2025 bado ni mwendo wa kuinjirisha kwa kwenda mbelee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@johnnyamase766226 күн бұрын
Like za 2025....mwaka wa yubileii mwaka wakuzaa sanaa
@immanicoikonko528710 ай бұрын
Kaiiiiii this song wueeeehhhhh!!!! Powerful!! Praise...Nimetafakari habari zako, nami nashindwa kuelewa kabisaaaaaaa, binadamu angenipa Neema, kesho angechoka kunipa zaidi....lakini wewe Haina kikomo wala mvua zako hazina majiraaaa!!!! This one got to my spirit with immediate Effect....vipi na hiiii....ulijua wazi ya kwamba mimi sikustahili lakini ukaruhusu nifanikiwe juhudi zangu!!! Dahhhhhhhhhh nyieeeeeeee aiseeee this song is preaching a great deal sanaaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤Much Love for the song!!!!
@SiloRosy-oz1lw Жыл бұрын
Natamani kujiunga na kwaya hii
@elizabethmziray58114 ай бұрын
Nimejifungua Mtoto amefariki,nimelia mnoo ila baada kusikia huu wimbo,machozi yaliisha na kukauka.mungu ni MWEMA
@dorinitemba80744 ай бұрын
Pole saana ..Mungu awe faraja yako
@malifezajrdealf898226 күн бұрын
Pole Sana, sali novena weka Nia na Mungu atakuoatia mtoto mwingine
@shukuranizawadi Жыл бұрын
Huu wimbo sisemi k2 kabisa
@Ellybeny Жыл бұрын
Hata ipte miaka 100 nikiwa dunian .,, Huu ndio wimbo wangu pendwa namba 1
@pattypatty93158 ай бұрын
2024 bwana Yesu asifiwe
@jescasaimon7683Ай бұрын
Amina
@tarryfahy4317 Жыл бұрын
I thought it was a new song kumbe it's this old ❤
@winniem81154 жыл бұрын
Nimetafakari habari zako nami nashindwa kuelewa kabisa Binadamu angenipa neema kesho angechoka kunipa zaidi Lakini wewe hauna kikomo, wala mvua yako haina majira Bwana, wanyesha mvua, Bwana, kwa walio jangwani Bwana, wawasha jua, Bwana, mpaka baharini Kweli Bwana wewe ni mwema sana Nitasimulia miji, Yesu ni mwema, Yesu ni mwema Nitahubiri vijini, Yesu ni mwema Yesu ni mwema Nitayafafanua haya, Yesu ni mwema Yesu ni mwema Watu wote wapate kuyajua, Yesu ni mwema Yesu ni mwema Nitasimulia nchi, Yesu ni mwema Yesu ni mwema Niliwaza kwa ubinadamu mpaka mwisho wa kufikiri Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu Kwa kuwa humtupi anayekutumainia Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu, kamwe Uzoefu wa mapito haya ukaninyima usingizi Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu Kanuni za dunia zikavunja matumaini Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu, kamwe Giza lilipotanda mchana likanifunika usoni Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu Nikapiga kelele hofu kuu ikanisonga Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu, kamwe < h i t i m i s h o> [t|b] Naimba he he, naimba leo Naimba he he, naimba mimi Ulijua wazi kwamba mimi sikuwa nastahili, Kwa sababu mimi mdhaifu mwili na roho Ukaruhusu nifanikiwe juhudi zangu Makusudi ili nione ukuu wako Ndugu wanipende, jamaa waniheshimu Marafiki wanijali, wanisaidie Ndiyo maana leo, mimi nakurudishia; [w] Utukufu ni wako milele Sifa heshima ni vyako daima Wewe peke yako unastahili Usifiwe na uhimidiwe! Nakushukuru Bwana, kwa kuwa umeniona asante Nakushukuru Bwana, kwa kuwa umeniona asante Nakupa utukufu, kwa kuwa umeniona asante Milele na milele, kwa kuwa umeniona asante Nakushukuru Bwana, kwa kuwa umeniona asante
@baariumicky62162 жыл бұрын
Good job
@paulinemwemba23582 жыл бұрын
wanted this thank you
@maggyshiquow32582 жыл бұрын
Thank you very much ubarikiwe kupindukia
@JanethMadios6 ай бұрын
Thank you!.......
@George-b1u3sАй бұрын
Good of you babygirl ❤❤❤
@PerisMokeira11 ай бұрын
It's 2024 still the song like of yesterday,can't get enough of it🙏🙏
@GraceMario-kg2im3 ай бұрын
Niko hapa 2024.binadamu angenipa neema kesho angechoka kunipa zaidi, Asante Yesu mwema kufa kwa ajili yangu
@beatriceloyang8 ай бұрын
Who's here in 2024
@doreenchikuni24497 ай бұрын
Am here oooo 🙏🙏🙏
@florencenyadila48626 ай бұрын
We here being uplifted
@nachizombongandu88645 ай бұрын
🎉🎉🎉
@anatolyandrew77775 жыл бұрын
Huu wimbo ni mzr sana jmn hata ipite miaka 50 kama niko hai sintaacha kuusikiliza jmn naupenda san huu wimbo mpaka najion mwenye furah muda wote! Naimba eehh! Ulijua wazi kwamba mm sikuwa nastahili kwasabb mm mdhaifu mwili na roho ukaruhusu nifanikiwe juhudi zng makusudi ili nione ukuu wako ndg wanipende,jamaa waniheshimu marafiki wanijali wanisaidie ndio maan leo mm ninakurudishia Utukufu ni wako milele sifa na heshims ni zako daima ww peke yk unastahil uhimidiwe n Utukuzwe amina
@josephkhanyereri9405 Жыл бұрын
Who is here in 2023?🔥
@user-fredrickmtei7 ай бұрын
Hongera mtunzi wa kwaya hii
@JanethMadios6 ай бұрын
Jamani huu wimbo sina cha kusema kwa kweli, maana umekuwa ukinibariki kila iitwapo leo!.......... mbarikiwe sana watu wa MUNGU❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@aggreyotieno Жыл бұрын
I like Catholic and I urge all the families to be in catholic church, this this the only church which teaches the way of truth. THANKS TO MT. KIZITO FOR THIS GREAT SONG.
@mauruskomba9187 Жыл бұрын
Nimeanza mwaka 2024 na huu wimbo, naona nina kila sababu ya kusimulia ukuu wa Mungu siku zote za maisha yangu. 🎉🎉🎉❤
@ElvisTabula3 ай бұрын
Tutajuaje na tutaamini vipi kama sio trend.. hapo ndo ujue ukuu wake unatoka kuua bado anaichia punzi uendelee kuishi ila bado tunajiona miamba. Mungu akulinde
@whiteirambona55444 жыл бұрын
Wimbo huu naupenda sana. Nausikia Lila Siku asubuhi na jioni. ..unanipa fursa ya kutaja ukuu wa Jesus. Ila tu nigeomba aliye tunza huu wimbo atutilie maneno kwenye vidio ili tuweze tambua maneno yake yote. Juu kama mimi Murundi asiye zoeya vyilivyo Kiswahili cha Tanzania, Kuna maneno ambayo siyadikii vizuri.
@alexminde31298 жыл бұрын
yesu no mwema katika maisha ya kila mwanadamu amina
@fedhakamili9426 жыл бұрын
Yesu ni mwema kilasiku mungu awazidishie vipaji
@jayeventstv3133 ай бұрын
Nitasiiiiiiimulia mimi, Yesu ni mwema Yesu mwema🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 . 2024 winding up,20225 is that you😆😆😆🤩🤩🤩
@georgelucas80315 жыл бұрын
Nmetafakari habari zako, nami nashindwa kuelewa kabisa, binadamu angenipa neema, kesho angechoka kunipa zaidi, lakini wewe hauna kikomo, wala mvua yako haina majira. Bwana wanyesha mvua kwa walio jangwani, wawasha jua mpaka baharini. Kweli Bwana wewe ni mwema sana. Haya maneno yakiimbwa kwa Imani, katika ulimwengu wa roho yanisikika kwa nguvu, kuna namna fulani hivi unaanza kuyaona maisha katika mtizamo tofauti
@TibyondimuJooo10 ай бұрын
Huu wimbo kila niusikiapo unakua mpya masikion mwangu haakika Mungu ni mwema
@FraiscaNestory7 ай бұрын
SIFA NA UTUKUFU NI ZAKO MILELE 🙏
@lelo31062 жыл бұрын
Yesu ni mwema nakupenda yesu kristu
@JeremiahMatuku-wb3fi8 ай бұрын
Huu wimbo nasikianga ukinibariki sana
@hawakimolo3 ай бұрын
Huu wimbo unanibariki sanaa Sifa na utukufu kwa Mwenyezi Mungu
@JoshuaHilgath3 күн бұрын
NITASIMULIA NINI 2025 YESU NI MWEMA 💖 💓 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@veronicamgimba59642 жыл бұрын
Hata nikiwa sina chakula niusikilizapo huu mwimbo naona Amani tele moyoni na njaa haipo tena mt kizito mbarikiwe sana
@petermbinga31285 жыл бұрын
yesu kweli ni mwema sana mungu wetu yupo hai
@tasharosre60264 жыл бұрын
Ni kweli Yesu ni mwema dunia nzima mpate kujua jamani any one watch with me may 14 2020
@frankwandarah886Ай бұрын
@ 4.32 wimbo unachukua mwelekeo mpya,i cant have enough of that.Namaliza 2024 strong in Catholic
@peterevalest-gp7md Жыл бұрын
Mungu ni mwema nyimbo nzury sana mbarikiwe sana
@metrinenasimiyu7588 Жыл бұрын
11 years down the line isn't a joke ,wimbo wenyewe waweza dhania uliimbwa jana,maybe some faces were too young now they are full grown kwa kimo na zaidi kwa hekima ya uimbaji
@magdalenakulwa4802 Жыл бұрын
Ni, 2007 rafiki😂... so, ni miaka 16 tangia wareckord audio na ku-shoot video
@khairatzinzibar14346 жыл бұрын
Jamani Mungu awabariki kwa wimbo mzuri sana yaani ww acha tu mpaka nimelia kwa kukumbuka ukuu wa Mungu kwa kweli mwanadam angenipa neema angetaka kulipwa na maskini tungekua wageni wa nani tungekufa kama utitiri kwa kweli Mungu ni mwema tumsifuni mpaka kieleweke kwa ukuu wake na utukufu wake
@NeemaKmussa5 жыл бұрын
Nakumbuka enzi hizo nafanya kazi iringa za ndani tulikuwa yunasikiliza kipitia redio Maria 2009- hadi leo28/ 01/2020 Yesu ni mwema
@eddyjosephmagenge96584 ай бұрын
24 bado huu wimbo ni mpya kwangu kila niusikiapo.
@eplisbackchannel2358 Жыл бұрын
It's now 2023 and the song still afresh in our play list 😀😀
@VelejilyoMhongole6 ай бұрын
Acheni utani Hawa watu waliimba vizuri vizuri vizuri vizuri.
@taracisiogikonyo99895 жыл бұрын
hongereni sana twangoja vibao vingine Mungu na awajalie neema
@Martha442213 жыл бұрын
NYIMBO INA MANENO MAZURI SANA KWELIMWANADAMU ANGENIPA NEEMA ANGENIDAI SIKUMOJA ILANEEMA YAKO MUNGU HAINA KIKOMO, NAKUSHUKURU MUNGU KWA KUA UMENIONA
@alexblazi4678 Жыл бұрын
This song never die,me watching 2023🙌
@pasiensiabel7278 Жыл бұрын
Miongoni mwa tungo bora zaidi kuwahi kutokea kwenye kwaya za Tanzania. Be blessed
@lawrencerogena39293 жыл бұрын
Hii ni kwaya ya ajabu
@DaisyMoraa0110 ай бұрын
❤❤❤I love this song so much🥰🥰🥰🥰
@jacobkilagalila-gu2mh5 ай бұрын
Hii church haitakuja kufa mpaka Jesus Christ ard
@princessvai6 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana hongereni wanakwaya wote na mtunzi wenu
@GregorymutisyaKakuta3 ай бұрын
Really touching song, congratulations to team concerned!!
@SacreValentin-s2c27 күн бұрын
Namaliza mwaka 2024 n'a huu mwimbo, Asante Mungu kwa Baraka zako.
@Felistarthomas-tz2yj3 ай бұрын
Tukufu ni wako milele baba wa mbinguni nakushukuru bwana kwakua umeniona asanteee
@johnsadiki26575 жыл бұрын
A trillion likes for this catholic praise and worship song. Never will I leave the catholic church. Singing well is praying twice. Long live KMK Makuburi.
@petertemu6431 Жыл бұрын
O
@sarahcriss7642 Жыл бұрын
@@petertemu6431 Ppp
@sheckycobb52403 жыл бұрын
Nasisimkwa mwili kusikilizia wimbo huu....una uvuvio wa roho Mtakatifu. Kazi nzuri kumsifu Mungu
@sarah-hy7gz Жыл бұрын
Mungu ape nguvu Tena atunge nyimbo nzur Sana ubarikiwe Sana 2:54
@justinemaingu14605 жыл бұрын
2020 Yesu ni mwema anazidi kutupa baraka tele heri wale ote wanaomtumainia
@antonynganga41865 жыл бұрын
Wanakizito hongereni...huu wimbo ata Cjui niseme nini jamani...dah!! Naupenda sana..nausikiza kila siku na c choki,Asanteni Sana,barikiweni!!!!!
@joshuakaira-fe4yq Жыл бұрын
Inanikumbusha mkoa wa manyara 2008 acha kabisa
@josephlupasha62285 жыл бұрын
Several years down the line, but this song never grows down mtunzi alituliza kichwa akaja na sala hii be blessed.
Pindi ninapo usikiliza wimbo huu,YESU NI MWEMA.na kutafakari nakuwa furaha na amani tele,endeleeni kuinjilisha kwa njia ya nyimbo na;MUNGU AWABARIKI, mt.kizito makuburi choir.
@reginamuia83364 ай бұрын
Hakika yesu ni mwema....Amen🤗🤗
@Nichrousnkings Жыл бұрын
Mtunzi abalikiwe sana
@blessednjonge112 ай бұрын
November 2024 👏🏽👏🏽 Utukufu ni wako milele.
@ValerianMassawe-e5w2 ай бұрын
Nafunga huu mwaka na nyimbo hii kwaukuu wa mungu
@nelsonnchimbi58695 жыл бұрын
asante mungu maana huu wimbo nimeutafuta nashukuru kwa kuupata . barikiwe sana kwa uwimbaji wenu . by amina nchimbi
@martinmuthuititotitomuthui33835 жыл бұрын
I feel much blessed with this song every time. Proud to be a Roman Catholic believer .in the name of the father the son and of the Holy spirit Amen!
@Cilouh_Music Жыл бұрын
Today I lost the Teacher Who made me know about the existence of this Hymn😢, It Will forever be special
@RuthKamau-w7h Жыл бұрын
Looks new & sweet till 2023
@restitutamartin74558 жыл бұрын
i like Catholic Church for ever in my life but i like that song,be blessed all Roman catholic
@jeanmubemba12045 жыл бұрын
kwa kweli Benard mukasa amepakwa mafuta ana kipaji cha sana cha kuandika vigongo,huwa anatubariki sana na kwaya yote,barikiwa
@MosesyDickson Жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@dannjoroge2002 Жыл бұрын
Live long Bernard Mukasa😍😍😘😋🎶🛐🛐🛐🛐🛐🛐
@esthernzioka89887 ай бұрын
This man Bernard, God bless him for His own glory.God bless whoever finds comfort in this Godly inspired song, Amen
Fernndes, this is not a Kenyan choir, it is a Tanzanian catholic Music.. Glory be to God, and many thanks for all who have given us congrats and positive complements, we are now working on our new album, please pray for us so that through our sings we all praise our reigning God forever... AMEN.. :)
@emmanuelsadiki71608 жыл бұрын
I have 10000 reasons to listen healing songs like these, God talks his people in several ways, among of these ways is through choirs, I'm blessed with your nice songs dears in jesus christ, let God go on blessing you
@benmshongi34113 жыл бұрын
Yesu ni Mwema Yesu ni Mwema..my favourite catholic song.,getting to watch this Choir perfoming live is a real life blessing..
@rahelmanyama63386 жыл бұрын
Mbarikiwe sana hakika nafarijika sana nikisikiliza nyimbo zenu.hakika yesu ni mwema ck zote
@akwinomsombe6 ай бұрын
Wimbo wangu pendwa😊
@user-fredrickmtei8 ай бұрын
Hata sasa yesu ni mwema🙏🙏
@polinesagina-ut1rs Жыл бұрын
Amen amen amen nimebarikiwa sana🙏🙏🙏🙏
@AndrewMalanda2 ай бұрын
Nakushuku sana Mungu wangu kwa wema wako🙏🏻🙏🏻
@PaulineNzioka-tc7iy Жыл бұрын
It is truly said that "old is gold". I've always loved this song since the first time I watched it in 2013. 👏👏
@jacklinechepkoech18654 жыл бұрын
Nitasimulia nchi, Yesu mwema!! Super! Super! Great voices and spirit!!!!
@cyrusregnald17182 жыл бұрын
Who come to watch this after tcra do there thing 😃
@veronicamugo34873 ай бұрын
This is so great,i love this song, glory to God.
@leogardmbisa37677 жыл бұрын
yesu ni mwema maishani mwangu katika family yangu na kanisa lake na jamii yote ya watu wa tz na dunia kiujumla
@georgelucas80315 жыл бұрын
Haya Maneno yakiimbwa Kwa Imani hakika hakuna cha kukuzuia katika maisha haya
@Rose-vo8xd3 ай бұрын
2024 namaliza na huu wimbo
@anthonygambishi55807 жыл бұрын
Hongereni kwa nyimbo zenu zenye ujumbe na majitoleo makubwa..Mungu awajarie uharisia katika myoyo yenu..uharisia wa nyimbo zenu
@dominashirima8735 жыл бұрын
Mungu awalinde sana, wengine mmekulia hukuhuku jamani, Mungu naomba uwabariki
@fredyelifuraha25533 жыл бұрын
YESU NI MWEMA. NANI ANASIKILIZA NAMI WIMBO HUU 05 DEC 2021.. NIMEBARIKIWA SANA JPILI YA LEO..
@marymimina2 жыл бұрын
11 yrs ago and still rocking.....I can only recognize two singers who are still active in this choir to date. May God bless them and KMK at large🙏
@chepkoechjanethrotich1318 Жыл бұрын
Kwani wengine walienda wapi??
@abelkaka9266 Жыл бұрын
2023 Utukufu ni wako milele
@martinodhiambo1639 Жыл бұрын
Huu wimbo naupenda sana.... the organist , the vocals....wacha tu. Mbarikiwe tena na tena.
@evelynemoshi5705 Жыл бұрын
😊 tupo apa leo
@mamelitangemela59674 жыл бұрын
Hata sasa YESU ni mwema kwangu, sitochoka kutaja jina. Asante YESU kwa wema wako kwng. 🙏
@metodymkamila34584 жыл бұрын
Amina sana nyote
@sojinkuba47465 жыл бұрын
Nipo shinyanga lkn parokia ya buhangija lakini ni shabiki sana wa hii kwaya inaimba vizuri km mmeniona ujumbe huu gonga like
@HappyJaakim7 ай бұрын
Nyimbo nzuri Sana imenifariji sana
@wesleyrogito83266 жыл бұрын
mungu apariki kanisa letu katholiki na watunzi wetu wenye kibaji na neno LA mungu ienee kote