AMCHINJA NDUGU YAKE ARUSHA AONDOKA NA KICHWA NA SEHEMU ZA SIRI NA KUJISALIMISHA AKIWA AMEVAA SUTI

  Рет қаралды 77,664

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 136
@lucyloy3512
@lucyloy3512 6 ай бұрын
Mungu tupe moyo wa nyama,tuondolee moyo wa jiwe
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
Subhanna Allah 😭😭 hii Dunia tunako elekea Mungu atusaidie wallah
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 6 ай бұрын
Arusha... Arusha Arusha...mngu ilinde hii Arusha mana matukio yamezi kila siku 😢😭🙏
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
Watu sasa ivi ni Bora ukutane na Simba kuliko binadamu 😢😢
@mariyammariyam1454
@mariyammariyam1454 6 ай бұрын
Mungevamia kituo mukamaliza mchezo tz yenyewe njaa tupu Aina kanuni tena namukisema ukweli utawindwa jiangalie ili nigenge mulitokomeze akuna Sheria apo auliwe tuu
@LaaajoAlhamdilillah
@LaaajoAlhamdilillah 5 ай бұрын
Subhanallah YAA allah turuzhuku kizazi bora 😭😭 turuzhuku moyo wakuku ogopa yaa allah
@janemushi850
@janemushi850 6 ай бұрын
😢😢😢 Mungu baba naomba utuondolee hii roho ya kaini
@frankkimaro3477
@frankkimaro3477 6 ай бұрын
Apumzk Kwa amani....Amina
@JacklineMwaleleka
@JacklineMwaleleka 6 ай бұрын
Roho ya Kaini bado inatenda kazi
@amishambar3418
@amishambar3418 6 ай бұрын
Damu ya mtu ni nzito ndo maana alijipeleka police
@margaretnamubi4565
@margaretnamubi4565 6 ай бұрын
Changanyikiwa akili
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 6 ай бұрын
Maombi yanahitajika ili kuondoa nguvu za yule mwovu shetani kama ni mapepo yaondoke na kama ni uchawi uwarudie hao washirikina.
@EliaslukumayMevukori
@EliaslukumayMevukori 4 ай бұрын
Mungu atusaidie 2
@HidayaSabi
@HidayaSabi 2 ай бұрын
dah Dunia imeisha mungu tusaidie
@joycehaule9717
@joycehaule9717 6 ай бұрын
Arusha Arusha aisee Mungu samehe nchi ya Tanzania
@ThomasNgelata-sd5hk
@ThomasNgelata-sd5hk 3 ай бұрын
Watu wanatumikisha watu wengine vibaya san😭😭😭😭😭😭😭😭😭🥱😭😭😭🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬😡😡😡😡😡😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@ClaraCecil-rq4xf
@ClaraCecil-rq4xf 6 ай бұрын
Mungu ampe pumziko la AMAN AMEN
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 6 ай бұрын
Ugonjwa wa afya ya akili,inashika no3 baada ya kansa na sukari na presha.Mungu ampumzishe ndg yetu Amina
@SophiaKamgunda
@SophiaKamgunda 6 ай бұрын
Tamaa au uchawi
@janethdavid1026
@janethdavid1026 6 ай бұрын
Jamani Arusha huu mkoa balaa haziishii 😢Kila siku matukio ya unyama
@safiaothman5175
@safiaothman5175 4 күн бұрын
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'un
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 6 ай бұрын
Mh. Afe na yeye😊
@RDjSHEBY_TZ
@RDjSHEBY_TZ 6 ай бұрын
Ee mungu tusaidie
@MeliyoPello-n3b
@MeliyoPello-n3b 6 ай бұрын
Pole Sana hiyo pepo mbaya
@kingfahad4084
@kingfahad4084 6 ай бұрын
Subhanallah hatari sana
@VeronicaIsimalilo
@VeronicaIsimalilo 6 ай бұрын
Jamani kweli roho yakitakili kiasihicho
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
Wamuue .kabisa.tena.anyongwe
@MozesPaul-h6i
@MozesPaul-h6i 6 ай бұрын
Pole Ni familia,Ila naomba ntu akifanya kitendo Kama hiki wazee wasiwe wanasuhisha kisri Sheria ifate mkondo wake!
@loiseyelukumay7760
@loiseyelukumay7760 6 ай бұрын
Engai tokordu olosho lang'
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
HIYO ARUSHAA, MBONA INAMAMBOO.
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 6 ай бұрын
Sio Arusha tu mbona mbeya juzi mwalimu na bint washulle FM 2 na kijana was miaka 6 nadhan mauaji na matukio nmengi Kila Kona ya nchi
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 6 ай бұрын
Ila Arusha mmezidi
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 6 ай бұрын
Huyo muuaji atakuwa anateswa na uchawi, huwezi kuua afu ukaenda polisi mwenyewe! Sio rahisi hivyo! Wachawi sio
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 6 ай бұрын
Eeee Mwenyezi Mungu, nini tufanye kuokoa vizazi vyetu Yarabb. 😭😭💔💔
@eveliynejoseph7944
@eveliynejoseph7944 6 ай бұрын
Mauaji kila leo,you tube zimejaaa mauaji Mungu atusaidie shetani yupo kazn
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 6 ай бұрын
@@eveliynejoseph7944 imekuwa kama kawaida, 😰😰🙌
@evaemil856
@evaemil856 6 ай бұрын
Ugonjwa tu wa akili hamna uchawi.
@MariaMaria-gj9or
@MariaMaria-gj9or 6 ай бұрын
Hakika huyo anyonge tu😢😢😢bila msamaa kabisa😢😢😢😢😢😢
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 6 ай бұрын
Damu ya mtu ni nzito sana yaani unaua baada ya siku nne unakwenda police kujiripotia . Huyo asiachwe apelekwe kwa wanyongaji mapema.
@GillesMuliriye
@GillesMuliriye 5 ай бұрын
Duuh! Apumzike kea amani, lkn huyo muuaji sheria ichukue mkondo wake🙏🙏
@KiroshiSumaili
@KiroshiSumaili 6 ай бұрын
Kweli watu wabaya
@stellaMwakatulie
@stellaMwakatulie 6 ай бұрын
Mungu wewe ndo wajua tunako enda😭😭😭😭
@NaomiApate
@NaomiApate 6 ай бұрын
RIP baba mdgo angu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail 6 ай бұрын
💔🤔😭pole naomi
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 6 ай бұрын
Ni roho ya namna gani? Ee mungu tusaidie 😭😭🙏🙏
@ChristerShao
@ChristerShao 6 ай бұрын
Lema,hana ukatiri kama huo.Tufikirie zaidi namna ya kushirikiana na serikali ili kupambana na ukatiri kama huu.Unyama wa mauaji unashangaza sana.Lipelekwe huko hilo liuaji halifai kuishi kwenye jamii.
@IssayaNanga
@IssayaNanga 5 ай бұрын
Nimesikiliza hii stor vizuri sana lakini kabla hawaja mhukumu uyo mtuhumiwa akapimwe akili Kwanza
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 6 ай бұрын
Huu ni ushirikina hizi hela za mteremko mmmmh
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 6 ай бұрын
Manyara Manyara Manyara mugopeni Mungu inatosha Sasa wazee mnayo nafasi maana mnaheshima kubwa ktk mkoa huu
@gracerichard8145
@gracerichard8145 6 ай бұрын
Eee mungu😭tunakoelekea ni wap
@ntendindaaasab7405
@ntendindaaasab7405 6 ай бұрын
Arusha bhna
@EdwardMolell
@EdwardMolell 6 ай бұрын
Da tuuumee roho kama hii ni mbaya kulikon madawa yakulevya Sheria isingekua uyu nae angefanywa mtura
@deboramalaki5039
@deboramalaki5039 6 ай бұрын
😢😢😢😢
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 6 ай бұрын
Hakuna utajiri wa kuuwa ni mikosi tu.
@Stevenmm-qb6dz
@Stevenmm-qb6dz 6 ай бұрын
Akatumikie kifungo cha maisha
@فيصلالبادي-ح1غ
@فيصلالبادي-ح1غ 6 ай бұрын
Aiseee hao walouliwa ndugu yao lazima watalipiza kisasi cha kuua tu wamasai sio watu poa nahapo wamejitahidi sanaaa kuuonyesha busala
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 6 ай бұрын
Watu wanaofanya hivyo,nao wafanyiwe hivyo.
@Neema935
@Neema935 6 ай бұрын
Hiyo,si pepo ni roho mbaya. tena, kakusudiya kutekeleza mauwaji. Poleni wafiwa.
@NaomiApate
@NaomiApate 6 ай бұрын
Asantee sana
@Neema935
@Neema935 6 ай бұрын
@@NaomiApate Ndiyo, ndugu yangu, binadamu kuchinja binadamu mwenzie kama kuku, kwa nini roho mbaya Kiasi hicho ???
@NaomiApate
@NaomiApate 6 ай бұрын
Inasikitisha sana.😭😭😭😭😓 Pia hana hofu ya Mungu ndani yake
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 6 ай бұрын
MMEMKAMATA KAJIKAMATISHA???
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Kajikamatisha na wakamwacha😢😢😢😢😢
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 6 ай бұрын
HAKIKA..SASA HALI NI MBAYA SANA... -JUZI....MKE KAMUUA MUME,MKOANI MARA... -LEO, NDUGU KAUA....NDUGU YAKE... -HAKIKA....SASA HALI IPO MBAYA, MBAYA SANA
@baburafiki1779
@baburafiki1779 6 ай бұрын
Kwa usalama wenu Mpeni ushirikiano Makonda awasafishie mji. Achaneni na porojo za kina lema
@DannyTikorian
@DannyTikorian 6 ай бұрын
Uyo bora nayeye anyongwe tu😂
@HappynessStephano
@HappynessStephano 6 ай бұрын
Binadamu jamani
@ceciliagilbert973
@ceciliagilbert973 6 ай бұрын
Polisi ni wakulaumiwa kwa sababu MTU mbaya anatenda mbaya wanamkata halafu wanamuachia tens on a sasa tukio kubwa LA namna hii?
@RehemaMgongwe-di3yf
@RehemaMgongwe-di3yf 6 ай бұрын
Kwa maisha ya sikuhizi ndug sio wa Kumwaamin maana sio huyotu niwengi wanafanya hivyo
@stellamanda4466
@stellamanda4466 6 ай бұрын
Arusha teeeenaaaa??!🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 6 ай бұрын
Huko ndo mkuu wa mkoa wake ni makonda sinema tutaiona tu inavyoondelea
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 6 ай бұрын
Mbona hta makonda ni muuaji??
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
​@@upendoeliya9329ndo ataenda kuwamaliza 😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
​@@MsAggie5😂😂😂😂😂😂😂tena
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 6 ай бұрын
@@MsAggie5 Ni muuwaji mzuri tu, anapenda sifa, anafanya kazi kwa kujipendekeza kwa Raisi na sio kwa Uzalendo; ya anawachukia sana Viongozi wa Upinzani haelewani hta na viongozi wenzake wa CCM maana anawachongea ndani ya chama chao.
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
@@upendoeliya9329 aikuwa namaanisha it was a 🤣! Makonda ni Msukuma mtani wangu na Mimi huwa nawatania wanapenda sifa lakini Kwa kupenda kwao sifa wanafanya kazi nzuri inayoonekana. Katembea mikoa michache lakini amewasaidia wengi mmoja mmoja, kupenda wapinzani sio rahisi Kwa sababu anapigania maslai ya Chama chake ila naye kama binadamu ana mapungufu yake 😂, but uki balance mazuri yanaonekana mengi kuliko mapungufu. Alitaka kuharibu au ameharibu Dar na amefungukiwa kesi polisi ndo maana mama amtoa, sijui Kwa nini hajifunzi.
@janetchinga695
@janetchinga695 6 ай бұрын
Kwanini alikua ana shiwa napolisi?
@AgnesEphraim-jw6dv
@AgnesEphraim-jw6dv 2 ай бұрын
Bora kamuua ndugu yake kwasababu ndiyo tabia yake ndugu wanamuwekea dhamana nakuwa huru lakini sasa amemuua ndugu yake
@pendo8082
@pendo8082 6 ай бұрын
Hii ni Laana😢
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 6 ай бұрын
Arusha mkome kuturepotia ujinga wenu,tumewachoka,repotianeni hukohuko tu.wapuuzi sana
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 6 ай бұрын
Duuh
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 6 ай бұрын
Ni uchawi! Jamani likikamatwa lichomwe moto.
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 6 ай бұрын
Sio uchawi umesikia ni TABIA yake anatuhumiwa Mara kwa mara
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 6 ай бұрын
Wewe kaka mtu Ndio Ulikua Unamfuga mdogo wako kila Akipata matatizo Unatoa mdama kondoo na kumtoa polisi Ndio Ulikua Mnamfuga mtumiwa 😢
@lazarodonyo2058
@lazarodonyo2058 6 ай бұрын
Huu ni ukatili uliovuka kiwango, nafikiri kuna mambo mawili kwa huyu muuaji. Mosi, huyu inawezekana ana tatizo la akili. Pili, huenda ana mapepo au kuna ishu za kishirikina😢
@Ambeniwatano
@Ambeniwatano 6 ай бұрын
Haya nayo ni magazijuto ( ) / * + - =😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@Randm-
@Randm- 6 ай бұрын
Wamasai nao wameanza kuwa wanauana wenyewe kwa wenyewe kwa ukatili hivi duh😢 dunia imeisha
@emmanuelmmbaga5209
@emmanuelmmbaga5209 6 ай бұрын
Penda watu, ila usimwamini mtu yoyote..... Km ndg anakugeuka anakuua je kwa mtu baki itakuwaje? 😥😥😭😭
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p 6 ай бұрын
Yaaan sisi wamasai ndio tumekua hivi 😢hii tabia ni makabila mengine na sio maasai😢nilijua ni wachaga 😢
@justice607
@justice607 6 ай бұрын
Koma!! Hacha kujipalia makaa, hakuna aliyemwema ila Mungu pekee😢😢 poleni sana ndg zangu wamasai
@lucyloy3512
@lucyloy3512 6 ай бұрын
Akili finyu
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 6 ай бұрын
😢😢😢
@baburafiki1779
@baburafiki1779 6 ай бұрын
Arusha Acheni kutumia madawa ya kulevya Bangi ni nyingi huko
@berthamsema
@berthamsema 6 ай бұрын
Uko Arusha panatisha sana
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 6 ай бұрын
Huyo n ibls,n kua tu,
@shimoneycashtalk9176
@shimoneycashtalk9176 6 ай бұрын
Achinjwe na yeye
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 6 ай бұрын
Mkuu wa mkoa njoo komesha ukatili huu mtu akifanya au kutishia tu aende mafgereza miezi sita bila kesi au awawe kwa mawe kbsaaa
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 6 ай бұрын
Mkishamuona mtu kama huyo kwenye ukoo mshulikieni haraka sio mnamuendekeza haya mmh
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 6 ай бұрын
Hii serikali huwa inakawaida ya kuzarau mambo muhimu kama hilo je wangemziwiya hukohuko gerezani je angeweza fanya haya hii ni aibu kwa taifa😂😂😂
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 6 ай бұрын
Duuuh huyo jamn kashikwa na nin hvo jamn kumchinja mwenzake hvo hata mnyama siyo hvo kwakwel
@omanbarka1588
@omanbarka1588 6 ай бұрын
Huyo muuwaji. Anatakiwa kuuwawa na yeye tena mbele za watu sio afungwe selikari iki mfunga huyo mtu selekali itakuwa inafuga ubovu
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 6 ай бұрын
Ni Imani ya kishirikinaa jamani Hadi kukata kinyama Cha mwenziee uwiiii
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 5 ай бұрын
Mtu unaambiwa anashida ya akili wewe unasema ushirikiana halafu mpaka polisi waliwaambia ndugu zake wamoeleke mirembe wewe unasema eti ushirikina huyo MTU unaambiwa alishawahi kumpiga mtu akamtoa meno matano hiyo ni afya ya akili
@SimonLukumay-cw4bd
@SimonLukumay-cw4bd 6 ай бұрын
8:40
@SimonLukumay-cw4bd
@SimonLukumay-cw4bd 6 ай бұрын
Mungu anudhuru dunia
@neema_mollel
@neema_mollel 6 ай бұрын
Mtaani kwetu yupo mtu tabia km hii😢😢😢
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
Mmuwahi huyo anahitaji msaada labda afya ya akili
@WinfridaMarco
@WinfridaMarco 6 ай бұрын
Arusha arusha Kuna nini? Naanza kuamini yaliyosemwa yametimia tupo siku za mwisho amini musiamin yapaswa tuwe tayar ee MUNGU njoo wanao tumechoshwa na hii dunia
@nicebatare2737
@nicebatare2737 6 ай бұрын
Sijawahi ona Masai wakifanya hivi 🤔🤔🤔
@aminamollel6639
@aminamollel6639 6 ай бұрын
Kweli kabisa huyu amevuka mipaka.
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 6 ай бұрын
Anatafuta utajili huyo
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 6 ай бұрын
Nyie mashetwani mnapokea rushwa ya liuwaji,mitoto yenu itakufa kifo kibaya.
@ototek8037
@ototek8037 6 ай бұрын
Huyo jamaa aliuwa mtu sio wazee wakamkalia kikao, kiufupi kalogwa
@godfreytemba
@godfreytemba 6 ай бұрын
Wachaga wamefanyaje , uwe na haiba ww
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 6 ай бұрын
Duuu inasikitisha sana jamanii binadamu tumekuwa wabaya Bora ata wanyama naigopa sanaa
@ZaituniAthuman-gd6op
@ZaituniAthuman-gd6op 6 ай бұрын
Mh
@PauloKorio
@PauloKorio 6 ай бұрын
P
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 6 ай бұрын
Mimi natafuta mtu wa kuniua
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 6 ай бұрын
Subiri ufe kwa hiyo H,I,V uliyonayo mda sio mrefu hakuna atakae kuuwa
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 6 ай бұрын
😅😅😅
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
Hahaha utamlipa shilingi ngapi 😂😂😂😂 tangaza dau 😂😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
​@@MsAggie5😂😂😂😂😂 damu😂😂😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
​@@MsAggie5😂😂😂😂😂 damu😂😂😂😂😂
@evaemil856
@evaemil856 6 ай бұрын
Makonda atastopisha haya yote maovu
@justice607
@justice607 6 ай бұрын
Mungu ndie muweza wa Yote
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 6 ай бұрын
Kwahiii ngumu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Manyara na arusha ni mikona miwili tofauti jg imekutipa😅😅😅😅😅😅
@SalimKhan-p3r7b
@SalimKhan-p3r7b 6 ай бұрын
Makonda kazi unayo lkn tunakujua wewe ni jembe utapambana na utakomesha ukatili wa kinyama km huu
@MkomboziNaibala
@MkomboziNaibala 6 ай бұрын
Eetoodora oolasurai(🪱)neony 🫀keon olkidong'oi
@ManaseMoleli
@ManaseMoleli 6 ай бұрын
Esiva njitasho Engai
@nadiatanzania
@nadiatanzania 6 ай бұрын
😢
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 66 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
Israel kills Hamas leader Yahya Sinwar in Gaza
22:04
Channel 4 News
Рет қаралды 345 М.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН