No video

Ambwene Mwasongwe _ Tulikotoka

  Рет қаралды 1,497,752

Johnson Girbert

Johnson Girbert

Күн бұрын

Пікірлер: 596
@mzizirashid709
@mzizirashid709 6 жыл бұрын
Kaka Ambwene mm ni muislam lakini napenda sana nyimbo zako zinanifariji sana na kunipa nguvu . Ubarikiwe sana
@marryyohana5988
@marryyohana5988 5 жыл бұрын
sasa nkeli
@mariej6962
@mariej6962 5 жыл бұрын
Karibu kwa umjue Yesu Rashid
@yahyachamtungi7261
@yahyachamtungi7261 5 жыл бұрын
Tatzo liko kwet,haliko kwa Mungu
@siajohnprincejohn1244
@siajohnprincejohn1244 5 жыл бұрын
Ubarikiwe
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 5 жыл бұрын
ameeeeeen
@karinoabdala9484
@karinoabdala9484 5 жыл бұрын
Kaka ukisoma jina langu utaju din lakini napenda nyimbo zako mahana azina dini zinamafundisho makali sana barikiwa kaka
@raphaelramadhanlucas3994
@raphaelramadhanlucas3994 5 жыл бұрын
You are so deep,my brother good job
@najmakimaro7974
@najmakimaro7974 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Ambwene Wangapi tunasikiliza July 2019 gonga like
@kibezedon
@kibezedon 4 жыл бұрын
Mm Leo
@julianaboniphace3189
@julianaboniphace3189 4 жыл бұрын
Kwa kweli tumetoka mbali mpaka sasa 2019 nimezidi kumwona Mungu akisimama na kutetea maisha yangu
@charlesyohana1235
@charlesyohana1235 6 жыл бұрын
tumpatewapi mtukamahuyu mwenye ROHO WA MUNGU NDANI YAKE nabarikiwa Sana niusikiapo wimbo huu Amen endelea kubarikiwa
@shedrackbryson6797
@shedrackbryson6797 5 жыл бұрын
Hadi leo 2019 bado 💥💥💥💪🎶🎶🎶🎶🎧
@Dm-yq9wn
@Dm-yq9wn 4 жыл бұрын
Tulikutana na majanga tukajuwa ndo mwisho eeh Mwenyenzi MUNGU tuepushe na ili Gonjwa la CORONA
@ashurathomas482
@ashurathomas482 8 жыл бұрын
Abwene Mungu akubariki sana napenda unavyoimba vizuri ,kwa upole ,unyenyekevu huruma inaonekana ktk uso wako Bwana awe nawe
@isayakikoti9396
@isayakikoti9396 9 жыл бұрын
kaka mungu akubarik sana kiukweli nyimbo ya ,tulikotoka' kama ulitunga kwa ajili yangu ubarikiwe mungu akutie nguvu
@aminakihwelo807
@aminakihwelo807 8 жыл бұрын
Mkono wa Mungu ni mkono wa kuokoa namshukuru kwa kuwa mwaminifu kwetu na kutuongoza mpaka leo.ubarikiwe kaka ambwene
@buttohkips5874
@buttohkips5874 9 жыл бұрын
Napenda kukuthibitishia Ambwene kuwa watu wanabarikiwa sana na nyimbo zako. Nakusihi sana usibadilishwe na Chochote cha kidunia. Mawazo yako siku zote katika Kuimba yamlenge Mungu pekee.
@judithcharles9072
@judithcharles9072 6 жыл бұрын
asante Sana
@fideamgonja379
@fideamgonja379 6 жыл бұрын
Barikiwaa saana
@venancemasenga3998
@venancemasenga3998 6 жыл бұрын
Butto Kips Natiwa guvu nikisikiliza nyimbo za ambwene mungu akubaliki baba
@modestamwamkai854
@modestamwamkai854 6 жыл бұрын
Butto Kips nice
@getrudajuma2598
@getrudajuma2598 6 жыл бұрын
Nabarkiwa sanaaa
@milinithomas8622
@milinithomas8622 9 жыл бұрын
Endelea kukaa uweponi mwa Mungu kaka Ambwene,nyimbo zako zinagusa maisha yetu.
@domitilambuna7112
@domitilambuna7112 9 жыл бұрын
your among my best singer....unanikumbusha maisha nliyotoka na ninayozidi kupitia kwa kweli bwana ni mwema....isingekuwa yeye nisingekuwa hai leo
@ami.atwaha7024
@ami.atwaha7024 5 жыл бұрын
Daudi anasema katika magumu yote na alimuona bwana Ameen Ubarikiwe saana Mtymishi Abwene
@marselinabenedict7750
@marselinabenedict7750 5 жыл бұрын
Hongera sana kaka Kwa utume wako
@jovinjjgowelegg8028
@jovinjjgowelegg8028 4 жыл бұрын
AMEEN mtumishi wa MUNGU barikiwa sana
@sylviaramadhani1380
@sylviaramadhani1380 9 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe kaka abwene kyala akutulege kwa huduma unayo ifanya inabariki sana tena sana.
@floranyefwe3464
@floranyefwe3464 6 жыл бұрын
This song made me cry for real. Mungu atusaidie kuishi katika uaminifu.
@jeskatikipangula2550
@jeskatikipangula2550 9 жыл бұрын
nimebarikiwa sana na nyimbo zako @@ubarikiwe sana@@
@dieudonnensengiyumva2511
@dieudonnensengiyumva2511 5 жыл бұрын
Nyimbo hizi zote zinatufanya tubarikiwe Mungu akutiye nguvu uje uuone mbingi!!
@vailethezekiel4175
@vailethezekiel4175 4 жыл бұрын
MUNGU akubariki kaka abwene nazpenda sanaa nyimbo zako zinanipa faraja katika kipindi hiki kigumu MUNGU awe pamoja nasi
@drakenjasper464
@drakenjasper464 4 жыл бұрын
kwakweli tulikotoka nimbali naaliye tutoa huko ni mwenyezi Mungu ubarikiwe mwimbaji Ambwene mwasonge
@drdanielbhoke5363
@drdanielbhoke5363 9 жыл бұрын
Nyumbo nzuri, utunzi makin, ujumbe wenye mashiko kiroho ubalikiwe napenda sana nyimbo zako bro zinanigusa sana
@sarahdaniel2453
@sarahdaniel2453 10 жыл бұрын
Kaka mungu alikuumba iliuifanye kazi yake kiukamilifu wimbo huunanibariki sana.umekuwa fundisho sanakwangu. God blesss u
@upendogodfrey4833
@upendogodfrey4833 5 жыл бұрын
Kaka abwene 2019 still my favourite song.
@janethmwinuka7689
@janethmwinuka7689 4 жыл бұрын
Barkiwa
@nicholausgadiel8191
@nicholausgadiel8191 9 жыл бұрын
kaka naamini katika jina la yesu kweli mungu kakuteuwa umsifu kwa nyimbo zako.umebarikiwa kaka.
@ireneraphael8435
@ireneraphael8435 8 жыл бұрын
yan duuu mpaka natowa machoz mwenyew ubarikiwe sana kaka ambwene nyimbo zako zinanibariki mno
@grantmwakyusa7051
@grantmwakyusa7051 5 жыл бұрын
Hakika TULIKOTOKA NI MBALI .Mungu wa mbinguni amekua shujaa wetuu. Barikiwa sana kaka Ambwene
@muliloshangilia6993
@muliloshangilia6993 8 жыл бұрын
mungu akutie nguvu mtumishi nyimbo zako zinanibariki hakika nliko toka ni mbali nani kama yesu?
@maikozakayo5039
@maikozakayo5039 6 жыл бұрын
Mulilo Shangilia
@fatumaramadhani2782
@fatumaramadhani2782 6 жыл бұрын
ubarike sana
@neemajohn23
@neemajohn23 5 жыл бұрын
daudi anasema katika magumu yote nilikuona,kumbe tatizo sio la Mungu wala shetani tatizo lipo kwetu,😣😣😣😣
@edwardernesti3776
@edwardernesti3776 5 жыл бұрын
Amen
@omarymombury3189
@omarymombury3189 8 жыл бұрын
dah mungu akutie nguvu kaka maana nyimbo zako zinanibariki sanaa
@novatussgervasi4315
@novatussgervasi4315 4 жыл бұрын
kaka ambwene mungu akuongezee kaisha marefu ili uweze kutuelimisha na nyimbo zako mungu akujalie
@siwemamwabujela1302
@siwemamwabujela1302 6 жыл бұрын
ubarikiwe Sana Kaka,nyimbo zako nazipenda Sana znanibariki
@baraka.a.lihawa2950
@baraka.a.lihawa2950 9 жыл бұрын
mung akubaliki kwa utunzi makini nabalikiwa sana nyimbo zako kaka.
@vumiliayona7977
@vumiliayona7977 5 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu na usibadilike kamwe endelea kusimam na Mungu nabarikiwa sana
@josephdotto3490
@josephdotto3490 3 жыл бұрын
Mengine yamekuja YANAKUSUDI...Kaa Nasi Bwana!Safari Bado Ndefu!!Be Blessed!!!October 2020
@tumainingimba9623
@tumainingimba9623 8 жыл бұрын
Mungu atusaidie tusiyatazame majaribu tunayoyapitia tuuzame msalaba wa Yesu wa wokovu na wakutusaidia. Amen
@julianaseba4731
@julianaseba4731 5 жыл бұрын
mungu azidi kukuinua katika kazi yako
@charleskaijage4283
@charleskaijage4283 6 жыл бұрын
L'ike nyingi kwa ambwene
@joycekibao5858
@joycekibao5858 5 жыл бұрын
Charles Kaijage tulikotoka ni mbl amen
@semenkassim7790
@semenkassim7790 4 жыл бұрын
Habar yako Kaka Mimi nimuisiram rakini nyimbo zako nimezipenda Sana very nace
@lavianaalbert9038
@lavianaalbert9038 4 жыл бұрын
Mungu akuinue sana sana
@amanishabani6521
@amanishabani6521 9 жыл бұрын
This Guy has been sent by God, that reason why his all songs can touch anyone,especially me,
@jasnafclassic8559
@jasnafclassic8559 5 жыл бұрын
2020🙏🙏 bado tunazidi ku sapoti wewe🙏 mungu akbarik 2020
@veronicarevinus9915
@veronicarevinus9915 5 жыл бұрын
My all time favorite and reminder to my soul, that it doesn't have to get better but day by day we realise we getting stronger from the experience of our daily trials that we tend to overcome in life❤
@tuponilekajange4279
@tuponilekajange4279 5 жыл бұрын
Mambo
@majurakiboga3430
@majurakiboga3430 3 жыл бұрын
Inspiration
@gashonlazaro7478
@gashonlazaro7478 5 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu aliyejuu akubariki na kukupa maarifa na nguvu katika kazi zako babaangu AMBWENE MWASONGWE,, napenda sana nyimbo zakoo
@marywchira9825
@marywchira9825 9 жыл бұрын
Abwene Mungu akubariki na neema yake iishii kuwa juu yako,nabarikiwa Sana na nyimbo zako .uishi kumtumikia Mungu kwa roho na kweli.Amina
@mwanaidimzava8546
@mwanaidimzava8546 3 жыл бұрын
ipo siku namimi nitamshuhudia bwana
@braxyneches5100
@braxyneches5100 5 жыл бұрын
Had neva listened to ua songs kaka!am touched!be blsd man of God
@beatriceachero4386
@beatriceachero4386 6 жыл бұрын
Sweeet song I can listen to them the all day God bless you man of God
@goodluckkasto8001
@goodluckkasto8001 4 жыл бұрын
Nikisikiliza huu wimbo namkumbukaa sana malehem dada angu Nataman saiv ange kuwepo R. I p dada esta mngu ailaze loho yako mahal pema peponi😭😭😭😭😭😭😥😥😥😱😱😱😱😱
@Sylviaakoth461
@Sylviaakoth461 5 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana... Naomba nambari ya simu... Kama kuna mtu anajua ninaweza patahuyu mtumishi nitashukuru...Mimi natoka Nairobi kenya
@n.i.n.mmedia819
@n.i.n.mmedia819 5 жыл бұрын
Kila ninapo sikiliza wimbo huyu uwa nabalikia sana MUNGU akubariki sana Ambweni Mwasongwe !!
@noorseleman5678
@noorseleman5678 9 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa uzima kaka napenda sana nyimbo zako zina faraja kubwaaa
@eliasikaratayebaba1845
@eliasikaratayebaba1845 4 жыл бұрын
Jesus is power
@okeyohinnocent
@okeyohinnocent 7 жыл бұрын
Ambwene I bless God for you. You uplift me every morning with a dose before I embark on my duties every morning, Ombi Langu and Chozi La Haki are my favourite from Nairobi kenya
@hrcleanersgrouptanzania8447
@hrcleanersgrouptanzania8447 7 жыл бұрын
Huduma yako inatubariki sana endelea kumtegemea aliye kupa hiyo huduma tuzidi kubarikiwa zaid
@marryyohana5988
@marryyohana5988 5 жыл бұрын
ik
@marryyohana5988
@marryyohana5988 5 жыл бұрын
kaka
@marryyohana5988
@marryyohana5988 5 жыл бұрын
mngu akubariki
@danielgodson6159
@danielgodson6159 4 жыл бұрын
Ilove you broo ambwene....
@darconmujuni6820
@darconmujuni6820 8 жыл бұрын
nabarika sana na nyimbo ZAKO...!Mungu azidi kukutumia ambwene
@liznajames7556
@liznajames7556 6 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinuwa viwango vya juu sana
@asnathojungu3566
@asnathojungu3566 5 жыл бұрын
Barikiwa
@gasparpaul3373
@gasparpaul3373 4 жыл бұрын
2019 September...Ambwene huduma yako ni zaidi ya baraka kk
@charlesmesso8953
@charlesmesso8953 5 жыл бұрын
Ombi langu, Tangulia mbele, Misuli ya imani, Nguvu ya Kujua, wow!.....Ninabarikiwa sana. Songa mbele Brother Ambwene.
@victoriachengula5630
@victoriachengula5630 5 жыл бұрын
amina kaka abwene yaan nabalikiwa na nyimbo zako
@piusmsoma3326
@piusmsoma3326 2 жыл бұрын
Bwana akubariki mtumishi nyimbo zenye faraja,mafundisho uvumilivu,na kumtegemea Mungu wetu
@emanuelmollel7959
@emanuelmollel7959 5 жыл бұрын
kweli kaka nyimbo zako kwangu mimi ni zaidi ya soma hadi mtoto wangu wa kwanza nilimpa jina kutokana na wimbo wako
@priscarpatrick2875
@priscarpatrick2875 5 жыл бұрын
Hakika tulipotoka ni mbali hasa nikikumbuka niliyopitia mpaka leo hii hakika ni Mungu pekee. Barikiwa kakangu
@roseibrahim3610
@roseibrahim3610 5 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka ambwene
@labanakeyo4304
@labanakeyo4304 6 жыл бұрын
You are always made my day nice and good through the hard work of your talent be blessed mtu wa mungu.
@celinadeusdedith7161
@celinadeusdedith7161 6 жыл бұрын
Be blessed Mtumishi wa Mungu kwa nyimbo nzuri.
@josephmwanilonga1492
@josephmwanilonga1492 4 жыл бұрын
Kwa Mara ya kwanza nausikia huu wimbo ilikuwa 2014 kwenye mkutano mbeya kanisa la TAG jilani na mahakama kuu. Kiukweli I was blessed saana na huyu mwanafamilia wa MUNGU. Nakupenda ambwene Naomba toa album mpya, wishing you all the best bro.
@rizmarkabraham8705
@rizmarkabraham8705 4 жыл бұрын
Asante Mungu kwa ajili yako mtumishi wa Mungu endelea kuliinua jina la jehova shama. Mungu hatokuacha kama vile ulivyo. Neema na upendeleo wa kiMungu uwe juu yako
@aikamasaoe4886
@aikamasaoe4886 4 жыл бұрын
Macho yangu kila yafikapo nyumban ni sikio lahitaji kusikia hii nyimbo. Kweli bila bwana tusingefika hapa , rehema ya bwana tu . Kuna nyakati waweza kifuru kwann nyie tu . Akitoka yule anakuja yule na yule waja jikuta kila mwaka wewe wa kufarijiwa mwanaki wachache upweke na woga kilapande . Ukitoka kichumini ni ndugu tu wamelala 😭hakuna ugumu kama kukumbuka furaha iliyopatokana mlipokuwa wote huenda furaha ipo lakini sio kama ya zAmani 🙏🙏🙏🙏🙏this song inanifanya kila nikisononeka nikumbuke kuwa Mungu anatupenda na anatufanya mifano kwajiyo sio vyema kujitia upweke muda wote asante sana ambwene umebariki sana roho yangu kwa nyimbo nzuri
@barakanyirenda5773
@barakanyirenda5773 10 жыл бұрын
Yani ubarikiwe kwa udum yako kwa kweli unaimba vizuri
@kibanomichaely5700
@kibanomichaely5700 9 жыл бұрын
Asante sana kwajumbe zako nzuri mungu akutangulia katika uinjilishaji wako
@malukomba4888
@malukomba4888 5 жыл бұрын
Batikiwa sana Ambwene
@godfreykirway4324
@godfreykirway4324 5 жыл бұрын
Aiseee!!Mungu akutunze mnoo mtumishi wa Mungu!!nyimbo zako zinanibariki hadi raha
@isayakikoti9396
@isayakikoti9396 9 жыл бұрын
ubarikiwe na bwana
@simoniquintine2234
@simoniquintine2234 9 жыл бұрын
Mwenyez mungu mwingi wa REHEMA akuongoze
@cosmasjuma6148
@cosmasjuma6148 5 жыл бұрын
Senorina sabas Nabarikiwa sana na nyimbo xako mungu akuongexe na kukutunxa
@shidapande5377
@shidapande5377 3 жыл бұрын
ambwene mimi ni muislamu lakini nyimbo zako zinanifaliji sana;; balikiwa sana;;
@devsnelly7900
@devsnelly7900 9 жыл бұрын
wimbo mzuri unafundisha sana mungu akutangulie na akulinde siku zote zidi ya mwovu shetani
@danfordmahenge2560
@danfordmahenge2560 9 жыл бұрын
mwasongwe uko juu kaka unanikumbusha kifo cha mama yangu mzazi pale nyumbani pako tupu sasa duu...
@msigalaerasto1211
@msigalaerasto1211 7 жыл бұрын
POLE KAKA
@happylyimo6035
@happylyimo6035 5 жыл бұрын
Dah pole
@jasnafclassic8559
@jasnafclassic8559 5 жыл бұрын
Pole
@eliasmassae3857
@eliasmassae3857 4 жыл бұрын
Big up saaaana kaka ambwene mungu akubariki mashamban na mjin akubarik kwa baraka zote za rohon had mwilin be blessed in might name of jesus
@catherinekamalamo4970
@catherinekamalamo4970 5 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na kazi zako mtumishi wa mungu has a huu wimbo nimeuludia Mara 30 kweli nyimbo sina uwepo wa mungu
@JamesDulle
@JamesDulle 8 жыл бұрын
jamani hii nyimbo kweli ina nigusa sana rohoni
@tramyspinkiebee3536
@tramyspinkiebee3536 8 жыл бұрын
UNANIBARIKI HUU WIMBO'mengine yalikuja kama mema mwisho ukawa mbaya'...MUNGU AZIDI KUKUBARIKI KAKA.
@graceisdory9209
@graceisdory9209 3 жыл бұрын
Unanikumbusha mbali sana,ninaumia moyoni nikikumbuka vifo vya wazazi wangu na ndugu zangu lakini ninamshukuru Mungu kwa kuwa ninajua ananiwazia mema siku zote.
@crispinatirubela1299
@crispinatirubela1299 4 жыл бұрын
2020 niko apa,
@dellysikujua4763
@dellysikujua4763 4 жыл бұрын
This time I see the song it reflecting my life, ubarikiwe Sana mwasongwe
@telesphorymisana9062
@telesphorymisana9062 9 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zako kaka angu hakika zmejaa utukufu wa Bwana
@isayasharifu958
@isayasharifu958 5 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutunza wewe na family yako nyimbo zinafariji sana hatakama mtu umekatamaa unakuta unasonga mbele barikiwa sana
@moreeneddo3916
@moreeneddo3916 8 жыл бұрын
mungu akubariki sana uzidi kutoa na zaidi,zinanifariji sana nyimbo hizi
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 4 жыл бұрын
28/10/2019 still najifunza kupitia wimbo huu na mtunzi anazidi kuni inspire
@mtoto1990
@mtoto1990 10 жыл бұрын
thanks so much for such a powerful uplifting song. May God grant you all the powers and strength to proclaim His word through your songs. God bless you brother.
@cosbejo3629
@cosbejo3629 7 жыл бұрын
ubarikiwe kaka, hakika umenigusa na kila nyimbo zako machozi hunitoka.
@bahatisanga2580
@bahatisanga2580 7 жыл бұрын
Costancia Kavindi ni kweli kabisa zinagusa sana
@kirimahezekia5598
@kirimahezekia5598 5 жыл бұрын
Ubarikiwe ambwene
@kirimahezekia5598
@kirimahezekia5598 5 жыл бұрын
Tenda yaliyo mema mbele za bwana
@kirimahezekia5598
@kirimahezekia5598 5 жыл бұрын
Mungu atakulipa kaka kwa jumbe zako nzuri
@lilianmabaraza9574
@lilianmabaraza9574 5 жыл бұрын
Jameni abwene naomba uniunganishe kwenye kalama yako maana unanigusa
@josephinemwambe3385
@josephinemwambe3385 4 жыл бұрын
Kakangu Ambweni ni zaidi ya miaka mitano lakini nyimbo zako zaguza mioyo... Wake like zake from +254
@ednankya3780
@ednankya3780 8 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua Ambwene
@happysulley7961
@happysulley7961 4 жыл бұрын
2020 twende sawa na kaka ambwene
@gracealexander5309
@gracealexander5309 5 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi kwa mahubiri kupia nyimbo nafarijika sana maana tumepia magumu sana ila mkono wa bwana haukutuacha bado anatupigania
@agnesmunishi638
@agnesmunishi638 6 жыл бұрын
hakika wimbo wa kaka Ambwene unanibariki Sana sichoki kuuskiliza
@ibrahimgodfreylusoka8200
@ibrahimgodfreylusoka8200 8 жыл бұрын
asante bwana kwa kunibarik had kumiliki kampuni
@evambwani6032
@evambwani6032 4 жыл бұрын
2020 nasilikiza barikiwa kaka
@ndeshukurwakaaya4385
@ndeshukurwakaaya4385 2 жыл бұрын
Asante mungu kwa kuniimarisha katika magumu yote. Magumu yangu yote wayajua. Nami na ndugu zangu tuliobaki tutakutazama. Unattainable nguvu. Amen.
@joanwabb3574
@joanwabb3574 5 жыл бұрын
What a revelation. Napenda jinsi ninavyo barikiwa na ufunuo katika nyimbo zako. Mungu akuzidishie ufahamu.
@johnkongoa6329
@johnkongoa6329 8 жыл бұрын
ubarikiwe sana mtumish kaz yako ni njema katika bwana
@joycekamendu6400
@joycekamendu6400 8 жыл бұрын
Mungu wetu anajua mwisho kabla ya mwanzo Ambwene Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri.
@ahamdnyora5466
@ahamdnyora5466 5 жыл бұрын
Mambo
@yaondajimy931
@yaondajimy931 8 жыл бұрын
I really love this song, it´s a song that encourage and strengthen me in times of stresssss......
@glorynelson3882
@glorynelson3882 9 жыл бұрын
God bless uinanitia moyo sana ,kutokutazama nyuma, nakumtazama Bwana , pia kutokuliona tatizo gumu bali kumuona Bwana,nyimbo zako zinanibariki sanaMungu azidi kukutia nguvu nakukutunzaBe blessedumeugusa moyo wangu kwanamna yapekee.
@leilamoses172
@leilamoses172 4 жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi wimbo huu unanigusa sana nakunitia nguvu
@michaelramadhan9466
@michaelramadhan9466 4 жыл бұрын
2019 tumetoka mbali...
@AtonyaStudios
@AtonyaStudios 7 жыл бұрын
Naipenda wimbo huu na vile kaka Ambwene anafanya mambo live,God bless You and increase
@shukranimwasilembo1763
@shukranimwasilembo1763 3 жыл бұрын
Kwakweli tulikotoka ni mbali, Asante Mungu kwa yote unayotutendea kwenye maisha yetu
@cliffordpharesi9257
@cliffordpharesi9257 5 жыл бұрын
Natamani siku moja nikuone uso,halafu nimshukuru mungu kwa karama kubwa yenye mguso,zaidi tukutane mbinguni kama tulipoonana hapa duniani
@dozertiger9352
@dozertiger9352 4 жыл бұрын
Mengine yalikuja kama Mabaya kumbe yanakusudi!! Mungu akubariki sana Ambwene.
AMBWENE MWASONGWE   MBELE YANGU
8:05
ASALO TV Online
Рет қаралды 7 М.
Ambwene Mwasongwe  _ Natamani
6:34
Johnson Girbert
Рет қаралды 607 М.
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 165 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
MKE WA MARCO ALIVYOAGA MWILI WA MUME WAKE KWA UCHUNGU MKUBWA
8:43
Ophoro Tube
Рет қаралды 294 М.
Solomon Mkubwa   Mungu Mwenye Nguvu Official Video
7:33
Solomon Mkubwa
Рет қаралды 4,1 МЛН
Martha Mwaipaja -Niko Hapa (Offical video)
17:57
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 298 М.
TULIKOTOKA NI MBALI BY AMBWENE MWASONGWE
7:54
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 187 М.
Ambwene Mwasongwe _ Nguvu ya msamaha
7:47
Johnson Girbert
Рет қаралды 284 М.
Usifurahi Juu Yangu
6:00
dadacynthia
Рет қаралды 10 МЛН
NGUVU YA MSAMAHA BY AMBWENE MWASONGWE
7:49
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 297 М.
MISULI YA IMANI BY AMBWENE MWASONGWE (Official Music Video)
8:06
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,2 МЛН
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 3,7 МЛН