HAKIKA KUOKOKA NA KUCHUKIA UOVU NI KIFO...BABA MUNGU AKUSHIKE UNAPOTEMBEA KWENYE BONDE LA UVULI WA MAUTI. AMEN.
@fredyjeremia70747 ай бұрын
Chrstna,,,MUMEO NI LUTU..UTAKE USITAKE.UMEKATAA KUMSIKILIZA UMEGEUKA HAYA SASA.🔥🔥
@njiailiyonjema7 ай бұрын
Sauti ya radi imeingia kwenye moyo wa Christina Shusho, kwa kweli kuwa mtu wa Mungu kweli kweli ni kifo.
@ugalidona-cs2yn7 ай бұрын
Hakika
@obedimunguachiza84347 ай бұрын
True 👍
@agathasungura50477 ай бұрын
TUNAO MUELEWA MBALIKIWA KTK SAFARI YA KWENDA MBINGUN TUJUANE
@benjaminmahega7 ай бұрын
Amina
@obedimunguachiza84347 ай бұрын
Amina brother.
@MaxnEngineer7 ай бұрын
Amna mtu hapa.. sjaanza mm kumuelewa anaanza kuchanganya Dini na mambo binafsi tatzo na sio kwa ubaya hakuwa hvo mwanzo nauona kua ana Mwisho mbaya kama hata badirika.
@desirengenerwasobanuka90157 ай бұрын
@@MaxnEngineer Hivi ndugu ,hivi kweli wewe unasoma Biblia? Yaani watu wanajifanya kuwa watumishi wa Mungu na wanatenda uovu na tuache eti tusiingie kwenye maisha ya watu? Yohana alipaza sauti na kumukemea Mfalme Herode alupochukuwa mke wa nduguye Filipo. Ama nyinyi ndio wale munahubiri injili potovu. Wewe sisi hatuna injili ya kubembeleza bro. Mimi si mwana Kikosi Kazi ,ila huduma wanayo ifanya ni Huduma ya Mitume na Manabii. Hivi kweli aliofanya Christina Shusho ni halali? Tuache kudanganyana brother
@nicholaswaemmanuel72217 ай бұрын
@@MaxnEngineer TANGU LINI Giza na NURU vikatangamana? ANGALIA vituko na kiherehere kilicho kwenye account YAKO KISHA uvilinganishe na anachokifanya MCH MBARIKIWA, uone kama mnaendana. Bila shaka utamwona tu kama fala na chizi WAKATI NAYE anakuona VIVYO HIVYO. LAKINI ujue mwishowe itajulikana nani fala na chizi vya UKWELI. Twende NALO tu.
@abekyaaoci60827 ай бұрын
Pole sana Mwakipesile. Alicho kifanya Christina Shusho, alimzalilisha Mme wake mtandaoni kwa kiwango kikubwa sana . Pili alidhalilisha Ukristo mzima na kumpa Shetani utukufu. Huyo Dada yetu Christine hakuwa Mkristo tangu zamani. Ila samahani wa TZ mnajali sana kipawa au karama ya mtu bila kujali mwenendo wake unafanana je. Mulichelewa sana kumtambua Christine.
@obedimunguachiza84347 ай бұрын
Mbarikiwa ni kichwa kilicho kaza, hakina mapungufu!Ukweli unauma ila utabakia tu Ukweli big up man of God .
@jacksonrabson64397 ай бұрын
Mumushauri mtu wenu atanyooshwa ohoooo
@ugalidona-cs2yn7 ай бұрын
MBARIKIWA MWAKIPESILE ANAZIDI KUUWASHA MOTO WA INJILI YA KRISTO YESU KATIKA KUENDELEA KUMSHIKILIA MUNGU.
@Theo-r4l7 ай бұрын
😮😮😮
@ugalidona-cs2yn7 ай бұрын
@@Theo-r4l!.!.!.
@agnesspaul18667 ай бұрын
Mungu anatakiwa atangaze Neno la Mungu
@georgemahenge7 ай бұрын
Ushitaki wote wario coment.kristina umejiparia kaa ra moto
@MenruphKahimba7 ай бұрын
Uyo dada crestina nafikili aende akatubu kwa mume wake naa akampigie magort amuombe msamaha na atubu mbele za mungu vinginevyo mungu atamtembezea raana kubwa sana unajua siku zote mungu abipiwi
@AkibaAsumwisye7 ай бұрын
Pole sana ila acha injili ya kuwashambulia watu zungumzia habari za Mungu ili watu watubu dhambi zao nimefuatilia sana mahubiri ni ya kuzungumzia watu hii Dunia hakuna mkamilifu Mungu hekimu ya namna ya kuhubiri nimekuelewa lengo lako ni zuri ila anayekosea muonye Kwa upendo na tumia lugha nzuri atakuelewa
@olivernyange23497 ай бұрын
Ni kweli kabisa upendo uko wapi kwa wakristo,eti ni mchungaji hekima iko wapi maonyo yako wapi,alimuombea ? Kabla ya kumtukana aise sijui watu wanaosema wameokoka hawajitambui hebu watu waende shule kidogo wasome neno sio kukaa tu kuwaskiliza wachungaji wao kwa sababu wewe muumini pia,umepewa akili sio kuskiliza tu pia kupambanua na kumshauri mchungaji wako anaconda vibaya wao wamekaa tu eti ni vita,vita gani ningewakuta church ningewatandika viboko mpaka huo ufahamu ufunguke na huyo mbarikiwa wenu
@magdalenamwaikambo19637 ай бұрын
ambaye ataelewa ataelewa tu,mch hana kosa watu lazima wajijue/wajitambue.
@sarahmwasyoge18307 ай бұрын
Hongera mchungaji na asante kwa kuheshimu ndoa na kumheshimu Mungu.
@RehemaJonas-yj7ed7 ай бұрын
Pole Sana mtumishi niseemu mojawapovambayo mungu ànakupandisha viwango vingine tunakuombea
@anthonybenedict54447 ай бұрын
Ukishaanza kupeleka mpendwa mwenzio mahakamani, wewe tayari ulisha iacha njia ya Mungu siku nyingi, ukikemewa mshukuru Mungu unapendwa.
Naye alivomtukana hiyo ni hekima ya mchungaji wa wapi?
@KevineKataka7 ай бұрын
Waaaa GOD be with you pst jicho la bwana linaona diyo mana ulizaliwaa fanyaa KAZI na utafurahi ukiseema nimezipikaa vita na mwendo nimeeumalizaaa 🇰🇪🤔🙏👋
@samwelmatemu88737 ай бұрын
Huyu christina sio mkristo huyo ni mtoto washetani .Hasomagi neno ?
@AngelMassawe-nz9sk7 ай бұрын
Tumsifu Yesu Kristo, sina mengi zaidi ya kusema poleni sana Kristo ni Kristo, Mungu atabaki kua Mungu patana na mstaki wako kabla hajakupeleka kwa kadhi Upendo huvumilia yote huamini yote mhukumu ni mmoja tu Mungu wa haki usimame mwenyewe ktk jambo la wana wako.
@happinessmchome91017 ай бұрын
Mungu uishie naomba umtetee mtumishi wako mbarikiwa. Anavipiga vita vya imanii. Mungu usimuache! Amen 🙏
@nelsonzebedayo82817 ай бұрын
Ubarikiwe sana mbarikiwa Mungu yuko bamoja nawe!Huyu Dada yetu amesha anguka anguko la kifo na tayari shoka limekwisha kutengwa.Huwezi ukashirikiana nawakina diamond na wasanii wengine ukabaki salama !Huyu dadaetu aombewe ili aombe msamaha na amrudie Mme wake
@gideonsangi1617 ай бұрын
Mtu wa Mungu sema kweli ya Mungu Wala usitishwe na waovu, Mungu wa mbinguni atakutetea
@ajuayearon57607 ай бұрын
MUNGU ATASIMAMA NA UKWEL SIKU ZOTE.. !! NIKWELI MWENYE NDOA YOYOTE Akitoka nje ya ndoa LAZIMA KUNA DHAMBI IKO JUU YAKE
@NicksonIsraeli7 ай бұрын
Nakupenda zaidi ya sana mtumishi unanibariki
@elevenmeela87137 ай бұрын
Ni kweli mbarikiwa uko sawa mungu akutangulie utashinda tu yohana 16:33 ulimewenguni mna dhiki lakini tujipe moyo yesu aliushinda ulimwengu mama mbarikiwa jipe moyo mama na mapito haya
@aizzyashery55647 ай бұрын
Mmmhhh aiseee mungu anakutumia kwa viwango vizito sana
@franksankey96037 ай бұрын
Piga kazi mwamba injili ndiyo iletayo uzima good 👍
@BenjamenGeorge7 ай бұрын
Mtumishi nakubali sana kweli iilyomo ndani yako Mungu azidi kukubariki❤
@MariamCleinance7 ай бұрын
Baba huna hatia mungu yupo pamoja nao dada christina tumia hekima kama ulivyoposti hekima kubali makosa halafu mrudie mungu wako
@NyapiniMwakifwamba7 ай бұрын
Mbarikiwa haonyi ila anadhalilisha,huku akitaka umaalufu
@Theo-r4l7 ай бұрын
@@NyapiniMwakifwambakwelii kabisaa ...ilo siyo neno la Mungu
@FRENKFARM-fb5mt7 ай бұрын
so kwery
@jesaminzo7 ай бұрын
@@NyapiniMwakifwamba ulitaka aonyaje? Ile clip Mbarikiwa alionesha haikuwa ya Christina akiaonya kuachana?
@olivernyange23497 ай бұрын
@@NyapiniMwakifwambakabisa hana hekima hata moja
@samwelmatemu88737 ай бұрын
Mbarikiwa hongera sana huyo christina amejiwekea kaa la moto kabisa.
@paschalfausitine71087 ай бұрын
Mchungaji mungu ni mkubwa , Sana sijawai sikia, mkristo anamshitaki mkiristo mwenzake kwa kuwambia ukwweri,
@DevothaSanga-d3d7 ай бұрын
Hapo ndo tutajua SHUSHO NI MKRISTO AU LAAA!
@ugalidona-cs2yn7 ай бұрын
Ndo ITAJULIKANIKA sasa kuwa Christina shusho yuko Upande "MUNGU" au Shetani.
@NyapiniMwakifwamba7 ай бұрын
Kumbukeni mbalikiwa alipo onywa na ezekieli alitukana mpaka akamfanya ni Jezebel ,vijana wake wakimpotleiti Kama kavaa suketi,
@lulumatawalo78057 ай бұрын
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.Mwana kulifind mwana kuliget.Kuna watu wanajihesabia haki sana! Bado Cassian
@ugalidona-cs2yn7 ай бұрын
@@lulumatawalo7805 Moto wa MUNGU, hauzimwagwi
@ChristinaZabron-n7q7 ай бұрын
Baba Mungu ndio kimbilio lako,ukweli ni kwamba watu hawataki kuambiwa ukweli
@Theo-r4l7 ай бұрын
Ukweliii tuna taka ila aache kudharilisha watu
@MagdalenaMatiko7 ай бұрын
Mbona Yesu alimsammehe yule mzinzi muombee sio kumdhalilishaji
@JohnMahu-f1g7 ай бұрын
Kristina we imba kazi zote mungu atapima mbarikiwa kashatoka nje ya mipango ya mungu badala ahubir anapambana na watu kasahau mungu ni upendo angekushaur mbarikiwa umepotoka acha naw ni Malaya kwn unajiona u safi moyn umejaa sumu
@andreamwampamba10397 ай бұрын
Yaani unamwacha aliye toka nje ya mipango ya Mungu , unamsakama mbarikiwa? Hii ni ajabu. Soma Mathayo 19:6 ,9 utaelewa .makosa ya wazi kabisa unataka yapakwe mafuta !!! Nooooo.
@MamaMatha-si1zr7 ай бұрын
@@andreamwampamba1039dunia ipo ukingoni kwa kweli ndo maana hata ukiwa mpuuzi na malaya unaweza kusifiwa na baadh ya wanaofanan na wewe
@joachimlema7 ай бұрын
jaman
@JohnMahu-f1g7 ай бұрын
Aliyesafi mungu pekee mungu ndo anajua we unaangalia kw nje anavyoongea mungu anaangalia moyo je vile ndo anashauri au taarab mwachien wokovu mungu wa rehema
@JohnMahu-f1g7 ай бұрын
Tena hkuna mzinzi kama barikiwa kwn anasumu moyon anasakama mtu mojamoja apate umaarufu ndan yke hkuna upendo ht chembe ni kiki TU za unjili
@MeshackMayenga7 ай бұрын
Hakim wetu mkuu ni Mungu kwasisi wakristo,Huyu.mama kaenda njekabisa ya neno la Mungu nakuwa na mashaka na ukristo wake ameshindwa kumshitakia Mungu kama anaona anadhalolishwa?naona anazidi kujitafutia maadui wa Kirkhope na kimwili. Namshauri aachane na upuuzi huu.
@maryhosea44007 ай бұрын
😅😊😊😊
@ebenezerchurchsupremetv94907 ай бұрын
Wengi tu wamemsema kwenye mitandao mbona hajawashitaki?
@Graceyusuphh7 ай бұрын
Kama kuna ushauri nitawapa, TAFUTENI SANA USHIRIKA NA MUNGU BINAFSI. Hii dunia sio yakuamini watu tena
@gracelacha167 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏 Mungu mlinde mbarikiwa
@leonardjamson-tb4jj7 ай бұрын
Dar mungu akutunze mchungaji unapitia mambo mengi ila naamini mungu ameruhusu haya
@AmedeusMushi-c9m7 ай бұрын
Ila mungu akusameh aujui utendalo
@sandejacob6237 ай бұрын
Nakubali kamanda , captain jasusi 😃😃
@IsakaHosea-g9g7 ай бұрын
Mungu azidi kukutetea baba.
@isakamwambenja73977 ай бұрын
Barikiwa sana pastor Mwakipesile
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr7 ай бұрын
Kamanda wayesu hongera sana mtu wamungu kusema kweli unakuwa hukumbatii dhambi weww nishujaa
@antonywanyonyi41957 ай бұрын
Hata Nimemdharau Christina Shusho kumbe ni WA hovyo tu oh God Sitawai kua fun wake tna
@amashapatrick2117 ай бұрын
Baba Mungu akushike
@EmanuelMduma-uo7lb7 ай бұрын
Mbarikiwa Mungu atajitetea huyo asiye kutambua anacheka wakiharibu huwezi kumlazimisha kristo kuacha ndoa unajidai Mungu kakakuita tujifunze nini mbarikiwa tupo nyuma yako Mungu atakushindia
@SerahMumo7 ай бұрын
I love the song. Daddy Bishop Mamboya would sing it through.
@محمدالقايد-د6ب7 ай бұрын
Tunakuombea ushindi💯💯
@MurunguwetoshaDeheaven7 ай бұрын
Ushauri,,,,shusho Patana na mbarikiwa unajichafua
@louisamazutantamukunzi73637 ай бұрын
Mungu yu pamoja nawewe kwakilajambo hatokuacha akonawewe bega kwa bega'
@Mzalendo01tv7 ай бұрын
Walioongea ni wengi! Ila kwanini mbarikiwa?
@veronicamwenda74497 ай бұрын
Kitu Cha MUNGU ndani yake.
@Theo-r4l7 ай бұрын
Wote watachukuliwa atua
@Mzalendo01tv7 ай бұрын
@@Theo-r4lhahaha hahaha ila unajitahidi sana kupambana,,Kama sauli, Big up,utavuna kazi yako....
@ShamteMohmed-ed2kk7 ай бұрын
Ungemfuata kwa fargha na kumuonya ungekua mwenye hekima . Lakini haya mambo ya mitandao watumishi kuweni makini.
@stellahwilfred57627 ай бұрын
I WONDERING THIS IS CHRISTINA I KNEW AS MY MOM OR 😢😢😢
@nelsonzebedayo82817 ай бұрын
Sasa nimuulize Dada yng chrstna !Kama yeye ni mchungaji kwa nini Hajafata agizo la Mungu ?.Mathayo 18:15
@raymondmathayomsigwa87377 ай бұрын
Mbarikiwa Mungu akubariki zaidi sasa Christina anataka kukuzaririsha ili urudi nyuma kumtangaza Kristo huo ni uwakala wa shetani
@DeboraNeno-s5o7 ай бұрын
Pole sana Mtumishi
@leonardjamson-tb4jj7 ай бұрын
Najiuliza yesu arudi tu si kwa haya nayoyaona humu duniani maana mkristo amegeuka kuwa adui tena ( keep fighting pastor mbarikiwa nalo hili litapita)
@lembricejamestukai65947 ай бұрын
Nawaombe Mungu awape hekima na ufahamu wa mbinguni.fatilie maisha ya YESU alivyoishi kwa mapito aliyopitia hakuwahi kushindana bali alifanya huduma kwa mapenzi ya MUNGU.MUNGU awafungulie ufahamu wenu ili mjue ufalme wa MUNGU.
@LeticiaShoka-me2wq7 ай бұрын
Mungu atakupigania mtumishi wa kweli wa Mungu.utashinda Kwa kishindo🙏
@johnchrisbrown-b5g7 ай бұрын
Je, kwenye mitandao atafanya nn?
@Mteule2022-cs2ys7 ай бұрын
Mimi nadhani watumishi wa Mungu kuna kosa mahali ambalo sote tumelifanya. Hebu kwanzaa tumwombe Mungu Rehema. Shusho Tina ni mtumishi wake. Inawezekana kabisa amekos3a na shetani kamtia gerezani ingawa twamuona anatembea. Tumsaidie, na namnaa pekee ya kumsaidia ni maombi kupitia 2 Nyakati 7:14 Mungu atamponya na mauti. Shetani ana akili na mbinu nyingi sana, Wakati tunaendelea kumsakama adui yuko busy kumwonyesha upendo na uzuri wake. Biblia inatahayarisha katika 1 Kor 6:5... Je! Ndivyo, kwamba kwenu hakuna hata mtu mmoja mwenye hekima, awezaye kukata maneno ya ndugu zake? Na tufike mahali tukate haya maneno, hekima ya Mungu itumike watumishi viongozi mkae na Tina mseme naye kwa upendo
@andreamwampamba10397 ай бұрын
Nikama nimekuelewa vire , Tina akalishwe na afute mashitaka, pili aitwe mbarikiwa wakalishwe pamoja ili suluhu ipatikane.
@PastorObeidSumusule7 ай бұрын
I understand him very well
@thelonewolf44297 ай бұрын
Kweli huyu mtumishi anavita kubwa na manyangau. Walio ongea kuusu uyo C.shusho ni wengi ila yeyetu ndie ameshtakiwa 😅😅 MUNGU ANATUMIA HUYU BWANA KUUMBUA WAOVU WAKIJIFICHA KWENYE UWONGOZI AU INJILI.
@beathapontian21877 ай бұрын
Mungu awe pamoja nawe mtumishi🙏🙏
@FortunataMrgwowe-fh2rx7 ай бұрын
Hiyo mama Christina Mungu anamwona we mwache
@NeemaEmmanuel-d8t7 ай бұрын
Nyeupe mtumishi useme ni nyeupe na nyeusi useme nyeusi songa mbele mungu aonae silin atakufuta machoz
@JeremiahRichard-oj8up7 ай бұрын
Pole sana mtu wa MUNGU
@JamalKivambe7 ай бұрын
Mungu akupiganie mbarikiwa hakika wew upo kwaajir ya mungu
@davidmalogo71007 ай бұрын
Hayo ndio mahubili kuhubili nikesema ukweli naukweli unaosemwa na mbalikiwa niwakweli mungu akuongoze mchungaji wangu pambana naamini mungu anamalengo mema nawatuwake tunakuombea mchungaji wetu usiludinyuma ,sauti yamtu aliae Toka nyikani
@DONALDMTOWE-u9g7 ай бұрын
Ukweli utabaki palepale,dhambi ni dhambi tu,jipemoyo atashindwa tu lazima tukemee dhambi,kazi ya watumishi wa mungu ni hiyo,ukiwa mwizi utaambiwa.Bibilia inasema neema efunuliwa yatufundisha kukata ubaya.
@Maxpaul-oi8pw7 ай бұрын
Mbarikiwa hana hatia
@SylivestaKasele7 ай бұрын
Mungu akusimamie mtumishi
@mtafiti8807 ай бұрын
Sio sawa!:hauko sawa! Watu wa Mungu mnapaswa kuonyana kwa upendo,sio kumdharirisha mtu hadharani namba hii mitandaoni!
@stephenwakunyala40047 ай бұрын
Christina Shusho unazidi kujichafua, wewe mtumishi wa Mungu, Rudi kwa Mmeo pambana
@ChristerKoku7 ай бұрын
Jamani,Mbarikiwa pole na familia yako.
@bcozhenry26987 ай бұрын
Mbarikiwa anasababisha tuwajue wahuni wanaoishi kwa kuitaja Bure jina la Mungu
@SimonMaregge7 ай бұрын
Imaitwaje hii nyimbo?
@alfredbyangwamu98217 ай бұрын
LABDA NIMSHAURI SHUSHO KWAMBA UMEENDA MBALI SANA!!!!! KAMA INJILI INAHUBIRIWA KWA JINSI HIYO TUMEKWISHA!!!!!!! INABIDI TUMWOMBE MUNGU KUBADIRIKA!!!!!! MAANA HUWEZI KUNENEWA BAYA LIKIWA HALIKO!!!!!! NENDA KAFUTE KESI MARA MOJA NA KUBADIRIKA!!! NA KUMWOMBU MUNGU!!!; AU SIVYO TUTAIKOSA MBINGU HUKU TUKIWA TUNAANGALIA!!!!!! 1-PET.2:19-23.
@mariakalama30147 ай бұрын
Mungu atkupigania na huko mahakamani na nakuomba mtumishi vaa slaha ya Imani mbele ya mungu na watu wajue ukweli wa maandiko takatifu
@ReganRingo7 ай бұрын
Mungu yupo
@LusajoMwajeka-tf1nj7 ай бұрын
Christina shusho acha mtumishi wa mungu aongee ukweli kwanini utaki ukweli kuambiwa anataka asifiwe hat hakikosea chilistina chirsitina tena huendani nyimbo Zak na moyo wak haviendani chirsitina kumbuka ulikotoka haya ni maisha tu sote tupo safalin tunapita
@DevothaSanga-d3d7 ай бұрын
Shusho ili usidharirike vizuri kama unavyosema MBARIKIWA AMEKUDHARIRISHA WASHITAKI WOTE WALIOKUSEMA MBONA KASHITAKIWA PEKE YAKE?
@ugalidona-cs2yn7 ай бұрын
MUNGU hajawahi kumdhalilisha mtu, bali mtu anajidhalilisha kwa matendo yake mwenyewe.
@proisolution71667 ай бұрын
LAKINI NDUGU ZANGU NDIPO MJUE KUHUKUMIANA AU KUTUMIA NENO LA MUNGU KWA MASLAHI BINAFSI HUWA YANAMWISHO,.MIMI NADHANI KULIKO KUITANA RUTU NK NI KUOMBEANA HILI MIOYO ILIYO NA UOVU IGEUKE.
@noelmwembe64197 ай бұрын
Kweli ukweli ni upanga ukatao kuwili na ndiyo neno la MUNGU
@yukundapeter82007 ай бұрын
Christina umeamua kudlili na mnyonge wako Mbarikiwa,walikutukana wengi sana mbona umemuonea huyu mbarikiwa,Vhristina ulimdhalilisha sn mumeo,achana na Mtumishi wa Mungu Mbarikiwa.Christina umekosa sana.
@NgomeYaUfalmeWaMungu7 ай бұрын
Yaani huyu ,ameamua kuonea sasa,watu wengi sana yameongelea jambo hilo alilolifanya
@NyapiniMwakifwamba7 ай бұрын
Dada mshauli mchungaji wako,hata hivyo shusho hajafanya Jambo baya,mchungaji wenu kazoea kuwazalilisha ninyi,mala huyu alikua hajui kutunza hela ,huyu Malaya huyu alikua hajui kuoga ,haya yote ni udhalilishaji,nyinyi mko ladhi nae ni baba yenu ,kwamwingine hicho ni kidonda ,tuishi kwa staha,mtumie mtu ujumbe ajue makosa take kwa namna ya upendo,tusiumizane kisa unawafwasi wengi wa kukusaidia ,tupendane tuombeane hatujui aliyokuwa anapitia shusho,hivyo ilikuwa inahitajika umuhoji mtu baadae ujue chanzo umshauli Kisha ndipo ukiwa unajua ndipo unaweza kusema ipasavyo,kumbuka hawa watu hawajatoa bado sili chanzo nini,nikuulize halune,unajua mtu hatamwacha mumewe au mkewe isipokua kwa habari ya uzinzi?.je vyote hivyo mmeuliza au mbalikiwa kawa jaji wa kujiamlia bila kusikiliza,najua kawatoa mbali lakini msimchukulie zaidi ya alivyo mbona mmefumba macho,hamtaki kuona ayatendayo sasa ,pesa isinunue utu wenu,fikilieni kila jambo kwa makini,asante
@ernestokoli68287 ай бұрын
Am from Kenya,let aman of God wosh the church of the Lord
@ZedekiaPaulАй бұрын
Baba ubarikiwe san
@pettybrown26557 ай бұрын
Ni kweli huo niumalaya kawacha mume na watoto wakubwa kiasi hicho hao watoto watamchukuliaje?kilio chaya Kwa huyu Christina shusho Aah
@NuruMbwile7 ай бұрын
Mimi hapa namwelewa sana Mbatikiwa Mungu akupiganie
@stevenvictor4377 ай бұрын
Mungu akupiganie baba
@MeshackMayenga7 ай бұрын
Mbarikiwa tunaungana kuombea jambo hili na kwa vile kasema maombi ya wengi yana nguvu basi Mungu atajibu tu.
@shikombetvshikombe8977 ай бұрын
Baba endelea kusema kweli, wewe umechahuliwa kwa wakati huu kupitia hayoooo MUNGU akubariki
@ZERAKISONGA7 ай бұрын
Yupo MUNGU wa kweli anakwenda kukutetea
@jackisonmlaari45567 ай бұрын
Mtumishi we usijali mungu yu nawe
@FranciWami7 ай бұрын
Safari ya mbinguni yahitaji kuvumilia na ukisimamia kweeli ni kujiweka kwenye mateso na ghalama hata ya maisha kuondolewa ila tunamuombea saana mtumish mwakipesile azidi kuisimamia kweeli.na asiwaze kufungwa na kuteswa .maana bwana yupo pamoja na yeye.ameen
@fikencharles99937 ай бұрын
Watu hawataki kuambiwa ukweli daaa.Jesus is coming soon
@mercyzawadi80727 ай бұрын
Christina shusho hapa umechemsha, yaani mchungaji mzima hujajua utetezi wako unatoka wapi hata unakimbilia serikali za dunia aiiiiiiiiii umejichoma Sana haya endelea
@stellahwilfred57627 ай бұрын
Hana tena😢😢
@richardboaz-mashagospel23467 ай бұрын
MTUMISHI UKWELI LAZIMA USEMWE TU PASIPOKUJALI . PIGA KAZI❤❤
@ashelikilele1677 ай бұрын
Sauti ya mtu aliaye Toka nyikani imeingia ndani ya moyo wa Christina shusho nakukimbiria mahakamani badala ya kutubu
@NyapiniMwakifwamba7 ай бұрын
Washilika wa mbalikiwa msisapoti kila kitu
@warakawayohana28967 ай бұрын
Msumali wa moto umepenya kwa Christina dawa ni kutubu tu dada usishupaze shingo dada yetu anayekuonya anakupenda
@YasintaRaphael7 ай бұрын
Christina ombi langu.ugeuke urudi kwenye asili ya kumtumikia MUNGU umepotea sana
Wewe humjui yesu vizuri yesu kuna wakati alitumia jeuli ya mbingu na maneno magumu hata kwa ndugu zake yesu hakibembeleza zambi ila alihukumu kwa haki na kukaripia ikibidi alifanya hivyo