Penda sana shekhe wangu allah akuzidishie umri mrefu uzidi kutuelimisha
@faisalahmedy55194 жыл бұрын
amin
@omanhsj60733 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe wakati mzuri katika nyakati zake Kheri zote zikufikie kwani unaifanya iman yangu izidi kuwa ni yenye kuzidi kutaka kuwa karibu na Allah kwa hakika mawaidha ni ukumbusho mkubwa sana
@omanhsj60733 жыл бұрын
Ahasante sana shekh othman kwa mada nzuri sana nina maombi je naweza kupata muongo ili kujua nipitie wapi kuweza kuoata ufafanuzi zai au la naweza kusema tuu hapa naomba nijue
@habybaty31345 жыл бұрын
Maa Shaa Allah ALLAH AKUPE UMR WA KHEYR NASOMA SANA SANA KUPITIA WW SHEYKH akulipe kwa kila hatua unayoipanga na mwisho akukamilishie makhitaji yako ya duniani na akhera
@yussufmohammed35366 жыл бұрын
MASHALLAH: SHEIKH OTHMAN KWA UJUMBE WAKO ALLAH AKUPE KILA LA KHERI NAWEWE.
@sadaramadhani7936 жыл бұрын
yussuf mohammed
@salmajuma18466 жыл бұрын
MASHALLAH.......ILA mchukuaji kamera uciwe unaikatisha quran wakat inasomwa sababu kila ayya ina maana yake sasa wewe kwenye aya hasa hizo mbili za mwisho umezirukisha ambapo ni kosa kwa Kupunguza aya za ALLAH