53432 жыл бұрын
@@denisnjaila2182 Mapenz yake juu ya uislam na kudhalilishwa
@salehsuleiman12182 жыл бұрын
Achen kuifanya Dini Kama ni mchezo2 wa kisiasa Leo upo chama hichi kesho upo chama hichi mnakuja kuangamia ndio maana Leo tupo kipindi kigumu kwa maisha yetu KUTOKANA na mambo tunayofanya kumdhihaki Allah . Subhanallah Allah atustir na atuhifadh na atuongoze ktk maisha yalionyooka.
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@sein.2082 жыл бұрын
Allahumma Amiyn 🤲🏼
@madawamchuwa82532 жыл бұрын
Mm ninachojua kucheza na Imani ni hasara kubwa sana ALLAH atuongoze na atuepushe na hizi tamaa
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Amiin
@masudimwinyi73012 жыл бұрын
Mashekh wetu mnatakiwa muwe makini Sana na Hawa mafrimason wanatumia pesa kuwaadaa waislam ili wàtupotoshe Allah tujaalie na utunusuru tuwe na mwisho mwema
@lovvy8542 жыл бұрын
Ameen Yarrab 🤲
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@khamisjuma76162 жыл бұрын
Tokea hapo bakwata ni chombo kilichoasisiwa na wakiristo kuhs toba mtajuana na mola wenu ila kwa upande wa waisilamu hatutakiwi kukuaminini tena
@trophywilson72112 жыл бұрын
Na wanayatoa huko uislamuni ndiko mlimsilimisha shetani naMajini
@trophywilson72112 жыл бұрын
@@khamisjuma7616 hahaha
@jumannendayigeze28992 жыл бұрын
Asante Shekh Allah atusamehe sisi tuliowaambia wamelaaniwa kama firauni mjaa laana
@marianaduncan63302 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi hakuna Mungu mwingine zaidi ya yeye YESU KRISTO milele na milele, allah ni shetani mkubwa audanganyaye ulimwengu na kuwapeleka watu Motoni uelewe hivyo Mungu wa kweli ni BWANA YESU KRISTO milele na milele amini ukombolewe na Tubu kabla haujachelewa mpokee na kumwamini BWANA YESU KRISTO kuwa ni Mungu wa kweli hakuna Mungu mwingine zaidi ya yeye YESU KRISTO Wala usitarajie kutokea Mungu mwingine zaidi ya yeye Utukufu na heshima ni Kwa BWANA YESU KRISTO milele na milele
@kassimabussa65832 жыл бұрын
Hawa watu wangefatiliwa kwaumakini kubaini kuwa ni waisilam kweli au wanadanganya mana Dunia imebadilika Sana watu wameweka tamaa mbele Kama nikweli Allah awasamehe istoshe niwatu wazima Dunia hiii Allah tulinde na tamaa Kama hizi
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Amiin
@trophywilson72112 жыл бұрын
Inawezekana ndio au siyo
@prophetsedekiamwamposa78412 жыл бұрын
Mashee poleni Sana mungu hatetewi uwezo wake unatosha kujitetea sisi niakinanan? Hiv udongo unaweza kumpigania aliyeufanya udongo kuwa mtu lahasha bas tusitumie Vita Imani ndiyo lugha ya MUNGU
Bismillah Rahmani Rahimu Naomba tuendelee kujifuna. Tujue History ya Dini yetu vizuri.Swali langu Je,Unawezaje Kuisaliti. Dini ya Allah ?Unatoa wapi Ujasili huo. TUMUOMBE ALLAH. ATUNUSURU.,ASTAKAFILULAH.
@habibaramadhani152 жыл бұрын
Tuendelee KUJIFUNZA Tusijaribu. Kuisaliti Dini ya ALLAH
@Bam2682 жыл бұрын
Na wewe unaejiita sheikhe wa mko pia urudi kwa allah ulipiga haleluya nyingi kipindi cha makufuli
@abdulazizmwipi92952 жыл бұрын
Hahah ila wakat ule magu akiwa hai si alimshika akili ndy maana akatamka vile ila sa hvi hawez tamka vile
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Mh
@zaidinohoraibo5671 Жыл бұрын
Samahani kaka au dada, kwani aleluia maanaake nini?
@Bam268 Жыл бұрын
@@zaidinohoraibo5671 sijui maaana yake nini lkn kwenye dini yetu ya kislam haututakiwi kutumia hizo haleluya ni makosa
@amyboyfighter72812 жыл бұрын
Allah awasemee mana ukosefu niseem ya binadamu naukalilifu niwake Allah pekee naamini karibia makosamengi tunayofanya uwa tunayajuaa natunafaham kama ili nalofanya mungu amekataza lakini baadae mtu unamuomba mungu kwaulioyafanya sioka ulikua ujui kama nikosa lakini ndio tunarudi palepale kwamba makosa niseem ya binadamu NaMungu usituchoke waja wako kwa makosa yetu yamalakwamala yotekwayote Mungu utasamee sote waislamu kwamakosa tunayo yafaham natusio yafaham, Amin 🤲🤲🤲
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Amiin
@shifaazawadi44382 жыл бұрын
Uzee nmbaya kwakweli Allah aniepushe na uzee kama huu wakufanya yasiyo julikana Allah atusameheni
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Hahaaaaa
@mahamuduhassan85112 жыл бұрын
maa shaa Allah huu ndio uongozi shekhe Alhaadi ibnu musa Allah akuhifadhi kaka yetu hakika una hikma mno huongozi kibabe sijaona umemdharau yoyote ktk hawa wakosaji umewanasihi kihikma ahsante kaka yetu japokua umeona mapungufu makubwa kao wala hukuwazodoa na kuwaambia hata hata shahada hawawezi kuitamka wanasema kushadadia kweli kiongozi hatakiwi awe mushaddidul umuuri narudia kusema tena Allah akuhifadhi shekhe
@TarllerMtandala2 жыл бұрын
Na sasa hivi watu tumekuwa tukiwaogopa zaidi wanadamu kuliko Mwenyezi hii ni hatari sana tunamuogopa mtu anaekufa tunaacha kumuogopa Mungu ambaye hafi na ndiye atakae tuhukumu siku ya mwisho
@officialmubytz10762 жыл бұрын
Mimi ni mkristu Shehe nimekuelewaa sanaa hujaungumzia ushabiki wa kidini Umfuata maelekezo ya dini yako Lakini pia umeonesha kutambua na kuheshimu Imani na sini za watu wengine Dini ni njia za kutukutaniaha na mola wetu na kila mtu kwa Imani yakee
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@ziadasadiki81962 жыл бұрын
Daaaah NJAA MBAYA SANA. MWZ MUNGU ATUSTIRI WAJA WAKE.
@MJB-Africa2 жыл бұрын
SHEIKH WA MKOA MWENYEZIMUNGU AKUJALIE FIKRA NA UWEZO HUOHUO, MAAANA WALLAHI FIKRA ZANGU MM ZILIKUA ZINAWAWA ZIA MAKUBWA SANA HAWA JAMAA MAANA WATOTO WETU TUNATUMIA NGUVU KUBWA KUWA JENGA LAKINI WANATOKEA WAPUUZI WAMOJA WANATAKA KUWAPOTOSHA VIZAZI VYETU, INNALILLAH WA INNALILLAH RJN
@wanaupendotv71832 жыл бұрын
Allah Ndio anajua zaidi yaliyo ndani ya nafsi yao pesa wamesha weka mfukoni ndio wanakuja kuslim na baadae pakitokea dili tena wataenda baadae wataomba radhi Allah atuongeze kwa jumla
@josephwilliam58132 жыл бұрын
NABII MKUU NI TAPELI HATA KWETU SISI WAKRISTO TUNAJUA HIVYO
@noelbryson78402 жыл бұрын
Kabisa kabisa mkuu
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@saidchombo59522 жыл бұрын
Wewe umeongea
@trophywilson72112 жыл бұрын
Wala hatumkubali tunaruhusu tu kwa vile ni siku za mwisho
@josephwilliam58132 жыл бұрын
@@trophywilson7211 kama BIBLIA IMEWATABIRI NANI ATAKAEPINGANA NA UNABII UNAPOTIMIA?
@ambarnelly60712 жыл бұрын
Asalama alaikum jmani tunatakiwa kumdhikir Allah kwa wingi maana tumemsahau
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Waalaykumu salaam warahmatullah wabarakatuh i
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@Mimi-wf7mb2 жыл бұрын
Naona kama mchezo wa kuigiza. Kutengeneza tatizo kisha kulitolea suluhisho/majibu kwa lengo la kuleta tafrani na sababu ya kutukana watu
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@NIKE-xy6et2 жыл бұрын
Mimi mtu akiritadi na arudi kwenye uislamu huyo simfanyi rafiki hata kidogo maana hakai mbali na unafiki. Huenda mtu akaogopa kusemwa na jamii lakini akawa na usuhuba wa siri na hao makafiri.musiwaamini hata chembe.
@jesusislord91902 жыл бұрын
mmeona mashekh wenu walivyowaongo kiski alisema hawa sio waislam mwaipopo akasema hawa sio waislam kumbe hata sheikh wa mkoa anawajua waislam waongo sana
@makhanguwakhutu24082 жыл бұрын
@@jesusislord9190 wewe ndio mjinga
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@nduwamunguheaven23452 жыл бұрын
Nabi Mukuu mungu akusidie upnye wa Islam
@jumaciza4612 жыл бұрын
Siku zote vituko ni Tanzania 🇹🇿 na congo 🇨🇩
@magomakabanja4802 жыл бұрын
Wote wale Wale Waliokunywa Uji wa Mgonjwa Kwani yeye Hakwenda Kwenye Makanisa na Kusimamia Kwenye Madhabahu Bakwata Sio Taasisi ya Waislam Bali ni yawaroma Ndo Maana Nilisema Kua Mtoto Akienda Kwa Mzazi Wake ni Makosa
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Mh
@matekerekurwijira15762 жыл бұрын
Hapa masheikh wangu mmetufelisha sana, Mimi ni mkristo lakini uisilamu ni miongoni mwa dini chache thabiti zilizobaki duniani hapa, muache kutumika kizembe nawashauri, msitumike na mtu au taasisi yoyote kwa maslahi binafsi
@ilovejesus6662 жыл бұрын
Na MLIKUA wengi wengine wamekimbilia wapi 😂😂😂😂😂😂
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Hahaaaaaaaa
@lovvy8542 жыл бұрын
Wamejiskia aibu ila hawana budi lazma watajitokeza🤣
@jonasdaniel61422 жыл бұрын
Wamenasia kwa kanisa brother,,,🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@suleimantsanje29392 жыл бұрын
kanisa biashara tu
@ilovejesus6662 жыл бұрын
Mngeachana nao hao ni njaa zao tu na wanaelimu gani adi wajiite masheikh au ukishavaa kanzu na kofia tayari wew ni sheikh 😏😏😏😏😏
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Mtihani Wallah
@lovvy8542 жыл бұрын
Hii ni ushahidi tosha kuonyesha kua ni Zama za Mashid Dajjal kwahio Niko na Imani kua haitoweza kutokea tena ila mithihani ni hayaishi
@sakinat25272 жыл бұрын
Mtihani
@abuushakiraddausiy86662 жыл бұрын
Njaaaa zzitawaauwaaaa
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Sannah
@dirakidaramadhani3692 жыл бұрын
Hawa wakupigwa mawe tu njaaa kishki kawasaidia sana waislam
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@masudimwinyi73012 жыл бұрын
Waislam tuwe makini Sana pesa zisituadae tukatoka ktk mstari uislam ndio dini ya haki tusimame ktk dini yetu
@saidchombo59522 жыл бұрын
AllahuAkbar, lakini hawa Ni wtu wazima na wana wake zao na watoto na wajukuu, Sasa mbona mtihani! Hivi Ni kweli Wana imani!!? Maana wamejikusanya na wakafunga Safari mpaka Arusha. Daah! Subhanallah
@ibrahimmohammed93612 жыл бұрын
Allah awasamehe kama ni wa kweli na nafsi zao,lakini hi dunia wa islamu tujitahidi kuongeza imani yetu ju sasa ndio wakati wakupimwa na matamanio ya dunia
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@hasanipazia88762 жыл бұрын
Hakika njaa ni hatari inawafaya wadio imani kurtadi
@hasanipazia88762 жыл бұрын
Sheikh Aad Mola akufungue zaidi,ili uweze kuyaona mengi mengineo sio haya tu.hakika umetimiza wajibu wako wa uongozi wa mkoa Allah akuongoze.furushi ni hatari sana.
@jumamustapha82542 жыл бұрын
Njaa yao ni mbaya Sana, mnajisahau Kama ni waja wa Allah. Wangetueleza kwa uwazi kama walishawishiwa kwa fedha au laa.
@mzeeomary57802 жыл бұрын
Wahuni sio watu wazuri mshavuta mpunga watoto wamepona kisha mmetubu inshallah Allah atawasamehe vip yule msanii alikuwa anasema yeye nimsani wa bongo movie yuko wap nayule mzee wandevu ndevu Allah awape afya njema kwani hakuna mkamilifu only Allah nasio viumbe
@jacklingerald3882 жыл бұрын
Nimekupenda bure ndugu yangu muislam mwenye akili
@madawamchuwa82532 жыл бұрын
Jamani tuwe makini na njaa zetu zitatupeleka pabaya sana 😢 watuzima kabisa Bora wangekuwa ni watoto uuwiii
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Sannah
@trophywilson72112 жыл бұрын
Njaa mpaka zinawafanya mfuge majini si vyepesi Muokoke tu
@abdirahmanshawkani2 жыл бұрын
Tumutegee Allah maana Yeye ndiye mwenye kugawa riziki na yeye ndiye ambayo yuko na riziki ya kila kiumbe katika hii dunia na shukuru ukipata na ukikosa pia shukuru usije ukakufuru maana kupata ni mtihani na kukosa pia ni mtihani ,usiweke tumbo mbele ukawategemea wanadamu wakaja wakakufanya ukamkufuru Allah izo pesa mlizo pewa si chochote wala si chochote mwogope Allah kila wakati,,,,,, tubuni na Allah atawasamee maana yeye ni mwingi wakusameee
@saidmohamed28112 жыл бұрын
Mashekhe amutakiwi kuhukumu hilo jambo bola muhachieni allha awahukumu awo binadamu wamehikesea sana dini ya Allah
@سعيدالشكري-ت8م2 жыл бұрын
@@saidmohamed2811 lakin unapoona mtu kakosea kumlekebisha si Zambi kuliko kumuacha akapotea siku ya kiaqiama wataulizwa kwann hamkuwaweka Ktk njia sahihi wakat uwezo huo walikua nao pia hata shehe alisema mtu hakiomba lazi lazima kusamehewa kama mungu anasamehe binadam ni nani asisamehe shehe hakuwawekea hukumu ndugu usimnukuu vingine
@ilovejesus6662 жыл бұрын
Ungewauliza nani aliwapa ilo dili la kwenda uko na mlihaidiwa bei gani 😂😂😂😂😂😂😂😂
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@laylayl51662 жыл бұрын
Wewe nae mchokozi sasa🤣🤣🤣🤣🤣
@ameenamohammed44132 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@shabanponera28952 жыл бұрын
Kumbe shekeli ni hatari, wamevuta mpunga hawa
@jonasdaniel61422 жыл бұрын
Brother kweli Kama ni Dili,,, basi imetiki hatareeee
@trophywilson72112 жыл бұрын
Hapo inadhihirisha naWaislamu naohamsaidii watu wenu hadi wanatafuta namna ya Kwenda kutafuta Maisha kwa sababu ya dini,Wasaidieni njaa zipungue
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@francisnyaji50002 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😀😀😃😃dah kazi kweli kweli...
@DonMooSTUDIO_Express2 жыл бұрын
Kwahiyo baada ya kula hela ndio mnatubia 😁
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Hahaaaaaa
@سعيدالشكري-ت8م2 жыл бұрын
Walikula laki tano tano😀😀😀😀😀😀🤣🤣
@nailaty2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@DonMooSTUDIO_Express2 жыл бұрын
@@سعيدالشكري-ت8م 😁😁 warudishe hela kisha watubu 😁
@trophywilson72112 жыл бұрын
@@سعيدالشكري-ت8م acha wale ch shetani kinaliwa na shetani mwenzie
@hishamadnan63522 жыл бұрын
Hawa ni njaa tu ndo iliwapanda kichwani ndo maana...ata mtoto mdogo haezi fanya huo ukumbavu walioufanya hawa watu wazima ovyo...
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@abdallahkaskas61682 жыл бұрын
Kuifupi kwangu siamini kama ni waumini kweli hawa wa kiislamu ,na ikiwa kwel n waislamu cheo cha uongozi wao (Shekh)wamekipata wapi NB: Hawa watu hata shahada kutamka inawashinda (kwel ni mashekhe hawaa..😡) {"ولن ترضى عنك اليهود ولن نصارى حتى ..."}الآية
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Mh
@biubwasuleiman29832 жыл бұрын
Shekhe mkuu mashallah
@marianaduncan63302 жыл бұрын
allah ni shetani mkubwa audanganyaye ulimwengu na kuwapeleka watu Motoni uelewe hivyo Mungu wa kweli ni BWANA YESU KRISTO milele na milele na wala Hakuna Mungu mwingine zaidi ya yeye YESU KRISTO na usitarajie kutokea Mungu mwingine zaidi ya yeye YESU KRISTO milele na milele amini ukombolewe na Tubu kabla haujachelewa mpokee na kumwamini BWANA YESU KRISTO kuwa ni BWANA na mwokozi Hallelujah hallelujah YESU KRISTO ndiye Mungu wa kweli aliyeziumba mbingu na nchi bahari na vyote vilivyomo mbinguni na Duniani,
@jabeershukuz53402 жыл бұрын
Hawana msamaha wowote hao adhabu ya mtu wa kuritadi ni ku katwa kichwa
Kilamtu atabeba fulushi lake lamatukio aliyo yafanya Allah ndiye atakaye malizia
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@prophetislael52652 жыл бұрын
Kwahizi kurupushani memtangaza sana nabii mkuu wengine walikuwa hawamjui
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@prophetislael52652 жыл бұрын
Nabii mkuu anakuja dar nahvyo mlivyo mtangaza waislam watajaa sana ili wakamuone live
@shabanihamisi1152 жыл бұрын
Matamshi yao na muonekano wa wajihi wa kila mmoja wao, ni wa ujanja ujanja tu, hawaaminiki hao. Anyway tumwachie Allah mwenyewe ndo anayajua yaliyo mioyoni mwao!
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@ndimimaskati36412 жыл бұрын
HAWA hawafai wanatumiwa Na WAKRISTO kuunga mkono UKRISTO.
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@Sheba46512 жыл бұрын
Nilijua ni tamaa tu, walipoona yule m'mama kapewa milioni 6, nao wakaona fursa wajipatie cha kusogeza maisha. Si kila mualiko unaweza kukuukataa la muhimu wao wangemlingania yule Nabii aache upotofu. Na nyie wengine mkialikwa hafla za mamiss muwe mnabeba bakora kuwachapa watembea utupu.
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@binbadru84082 жыл бұрын
Mnadhima kubwa sana,lazima mjue Kuna kufufuliwa,km pale bakwata kazi kutoa talaka bila kutumia hekima mnajali pesa tu
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@KhadijaKhadija-nf1kt2 жыл бұрын
Subhannallah hawa sio waislamu maana hata izo salamu wanazozitoa ni dhahiri kuwa wanaigiza
@mathayomwashambwa12389 ай бұрын
RUDISHENI HELA ZA NABII MKUU, INGEKUWA VYEMA ZAIDI
@shabanimusa8732 жыл бұрын
Ili tuwe na imani na nyie mrudishieni Joe Devy pesa zake
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@firo0ozdawah3782 жыл бұрын
Ndugu waislamu mambo kama haya yanatokea kwasababu sisi wenyewe hatujashikamana badala yake tunasemana sana kuanzia ngazi za viongozi Kuna matabaka mpaka na waumini , Kwa hili lililotokea litatufanya tupate uchungu na dini yetu na tuwe kitu kimoja Ili adui asipate nafasi ... Shukran
@trophywilson72112 жыл бұрын
Tumeshaotambua,Dunia hii ndo hatari
@mrishojuma46952 жыл бұрын
Haya majamaa ni machizi aisee yaani yalikuwa yamerogwa duh! Lakini kumbe sio masheikhe Bali ni watu wenye njaa tu Tena wehu Allah subuhana Allah wasamehe Hawa hajui walitendalo
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@binbadru84082 жыл бұрын
We mwenyewe hujaomba radhi waislamu wenzio ulipotoa dua ya ajabu mbele ya magufuli kwa kujipendekeza kwake,WW omba radhi kivyako na wao waombe radhi kivyako wao na Allah waliomkosea,Ila mmezidi mnoashehe hasa wa Dar kule bakwata mnatia talaka ovyo kwa kuangalia peaa tu
@saidsuleiman17532 жыл бұрын
Musa ushakuwa mtu mzima sasa wacha yale mambo ya enzi zile mtaa wa Togo na Ufipa.
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Mh
@mahengomwenyewe42042 жыл бұрын
Tangu hapo zamani dini ilishawashinda ni Wasanii tu makhurafi wakubwa sisi haituhusu hata mkisema Mungu shauriyeni .
@kaliskaguzkalis44242 жыл бұрын
Demokrasia
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Mh
@ayubukaaya45762 жыл бұрын
Je pesa wamerudisha lakini? au ndiyo mitaji imeshapatikana.
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@issrahayattv13562 жыл бұрын
Mm sina haki y kuwanyooshea vidole Allah awasamee dunia inapo elekea sio dalili za mwisho hizi
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@jesusislord91902 жыл бұрын
kumbe ni waislam kweli simlikataa??
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Mh
@isaackalenge81942 жыл бұрын
Hamjafanya makosa,Kama nabii siyeye,,Mtu anajiita Kwa Imani yake,Hata enzi za Nabii Eliya walikuwepo maanabii wa baali,
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Mh
@abdulzackawami77802 жыл бұрын
Hao ni mamluki wanaingia ili kuijua dini vizur na baadhi ya aya kataka Quran wakishajua wanarudi kule kule..
Na hiyo pesa wairudishe kw a mwenyewe itakuwa vizuri zaidi kwa niniwalipokea pesa
@luluamin13882 жыл бұрын
Subhanallah
@binbadru84082 жыл бұрын
Huyo shehe mussa km ndie Yule wa bakwata iwilaya lala Wala simshangai kwa Hilo
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@abuusaid32972 жыл бұрын
Uliyo yasema nisahihi, lkn dukuduku lawaislam kwako nikuona unawaunga mkono mashia ilihali mtume Muhammad (s,w) ametutahadharisha nao au nawewe unafungu lako kwamashia!!!!!
@trophywilson72112 жыл бұрын
Siyo yeye Ni jini lile ndilo lililompeleka bila kujitambua
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Hahaaaaaaaa
@azimabrahman39182 жыл бұрын
Hao walikuwa na njaaa...wamefny dn ni mchezo. Waache unfiki hakuna mnafk ataeingia pepon.
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@asiakheir86842 жыл бұрын
Kiukweli dini isichezewe,kuna watu huko mikoani wameamini mlichokisema sasa itakuwaje mumesha waaminisha yule ni nabii,na huko hawana cm wala tivii,na mnaonekana ni watu wazima kabisa tumwachie Allah
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@abuusaid32972 жыл бұрын
Nawewe acha kuwaunga mkono mashia,simamia haqi unayo ijua, malipo yawatu wema kwaallahu nibora zaidi kuliko takriima unazopew namashia
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@zaitoonhassan12682 жыл бұрын
TUWENI MAAKINI JAMANI NJAA ISITUTOE KATIKA IMANI
@amiribakari25282 жыл бұрын
WACHAPWE VIBOKO NA HELA WARUDISHE LAANA HAO..WAMESHAKUA MAKAFIRI
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Hahaaaaaaaa
@sebastianmichael40312 жыл бұрын
Mashehe warudidhe pesa za yule mnayemwita kafili, au ndiyo njaa zimewazidi mashehe, ni Aibu kubwa, waambieni warudidhe hizo pesa, jamani mashehe njaa mbaya sana.
@saidchombo59522 жыл бұрын
Aiingii akilini, MWENYEZI MUNGU atunusuru
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@mahengomwenyewe42042 жыл бұрын
Ndio faida ya kuishi kwenye ukhurafi hiyo shauriyenu mtajijua wenyewe
@amarali052 жыл бұрын
Mie nahisi bado wamo kwenye mchezo
@lovvy8542 жыл бұрын
Hawaezi ila wamepatwa na mshtuko mkubwa baada fahamu zao kuearudia manake nikama walikua wametekwa akili
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Sannah
@trophywilson72112 жыл бұрын
Na shekh yumo na Nabii yumo
@trophywilson72112 жыл бұрын
@@lovvy854 na Watakoma kule kuna Mapepo anayeenda akili haziko kamili
@lovvy8542 жыл бұрын
@@trophywilson7211 Alaa hivi kwa Nabi mkuu kuna mapepo kule wew ulijuaje
@amiribakari25282 жыл бұрын
Matapeli haya tena hasa hili na kale kafupi
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@mohamedturanardan88712 жыл бұрын
Nyinyi mnahitaji muvuliwe nguo UCHI mutandikwe MIKIA YA TAA. Chezeaneni baina yenu sio DINI YA ALLAAH (S.W). Wapuuzi wakubwa nyinyi
@mohamedjuma18782 жыл бұрын
Angalau Leo umejikaza
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@ndimimaskati36412 жыл бұрын
MATATIZO njaa imewafanya wadharau dini yao , Waunge mkono MUNGU ana mtoto.
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Kabisa
@rahmazahor43332 жыл бұрын
Wazee maskini wamepata mapepo...Allah awasamehe jamani tuwachangie hali ngumu ..walifata pesa maskini duhhh poleni
@zaidinohoraibo5671 Жыл бұрын
Awa wazee, wanammuoga shekhe nkuu kuliko wenyezimgu, maana myoyoni mwao naamini kwamba yule ni nabii mkuu
@madawamchuwa82532 жыл бұрын
Innalillah wainailayh rajoon kumbe ni waislam kweli jamani yaarabi mbona watu wanajitoa fahamu hivi kwa tamaa za kidunia?🤔
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Msiba mzito
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Wallah
@habibaramadhani152 жыл бұрын
Shekhe Mkuu nakupongeza kwa. Kazinzuri
@hajiramadhanihaji3552 жыл бұрын
Njaa shikamoo
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Sannah
@jumashukani84722 жыл бұрын
Wewe mzee embe kwqnza uswali waonesha
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@abuuaiman70902 жыл бұрын
Kisha Warudishe izo pesa walizopewa
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@saidmohamed20022 жыл бұрын
Nyinyi wanafiki wakubwa,tena munajiita masheikh eti mume hitimu kwenye dini,kama nyinyi mwafanya upumbavu huo wale waisilamu wasioijuwa dini vizuri wafanye nini.Rudisheni hizo pesa mulizo chukua kwa huyo padiri,acheni unafiki,eti baada ya kuchukua pesa ndio mwaona mutubie kwa Allah,mumutuvua nguo waisilamu kwa jumla.
@omaryseshambi64682 жыл бұрын
Nimnafiki hakuna kupepesa maneno
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Duh
@habibaramadhani152 жыл бұрын
Alhamndulillah naomba uwe na kikiaona viongozi wote. Agenda. Hiyo.