We are singing this song in our church nowadays and its sooooo good 👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️👏👏👏
@Magambo__ivy5 ай бұрын
I know right
@Agnes-hh8mh2 жыл бұрын
Heee am. Ugandan but this pianist my goodness 🤭🤭🤭🤭🤭🤭nikazi nzuri ndugu ubarikiwe🙏🙏
@valentineougo11115 жыл бұрын
From Kenya but ukweli usemwe mko juuuuuu sana
@maxlucky6709 Жыл бұрын
Such a nice song...but another of my favourite old kmk song Msifu bwana sipati, please help 😊
@wilhelmkatani93026 жыл бұрын
Hakika Mwenyezi Mungu ni mmoja na atabaki kuwa mmoja akhasante
@johnboscovalentine89335 жыл бұрын
Again and again i 've been listening to it since 2011 to date....mmetoka mbali ndugu some faces from this point to date....hongeren na muishi kwa undugu huu KMK....
@wernerykapinga277811 жыл бұрын
Jaman kwaya hii inatisha sana ukweli lazima ubaki... hongera sana mukasa na mpiga kinanda wake! du! naona wivu!
@angelahamisi57146 жыл бұрын
angela
@Paulmusyoki-u1wАй бұрын
Mungu n mmoja
@selemayowe45006 жыл бұрын
Kuishi kwetu ni kristo rahaa sana mungu awabariki sana
@valentinoswenya7483 ай бұрын
Mpiga kinanda mungu ambaliki sana
@FaithChepkazi6 ай бұрын
Am in love with the song🎉 congrats 👏
@dominashirima8735 жыл бұрын
Hongera mpiga kinanda umekulia hukuhuku, Mungu akufadhili!
@immanueltimothy18733 жыл бұрын
2021 nipo mwenyew???
@cosmascharles420711 жыл бұрын
Kweli mukasa ana kipaji cha ajabu,hongera sana na mungu akuzidishie katika utume wako,endelea kumtumikia bwana kwa utunzi wa nyimbo
@happysemwanga502111 жыл бұрын
may our arlmight god blecc u guys u real do a good thing
@deviddaniel95284 жыл бұрын
Ama kweli nyie wenzetu mnajua
@kristaboniphace6873 Жыл бұрын
Daah nmeutafuta sana huu wimbo hatimaye leo nmeupata 😘😘😘
@johnboscowilliam99835 жыл бұрын
Mungu ni mmoja Hakuna mwingine asanteni.
@stephenandrew32924 жыл бұрын
Hongera Sana wanakwaya kwa Uinjilishaji mzuri hiyo ni Ibada ya Kiwango kikubwa Mungu Azidi kutubariki hasa Kipindi huki cha Maajilio Napenda Sana Uinjilishaji katika kwaya
@susanraphael58944 жыл бұрын
imelia mbiu ya mtume paulo ❤am blessed to be acathoric nice messages be blessed singers
@partymmtv3134 Жыл бұрын
A good song in deed.During my stay at Kibabii University,Kenya we loved singing it during mass. From Kenya🇰🇪♥️
@TineAdehelmNdunguru6 ай бұрын
Wakongwe🎉🎉🎉
@frankjoseph68665 жыл бұрын
kweli ni mmoja nakuishi kwangu ni Kristu hata kufa kwangu ni faida
@mwesigacredius9852 Жыл бұрын
12 years back!!! Mmetisha sana MKM huchoki wimbo unaoimbwa na hii kwaya!!!
@elikanabenjamin30714 ай бұрын
I remember in mwakaleli secondary school 🔥🥰🥰🥰
@MichaelMaganga-hn5ti8 ай бұрын
Bwana asifiwe
@erickchikira13976 жыл бұрын
kweli ni mmoja na ndie peke ake YESU KRISTO.......AM PROUD TO BE CHRISTIAN
@Samuel-d8x7b6 ай бұрын
Mimi ndio natazama
@braitonurio5 ай бұрын
Tuko pamojaa
@theresiachristian6386 жыл бұрын
Asante mungu awabariki kwa nyimbo nzuri kiukweli mt kizito mnajitahidi kwa kuimba
@josephburgei57424 жыл бұрын
Ni Mmoja, Kuishi kwetu ni Kristo. Our Good Lord & God will always protect us.
@lucasgervas91696 жыл бұрын
Mshobozi mungu akujaalie zaidi ili uitangaze injiri kwa njia hiyo kweli kinanda kinakujua hongereni sana
@michaelinocent81999 жыл бұрын
mim lilian kiukwelu kway ya mtakatifu kizito mko vinzuri mungu awabariki sana nikisikiza hizi nyimbo huws nafarijika sana pia huwa nafarijk ansant utume mwema
@webgenius287311 ай бұрын
The best song 🎵 ❤❤
@prettyanonickodemus47412 жыл бұрын
Dah naupendaga huu wimbo sana
@SimonAiko2 күн бұрын
Old is gold 🥇, hongera sana
@SimonAiko2 күн бұрын
Still doing good , keep praising God's name 📛,
@yustinimwanjabala6693 жыл бұрын
Ahsante kwa uwimbaji wetu mungu azidi kukubarik
@SeraphiniKamily10 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo! Mukasa atabaki kuwa mtunzi bora wa nyimbo.....Hongereni sana Makuburi
@hughommbo3759 жыл бұрын
Vizur sana
@theresiapaul47956 жыл бұрын
Ee mungu tujalie neema ya kukupenda daima, najivunia ukristo, mungu tufanye tuwe wamoja Kama upendavyo wewe pekee
@alexbazilius27306 жыл бұрын
Theresia Paul mtume
@pilisungwa60724 жыл бұрын
Aminaa
@esterntondo36636 жыл бұрын
Hakika ni mmoja tuu... Hakika kuishi kwetu ni Kristo pekee
@reginamaganga262811 жыл бұрын
hongereni kwa kumsifu mungu kwa nyimbo napenda mnavyoimba mungu awabariki
@irenejames420010 жыл бұрын
NICE ONE ASANTENI, HUYU MPIGA KINANDA ALIKUWA COLLAGE MET WANGU. KILA LA HERI WIMBO MZURI SANA
kiukwel mmeutendea haki wimbo kuanzia waimbaji mpak mpigaji, mmetisha sana ila nashindwa kuupat nataman niwe nao hat kwenye cm roh yangu itafrah saaan.
@ghdgod31126 жыл бұрын
Mko vizuri wapemdwa
@edwardkaim51394 жыл бұрын
Umetisha Sana huu wimbo yan nizaid ya Sana
@soulfoodtz6421 Жыл бұрын
Listening this in 2023 ❤❤❤
@phylliswambui66636 күн бұрын
Still doing good, keep going, the arrangement was just goodd
@kelvinpaul10774 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana ndugu zangu
@josephkimodoi49176 жыл бұрын
Ndio kuishi kwetu ni kristo
@godfreyeladius5322 жыл бұрын
Nyimbo mzur sana naipenda kuliko
@ivonjoseph24242 жыл бұрын
2022…. And loving the song!
@wabulegrace63352 жыл бұрын
Wabule Grace. From Uganda. I really appreciate the wonderful work the pianist does almost in every choir. He is very grate.
@anngachigi42005 жыл бұрын
Mtakatifu kizito keep it up
@godlovemhagama889812 жыл бұрын
hiyo nimeipenda. mpigakinanda kapiga vvizuri sana, na waimbaji wameimba na kunesa vizuri sanaaa..
@honestludgery17816 жыл бұрын
Kwangu mm kuishi ni kristo nahata kufa kwangu ni faida. Barikiwa sanaaa
@AlvanVanny Жыл бұрын
The song is so good it's very inspiring too young pple
@edgerelias57049 жыл бұрын
kwa kweli Mungu acheni aitwe mueza wa yote kaifanya kwaya ya mtakatifu kizito kuwa chombo cha uenezaji injili aswaaa kwa kweli mnaweza May God bless be upon you all mtakatifu kizito
@adelardemunishi77347 жыл бұрын
Organist is exceptional
@wanzitaally31608 жыл бұрын
Ama Keli ni mmoja hakuna mwingine zaidi yake
@JafferMusee15 күн бұрын
This song is so good 😊
@alibaruth94246 жыл бұрын
I can't even get tired of watching this choir,they are so inspiring, just know you have one of your number fans this side.
@getrudengalo8054 жыл бұрын
Sure am proud to be a Catholic
@georgemathias22658 жыл бұрын
Jamaniiiiii hongereni sana . wimbo wenu wagusa sana wakristo. Mungu nanyi
@m.mmarckus6298 Жыл бұрын
Kwa maranyingine nimeukumbuka huu wimbo❤
@elizabethmwangombe17504 жыл бұрын
Niice song
@rosemaryjackson25566 жыл бұрын
mbarikiwe wana wa mungu n kwel n mmoja
@BenedictKivamba-f7w Жыл бұрын
Naupenda ukatoliki wangu ,hakika nitadumu kwenye imani hii
@zachariagerald13 жыл бұрын
Thank you very Much Rigogo..Amina...baraka tele ziende kwako kwa kupendezwa na kazi hii ya Mungu..@Donat445
@eutropiaemmay41228 жыл бұрын
kwangu kuishi ni kristo na kufa ni faida,gudi sana waimbaji Mungu awape tumaini jipya kila wakati
@davidwilson96424 жыл бұрын
Yesu ni jibu tosha
@semeningoka86418 жыл бұрын
.good song hit song by the Catholic kweli kuishi kwangu faida
@chricensiamathew185610 жыл бұрын
I listen & learn through this everyday, yes ni mmoja no one like JESUS
@Sebastian-to4qd8 жыл бұрын
Chricensia Mathew Congratulations 🎊 brother
@JudithKiiza Жыл бұрын
Proud to be christian
@lucymuthoni17412 жыл бұрын
Kweli kuishi kwetu ni Kristo
@elizabethmichael52766 жыл бұрын
napenda kwel nyimbo
@priscomlowe31293 жыл бұрын
Safi❤️❤️❤️💯
@richardchaula18604 жыл бұрын
I'm very proud to be Catholic.
@nyawirafrancis26648 жыл бұрын
wimbo safi kabisa. tafadhali mtume lyrics tuimbe pamoja
@sebiewaigama76896 жыл бұрын
Huu wimbo umenigusa
@sebiewaigama76896 жыл бұрын
Amen
@stephenandrew32924 жыл бұрын
Hakika tumtumikie Mungu Katika maisha yetu
@donatienkuyaga41529 жыл бұрын
Nikisikia nyimbo zetu najisikia Niko Nyumbani
@georgemathias22658 жыл бұрын
Asante sana mungu awaongoze kuptia jina la yesu Christu.
@BonfaceNyakoyo3 ай бұрын
Lyrics please
@selestinerchristopher11292 жыл бұрын
Catholic jaman .... 😘😘😘 proud to be 🙂
@marthacharles394011 жыл бұрын
wow! nice song from kinanda up 2 uwimbaji unanikumbusha wimbo wa mali yako keep it up makuburi Mungu u pamoja nanyi!!!!
@paulmukhwana51813 жыл бұрын
Fridolinus Mushobozi hapa anaonekana mdogo kimaumbile. Sauti nzuri. Makuburi ni kielelezo chema kwetu sisi waimbaji wakatoliki wa kanda ya Afrika Mashariki.
@edgerelias57049 жыл бұрын
nyimbo zenu nikizisikiliza nafarijika sana jaman
@mutamacharles821111 жыл бұрын
I FIRMLY BELIEVE THAT OUR LIVING IS SO FAITHFUL TO US HIS CHILDREN.THROUGH HIS DIVINE WILL THIS WOULD BE MARCHING SONG FOR MY LOVELY WEDDING DAY!!!.
@chescomnanikoxhaxnkibiki96498 жыл бұрын
kujet kwng kusmm kwang hongela mt kizito kwa ujumbe mzito
@aqwilinamsomba38906 жыл бұрын
Kweli emeliya mbiu ya mtume paulo hongeleni sana wimbo mzuli sana huu
@gracefuliyainoi50427 жыл бұрын
mbarikiwe sana...sauti nzuri sana mungu awabariki
@OGT4563 жыл бұрын
*Mukasa and Organist Mushobozi well arranged vocals and instruments 🌟🌟
@benedictmwagwimile5172 жыл бұрын
God bless your
@strattonmushi41077 жыл бұрын
what a song!!!! so nice.. wimbo mzuri sana
@GeefNdolezi Жыл бұрын
Afukuzwe Mungu
@julianamohamed10525 жыл бұрын
Nikweli kabisa ni moja ni Yesu tu
@raphaeljoseph69776 жыл бұрын
very nice song I like
@yohanamjungu57607 жыл бұрын
wimbo safi sana mungu awajaze neema
@raymonarsenalem88358 жыл бұрын
among the best song i lyke 2 hear, congrats!
@جميلهخميس-ط5ث8 жыл бұрын
kwangu kuishi ni kirsto na kufa ni faida ahsante sn barikiwa sn waimbaji