JE KUNA MAKOSA KUMUOMBEA DUA WILLIAM RUTO || Muhammad bachu.

  Рет қаралды 46,207

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

2 жыл бұрын

Пікірлер: 475
@NinoNino-fm8dr
@NinoNino-fm8dr 2 жыл бұрын
ماشالله M/Mungu azidi kukuhifadhi "kutokana nakila aina ya fitna}
@AllyJuma-hy7wj
@AllyJuma-hy7wj 9 ай бұрын
Hap alipo yupo kweny fitna, isipokuwa haoni hilo ila aliyewafikishwa na Allah. Allah atuhfadh.
@rokiroki1825
@rokiroki1825 2 жыл бұрын
ALLAH awaongoze masheh wetu wawe ni katika kusema yalivo mema
@khadaribrahim8991
@khadaribrahim8991 2 жыл бұрын
Masha Allah sheikh al akhi abuu UBAYDA MUHAMMAD NASSOR BACHU ALLAH AMUHIFADHI,
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 2 жыл бұрын
Amin
@iliyasamanyika3548
@iliyasamanyika3548 2 жыл бұрын
Sio kila kitu kitajwe kama dalili kila sehemu chakushaauri hii suna inamatatizo sana kwA ss allah atuongoze na hawa tunaowafuata
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
Ulitakiwa umuombee kuongozwa kabla ya hifadhi au umuombee vyote kwa ujumla, make kuongozwa ni Jambo alihitajia Sana Kwa Sasa Zaid hata ya hifadhi, zaidi ya chakula nk. Huyu ni Mgonjwa anayehitaji msaada wa aafiya, haiwezekani ukamuombea kupata kazi mgonjwa wakati anacho kihitaji kwa wakati huo ni aafiya
@shuaibalula9003
@shuaibalula9003 2 жыл бұрын
Jazakallahu khayran
@yaasirhakim501
@yaasirhakim501 2 жыл бұрын
Allah amrehem shekhe nassor bachu , huu upuuzi ulongea baba ako hajathubutu kuongea,
@mzalendohasa
@mzalendohasa 2 ай бұрын
Upuuzi ni upi hizo aya au hadithi au hizo kauli za wanavuyoni
@alikhamis6326
@alikhamis6326 2 жыл бұрын
Najua wamchukia sana shaykh Abdallah humeid na shaykh Abuu fadhwil qassim mafuta Allah awahifadhi twakujua ww mtoto wa bachu wapenda majisifa ila wanishangaza wajibu vitu bila ya elimu mbona swala ya William ruto umeikwepa vipi hukmu ya kafiri kufanya maigizo katika swala mbona kama mkweli umekwepa apo na pia tambua iyo picha unayoisambaza je mwenyewe yuko radhi tambua una dhima kubwa kwa Allah kuisambaza picha ya mtu bila mwenyewe kuridhia wallahulmustaan
@hemedmwandaro1264
@hemedmwandaro1264 2 жыл бұрын
Wewe unayoelim kiasi gani ambaye hujajib kwa hoja umejibu mipasho??? Kasome
@MohamedAbdallahSaid
@MohamedAbdallahSaid 10 ай бұрын
Jazakah Allah Khair Sheikh Muhammad Bachu kuilimisha Waislamu.Sasa Waislamu wataweza kujua njia ilinyoka ni ipi
@user-sf2tg5bl3s
@user-sf2tg5bl3s 2 жыл бұрын
Mungu akupe umri reefu bingwa wangu wa fatwa
@abubakarkhamisi3931
@abubakarkhamisi3931 2 жыл бұрын
Shekh wangu allahu akubariki sana n akuhifadh
@2km.a579
@2km.a579 2 жыл бұрын
Sheikh Muhammad Bachu uko katika uharibifu mkubwa sana wallahy, wajua wazii huyo bwana kapigwa picha bila kuridhia na unaingilia katika maneno ndaniii na kutafuta makosa yasiyokuwemo na dhana yako ni mbaya daily wao wakiongea , you are always negative daily . May Allah guide us all to the straight path.
@salimumbonyumukiza2391
@salimumbonyumukiza2391 2 жыл бұрын
Sizani kweli kama mukrst kweli wewe utawaziya wapi ndua kweli shekh ....ni unafiki wallahi hakuna wayisiramu kusomey kafiri
@mzalendohasa
@mzalendohasa 2 ай бұрын
Shekhe Mohamed umenichekesha sana
@abdulmwakubambanya9091
@abdulmwakubambanya9091 2 жыл бұрын
Barakh Allah fik sheikh Mohammed,mkumbushe anayo yafumbia macho
@dullnach2310
@dullnach2310 2 жыл бұрын
Shukran sheikh ukipata mtendeni kula halua ntalipa
@jafaryyusufu2993
@jafaryyusufu2993 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuhifadh
@FatherofRabbits13
@FatherofRabbits13 2 жыл бұрын
Jamaa sheikh Abdallah humedi hayuko radhi Kwa kupijwa picha. Mbna muko hvo nyinyi mahizbi
@mrabdulhalim729
@mrabdulhalim729 2 жыл бұрын
Allah awahifadh masheikh zetu abdallah humeid na kassim mafuta
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 2 жыл бұрын
Wawe wakwwli sio chuki zakielimu
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
@@hassanmohdally5217 Nani ana chuki?, Kama huna ilimu Waeza Dhani ni chuki but wa Allah hayo Ndo mapenzi anayo yaridhia Allah
@mohammedkhalid9975
@mohammedkhalid9975 2 жыл бұрын
Ameen
@ilhamhaji8650
@ilhamhaji8650 2 жыл бұрын
Allahumma Amiin na awalinde na hasad na kila jambo baya. Na awape nguvu juu ya kuisimamia haki na kuzidi kuiyeneza kwa watu.
@islamicreligiontv2718
@islamicreligiontv2718 2 жыл бұрын
Toka hukooo
@suleimansalim9470
@suleimansalim9470 2 жыл бұрын
Ila ww nakukubali mashallah ustadhi mungu akuzidishie elimu zaidi
@esheryankey2169
@esheryankey2169 2 жыл бұрын
Allah akuhifadh na fitna, Baarakallahu fiyka shekh Muhammad bachu Umeongea kw ufasaha na dall za wazi asietak kuelew akil yake haipo saw na kufuata ushabiki tu Ila umeisema haqi, Na haqi ni chungu Allah akuhfadh na akutie nguv kwny kutubainishia haqqi hawa masalafia jadida hamna ki2 nikelel2
@salumjabir813
@salumjabir813 9 ай бұрын
Umaarufu..kuupata kazi.
@sultansaidsalehe3805
@sultansaidsalehe3805 2 жыл бұрын
حفظك الله
@jumasalum2677
@jumasalum2677 2 жыл бұрын
❤❤❤ sheikh wangu nakukubali sana kwani wewe unatoa mafunzo na ushahidi unajua sana Sasa hao wakina mafuta hawana chochote zaidi ya kulinda kikundi Chao ila wewe unaipigania dini.jazakallah khaira
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
Hata Diamond anakubalika Zaid kuliko yeye, Hilo halitushangaz watu wa batwili kukubalika kwa Masufahaa
@mgazamhina840
@mgazamhina840 2 жыл бұрын
Allah akulipe kwa kunifunulia elimu juu ya hili
@captainmajid6049
@captainmajid6049 2 жыл бұрын
SubhaanaAllah
@masudmohhamed3146
@masudmohhamed3146 2 жыл бұрын
Allah awahifadhi masheikhe zetu Abdhallah humeid Qassim Mafuta Allah awalinde
@hamadimussa2119
@hamadimussa2119 2 жыл бұрын
Mche Allah mtt wa Shekh tunaemuombea maghfira na rehma kwa Allaah
@user-vx1tw1kj2o
@user-vx1tw1kj2o 2 жыл бұрын
Allahu akubariki Hawa watu wanachosha watu sana kwa kufatiliana. Shughulika nayo ili kulinda hishma ya masheikh zetu n'a Allahu akusaidiya katika mambo yako
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
Heshima kwenye ujinga?, Hapo hakuna kufuatiliana, uza magari uone Kama Kuna mtu atasema unauza magari, fungua maduka ya nguo uone Kama Kuna mtu atasema unauza nguo. Ila diyni ukikosea na ukapotosha umma ni waajibu juu ya ahlul ilim kukuweka sawa kainan man kaan
@yussufhamad3721
@yussufhamad3721 2 жыл бұрын
HONGERASANA SHEIKH MUHAMMAD BACHU TUNAMUOMBA ALLAH ATUONGOZE SISI PAMOJA NA WW NA WAFUASIWAKO KTK HAKI ILA MM NASAHAZANGU COZ DINIHII INAMUHIMILI WA NASAHA "WATU WANAOKUTIA PAMPU UYAFANYEHAYA ELEWAKUWA HAWATOKUSEIDIA CHOCHOTE MBELE YA ALLAH NA ISIDANGANYWE NA WINGI WA WATU KAACHINO USOME KWANI DEBE LILILOKUWAHALINAKITU NDO HUWA LINAFUNJO NYINGI NA ZOGO JINGI KAMA ULIVYOTANGULIA KUSEMA HUKO NYUMA WW UNAPENDA KUBWABWAJA NA NAONA KILA KUKICHA UNAZIDI HII SI TABIA MZUR CHUNGA SANA NA ULIMIWAKO usichekupupeleka pabaya ewe fataaa
@user-ov5uo5pr8i
@user-ov5uo5pr8i 8 ай бұрын
Mwenyezi mungu atuongoze
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 2 жыл бұрын
Baaraka llahu laka
@bellbell9294
@bellbell9294 2 жыл бұрын
Shukraan sheikh wetu
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 2 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi shekhe wangu bachu mafutaa ni mnafiki wa waziwazi
@muhammadfadhil9442
@muhammadfadhil9442 2 жыл бұрын
Masha Allah wafauka kulidhii ilmun aalim.
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
Pole Sana, soma quruani. Alafu anaweza akathibitisha kuwa Ruto sio Adui wa Allah na mtume wake?, Haupigi vita uislam? Huyo sindo aliyesema Kenya ni christians Nation? Huyu sindo alisema hakuna haja ya mahkama ya kadhi Kenya? Alishatubu eee?, Lete Dalili ya Toba yake Kama ni wakweli..... Bismillah
@abuuyaasir343
@abuuyaasir343 Жыл бұрын
Khekh angaria usiingie kwenye unafiq kwa kujibembeleza kwa makafir kwaajir ya kuipenda Dunia
@amirmape6474
@amirmape6474 Жыл бұрын
Shekhe hapo umeteleza haujakazwa kumuombea dua kafiri kipindi yupo hai lakini cyo kumuombea dua kafiri ili akutawale acha ujinga unaweza kusoma sana lakini uwelewa wako mdogo Allah akufahamishe inshaalllah
@EngAliMohd
@EngAliMohd 2 жыл бұрын
Wewe kijana muhammad bachu mche Allah huo ndio usalafi uliofundiswa kusambaza mapicha ambayo yamepigwa bila mwenyewe kuwa radhi na hilo unalijuwa na unalifahamu mm ninakunasihi umche Allah juu ya kuwadhulumu watu bila ya haqq.
@OmarAli-lm9sf
@OmarAli-lm9sf 2 жыл бұрын
Assalaamu Alaykum Sheikh Mm Ni Mwanafunzi Wako Niko Kenya Ila William Ruto Anapiga Vita Uislamu Wazi Wazi Na Clip zake Ziko Nakama Mwataka Mm Nitawatumia
@abuubakarmohd7532
@abuubakarmohd7532 2 жыл бұрын
Mpe mwalimu wako maana ana ujing wa kupiliza
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Mtumie huyo mwalimu wako anatete ujinga nawakati mamboyanajulikana l kujigambatu yy anaogopwa
@mwanaishakhamis8069
@mwanaishakhamis8069 2 жыл бұрын
Huyo Hana kazi na Sisi waisilamu wakenya tuulize tukujibu.siku zote yuwasema Kenya ni nchi ya wakristo
@nassibnassib5691
@nassibnassib5691 10 ай бұрын
Shekh kwanza namuomba Allah akuhifadh na akuzidishie elimu na nafasi ya kuendelea kuelimisha. Ktk hili la kuwaombea makafiri ni sawa, ila kumbuka sio kafiri kama huyo Rutto maana huyo ni mtawala na unamuombea atawale na atatawala mpaka waislam. Pia kumbuka atatawala sio chini Qur-an, bali atatawala chini ya katiba zenye sheria ilitungwa bungeni. Na bungeni kumbuka humohumo kuna walevi, wezi, wala rushwa, wazinififu, wachawi, wavuta bangi na mabaya mengine mengi. Pia kumbuka watawala wa kitwaguti wengi wanapiga vita uislama na kuwapiga vita waislam kwa ujumla, (na hilo ni jambo marufu). Sasa ni vipi shekh unahalalisha mtu wa hivyo aombewe dua!?
@NaaalsGroup-us8bq
@NaaalsGroup-us8bq Жыл бұрын
Mwenyekumuombea dua yupo sawa tu hakuna makosa muukumu nimungu kunamakosa mangapi watu wafanya katika hao waislamu zaidi yaukhafir kueni mielewa na asie muisilamu atengwi anafaa kukaromishwa kusudi aingie kwenye dini ,huyu bachu apo sawa kabisa lkn wasio elewa na kwakua mumezoea basi mutamuona awalazimisha
@usamayasin3149
@usamayasin3149 2 жыл бұрын
Allah Akujaze kheri
@muhamadyusufu6663
@muhamadyusufu6663 2 жыл бұрын
Usitafuti umaarufu kwa kumtukana shekh wetu mche allah
@siriisaac5333
@siriisaac5333 2 жыл бұрын
Allah Akuongezee umri uzidi kutujuza
@mutanafatiibrahim2240
@mutanafatiibrahim2240 2 жыл бұрын
Allah Akupe maisha marefu sheikh wangu,, natamani kua mwanafunzi wako sheikh,,, Ibrahim muslim hapa Goma drc
@ameame4676
@ameame4676 2 жыл бұрын
Mskilize vizur huyu Bachu acha ushabiki Binafs me nawapenda wote ila kwa hapa Sh.Kassim kateleza
@fizzmuyugumbi7584
@fizzmuyugumbi7584 2 жыл бұрын
Makelele tu uweleweki
@abuudhilqarnayn5180
@abuudhilqarnayn5180 2 жыл бұрын
Muhammad Bachu itakuwa ana mashaitwani, afanyiwe Rukya jaman, maana haelewi na haeleweki
@ahmedrageahmedrage9134
@ahmedrageahmedrage9134 2 жыл бұрын
Wewe hujielewiiii
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 2 жыл бұрын
Wa pumbavu kweli nyinyi MAWAHABI, kazi kukufurishana
@zaharakimolokimolo2799
@zaharakimolokimolo2799 2 жыл бұрын
Alwalaa na wal baraa bado SNA kwa waislam yahitajia jithada kuelimisha waislam
@kassimajmus2010
@kassimajmus2010 2 жыл бұрын
MASHALLAH SH:MUHAMMAD KIUKWELI UNA BAHTHI YA UHAKIKA ALLAH AKUBARIK LKN UMEZUNGUMZA KUHUSU KUSHIRIKI DEMOKRASI KATKA NICHI INAYOKWENDA KIDEMOKRASIA KUNA KAULI ZA WANAWACHUONI SASA JE KATIKA KAULI HIZO NI IPI YENYE NGUVU COZE KUNA KAULI YA ALLAH INASEMA "لا تجد قوما يؤمنون بالله واليوم الآخر يوادون من حاد الله ورسوله...الآية"
@mkubwamasoud2776
@mkubwamasoud2776 2 жыл бұрын
Mtihani mkubwa sana tunadhania kheri lakini kwa hili hapana kama yuko pamoja na hao waliofanya hayo kwa muombee dua kafiri ili apate kuwatawala waislam na ahukumu kwa sheria ambazo sio za Allah sheikh hapa naungana na wale waliomtoa katika sunna sio mwana sunna bali ni hizbiyya(wati wasiofuata kitabu na sunna)
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 2 жыл бұрын
et kafanya Bahthi hhhhhhh bahthi ya mathematics labda
@kassimajmus2010
@kassimajmus2010 2 жыл бұрын
@@abrahamansaidi8631 mbona unadharau bahth yake kiukweli tumuombee dua Allah amzidishie lkn kiukweli kwa hilo anajuhud nalo
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 2 жыл бұрын
@@kassimajmus2010 Unajua mada ni ipi halafu huyo jahili kaongelea nini Swali kimezulizwa Muhammad Bachu ni Salaf au sio salafi? Mashekh wakauliza kwa marafiki zake ni wakina nani ? Mazungumzo yakapita marefu kidogo ikainekana marafiki zake mahzbi basi nae akanasibishwa huko kwa mahzbi Mada sio kuombea makafiri dua inafaa au haifai Mada alitakiwa ajibu abu katada ni rafiki yake au rafiki yake kama ni rafiki yake aseme sasa huyu ni salafi.....hii ndio mada
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 2 жыл бұрын
@@abrahamansaidi8631 ndugu yangu akiwa rafiki yake halafu ndio nini? Jamani tuache siyasa katika dini na tuache ushabiki. kuwa rafiki na hata kafiri maadam hapigi vita uislam haina maana nawe ni kafiri na hata muislam unayemchukia mfanyie uadilifu wacha ushabiki. Soma Quran wacha kushabikia tu kuwa mtu ukiwa na rafiki muislam ambaye mafuta anamuona sio Salafi yeye mafuta ni binaadam ana chuki na khiyana na hayo ni katika mapungufu ya kibinaadam na kila mmoja ana mapungufu na huyo mmemfanya kama mtume wenu kila anpomuita mtu anymchukia kuwa hizbu mnaona anapata wahyi na haya ni uzushi
@user-zy7wj7nc7u
@user-zy7wj7nc7u 2 жыл бұрын
Allaah aturudishe katika dini yetu kurudi katika uislaam kurudi kutamridhisha Allaah.
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 2 жыл бұрын
Kenya sio nchi ya kiislam Akhuy!!!!
@fatimasaid8311
@fatimasaid8311 2 жыл бұрын
Mumemdhulumu sheikh abulkhatwab kwa kuweka picha yke bila ridhaa yke.
@hemedmwandaro1264
@hemedmwandaro1264 2 жыл бұрын
He told you about?
@suleimansalim9470
@suleimansalim9470 2 жыл бұрын
Ruto anapinga usilamu alisema waziii kweupee kua kenya ni nchi ya kikristoo hafai kuombewa dua
@mwanaishakhamis8069
@mwanaishakhamis8069 2 жыл бұрын
Kweli Kaka usemayo si urongo
@sadiqabdullah1294
@sadiqabdullah1294 2 жыл бұрын
Huyo abu qhadada ana mwendo wa kinafiq
@amourmdetele1498
@amourmdetele1498 2 жыл бұрын
Subiri majibu yako kijana
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 2 жыл бұрын
Rududi zimerudi tena 🔥🔥🔥hii fitna sijui itaisha lini,almuhim m/mungu awaongoze masheikh wetu.
@ramadhanomar8093
@ramadhanomar8093 2 жыл бұрын
Wewe waita ruduud fitna?jaahil
@muadhibrahim6914
@muadhibrahim6914 2 жыл бұрын
Ruduud ni elimu ya ufafanuzi baina ya having na batil
@allyally4228
@allyally4228 2 жыл бұрын
Assalaam alykum, Kuna msemo usemao sipopo wala si ndege, Watu huchaganyikiwa wanapoona kiumbe wa Allah kinasifa mchanganyiko, Mfano huu unafanana na kijana mikogo anaepumbaza watu wasioweza kupambanua. Allah awajaalie masheikh wasihangaike nae, Watu zaidi yake wapo Allah hajajalia kuiona nuru, Usalafi ni nuru tumuombe Allah amthibitishe katika nuru, Kijana kalewa tembo anayumba barabarani,
@allyally4228
@allyally4228 2 жыл бұрын
Ilmu si kujua tu kuzisoma nukuu na kukusanya vitabu, ليش العلم بكثرة كنب Elimu ni uwezo wa kupambanua na kuweza kuliweka jambo mahali pake, pia ulazimiane na haqi, Bahamad biga gunda samaki wakilisha ukalale.
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 2 жыл бұрын
@@allyally4228 yaa akhii hapa haipingwi manihaj salafi,sisi sote tunajua kua manihaj salafi ni haki na kila moja anawajibu wa kufuata mwenendo wa wema waliotangulia.bali konachopigwa hapa ni hawa ndugu zetu wameifanya hii manihaj kama kikundi na kufanya mambo ambayo yapo kinyume na manihaj yenyewe.na sheikh muhamed bachu haipigi vita manihaj bali yeye anawapiga vita hawa watu. Na sheikh Saleh al fauzani aliwahi kusema kua masalafi wanajulikana na wala sio lazima ujite salafi bali ukiwa unafuata tuu mwenendo wa wema waliotangulia basi wewe ni salafi.
@hamadshaamehamad5768
@hamadshaamehamad5768 Жыл бұрын
Wanakuheshimu tu ila hawakuogopi. Sisi wanadamu hakuna mkamilifu. Kila kheri katika daawa In Shaa Allah. Ila nyinyi masheikh zetu muskishatoleana maneno kama hivyo sisi ambao elimu zet ni bado ndogo mutatuzonga. Dua muhimu kwa kila hatua.
@AliIbrahim-lv5cq
@AliIbrahim-lv5cq 2 жыл бұрын
Alhamdhulillah
@abuunutsamuonlinetv2703
@abuunutsamuonlinetv2703 2 жыл бұрын
kweli sheikh unaketi mbele ya umma na kumtetea mtu ambae kakosea na unamtetea kwa sababu ya usuhuba wenu hebu angalia kwanza hiyo dua ililenga nini alafu unaleta leta kona kona kuwalaghai tuonyeshe dua ambayo mtume kaomba dua kama hiyo
@mohdyfundi4667
@mohdyfundi4667 2 жыл бұрын
Mtume alimuombea umar radhwiyallaahu anhu kabla hajasilimu,akasema hivi:اللهم اعز الاسلام باءسلام عمرين
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
Kumuweka Sawa Muhammad Bachu ktk muhadhara wake huu No.01 kzbin.info/www/bejne/p4XTfXWchJd7r68 Mzungumzaji: Al Akhy Sheikh Fahdi Hanein Hafidhwahu Allah
@kabochokabocho3926
@kabochokabocho3926 2 жыл бұрын
جزاك الله خير
@jamilayahya8028
@jamilayahya8028 2 жыл бұрын
Muhammad bachu bora tu ukasome kuliko kubishana bado hujajua suna
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 2 жыл бұрын
Elimu ndogo ni udhia huna elimu bachu Kaa chini usome
@adenifuyuush4991
@adenifuyuush4991 2 жыл бұрын
IFIKE WAKATI UTULIE WEW MTOTO NA UWE NA ADABU NA UJIWEKE MBALI NA KIBURI NA KUJIONA KISA BABA YAKO SHEKH NASSOR NDIO USHAINGIA PEPONI.? AU NDIO USHAKUWA NA ELIM KUZID WOTE. HALAFU SI UJIKAGUE. MIKOSA TELE KWENYE LUGHA KWENYE QUR'AN UTAMKAJI VITABU. AU NDIO SHEKH SHARIF WALE WATOTO WA ZAMANI
@user-vf4dz6bl3i
@user-vf4dz6bl3i 11 ай бұрын
Ma sheikhe na siasa n wapi na wapi jamaniii nn maana ya siasa ALLAH atulinde na hii fitna
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Nendeni kwenye Futari za makafiri mpaka mfuturishwe nguruwe na pombe. Mm siamini chakula cha asiekua muisilam. Wengine vyakula wanatia ulevi kwa test na hata Kuchinja kwao hawachinji kwa njia za halali.
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 Жыл бұрын
Hapa umekosea wala hyo hoja sio mahali pake
@binseifalsuleimaniy503
@binseifalsuleimaniy503 2 жыл бұрын
Allah akulipe kher kwa hiyo byana mana hawa jaama yao hayaendi mpka wakuseme kidogo ,yn jaama wameulizwa maswli mengi lkn wameyakwepa na uyo alojibu bora ata singe jibu mtihni kwli awa majibu yanaenda kwa utaifa na kujuana
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 2 жыл бұрын
Ruto niadui wawaislam wazi wazi yeye husema kenya niyawakisto tu sasa kweli huyo afaa kuombewa dua?Ustadh fanya utafiti vizur utakuja jua ruto ninani. .
@ramadhanmakame1328
@ramadhanmakame1328 2 жыл бұрын
1. Amuombea dua kafiri ili amtawale, Allah swt amekataza kumtawalisha kafiri, yeye aomba dua atawaliwe na kafiri. ولن يجعل الله للكافرين على المؤمنين سبيلا "Na hajajaalia Allah kwa makafiri kuwa juu ya (kuwatawala) waumini" 2) umesema kafiri mwenye uadui na Waislamu haifai kumuombea dua, shekh wangu na wewe ni mjinga wa adui wa Uislamu/Waislamu, eti Ruto yuko peace na Waislamu, makamu wa raisi wa serikali ya Kenya inayouwa na kuwadhulumu Waislamu ndani ya Kenya na nje ya mipaka ya Kenya, eti hana uadui na Waislamu, au salafi mnataka posts ktk serikali za kikafiri za kidemokrasia mnajipendekeza. Mcheni Allah, Allah awaongoze nyote
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 2 жыл бұрын
Acha chuki biinafs unaushaid Gan kua ruto Aiwa waislamu kua muelewa kbl KUSIKILIZA daawa acha uhuni ww
@ramadhanmakame1328
@ramadhanmakame1328 2 жыл бұрын
@@mohamedswaleh6778 tumia akili acha hamasa, kiongozi wa majambazi si jambazi kwa kuwa yeye anapanga mipango ya siri tu hashiriki kwenye matukio anakaa nyumbani kwake au sio? Acha umbumbumbu
@badriahaji1349
@badriahaji1349 2 жыл бұрын
0lpl
@wafaumelikolinji7151
@wafaumelikolinji7151 2 жыл бұрын
@@ramadhanmakame1328 usitumie akiliako ktk mas'ala yadini
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 2 жыл бұрын
@@ramadhanmakame1328 Pia hiyo sio mada huyu kijana anajitutumua kwenye hamna mada sio kumuombea dua kafiri aende kwenye mada ya msingi Huyo abu katada ni rafiki yake au sio rafiki yake kisha akamtetee ni salaf au sio salaf hiyo ndio mada
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 2 жыл бұрын
raddi yako inakuja subiry yani umetafuta yanyonge hote umekosa paka ukaona hao masalafi ndy wanyonge alafu umekariri kumuita kasimu mjinga kweli siyo wew ndy mujinga
@NurdiinXabiib
@NurdiinXabiib 2 жыл бұрын
Maybe he doesn't know athers maada
@zuberifred
@zuberifred 2 жыл бұрын
Huyu kijana huenda mwisho wake umefikia hapa, mbona hamna anachokielewa, jambo lipo wazi sana, na mimi nimeelewa vizuri sana, sasa huyu muhammad bachu anajiita sheikh duhh, tena kafanya vizuri kuweka hivi vipande ili sisi tuelewe kwamba hana elimu yeyote, Allah awafanyie wepesi walimu wetu wa kisalafy na wewe muhammad bachu em tulia usome kwanza
@JumaMeamba-px5vc
@JumaMeamba-px5vc 8 ай бұрын
Kumbeee yotub nibiashara
@shafiikimaro9469
@shafiikimaro9469 2 жыл бұрын
Nadhan mashekhe wamkalie kimya huyu ndugu ingekuwa kher sana.
@saidishalako
@saidishalako 2 жыл бұрын
Sh. Jua Ruto anagawanya waislan Hawa na Hawa na pia katika ufisadi yeye ndie msifika. Yeye huwatukana waislam wanaompinga Kisha kwa kejeli.Pia Sh Kielmu humfiki sh mafuta kwa dhahiri yake.
@ibranunu2781
@ibranunu2781 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi
@abeidahmed7448
@abeidahmed7448 2 жыл бұрын
JEE KUFUTIRISHWA KWA RUTO JEE YAFAA NAOMBA KUJUWA SHUKRA
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 2 жыл бұрын
🤲Allah akuhifadhi akupe umri mrefu wenye manufa
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 2 жыл бұрын
Na hiz Aya vip?? 5:51 - Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. 8:73 - Na wale walio kufuru ni marafiki wenyewe kwa wenyewe. Msipo fanya hivi itakuwako fitna katika nchi na fisadi kubwa. 4:138 - Wabashirie wanaafiki kwamba watapata adhabu chungu, 4:139 - Wale ambao huwafanya makafiri kuwa ndio marafiki badala ya Waumini. Je! Wanataka wapate kwao utukufu? Basi hakika utukufu wote ni wa Mwenyezi Mungu.
@omarynjama5842
@omarynjama5842 2 жыл бұрын
Hajielewi huyo kweli Qassim Mafuta alikua sahihi jua yake
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 2 жыл бұрын
@@omarynjama5842 naaam haswaaa maana Aya zipo nying na zinazomuunga mkono qasim hata visa as'hab l-kahf as'hab l-ukhdud hao waligoma kushirikiana na Dola hata Musa,dawud , pia Muhammad swalallahu aleyh wasalam ingekuwa rahisi kushirikiana na Dola wakaunda mseto lakn Allah hataki
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
Bachu atafuta public sympathy pitia mtandoa Sababu ajua mtandaoni Kuna wajinga wengi na anahitaji views na subscribers ndo maana anajitahidi kwa namna yyte kuchanganya Haq na batwili
@fatumakhamisi1002
@fatumakhamisi1002 2 жыл бұрын
Nilikuwa natafuta Aya hiyo hivi Mungu ninayemjua mm anaweza kuwa mbaguzi kiasi hiki !?Hivi mkichukiana kutakuwa na amani duniani hapa!?
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
@@fatumakhamisi1002 Bado hujamjua huwenda, unahisi unamjua. Kufuata diyni sio kuchukiana Bali ni utaratibu, ninyi mwataka mjifanye wastaarabu kwa diyni mseto, Hivi mkogi open hivyo kwenye mipango yenu ya kimaendeleo na Siri za family?, Alafu Kila mtu Kufuata anacho amini sio chuki, Makufar Wana diyni Yao na utaratibu wao na sisi tuna utaratibu wetu, kwani shida iko wapi?
@jumanneissa7118
@jumanneissa7118 2 жыл бұрын
Kichaaa
@alhamdulillahalhamdulillah7529
@alhamdulillahalhamdulillah7529 2 жыл бұрын
Wallahi nimecheka huku mwisho mpaka lini mambo haya jamaniiiiii
@jumaomari285
@jumaomari285 2 жыл бұрын
Yule jamaa ruto hawataki waislamu sheikh wangu ata alipinga katiba ambayo inahimiza kuwe na mahakama ya kadhi na kuongezea kwa kusema kenya sio nchi ya kiislamu. Ruto kama Ruto hafai kuombewa na waislamu maana yeye ni adui wa wazi kabisa wa waislamu.
@abuuuyaynah7153
@abuuuyaynah7153 2 жыл бұрын
Picha hii ni dhimma kwa Allah mwenyew hayuko radhi
@skozamsai2654
@skozamsai2654 2 жыл бұрын
Kwani yeye alipotaja jina la Nassoro , mwenyewe alikuwa radhi?
@mwanamwinyikutunga7884
@mwanamwinyikutunga7884 2 жыл бұрын
Ukweli unchungu
@amourmdetele1498
@amourmdetele1498 2 жыл бұрын
Na sio lazima kila mtu ajibiwe wengine hawazingatiwi
@user-vx1tw1kj2o
@user-vx1tw1kj2o 2 жыл бұрын
Hoja zako zipo wapi kabisa n'a nzito Hawa jamaa wana khiyana sana kwa wafuasi wao. Ndo wanawazuwiya wafuasi wao kusikiliza masheikh wengine ili wasigunduwe uwongo wao. Ila karibu Allahu ataweka mambo wazi
@adenifuyuush4991
@adenifuyuush4991 2 жыл бұрын
ZANZIBARI ULIANZA NA VISHIND KUMVAA USTADH ABUU MUAWIYAH LAKINI KWA KIHEREHERE CHAKO HADI KISHKI NA BAHERO KWAKO WATU WA SUNNA. AIBU TU WAWAPAKA WALIM ZETU
@yussufsuleiman5966
@yussufsuleiman5966 2 жыл бұрын
Akhy naomba hizo alizokua akimvaa Abuu Muaawiyah
@user-fq6iw1pb7q
@user-fq6iw1pb7q 2 жыл бұрын
Huu mchezo hauhitaji hasira
@yussufsuleiman5966
@yussufsuleiman5966 2 жыл бұрын
@@user-fq6iw1pb7q akhy ittaqillaah huu si mchezo ni dini.
@mwambamkombozi4672
@mwambamkombozi4672 2 жыл бұрын
Assalaam Alaykum WarahmatuLLah Wabarakatuh Katika utiifu wa kiislamu hakuna kitu sheikh wangu! Kuna haki na batil na haki hupatikana kwa DALILI kwa wewe fuata haki usifuate mtu ni kosa kufuata batil. Kwahiyo sheikh anapopatia palipokuwa sawa ndio pakufuata sio kumfuata yeye hata alipokosea kwahiyo muislamu anatakiwa afuate Quran na Sunnah sio kusema sheikh wangu. Sijasema wasiheshimiwe masheikh la hasha ila usimtukize mpaka ukafikia kuja kukufuru. Mimi nawapenda masheikh wote na wote ni masheikh wetu ila tufate ya haki na ya mwenye kuleta batil tumuachie mwenyewe ikiwezekana tumnasihi tusiseme sheikh wangu siwezi kumnasihi ni kosa!
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 2 жыл бұрын
Asalaam Aleaikum, kupeana naswaha ni vizuri wala sio chuki, ila 2 watu saa zingine wanatafsiri vingine, waisilamu tupendane katika kuelekezana katika dini mueleko mzuri.
@adenifuyuush4991
@adenifuyuush4991 2 жыл бұрын
NASAHA KWA MUHAMAD NASSOR : 1. FANYA JUHUD YA KUSOMA UMRI WAKO UNAKURUHUS.. OMBA MADINA AU TOKA NENDA YEMENI. BADO UNAYO FURSA USIHARIKIE MAMBO. 2. USIGHURIKE NA TARJAMA ZAKO MBOVU ZA NENO KWA NENO WATU WANAKIMBILIA ISTIYFADA KWENYE DURUS. 3.HIVI HUJIONI UMEFANYA HARAKA KUSAMBAZ NA KUENEZA SAUT NA MAPICHA YAKO KWENYE MITANDAO.LITAKUGHARIM HILI JAMBO MBELENI. 4.JUHUD YA ABUL FADHILI KWENYE KUIHAMI HII DAAWA NA KUPAMBAN NA MAADUI ANAIJUA ALIYE MBALI NA KARIBU HIVI INAKUUMA NINI KWAKE AU HUSDA IMEKUTAWALA
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 2 жыл бұрын
Ahlu sunna waljamaa Wote wanapinga Kushirikiana na watu wa Bidaa. Na Alichosema Abul Fadhwil na Masheikh Ni kurud kwa Maulamaa. hayo Ameyasema Al Imaam Kahtwaani ktk Nuuniyah yake pia.... لا يصحب البدعي إلا مثله..
@muhamadyusufu6663
@muhamadyusufu6663 2 жыл бұрын
Mbona hueleweki kumuombea dua ya uongofu au utawala
@vitalcool9266
@vitalcool9266 2 жыл бұрын
Kassim mafuta na kikundi chake wameletwa kwa ajili ya kuja kuuvuruga UISILAMU na waisilamu kwa picha ya kuonekana wapo sahihi, SABABU tangu kimeanza hiki kikundi ni vurugu tupu na kuwachanganya wasiojielewa na wenye maarifa madogo katika dini..
@muadhibrahim6914
@muadhibrahim6914 2 жыл бұрын
Kuwachanganya au ndiyo kuwa fufuniliya ukweli ulo fichwa?
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 2 жыл бұрын
wameletwa na nani...kuvuruga uislamu wenu wamaandamano? wakujilipua?
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
We kama siyo HIZBU NI SHIYA
@vitalcool9266
@vitalcool9266 2 жыл бұрын
@@ayububakari9942 yawezekana hizo sifa ukawa nazo wewe!..huyo mafuta na kikundi chake waisilamu wote ambao wanatofautiana ki mtazamo na yeye basi kwa upande wake ni wazushi!!..hivi unataka kutuaminisha anachokisema yeye na kikundi chake ndio sahihi na wengine wamekosea?...au unataka kutuaminisha ya kuwa anateremshiwa WAHYI?..na nyie msiojielewa badala ya kufanya uchunguzi mnakurupuka bila ya dalili!...hata hao majadida wenziwe aliotofautiana nao ki fikra na mtazamo pia alishakorofishana nao mpaka wakaja masheikh kutoka Madina kuja kuwapatanisha!..huoni kwamba huyu mtu hayupo sawa?..anachokifanya ni kujisifu na kujiona yupo juu ki maarifa kuliko wengine SABABU katika anachokizungumza lazima aingize neno Mimi Mimi na kujitolea mifano yeye kwamba yupo juu na yupo sawa...Ninachokiona hapa ni zama za kuanguka kassim mafuta na kikundi chake zinakaribia..na ukweli kubainika..
@hemedmwandaro1264
@hemedmwandaro1264 2 жыл бұрын
Shart za swala zipo pale pale ila inajuzuuu kuomba dua ktk sidja ya mwsho kama unahitaji maana ktk swala ni mawasiliano kati ya mja na mola wake... Soma
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 2 жыл бұрын
"الخلاف يستدل له ولا يستدل به"! Ni makosa ukikatazwa jambo ukimbilie katika dalili yako unataja kuna khilaaf! Nenda katafute maelezo ya ulamaa juu ya qaida hiyo adhimu, nakupa faida kinda bado wewe kijana... hujakuwa na manyoya ya kuweza kuruka, achana na akina shkh Abul Fadhl bahari yao hujafikia kuiogelea bado.
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 2 жыл бұрын
Fact
@iliyasamanyika3548
@iliyasamanyika3548 2 жыл бұрын
Elimu ni kama bahari huwez kutoka mahali ukafika acha ushabiki wewe kwani kasimu ni nani kwenye elimu
@jumahamis227
@jumahamis227 2 жыл бұрын
Ungeenda mbali zaidi sheikh utupe elimu, ulikuwa umegusa sehemu muhimu sana, vitu Vingi vinafanywa bila ushahidi wa dalili ya kuonyesha uhalali wa hicho kitu.
@mrfauzy8226
@mrfauzy8226 2 жыл бұрын
Wale wanaoamini kassim mafuta hakosei ndo watakuja kutukana hapa
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
Ewe Mr Fauzia hakuna yeyote anayesema Qaasim mafuta hakosei
@adamtawete5865
@adamtawete5865 2 жыл бұрын
Ushajibiwa sheikh na wanafunzi wa Sheikh Kassimu mafuta
@hassanalbasq3160
@hassanalbasq3160 2 жыл бұрын
Allah akuongoze katika haqqi dah wewe dah talbis tupu
@quranrecitations7267
@quranrecitations7267 2 жыл бұрын
HAPA KADANGAYE WASIOSOMA SAWA MZEE. WATU WASHAIJUA HAKI .
@alisalehsaleh2564
@alisalehsaleh2564 Жыл бұрын
Hakuna sehemu. Walipzungumza sh kassim na hummeid kumuombea dua kafiri haifai
@user-td4dq3ft1u
@user-td4dq3ft1u 10 ай бұрын
Hahahahahaaa
@ayubuhusen3941
@ayubuhusen3941 2 жыл бұрын
Kuna udugu aina tatu wote huo kumechungwa mipaka.Muhammad bachu alichosema nisawa bali kila ambaye hajakielewa.1.Ima ni mjinga.2.Ima ni salafi mpya.Hakuna zidi ya haya mawili.
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mGaWgoOrbc-dZ68 Kwa hili Umeanguka pakubwa.
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Huyu mafuta kwakweli sio mwislamu ni myahudi mweusi au wakala wao eitha Kwa kujua anachokifanya au Kwa ujinga na tamaa ya tumbo lake .
@sulejefu4038
@sulejefu4038 2 жыл бұрын
Kumuombea apate pesa na uongoz tofaut
CHANZO CHA MAJADIDA KUMTOWA MUHAMMAD BACHU KWENYE MANHAJ YA AHLU-SUNNA WAL-JAMAA.
36:22
KWANINI ABU MUAWIYA SIO SALAFIY |RADDI KWA QASSIM MAFUTA | Muhammad Bachu.
1:04:43
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 48 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 39 МЛН
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA TANO |Muhammad Bachu
42:09
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 43 М.
MAKOSA YA ABU HASHIM NA ABDALLAH HUMEID KWENYE LUGHA || Muhammad Bachu.
1:03:58
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 69 М.
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY|SEHEMUYA KWANZA| Muhammad Bachu.
1:06:36
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 31 М.
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 48 МЛН