Wanaume wa karne hii sio waoga!!!, Mkewe ananunua madera 3 ya 25K na hana kazi huogopi!!!

  Рет қаралды 7,693

Madam Leila Abubakar

Madam Leila Abubakar

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah 2 ай бұрын
Haipiti siku 2 sija fua. Nakosa amani km sijafua Alhamdulillah
@AminaAfrica-pr3gi
@AminaAfrica-pr3gi 2 ай бұрын
Mashallah madam Leila na anco khatibu nawapenda bure nakupongeza Sana madam Lela kipindi kihahuhalisia wa maisha yetu nkilicho nitach zaidi ni swala la usaf wallah madam i mimi kama wew roho yangu inakinyaa kwenye kula na choooni napata tabu sana by the way many congratulations for good conservations
@feiruzahmed7524
@feiruzahmed7524 2 ай бұрын
ALLAH awazidishie kheri❤❤❤❤❤
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 2 ай бұрын
Madam unatufunza mengi sana
@SalmaSheha
@SalmaSheha 2 ай бұрын
Wawahi nikweli madam mm mumewang nihensam tna mtana shati lkn ilesku ambayo notakwenda saloon kupambw nikirud huniambia mkewng hujapendeza kwasabbu ww ujitie wanjatu mbona unapendeza narangiyamdomo tuu basi mwazo nlikuw napanik kwann mbona nasifiw kupendezavila mumewng haoni sasa nmebadilika naapiy najiskia aman kwakwel naananipenda nikiw niko simple madambnakupenda sana unaelimisha vizur
@halimahassan8582
@halimahassan8582 2 ай бұрын
❤❤❤ Allah akupe kila faraja da leila. My greeting to my beloved sister. May peace en blessings be upon you
@ZainabIssa-v5u
@ZainabIssa-v5u 2 ай бұрын
Asallam alaykum warahmatullah wabarakatu hali yako dear nakuhisi unaumwa pole sana mpendwa Allah akupe afyaa imara mafuaa Ni maradhi yanayo Uma sana Allah akuafu inshaaallah. Kula chakula chenye pili pili ili yatoke vyemaa inshaaallah utapoaa eee❤
@Ashoora2
@Ashoora2 2 ай бұрын
Mashaa'Allah ahsante Jazzakum'llah kheri Pole kwa mafua madamu
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah 2 ай бұрын
Kuni za nn tena saa hizi Madam Gas yatosha mkaa pia ni tabu
@rehemaomarsaid
@rehemaomarsaid 2 ай бұрын
Mashallah tabarraka Allah allah akuzidishie dadangu uzidi kutuelimisha na awape afya njema na uzima
@khadijaramadhani6156
@khadijaramadhani6156 2 ай бұрын
Sadaka ni muhimu kakika maisha yetu unapotoa nguo kumpa mtu basi mung hukupa nyingine na sio nguo tu hata vitu vingine tujue tu akifanya kizuri vizuri huja kwako na kifanya vibaya vibaya huja kwako!
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah 2 ай бұрын
Takbiir!!!
@restcyprian1598
@restcyprian1598 2 ай бұрын
Madam njoo kwangu nina nguo ya 1978
@restcyprian1598
@restcyprian1598 2 ай бұрын
Wengine wanaenda na fasion
@a.856
@a.856 2 ай бұрын
Jazakallah khayran
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Madam leila nikwel kabisa kuna kaka uyo alinitongoza kumbe baada yakuangalia miguu yang akaona sina vumbi akanambia msafi sana jamila..uliposema wanaume wanaangalia miguu basi umenikumbusha mbali sana madam
@kenngilu4909
@kenngilu4909 6 күн бұрын
Mtu apika mwishowe anakaa kama mechanic 😂
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 ай бұрын
Daaah hii haiko sawa mimi binafsi nikiona nguo ambayo sijui imetoka wapi au kanunua kupitia hela ipi lazima nihoji
@magdalenamoffat4835
@magdalenamoffat4835 2 ай бұрын
Uko sawa waeleze kizazi hiki hakina Usawi wa kila kitu
@AsteriaMontgomery
@AsteriaMontgomery 2 ай бұрын
Mimi nivae nipendeze pongezi unapewa nje ntanunua chochote hata gari haulizi hakupongezi
@popiya2368
@popiya2368 2 ай бұрын
Kwa hiyo tutafanyia kazi mavazi mwe
@restcyprian1598
@restcyprian1598 2 ай бұрын
Watu husema zile zilizomshinda ndiyo anatoa.
@aminrashid991
@aminrashid991 2 ай бұрын
Madam hapo pa kufua mimi kwa kweli nilishindwa kurundika nguo naambiwa nawe wapenda kufua sababu siwez kua na amani nikiwa na uchafu nguo
@restcyprian1598
@restcyprian1598 2 ай бұрын
Je wale tunainunua nguo mara mbili kwa mwaka itakuaje
@zainabuali9915
@zainabuali9915 2 ай бұрын
Sante madam❤❤❤
@mayisarakarire7104
@mayisarakarire7104 2 ай бұрын
Sio mpenzi wa kukomenti kwenye account za watu ila kwa huyu madame nashindwaga kujiziwia kabisa nanufaika na wewe Allah akulipe kila la kheir ❤
@MadamLeilaAbubakar
@MadamLeilaAbubakar 2 ай бұрын
Amiin amiin 🤲🏻 kipenzi
@HiTy-v4d
@HiTy-v4d 2 ай бұрын
Madam niko omana nahitaj msaad wako kipenz nisaidiy
@MadamLeilaAbubakar
@MadamLeilaAbubakar 2 ай бұрын
@@HiTy-v4d +255757643746
@SamiraMakame-w9c
@SamiraMakame-w9c 2 ай бұрын
51:09 ​@@MadamLeilaAbubakar
@HiTy-v4d
@HiTy-v4d 2 ай бұрын
Shukran san
@CikeTanzania
@CikeTanzania 2 ай бұрын
Waogope nini madame wanataka watafutiwe .
@restcyprian1598
@restcyprian1598 2 ай бұрын
Hizo pesa saidieni maskini
@HalfanHemedi-r8z
@HalfanHemedi-r8z 2 ай бұрын
Madam umeolewa
@jamilaissa1386
@jamilaissa1386 2 ай бұрын
madam bana 😂😂 khatibu kashat
@nizigiyimanaziada2192
@nizigiyimanaziada2192 2 ай бұрын
Asalam alaikum wa rahmatullah wa barakat Mr Khatib tafadhali mwambie madam Leila aongeley kuhusiana na uchumba pia ili tujue mwanaum anae tuchezea na mweny malengo na sisi plz
@emmadora7848
@emmadora7848 21 күн бұрын
Hilo nalo ufundishwe au tu mnajitoaga ufahamu ,unaona kabisa hapa chenga ila unakazania
@restcyprian1598
@restcyprian1598 2 ай бұрын
Miaka ya wazazibwetu tulikua tunanunuliwa nguo kubwa ili tukue nazo. Leo hii utajiri wote unaelekea kwa nguo
@sumanyavoice7844
@sumanyavoice7844 2 ай бұрын
Nakufatilia sana madam, tupo pamoja
@sumanyavoice7844
@sumanyavoice7844 2 ай бұрын
Ila nina jambo linanitatiza
@MadamLeilaAbubakar
@MadamLeilaAbubakar 2 ай бұрын
@@sumanyavoice7844 +255757643746
@sumanyavoice7844
@sumanyavoice7844 2 ай бұрын
Thanx
@restcyprian1598
@restcyprian1598 2 ай бұрын
Siku hizi ukimpa mtu nguo anafanya ni tambara la kudekia.
@restcyprian1598
@restcyprian1598 2 ай бұрын
Ninazo za kumbukumbu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Apo kwenye vitendo na ukimya nikwel kabisa ukiwa na subra na ukavumilia ukawa mkimya lazima utamsikia anachofikilia dhidi yako nilazima atasema yanayomsibu tu
@aminrashid991
@aminrashid991 2 ай бұрын
Hadi mwiko wiki kwa sufuria ya ukoko
Kama huhudumii usile kaka angu utalishwa sumu!!!
1:07:34
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 4,8 М.
MALEZI KWA WATOTO KUPINGA UKATILI KWA WATOTO
6:12
TAWLA DAR
Рет қаралды 7
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 57 МЛН
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 52 МЛН
Hii ndio siri ya RIZKI - Madam Leilah
18:33
Kalamutz
Рет қаралды 10 М.
Fix You: Makosa makubwa watu huyafanya wanapoingia kwenye Mahusiano
1:06:20
Akikusaliti Fanya mambo haya matatu - Madam Lailah Aboubakar
20:48
HILI NDIO LILILOWAFELISHA WENGI KATIKA NDOA ZAO
35:26
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 11 М.
HUU NDIO WIVU UNAOWEZA KUJENGA MAPENZI KWENYE NDOA (HUBBUL HALAL)
20:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
Wanawake Mwalimu wao ni Kipofu
1:13:58
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 8 М.
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 57 МЛН