ANGALIZO KUTOKA KWA MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE !!!

  Рет қаралды 5,609

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

5 ай бұрын

Wale Wote Mnaotumia Picha Zangu Pamoaja na Logo Ya Huduma Ya Mana, au Kutumia VIDEO ZA MAFUNDISHO Yangu Na kuzisambaza kwenye Account Zenu za Mitandao Mbalimbali Za Kijamii Bila Ridhaa Yangu, Naomba Mzifute Na Kuziondoa kabisa.

Пікірлер: 14
@sayunimnyone-gy1pu
@sayunimnyone-gy1pu 5 ай бұрын
Amen mtumishi tumekuelewa
@rachelpeter87
@rachelpeter87 5 ай бұрын
washindwe kwa Jina la Yesu. Mambo ya kuiga hayapo kwenye Ufslme wa Mungu. Kila mtu awe orijino
@MUSAMAIKOMALELE-io4rn
@MUSAMAIKOMALELE-io4rn 5 ай бұрын
Haaa😮😮😮mi mpaka nikapingezaaa siku ya kuzaliwa kumbe uongooo !! Mungu awarehemuu
@jescaemmanuel100
@jescaemmanuel100 5 ай бұрын
Me too 😢😢😢, Mungu anawaona
@DavidJustin7
@DavidJustin7 5 ай бұрын
GLORY TO GOD
@laizerlusiana9215
@laizerlusiana9215 5 ай бұрын
Mungu asaidie watu wake,awatoe kwa njia potovu,,,,njaa ni kitu hatari sana inamfanya mtu awaze Mambo yanayokwaza wanaomzunguka.
@danielmlwafu4380
@danielmlwafu4380 5 ай бұрын
Na mimi nilishangaa sana hata sikubarikiwa sana japo nilikoment
@josiacharles2778
@josiacharles2778 5 ай бұрын
Ila iyu ndugu ni mungwa sana angekua wengine ingekua na kukuazaidi
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 5 ай бұрын
Happy birthday to me 😂😂 people are weakened 😢
@MUSAMAIKOMALELE-io4rn
@MUSAMAIKOMALELE-io4rn 5 ай бұрын
Mi gu awahurumiee
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 5 ай бұрын
🙄😳ila aliyepokea sadaka laana itamfuata Aisee
@ntulisuzan897
@ntulisuzan897 5 ай бұрын
😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 5 ай бұрын
Asante baba Tunaokufuatilia tunajua baba Ila watu 😂😂
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
3:50:31
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 17 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:  KUSHUKURU KAMA ISHARA YA KUIMARISHA UHUSIANO WAKO BINAFSI NA MUNGU.
1:16:59
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 125 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 51 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 85 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
Mgisa Mtebe - NGUVU ILIYOPO KWENYE MAWAZO YAKO.
8:21
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 86 М.
Mungu awe tegemeyo kwako by Pastor Tony Kapola
3:31
WORSHIP GOD FOREVER
Рет қаралды 604
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: KAMA UNATAKA KUFANIKIWA DUNIANI, KUOMBA PEKE YAKE HAITOSHI.
9:11
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 125 М.
MWL MWAKASEGE, APEWA ZAWADI YA HESHIMA NA CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA.
21:31
The Bible Society of Tanzania
Рет қаралды 12 М.
If you wake up between 3AM & 5AM...DO THESE 3 THINGS
19:39
Miz Mzwakhe Tancredi
Рет қаралды 8 МЛН
3 JIONI. KUOMBEA ROHO YA MAOMBI NDANI YA MIFUMO NCHINI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE.
2:57:25
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 18 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 51 МЛН