Ushauri wa mtaalam umenikwaza kidogo. Japo sijiiti mtaalam wa Saikolojia, huwa mke wangu nami tunachangia masuala ya ndoa kwenye gazeti la Mwananchi. Ningeomba nishauri. Ukitaka simu isiwe kikwazo kwako na mwenzio, hakikisha huna simu iliyofungwa. Wanandoa wa kweli hawapaswi kufichana mambo yao hasa ikizingatiwa kuwa wao ni mwili mmoja. Sisi huwa hatufichiani simu. Naweza kuchukua simu ya mke wangu naye akachukua yangu kwa muda wowote atakao kwa sababu hakuna lolote tunalofanya. Wengi hujiingiza kwenye kadhia ya simu kutokana na kushindwa kuwa waaminifu katika ndoa na pia kushindwa kukabiliana na hali hii. Hata magari yetu hubadilishana bila hata kujali gari hili ni la nani. Yote ni yetu. Suala kubwa katika maisha na ndoa ni kuepuka kuwa na siri. Siri zinaua watu wengi tokana na ujinga.
@MamahetuChikuti-mp5lj4 ай бұрын
Sisi pia alikuwa hatufichani simu lkn mungu hafichi mnafiki uyo hawara alikuja piga simu nikona lkn mume alikuwa hayuko akutuma ujumbe nikausoma apo ndo nikafatilia na nilipomuuliza alificha lkn nilikuja mshika wakiongea video call mara waongea kuusu kuonana basi tulizozana sana mm nikaachana nae nikawa km sijui lkn bd alikuwa wawasiliana baada miaka miwili nikasafiri nakamwambia aya huru uko nao oa tukajibizana niachana nae baada miezi minne nikawa nachati nae lkn hajibu ujumbe Kwa wakati nikaangalia no ya uyo hawara nae Yuko online nikamtumia ujumbe km mwapendana muowane si kuwa hawara nadhani akamwambia mume siku ya pili nikajibizana na mumewanga mwisho asema nisamee mm nishaachana nae na mm sijakubali kumsamee kabisa kwasababu nilimuuliza na nikakaa miaka miwili hakuomba msamaha saii niko mbali ndo yuwataka msamaha na uyo hawara nadhani nae alichoka so ameachwa ndo yuwarudi kwangu
@tinnahagustinolyelu42473 ай бұрын
Wewe mjulishe mkeo kila kitu utaona moto wake mengine yabaki kuwa Siri yako sababu na.mimi.nina Siri zangu hakuna anaejua ni Mimi na Mungu wangu
Mashallah madam ninavyokufatilia ningekuwepo Zanzibar ningefanya njia yeyote Kwa uwezo wa Allah nionane na wewe live
@bintsalimalbimany2877 ай бұрын
Mashallah madam Unaongea kwa hikma Sana Allah akuje kher nakupenda Kwa ajil ya Allah 😍
@hawasuleiman56987 ай бұрын
Upo vizuri madam Allah akuzaidishie
@abdukhan47187 ай бұрын
*Sheh Rashid hapo umeongea point kubwa sana* Kua kuna dhana kubwa Ya kua Wanaume hawajtulia hii inaharibu ndoa kwa Asilimia 90%.... Maana kila siku hakuna kuaminiana
@peterkibiriti56017 ай бұрын
Simu haivunji ndoa, kukosa uchamungu ndiyo Kuna sababisha,nyoyo hazija mkiri allah
@muhammadmuhammad50437 ай бұрын
Mashaallah Leo Umependeza Sana Mashaallah..
@mohamedabdalla84027 ай бұрын
Madam wetu Asante kila ukuwa redioni
@neemaishengoma8844 ай бұрын
Madame ❤❤❤big up forever
@RashidiAshokee5 ай бұрын
Naomba ushauri wa ndoa yangu
@MustyHamza7 ай бұрын
Subhanallah hapo kwenye kifi cha ghafla na hizo cm za kudangiaa
@husseynomar95237 ай бұрын
Madini...🎉🎉🎉
@KhadijaOmary-rt5gv7 ай бұрын
Mashallah tabarakallah
@MamahetuChikuti-mp5lj4 ай бұрын
Kweli iyo madam mm nilichati na mmewangu mwaka mmoja na hanijui km ni mm lkn mm alikuwa namjua ni yy akanitumia piacha zake nikataka picha za mkewe akanitumia na ni mm😅 lkn sikumwambia alikuwa naumia sana lkn nilijikaza coz nilikuwa safari,niliporudi nyumbani aliziona chati zote na nikamuuliza lkn alijichekesha akapotezea mm nikaachana nae lkn kumbe alikuwa na hawara mwengine nikajashika chati zao mpaka alituma uchi wake kwa uyo hawara nikamuuliza asema.kwa nn umeshika sinu yangu mm nilimpuza na saii nimesafiri tena nikamwambia ao uyo mke lkn hakunijibu mwishowe nikamtumia chati uyo mke but saii yuwaomba msamaa na nilikaa nyumbani miaka.miwili lkn hakuomba msamaa
@Muharram-c5n7 ай бұрын
Makini kabisa,she is very intelligent
@PaulRPaul-z1q7 ай бұрын
Well said Madam
@mwalimothman16807 ай бұрын
Mashaallah
@Nassor23777 ай бұрын
Maashallah kipindi kizuri
@nasrimswaki48247 ай бұрын
maashallah
@hidayamanda-gk7nf4 ай бұрын
❤❤❤
@abuuqamar587 ай бұрын
@Al fatah tv muda wa kipindi ni mdogo
@abuuqamar587 ай бұрын
Simu simu simu.
@JumaNassor-cj3zy7 ай бұрын
Watu wa Tanga wakarimu sana
@OmanGabbi-l9n6 ай бұрын
Nikweli kabisa na asa awa wanaume wenye pesa wanapenda kuana madalali wa wanawake walembo kuliko mkewe Sasa awa wanaume nibora tuwaachetu tuwenao tu ila ni shida
@aliy33037 ай бұрын
Sheikh Rashid Marekebisho jitahidi Unapotamka ktk utoaji wa Salaam
@juhudiyaislamiya26607 ай бұрын
Mkumbushe anakosea wapi katika hiyo salam?
@youtuberheart16487 ай бұрын
Kama mpk mmekubaliana mkaoana kwann mfichiane sim kama umeridhika kumuoa kwann uwe mambo mengine nje mm nahc tungeelimishana kwenye matumizi ya kwenye sim mn nhc km ndo tunawapa power ya kutufanyia wanavotaka 😢
@muhammadmuhammad50437 ай бұрын
Kwekweli Mimi Nakufatili Sana Muda Mrefu Hiyi Nimependa Maagezi Yako Jee Kama Mwanamke Jee Utamulezea Vipi Anpokuwa Hataki Kuaagaliwa Sim Na Akuwa Anamuda Maalum Wakujitenga Kuwa Nasim Ikiwa Hananafasi Yumuweka Hata Akirudi Kazini au Imefikia Muda Wakulalah Nayeye Anakuwa Nakaawaida Huwo Unakuwa Mudawake...????Anakuwaje..
@aasatt787 ай бұрын
Tunaomba sehemu ya pili
@juhudiyaislamiya26607 ай бұрын
Swadkta sheikhat
@OmanOman-gu1wy7 ай бұрын
Mbon unatuekea kipanda kidg mm namfatilia san madamu leyla
@fatemasalem96777 ай бұрын
Tuli kimiss hichi kipindi
@nasrimswaki48247 ай бұрын
tanga kama tanga hahahahaha
@trophywilson72117 ай бұрын
kwa wajanja hawataki kuchimba vyoo aise na uzuri wote walionao wanawake
@AliAthmani-o1w7 ай бұрын
Unayo yasema ndivyo, wengi ujikuta kwenye ndoa isiyo na furaha kwa kutafuta makosa ya mumewe, mume atakuwa ata ana shughuli na kumchuguza mke hata anazo shughuli zake lakini ukifika nyumbani amekuwa mlalamishi, wa tabia zako..
@youtuberheart16487 ай бұрын
Kama mpk mmekubaliana mkaoana kwann mfichiane sim kama umeridhika kumuoa kwann uwe mambo mengine nje mm nahc tungeelimishana kwenye matumizi ya kwenye sim mn nhc km ndo tunawapa power ya kutufanyia wanavotaka 😢