KUTANA NA VALENTINE BINTI ANAYEKIMBIZA BIASHARA YA NAFAKA DSM

  Рет қаралды 18,105

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

Күн бұрын

Пікірлер: 53
@NeemaMnyuda
@NeemaMnyuda 5 ай бұрын
Dada umegusa nnapopataka nataman sana na mm nifnye icho kitu unachofanya ww shukran sana kwa kuntia moyo nimejifunza🙏
@viatorykashabizi2538
@viatorykashabizi2538 3 ай бұрын
You really made good choice,for,teaching gives enough time to do other things apart, while can be also part of the business. So keep it up, for, you're the future bigest and richest businesses person
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 ай бұрын
Thanks a lot
@vapromamassawe8937
@vapromamassawe8937 6 ай бұрын
young,beautiful,and smart 🔥🔥🔥
@jscatherine29
@jscatherine29 3 ай бұрын
Kuweza kuongea na hao waandishi kashafanyia kazi ualimu wake 😂🤌
@faustalymoonesmo4532
@faustalymoonesmo4532 5 ай бұрын
Watangazaji wanaongea Sana lakini maswali ya msingi wanaacha kuuliza
@victornkonjelwa
@victornkonjelwa 4 ай бұрын
I wish ningemsikia huyu dada kwa watu ambao wako serious, watangazaji wameshindwa kujua namna ya kuhandle interview kulingana na nahudhui yake, full masihara, wanakatisha point muhimu, wanaongea kuliko muhusika, wanasafari kubwa ya kujifunza kuwa bora
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 4 ай бұрын
Nipe 5 , ni kipindi cha masihara, ila ukikiangalia kwa makini hakuna masihara.
@amosmemba9926
@amosmemba9926 2 ай бұрын
Nakuelewa Gangana.. Ukiwa makini ndo utaelewa. 💪
@ereswidamoshi7404
@ereswidamoshi7404 4 ай бұрын
Mdada smart , watangazaji mnaboa
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 4 ай бұрын
Smart Brain ❤❤❤ historia yako inasisimua na mafunzo
@deodatusmbinga1979
@deodatusmbinga1979 2 ай бұрын
Uyoo dada mwenyew anaongea sana Zaidi ya maswali.
@herisophisticated9275
@herisophisticated9275 Ай бұрын
Shukran Vale.❤
@japhetmsafiri
@japhetmsafiri 3 ай бұрын
woow very smart. Hongera sana dear...
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg 3 ай бұрын
Naipenda sana hii biashara
@TusaKiblaga-vp9jg
@TusaKiblaga-vp9jg 5 ай бұрын
Hongera san kipenz
@SIFADANIELI
@SIFADANIELI 5 күн бұрын
Dada valentine, naomba kujua kuwa unatunza bidhaa yako kwa ghala au ukifika mzigo unakuwa unasambaza hapohapo
@AmosNhandi
@AmosNhandi 6 ай бұрын
Shida mnaongea Sana watangazaji kuliko mhusika
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 6 ай бұрын
Unanongwa wewe
@adolfkizinga1846
@adolfkizinga1846 2 ай бұрын
Yey kasema kaanza na gunia kma mbili, Leo Hii Mimi nime DM ananiambia iyo biashara ni ngumu lazima uwe na mtaji kuanzia 10milion so apo ndo ananichanganya
@bonvivant3704
@bonvivant3704 2 ай бұрын
Hawa watu wa mtandaoni wengi waongo, usiwasikilize😂🤦🏾‍♀️
@witneynairas2803
@witneynairas2803 4 ай бұрын
watangazaji hovyo sana
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 4 ай бұрын
Asante studio.
@mavumdefoodproducts8495
@mavumdefoodproducts8495 2 ай бұрын
Huyu dogo ni anaelewa kweli kilimo vijana wengi wanakwama kwenye biashara ya kilimo ni kusimamia
@nicholausmaswi3141
@nicholausmaswi3141 Ай бұрын
Hawa ndio watu ambao hawatakiwi Tanzania, ikitokea ameajiriwa kuwa mwalimu atawezaje kwa pamoja?
@angelsultan9628
@angelsultan9628 3 ай бұрын
Aiseee watangazaji mnaboa, mwacheni mtu aleleze
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 ай бұрын
Ok
@ValentinaMoi-u2n
@ValentinaMoi-u2n 6 ай бұрын
Go valentina🙏🏿🙏🏿
@selinajohn3552
@selinajohn3552 3 ай бұрын
Nataman kuwa mfanya Biashara Sana nawazo Hilo lakn kuanza ndo nawaza
@LangoiMollel-p1p
@LangoiMollel-p1p 2 ай бұрын
Nipeni namba yake nifanyenae biashara maana nina mahindi mengi
@ramadhanichuma7925
@ramadhanichuma7925 3 ай бұрын
Huyu Dada kama sijamfananisha niliwahi kufanya nae kozi 834kj makutupora
@nancyg8664
@nancyg8664 3 ай бұрын
kwa kina ngalapi na mbeho😂😂😂
@emmanuelsanga1318
@emmanuelsanga1318 2 ай бұрын
Niyeye
@EmmyFesto
@EmmyFesto 22 күн бұрын
h😂😂😂 makutupora veyula ​@@nancyg8664
@MarianaDonarld
@MarianaDonarld 4 ай бұрын
Vale anajibu kisomi, watangazaji sijui wanaogopa kuuliza maswali vzri? Valentine Gabriel Philimon Moi.
@eugenejr.8844
@eugenejr.8844 3 ай бұрын
Waandishi hovyoo kabisaa. Mkiuliza swali muacheni anaeulizwa aongee mpaka mwisho. Pia ulizeni maswali bora.
@jakalajuma1625
@jakalajuma1625 5 ай бұрын
Watangazaji masiala kibao dada yupo serious na majibu ya msingi
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 5 ай бұрын
Kaka hicho kipindi ni cha masihara.
@FaudhiaRajabu-u8p
@FaudhiaRajabu-u8p 3 ай бұрын
@@ganganainfochannelkama cha masihala msiweke vitu vya msingi waekeni kina bambo mje mfanye masihala
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 ай бұрын
Naona umeamua kutupangia sasa😀
@FaudhiaRajabu-u8p
@FaudhiaRajabu-u8p Ай бұрын
@@ganganainfochannelhawapangii ila sisi ndio tunamalizia bando zetu kiufupi mnaboa😮
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel Ай бұрын
@@FaudhiaRajabu-u8p nawe umekubali kuboreka?
@ElizabethNdowo
@ElizabethNdowo 2 ай бұрын
Nataman niwe kama wewe😭😭
@MANJINZELLA
@MANJINZELLA 5 ай бұрын
Good
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 5 ай бұрын
Nimependa jinsi ulivyohasi sana mwaya
@RebecaMackenzi
@RebecaMackenzi 3 ай бұрын
Hasi au chanya?
@GraceMona-v5b
@GraceMona-v5b 5 ай бұрын
Naomba no dada
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg 3 ай бұрын
Naomba namba yako pls
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 ай бұрын
0762260936
@jaquilinekabadi37
@jaquilinekabadi37 3 ай бұрын
Watangazaji mmeboa👎
@bartondidas849
@bartondidas849 3 ай бұрын
@haidhautumwahawezikuisha8779
@haidhautumwahawezikuisha8779 5 ай бұрын
Safi sana
@AbdallahAzizi-n5p
@AbdallahAzizi-n5p 16 күн бұрын
Wife material
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 50 М.
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 3,1 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,2 МЛН
ZINGATIA MAMBO HAYA KAMA UNATAKA KUFANYA BIASHARA YA NAFAKA
7:06
EastAfricaRadio
Рет қаралды 735
RICE POST HARVEST MANAGEMENT FOR COMPETITIVENESS
28:55
Kilimo Biashara
Рет қаралды 8 М.
KWANINI WASOMI WENGI NI MASIKINI NA HAWAFANIKIWI | Victor Mwambene.
27:52
VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA BIASHARA
16:16
Jenifer Jovin
Рет қаралды 36 М.
SIFA 10 ZA WATU WANAOFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
17:59
Victor Mwambene
Рет қаралды 12 М.
P DIDDY NA WACHOKONOZI
11:44
WACHOKONOZI
Рет қаралды 7 М.
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 3,1 МЛН