Mashallah nimecheka mama angu et nalichana kwa kiwembe
@VORTEXAF2 ай бұрын
Ebu bb tukumbushe nyimbo moja
@AnissaMuhammad-z5m3 ай бұрын
Mashaallh ❤
@oparetionmaalum90303 ай бұрын
Kweli maelezo yote yapo sahihi pia nataka ivo vyungu kwangu vitumike vyungu
@fatmasaid97652 ай бұрын
Jamani lakini na wanaume wengine nawao wanavituko hawafanyi haki anakokwenda zamu atapeleka chakula kizuri nyumba iliokua hana zamu atapeleka muhogo na dagaa 😂😂😂😂😂
@saeedsaeed73813 ай бұрын
🙏🙏🙏
@fatmahamdoun743 ай бұрын
Wananyimwa waache kuparamia kama Minazi wafanye mambo yanayohusu ndani
@hamidakhatib97772 ай бұрын
Had rahaa jmn fliii kujiachia 😂😂
@SalmaAmaad3 ай бұрын
Km kuna magroup tuungeni ili tuzidi kufaidika na elimu ya ndoa
@RashidiAlly-cl7fo3 ай бұрын
Wajina wangu hivyo haviitwi sufuria,hivyo ni vyungu vinaitwa
@RahmaRashid-lc6nw2 ай бұрын
Mwanzo kasema vyungu baada kasema sufuria nadhani ni mazoea tu
@fatmahamdoun743 ай бұрын
Hahahaahah wanaume wengine kanga hawataki wanaona ushamba
@fatmahamdoun743 ай бұрын
Mhhh bi furaha basi ujuwe kama wanaume hata uwafanyie nini hawana kheri unaona kenda kaoa na mambo yote umefanya
@fatmahamdoun743 ай бұрын
Wananyimwa waache kuparamia kama Minazi wafanye mambo yanayohusu ndani kijungu icho sio sufuria
@ZUWENADELLOW3 ай бұрын
😂😂😂
@fatmahamdoun743 ай бұрын
Bibi itabidi uwafunde kuhusu kanga na kufanya raha za ndani wanaondosha njiani tuu na wao wafunde bibi sio kila siku unatusakama wanawake wenzio
@Fathiakhalid2 ай бұрын
Naombeni hichi kipindi kiendeleee tukipate yutub
@oparetionmaalum90303 ай бұрын
Kweli maelezo yote yapo sahihi pia nataka ivo vyungu kwangu vitumike vyungu