Ni kawaida ya watu wengi kuangalia ubaya kuliko uzuri,Bila shaka kwako watatafuta sana mabaya lakini hawatayaona,Unaimba kwa utulivu wa kumanisha,zaidi ya yote Mungu anakutumia ipasavyo,Yesu ni Rubani wa kazi yako shetani hana nafasi kwako Ubarikiwe sana kwa nyimbo zenye Mashiko,Amen
@sarahfisoo56893 жыл бұрын
Amenn
@mamuukapela87116 жыл бұрын
Nguvu ya msamaha ni nyimbo ambayo inanifunza mambo mengi sana inanipa pia ujasiri wa kumsamehe mtu yoyote bila kujali amenikosea namna gani ,,,barikiwa sana mtumishi wa mungu
@atukanjwanga66224 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana
@costafelix51577 жыл бұрын
I really appreciate the contents of his songs. May the living God bless your ministry Ambwene.
@wewehehe64055 жыл бұрын
Huu wimbo 💗💗💗 ni neema kupita jaribu hili
@rajabumwalimu32316 жыл бұрын
Kama haiwezekani vile...lakini kwa MUNGU kila kosa lina sameheka...asante kwa wimbo mzuri
@ainealazaro73215 жыл бұрын
Nataka nijitukuze kwa nguvu ya msamaha nenda,I will aplisiet it for rever
@florarose16264 жыл бұрын
2020 we still here 🙏❤️❤️❤️
@marryjayrichard53928 жыл бұрын
Huu wimbo wa msamaha kila nikikaa kuusikiliza i remember many things in my life yanayoniumiza ila all i learn its to forgive na kuyaacha na kuendelea na maisha na mpango wa Mungu @Ambwene kwa kweli kusema ukweli hakuna nyimbo yako yoyote isio nigusaa kwani it was my common CD kila nikirudi kutoka shule til my my parents waliita CD ya mary coz nasikiliza kilaa saa
@lucyngoliga24107 жыл бұрын
Upo vzr
@zawadezekieli40676 жыл бұрын
Iko vzi
@sarahkimati46226 жыл бұрын
Marryjay Richard Mungu azidi kuonekana kwako kupitia wimbo huu barikiwa sana
@paulgervas53275 жыл бұрын
wimbo umenigusa Mungu azidi kukupa maarifa ya utendaji
@tuzakavera5348 жыл бұрын
YEHOVA MUNGU MWENYE NGUVU MUUMBAJI WA MEMA NA MABAYA,YEYE ANA NGUVU MFANO WA NYATI HASHINDIKI awe pamoja nawe
@deusmogahachi26204 жыл бұрын
nimejifunza kupitia wimbo huu.barikiwa sana kaka
@fatumasandali56689 жыл бұрын
ubarikiwe ambwene kwa nyimbo nzuri za injili! ubarikiwe sana maana hiyo inafundisha sana hiyo nyimbo tunajifunza jinsi ya kusame
@majaliwasaid65434 жыл бұрын
Asntesana bwana umenisaidia
@KatherineJordan6579 жыл бұрын
I am really blessed and inspired by your songs, each time I watch it I always learn from them. You are really blessed and may God continually bless you
@paulmwakilembe45734 жыл бұрын
Kila nikisikiza huu wimbo nafarijika sana wakati ninapo kuwa nimekwazika
@jonacekaaya48783 жыл бұрын
Sana sana
@angelinajoseph96395 жыл бұрын
Mungu anatufundisha Jambo kupitia wimbo huu
@zackiaomari38909 жыл бұрын
God bless you my brother, kyala mnunu naloli
@ulimbaga57843 жыл бұрын
Mungu niongezee Imani.
@salomegeorge85664 жыл бұрын
napenda sana nyimbo zako, Mungu azidi kukupigania
@getrudeburchardius517410 жыл бұрын
Kyala akusaje fijoh kaka Ambwene kwa jumbe zako.
@johnjacksoniwata650010 жыл бұрын
Mungu akusaidie sana Mwasongwe nimekutafuta kwenye album zako zote nione labda ipo siku utaweka porojo kwenye tungo zako lakini kwa hakika sijapata hata robo ya porojo. Tungo tungo, ujumbe ujumbe, kazi kazi, injili injili mwanzo mwisho. Saluti kwako kaka unatisha mbaya. Kwa tungo hizi ibilisi ana kiatu gani hata akanyage mguu Tanzania??? Ndio kishachemka hivyoooo. Watoto wa mjini hurahisisha kwa kusema ibilisi kachelewa habari imekwisha kamilika hawezi tena. Kaka we mkali bwana
@mtumiajisimu12667 жыл бұрын
Mimi huwa nafika mbali sana , tumeumizwa Mara nyingi sikuwahi kufikilia kuwa tiba ni msamaha niliposikiliza wimbo nilishikana mikono na kukumbatiana na baba yangu . God bless u
@mwingachepela5666 жыл бұрын
Mungu anisaidie niwe na nguvu ya kusamehe
@annamusse81116 жыл бұрын
Msamaha unamruhusu mungu kufanya kitu kipya kwenu, ubarikiwe mtumishi wa mungu, Ambwene
@vivianedmundmkude72886 жыл бұрын
ubarikiwe aseee
@jeaninedusengimana81769 жыл бұрын
may god bless you for thé wonderful touching song
@ami.atwaha70244 жыл бұрын
Ameeeen ubarikiwe saana Ambwene
@upendobaidon261110 жыл бұрын
ASANTE AMBWENE. UMELETA SOMO ZURI SANA KTK FAMILIA YANGU. UMETUFUNDISHA MAMBO MENGI SANA. MUNGU AKUBARIKI SANA. HONGERA.
@drakenjasper4645 жыл бұрын
yatupasa kuvumilia
@nicholasnackson38188 жыл бұрын
hakika nguvu ya bwana inafanya kazi mungu akubariki abwene amina
@heavenngugwe363610 жыл бұрын
Kaka unatisha kwa yesu nimependa the way unavyoimba upo tofauti na wengine nyc
@deniselisha815810 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu zaidi uendelee na huduma hii..
@zaituninyenzi93354 жыл бұрын
Safi sna mtumishi,
@speranciacoelestine66978 жыл бұрын
Mungu azidi kuonekana katk huduma yako ya utumishi kwa njia ya uimbaji
@shinwashinwa80396 жыл бұрын
Musamaha nikitu kikubwa sana is nice songs man
@dorotheanicholaus74298 жыл бұрын
asante kaka,,,nguv ya msamaha ikatende ktk maisha yet,,,!!!
@herrysenga71418 жыл бұрын
amina bwana ambwene mm huwa nakuelewa sana ndugu
@salmshabani10489 жыл бұрын
mungu akupe ujasiri uzidi kutoa uduma hii amen.
@dignarrockus93834 жыл бұрын
Nimeipenda
@michaelkichaka75965 жыл бұрын
Kiukweli hii nyimbo is so in neep felling
@adelinawenceslaus63035 жыл бұрын
Mungu hajawahi kushindwa nampenda
@florandambo47848 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@gilbertmathew22384 жыл бұрын
Hiii nyimbo nimeshindwa kuidownload japo naipenda mno
@sittabukuku56848 жыл бұрын
misuli ya Iman uko vzr
@prospermartine43299 жыл бұрын
Mungu ukuzidishie zaidi
@salvatorefridolin98789 жыл бұрын
ubalikiwe akuna ata cku moja cjakaa na kuckiliza nyimbo zako
@shmilamussa48188 жыл бұрын
salvatore fridolin Mungu azidi kukutumia maana nyimbo zako zinatujenga sana kiimani
@quenkajange56817 жыл бұрын
hiiiii choziii lanitokaa asante ubarikiwe
@boscochogo2649 жыл бұрын
God blessing u
@mikakilasi956110 жыл бұрын
Mungu akubariki sanaaaa.
@winnieminyalla94308 жыл бұрын
ubarikiwe kaka
@neemanziku53957 жыл бұрын
hakika nguvu ya msamaha ndo kila kitu katika maisha
@nurukapoja77594 жыл бұрын
Ubarikiwe nimejifunza kitu
@cedrickkasongo64489 жыл бұрын
Endelea ambwene
@jackmussa317610 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde
@janethdodoh78288 жыл бұрын
God bless you
@pendojohn5486 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@Mark-k10 жыл бұрын
Umefanya vizuri ubarikiwe
@janetshao24206 жыл бұрын
Ahsante Mungu
@herrysenga71418 жыл бұрын
asante kwa kunigusa ambwene
@mercykaty26026 жыл бұрын
Ahsante ambwene
@gwakisamwakambulwe24918 жыл бұрын
God be with you bro
@sarahfisoo56893 жыл бұрын
,😭😭😭😭😢😢😢😢
@veronicangole87136 жыл бұрын
amen thana
@donaldmndeda14310 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI
@happypeter94006 жыл бұрын
mungu akubariki
@iddisai42308 жыл бұрын
nyimbo nzuri xana
@jonathanapeyon76437 жыл бұрын
nyimbo zako sanibariki tu Sana
@eliudsamson67804 жыл бұрын
Iddi Sai ame
@fredyjohnwaifakaratanzania25367 жыл бұрын
Mungu yupo
@michaelmajaliwa83166 жыл бұрын
Fredy John Waifakara Tanzania kabisa mungu yupo Bora uamini
@caroolbakri81576 жыл бұрын
Amen
@magrethfrancis66927 жыл бұрын
good
@samwelkiwia39488 жыл бұрын
amen
@leosiajacob60176 жыл бұрын
Mungu nisaidie wimbo umenigusa
@leahngweta82195 жыл бұрын
🤔😤😭🙌🖕🙏 2019
@jeaninedusengimana81769 жыл бұрын
may god bless you for thé wonderful touching song
@justindaniel24243 жыл бұрын
Jeanine,unaishi nchi gani? Je,u muimbaji? Uba mu gihugu ikihe?