Mwamba hyoooo mwakasege jamani dhahabu Kwa tanzania
@yudithmwamaso74388 ай бұрын
Mungu akubariki Mtumishi, mara nyingi nimekuwa nakosa Amani nilitaka kufanya jambo ila nilikuwa sijui maana yake nn
@praygodjublant44125 ай бұрын
Na damu ya BWANA WETU YESU KRISTO Ikulinde daima
@jessicamasepo83203 ай бұрын
Amen.
@TunsumeJasson8 ай бұрын
Wewe mzee mi najivunia Sana maana Huwa napata vitu adimu Sana kwenye semina zako
@jessicamasepo83203 ай бұрын
Amen.
@NiceAkundael20 сағат бұрын
Amen
@raphaelmwamakimbula96427 ай бұрын
❤🤝hakika! Mungu awabariki huduma ya MANA sana.Maombi+ Sadaka+ Kazi halali+kuweka akiba=kuelekea utajiri au kufanikiwa.
@maloukabemba12308 ай бұрын
MUNGU akubariki Mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏 hili neno likawe mbegu ndani yangu
@AMENMUSHI-wt4li5 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@BarakaMali-d4s3 ай бұрын
Nimeamini kua watu ndoo hawataki kuenda mbinguni sio kwamba hawaambiwi yanayo paswa mtu kutenda ili aende peponi ❤
@tulafabian2475Ай бұрын
Amina ubarikiwe mtumishi wa Mungu 🙏
@AnitaAkidaLyimoАй бұрын
Hakika baba na mama Mwakasege ni Joshua wetu ktk kuvuka tufike nchi ya ahadi. Mungu wa mbinguni azidi kuwalinda na kuwapa afya njema na furaha na amani.
@aggy14898 ай бұрын
nimevushwa mahali pengi sana kupitia mafundisho ya Mwl ambayo Mungu ameweka ndani yake utunzwe sana na Mungu Baba etu ktk Imani
@milembesaguda6315 ай бұрын
Tunajivunia sana uwepo wako
@fathiasaed97185 ай бұрын
Mungu aku baliki sana
@CheerfulBoaSnake-bs5zr8 ай бұрын
Tulikumbuka sana Tunamshukuru Mungu semina zimeanza
@ericksindato75826 ай бұрын
Mungu aendelee kukubakiza tupate alvyokusudia kwetu
@julietymartin17396 ай бұрын
Mwenyenzi Mungu akuzidishie maisha hapa duniani ili aendelee kukutumia wewe kutufundisha zaidi hakika Mtumishi wa Mungu umebarikiwa sana
@KusiMushi6 ай бұрын
Amina sana, chakula safi cha kiroho, somo zuri la kuivisha imani, barikiwa sana mwl.
@AlexDeogratius7 ай бұрын
Oooh my God unafundish vizr San baba ubarikiwe San mwalim wanguu 🤲🤲🙏☝️
@AshaKihombo6 ай бұрын
Mungu akuzidishie maisha marefu ❤❤❤❤❤❤
@esterdaniel30835 ай бұрын
Ameen Mungu wa mbingu na nchiii akubariki sana Baba🙏🙏🙏🙏
@bensonashery2360Ай бұрын
Hakika ww ni sehem.ya maisha yangu mzee mungu akupe umri mrefuuu
@JeanpaulBushambale-wi9jdАй бұрын
Mungu akubariki mzee wetu umebeba kusudi la Mungu ndani mwako
@MeshackMwitamarwa8 ай бұрын
Nakupenda sana baba wangu umenisaidia mengi sana Mungu akuzidishe.
@LeonardMasunga-gx2rl6 ай бұрын
Mungu akubariki pamoja na familia yako baba kwa jina yesu
@kileoisaac6 ай бұрын
Umeniinua sanaa kiroho; mafundisho yako yamekuwa chachu saana katika maisha yangu katika ulimwengu huu wenye mambo mengi na yakuudhi
@Lilian-ms2ii4 ай бұрын
Mungu akulinde Mtumishi hakika Mungu anakutumia❤
@ireneamani20487 ай бұрын
Najiungamisha na WATOTO wangu tufindishwe kutembea katika NEEMA yako Ee Bwana
@RosePeter-g1n2 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba na mama yetu mungu aendelee kuwapa uzma
@shedrack-e9q2 ай бұрын
Mungu aendelee kukupa kibali machoni pake
@lightymmary22lightymmary278 ай бұрын
Ahsante Baba wewe ndio utanitoa kwenye vifungo nilivyonavyo vyote Mungu nisaidie
@LiberiaJohn2 ай бұрын
Mungu ampe maisha marefu na afya njema kila siku
@alfredkipalwi18258 ай бұрын
nabarikiwa sana na masomo ya huyu Mwalimu mm nashauri vitabu vyakee viwekwe mtandaonk ili tuwe tunadownload au viuzwe mtandaani
@EmanueliyusuphHamisi-mt7yl4 ай бұрын
Umewaza kama mm
@gudilamauki64657 ай бұрын
Asante Mungu kwa mafundisho ya mtumishi wako nazidi kufunguliwa,natoka kwenye vifungo vya shetani
@MariaKitundu-l1m6 ай бұрын
Mungu akubariki na akuzidishie sana🎉❤❤❤❤❤🎉🎉
@EliazeliAbely7 ай бұрын
Amazing in Jesus,, masomo yako yote ni chakula ya amina na kweli
Naaam, asate kwakuliponya kanisa kwa neno la kweli, maana kunawatu wanafikiri wakifunga nakuombea wafanikiwe bila kufanya kazi. Huu niuonga. Mungu akutunze
@onolinegidion33856 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ Nabarikiwa. na mahubili yako
@Joseph-l9r2l6 ай бұрын
Mungu akubariki mtumish wa Bwana
@akwinomsombe7 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia kama chombo chake daima
@RosePeter-g1n2 ай бұрын
Ukweli nawapenda sana
@JosephMbuya-c7y7 ай бұрын
Asante yesu mungu azidikuku bariki
@SimoniKelly-w5b2 ай бұрын
Mungu akubaliki mtumishi
@GreyMbogela4 ай бұрын
Ameen
@rechosagumo89718 ай бұрын
Amen mtumish nabatikiwa sn
@elizabethnkupama48926 ай бұрын
Barikiwa sana.Tunapona
@SamweliagustinoАй бұрын
Mungu akupe maisha marefu mtu wamungu🎉😢😅❤
@richsongadson43082 ай бұрын
SINA CHA KUSEMA ILA MUNGU AKULINDE NA AKUTUNZE SASA NA HATA MILELE AMEN.
@ManawaBundala-jj7li7 ай бұрын
Hongera baba mwakaseke kwa mafundisho mazuli
@velurakawiche53388 ай бұрын
Ee Mungu nakushukuru kwa ajili ya neno lako ambalo ni nuru ya maisha yetu
@ArumeruMlili8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi, kwa hakika nabarikiwa sana kwa mafundisho yako!!!!
@onolinegidion33856 ай бұрын
Asante Mungu kwa mtumishi wako
@JosephKitila7 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@alex_vincent8 ай бұрын
Hallelujah
@furahagurumo80187 ай бұрын
Amina baba
@kisinzaemmanuel63188 ай бұрын
Amen sanaa mtumishi wa Mungu
@RaphaelMdami8 ай бұрын
Mungu atukuzwe kwa neema yake juu yetu kutuletea mwalimu huyu
@neemaleketika10062 ай бұрын
Uishi milele baba unazid kutufungua 🙏🙏🙏
@EinothSareyo8 ай бұрын
Good lesson🔥
@LesikariLukumay6 ай бұрын
Barikiwa sana na Bwana Yesu
@LeahDonald-kn9sz6 ай бұрын
Amen
@McTabasam8 ай бұрын
Amina mtumishi barikiwa.
@FrolahRimo-cm3tu8 ай бұрын
Asante mungu kwakutupa watu kama hawa
@RaphaelMdami8 ай бұрын
Barikiwa baba yangu wa kiroho! Sehemu yako maradufu🙏