Angel Benard amlilia Osinachi, awashauri wanawake kwenye ndoa 'Huyu mama aliogopa maneno akakaa tu'

  Рет қаралды 12,087

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 64
@anithamsoke2329
@anithamsoke2329 2 жыл бұрын
Angel Bernard salute. Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri sana. Wanawake tujifunze. Wanawake wengi wanakufa ktk ndoa zao kwa kuogopa macho ya watu watawaonaje huko mtaani. Mwisho mtu anakufa na kuwaacha watoto. Inasikitisha sana. Nahisi umemaliza kila kitu Angel
@salvinahassan8778
@salvinahassan8778 Жыл бұрын
Sio tunaogopa watu, tunamuogopa MUNGU
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 жыл бұрын
Dah yani inaskitisha,subhanna 🙏🙏🙏mwenyezi Mungu atulinde wanawake wote na atupatie ujasiri wa kupambana na wanyonyaji na wanyanyasaji wetu ,tusimame imara
@blessingfamily4253
@blessingfamily4253 2 жыл бұрын
I love the message God bless you
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 2 жыл бұрын
kaandika vya kiroho na Hekima 💎👏🏾
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 жыл бұрын
Dada Ana hekima sana
@زوهرها
@زوهرها 2 жыл бұрын
Asante Enjo maana natamani waliokuwa wananisema na kunichukia hadi leo kama ningewasikiliza huenda ningewhakufa maana ilifikia wakati naamka usiku namkuta mume kashika panga kipigo ndio yalikuwa maisha yangu kila nikitafuta msaada naambiwa vumilia ila nilipoamua kusikia sauti ya Mungu niliamua kuchukua hatua na sasa niko huru..asante Mungu
@aishaabdul9130
@aishaabdul9130 2 жыл бұрын
Mungu mwema mpendwa ataendelea kukupigania
@hopechidera
@hopechidera 2 жыл бұрын
Angel Bernard kamalizia yote kabisa,nimesha sikiza interview ya Bahati Bukuku pia aliongeaga hili jambo la wanawake wengi wanakufa kimya kimya kwenye ndoa za shida na wanangangania tu eti ajili ya watoto kisha mwishoe wanapoteza maisha kama kilicho mpata marehemu dada Osinachi😭😭😭😭Mungu tujalie Baba🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@vickydan2869
@vickydan2869 2 жыл бұрын
Maskini hasa hawa waimbaji hunyanyaswa na waume zao na hukaa kimya wanaona aibu watasemwa vp najamii wanateketea sana
@madamloveness7274
@madamloveness7274 2 жыл бұрын
Martha mwaipaja ,martha baraka ,madam flora wamejitoa mapema mnawaita malaya wakifa ndio mnaanza kusema kwanini hakusema mapema
@vickydan2869
@vickydan2869 2 жыл бұрын
Hakika
@officialpriscillakiloko9811
@officialpriscillakiloko9811 2 жыл бұрын
Kweli kabisa. Ata ukiwa umekosana na mme wako uwende kwa mjungaji atakwabia fumilie tu. Tutaomba hiyo shida itaisha 😢😢
@hadijasaidi331
@hadijasaidi331 2 жыл бұрын
RIP mama 😭😭😭 Ifike mahali tusikubali kufa na taishingoni tuamke kuzuia vifo,ulemavu na kuwatesa watoto Alichosema Angela ni kweli kabisa uvumilivu unamipaka Toa taarifa chukua maamuzi God bless you
@neemakarisa1496
@neemakarisa1496 2 жыл бұрын
Yani ukweli kabisa Asante sana kweli kabisa
@jeniphachabili4517
@jeniphachabili4517 2 жыл бұрын
Inauma Sana hizi ndoa 😭😭😭
@asharamadhan1090
@asharamadhan1090 2 жыл бұрын
unapigwa unavumilia tu jamani tuvumilie mengine sio mateso.inaumaaaa Mungu amlaze mahala pema.peponi.Aminaaaa
@ruthmbagi
@ruthmbagi 2 жыл бұрын
Eeeeee MUNGU tuteteee wanawake katika dunia hiii kila mtu anaishi kwenye dunia hii nasili zake😭😭😭😭😭😭
@evelinachristopher1336
@evelinachristopher1336 2 жыл бұрын
It happened to my mother et anavumilia ili kutulea nilimzuia na kumuomba aondoke hakunielewa lastly kaishia kufa tumebaki bila mama sijui sasa faida ikoapi kukaa kwa ajili ya watoto na kufa na kuwaacha watoto yatima au kuondoka na kupata uhuru wa kuwalea watoto ukiwa mbali na mume abusive
@revinaedward6616
@revinaedward6616 2 жыл бұрын
Asant kipenz changu iko hvyo mungu ndio pekee tu na syo mwanadmu
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Prayers cannot change a demon or monster...,siyo kila pepo inatoka kwa maombi tu. Tunaangamia kwakukosa hekima.
@sharifajuma9945
@sharifajuma9945 2 жыл бұрын
Mimi aiseee mapemaaa nasep cjuagi kuangalia nani atasem nni uuuw
@dggxxxxfgff3876
@dggxxxxfgff3876 2 жыл бұрын
Nimekipenda bureee
@veronicasteven7116
@veronicasteven7116 11 ай бұрын
Hakika atafitwa machozi osinachi na bwana YESU
@3kings63
@3kings63 2 жыл бұрын
Thats real
@gigwaswai6527
@gigwaswai6527 2 жыл бұрын
Kuogopa watu kunaleta mtego
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 жыл бұрын
True true
@annamsigwa5756
@annamsigwa5756 2 жыл бұрын
Uko sawa dada kutengana kumerusiwa ktkt biblia
@neemaalpher8798
@neemaalpher8798 2 жыл бұрын
Yani ata me siwezi kuvumilia kwenye kipigo Bora wani cheke hee jamn mungu atu hurumie kunyanyaswa kwenye ndoa Bora niachane mapemaa
@tinangimba8909
@tinangimba8909 2 жыл бұрын
Umesema kweli. Yote, siwezi kuteseka nikiwahofu watu, Mimi namhofu na kutetemeka yesu Ali's kufa kwAajili YANGU tu
@rabiamngazija6532
@rabiamngazija6532 2 жыл бұрын
Ni kweoi kabisa yani huwa watu wanataka mpaka mabaya yatoke ndiyo waanze kusema bora angeondoka ilaukiondoka bila matatizo bado wanakusema mimi ni muhanga wailo ila tunateseka sn😭😭😭😭😭
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 2 жыл бұрын
Yaani ukiishi kwa hofu ya mwanadam utaumia sana
@a.856
@a.856 2 жыл бұрын
😭🙏
@eneamligo7919
@eneamligo7919 2 жыл бұрын
unakuta kwenye hiyo ndoa mama yupo vizuri kwenye uleaji wa watoto kuliko baba ndo maana mama anaamua kuvumilia, anahofia kua akiondoka huenda mume akashindwa kulea watoto,
@marthamashinji6830
@marthamashinji6830 2 жыл бұрын
Yuko sawa
@isaisa8365
@isaisa8365 2 жыл бұрын
dah
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Kufeni tu mana hamsikii
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌🙏
@adamsanga062
@adamsanga062 2 жыл бұрын
HUKO WANAWAKE UKWELI NIKUFA KIJINGA KSBISA KABISA SIO MAMA YAKO WALA BB YAKO
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 2 жыл бұрын
Unanicheka kusemanife
@shingiropapin2335
@shingiropapin2335 2 жыл бұрын
Ndoa ni kiapo Cha kutenganishwa na Kifo kwa sisi Wakristo . Kama Mungu ameandika wewe Kifo chako ni ndowa Yako, basi Dio msalaba wako huo huo
@josephinemlay2696
@josephinemlay2696 2 жыл бұрын
Sio kweli,
@shingiropapin2335
@shingiropapin2335 2 жыл бұрын
@@josephinemlay2696 ni kweli please
@ramadhanseleman157
@ramadhanseleman157 2 жыл бұрын
Nipe kifungu kwenye bible cha maneno yako kama hujatoa kichwan mwako
@shingiropapin2335
@shingiropapin2335 2 жыл бұрын
@@ramadhanseleman157 Matthew 19:9
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 2 жыл бұрын
Na biblia yenyewe imesema ndoa sio lazima
@adamyasin4089
@adamyasin4089 2 жыл бұрын
Thi women is hypocrite why she didn't talking to her during her life the after her death then you come to expose it now
@mignonneabagirinka6432
@mignonneabagirinka6432 2 жыл бұрын
Kwani ame expose Nini apo you are very stupid kbsa wewe soma before uandike
@adamyasin4089
@adamyasin4089 2 жыл бұрын
@@mignonneabagirinka6432 you are stupid too Kama alikuwa anajua anapitia magumu before hayamkuta kwann asinge expose mapema is like mgonjwa akiumwa huchangii akifa ndo unakuwa mbele kutoa mchango
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
@@adamyasin4089 hajasema chochote kuhusu marehemu dear ana waasa wamama tuwe macho
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 2 жыл бұрын
Kupigwa nammewe hadi kufa ni sababu yakifi chake
@adamsanga062
@adamsanga062 2 жыл бұрын
Ujinga huo moe siwezi mtu ikiishi namami nikikupiga tu jiondokee wangu kufa kijinga sana
ISSUE YA ANGEL BENARD KUACHANA NA MUMEWE| FELIS MUBIBYA AFUNGUKA
6:26
GOD OF ALL POWER (Ps 62:11) By OSINACHI NWACHUKWU
5:25
Devotional Place
Рет қаралды 1,9 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,6 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 10 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
ANGEL BENARD - KENYA WALIJUA MIMI NI MKENYA | MASANJA TV
11:00
Maisha ya Marekani: Kukaa ndani, Upweke, Nyumba, Magari nk
12:22
EBM SWAHILI
Рет қаралды 408 М.