BIG KAKA , FULL MOVIE

  Рет қаралды 173,388

MBWELA MEDIA

MBWELA MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер
@dinabilemanga1703
@dinabilemanga1703 10 ай бұрын
Nimeshelewa lakini siwezikosa kukutakia mafanikio mema kaka yangu kazi nzuri sana mungu awasahidie mupate kufika mbali san
@EvodearVenance-xe3xs
@EvodearVenance-xe3xs 9 ай бұрын
Mungu aendelee kujaza baraka kweny kazi zenu nawapenda sana msichokijua sichoki kuweka bando kuwatazama
@sweetbabymwangi8373
@sweetbabymwangi8373 10 ай бұрын
Yaani nyinyi. Mpaka mtu asahau aliwachia movie wapi ndio mtoe nyingine. Sisemi kitu. Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Czekingtz
@Czekingtz 10 ай бұрын
Ukatilimwingi 🙌
@sweetbabymwangi8373
@sweetbabymwangi8373 10 ай бұрын
Jamani naomba mnisaidie vile naweza mpata Motika. Tafadhali Kaka Mbwela. Mwambie Sweetbaby yule dada walokuwa naye Mombasa anamuulizia.
@mildredowino7323
@mildredowino7323 Ай бұрын
Mbwela,sengo ,Zumba na mwakatobe 🎉🎉🎉chukueni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@priscakimburi-sl9ml
@priscakimburi-sl9ml 10 ай бұрын
Mbwela big up kaka Yan umeweza hongeren nyote team mbwela mkono ju🙌❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MsalabaniReko
@MsalabaniReko 2 ай бұрын
Uyu jamaa mbwela ni msanii mzur sana mana aliitendea haki snake boy mwamba alicheza katk huusika vzr kbsa na umu pia ametenda haki kinoma
@Zeldaommy
@Zeldaommy 10 ай бұрын
Nimechelewa lkn nimefika mbona like ni chache msiwe hivyo mbwana gongeni like comment jamani nawaomba sana kama munamkubali mbwela 🔥🔥🔥❤❤❤
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 5 ай бұрын
Yan nisipoangalia movie za mbwela hua sina raha jamani nakupenda sana kaka mbwela pokea maua yako ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@MWANAKOMBONGANGAKARISA
@MWANAKOMBONGANGAKARISA 6 ай бұрын
Sengo na mbwela ❤❤❤❤❤❤❤ bila kumsahau kipara apo anajitahid pia Masha'Allah mtafika hatua xan insha'Allah
@willykijanaa004
@willykijanaa004 10 ай бұрын
Ahsante kwa kuunganisha Mbwela
@damarisnjomo278
@damarisnjomo278 5 ай бұрын
napenda sana show zenu,mbwela,mwakatobe ,sengo ila zumba jamani hapa kaniangusha😅😅😅ila naelewa ni mchezo tu, love you guys from kenya
@HassanMkina
@HassanMkina 7 ай бұрын
Dah mbwela hii muvis umemaliza vizur sanaaaa kaka umetishaaa unajua hii pakeji yako imejaaa vibaji umejua kuchagua ila unatutoa machozi sanaaa😢😢😢😢😢😢
@AminaUjumbe
@AminaUjumbe 8 күн бұрын
Yaani kila ingizo lina mpita mwenzake vizuri sana!! Duuuh zumba hayo mahari hata urojo hupati🤣🤣🤣🤣🤣
@FelistarMagige
@FelistarMagige Ай бұрын
Wow mbwela kipala nawaminia kaka kazi zenu nzuri sana live from Nairobi Kenya ❤❤🎉😂😂
@MWANAKOMBONGANGAKARISA
@MWANAKOMBONGANGAKARISA 6 ай бұрын
Nzur xn ❤❤❤❤❤❤ wadau Masha'Allah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Younomane
@Younomane Ай бұрын
Big kaka nimeipenda hii🎉🎉$😂😂😂
@RemmyOmmy
@RemmyOmmy Ай бұрын
Iyo ndoa imenifrahsha sana sigara ndio ubani😅😅😅😅ety bora moshi tuh😅😅😅😅😅
@mswailrudeboy8536
@mswailrudeboy8536 9 ай бұрын
Mbwela nawatambua sana mkiwa na bailam nawapenda sana rudeboy kutoka nairob kenyaaaa
@RezgaK-i1y
@RezgaK-i1y 2 ай бұрын
❤❤❤❤🤣🤣🤣
@GeorgeThoya-q4z
@GeorgeThoya-q4z Ай бұрын
Very fantastic movies loving to family watching
@MariamAlly-j2g
@MariamAlly-j2g 10 ай бұрын
Ila Mbwela humu umevuta sn sigara kha!
@Celina-t4j
@Celina-t4j 2 ай бұрын
Mbwela au zumba😂
@AronReuben
@AronReuben 6 ай бұрын
Napenda sana video zenu ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@HassanMkina
@HassanMkina 7 ай бұрын
Mbwela ww mtu nanusu kwenye muvis za hisia Kali unajua kaka ongera sanaa
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 4 ай бұрын
Zumba unatia hasira sana
@PendoJoseph-vm1oc
@PendoJoseph-vm1oc 5 ай бұрын
Mzee wa noma nakupenda bure bwela
@Mwasiti-y3y
@Mwasiti-y3y 4 ай бұрын
Namkubali Sana kipara
@RahmanMuhammad-nl1dd
@RahmanMuhammad-nl1dd 6 ай бұрын
Mbwela,nakupenda san jaman ❤🎉
@AminaUjumbe
@AminaUjumbe 3 күн бұрын
Kim Vevo umenifurahisha kweli 😅😅😅😅 yaani mbavu zangu zinauma 😂😂😂😂, kumbe humu zumba ndo kaka ako
@PeninahChunarino
@PeninahChunarino 6 ай бұрын
Safi sana nimependa sana❤❤❤❤❤❤
@mariamchuu2704
@mariamchuu2704 3 ай бұрын
Mbwela ❤❤
@HajiMwadin-t9l
@HajiMwadin-t9l 8 күн бұрын
Honger kaka bwel
@DamianoFisoo
@DamianoFisoo 4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Big kaka Mbwela
@meckmahengeyes3110
@meckmahengeyes3110 10 ай бұрын
Aisee mwakatobee oya wewe ujaloga hapo like ziwe za kutosha wadau anaemkubali mwakatobee tuungan
@WollfitOntomu
@WollfitOntomu 7 күн бұрын
Pongenzi kaka mbwele, huyu WA kugeuza mdomo sometimes anajisahau anaeka mdomo straight, 😂😂. Shirikisha Akina #Hawa na Sandra
@MonnaclassicFashion
@MonnaclassicFashion 3 ай бұрын
@Mbwela tunaomba utowe hilo song la upweke ni nzuri sana tafadhali
@mabuga_og
@mabuga_og 10 ай бұрын
🔥🔥🔥💪
@HusnaOmarry
@HusnaOmarry 6 ай бұрын
Nice movie 🥂😘😘
@MonnaclassicFashion
@MonnaclassicFashion 3 ай бұрын
😂😂😂😂 mwakatobe wako uganga usela muachie mbwela
@JanethFidon
@JanethFidon 10 күн бұрын
Hakika😂
@mswailrudeboy8536
@mswailrudeboy8536 9 ай бұрын
Napenda sana nikija dar nipatane na Kim nampendaa sanaaa
@jacksonmwanzia9022
@jacksonmwanzia9022 4 ай бұрын
Naomba tena naomba sana kujua jina la huu wimbo umeanza apo mwanzoni mwa movie ..tafadhali, naitwa jack kutoka Kenya mombasa
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 2 ай бұрын
@@jacksonmwanzia9022 ameimba mtiifu wimbo unaitwa upweke
@margaretnamubi4565
@margaretnamubi4565 6 ай бұрын
❤movie nzuri na mafundisho mazuri
@AssdfAssd-g3y
@AssdfAssd-g3y 10 ай бұрын
Eeeh ichukue picha ututumie
@ChristineWaceke
@ChristineWaceke 7 ай бұрын
Mwakatobe😂😂😂😂😂😂🎉❤
@mwanzacarpenter
@mwanzacarpenter 9 ай бұрын
Hii noma 😂zumba kapatikana kakubali kumuoa dada yake kipara 😅
@MWANAKOMBONGANGAKARISA
@MWANAKOMBONGANGAKARISA 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 huyo ustadh wa mchongo eti ww ulipita pita tu wala hujaingia madrassa 😂😂😂😂😂😂😂😂 alaf alif yatosha kabxa
@charming389
@charming389 2 ай бұрын
izo mbio za mbwela 😂😂
@ndayikengurukiyebenjamin3695
@ndayikengurukiyebenjamin3695 8 ай бұрын
Asante Sana kwa mafunzo mazuri mnayotowa kwa Igizo hili.
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj 10 ай бұрын
Saf sana❤❤❤
@FelistusKimanzi-f2g
@FelistusKimanzi-f2g 7 ай бұрын
Kazi njema
@willykijanaa004
@willykijanaa004 10 ай бұрын
Alaf Mbela naomba jina la wimbo hapo movie inaanzia tafadhal tna sana yaan
@willykijanaa004
@willykijanaa004 10 ай бұрын
Ila ume like 2 hjaandka jna la wimbo
@KuluthumSalim-d5i
@KuluthumSalim-d5i 9 ай бұрын
Moi❤ man God bless you insha'Allah 🙏
@NumerousHashazimari
@NumerousHashazimari 9 ай бұрын
Mauwa yako mbwela❤❤❤❤🎉🎉
@mariamuhamisimwamrezi4832
@mariamuhamisimwamrezi4832 9 ай бұрын
Mmbake😂😂😂 jamani
@Kuyu-f2k
@Kuyu-f2k 9 ай бұрын
Big up big kaka,,,love you
@dominapeter6593
@dominapeter6593 6 ай бұрын
bi ndilo mbuzi kweli hufai kuigwa
@MonnaclassicFashion
@MonnaclassicFashion 3 ай бұрын
Sengo ukimaliza movie akafanye masage ya mdomo 😂😂😂😂😂
@beautifulafrica6886
@beautifulafrica6886 20 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@aminali2677
@aminali2677 9 ай бұрын
🔥🔥🔥❤️❤️💯💯🇰🇪🇸🇦🇰🇪
@MwanasitiHassan-x3j
@MwanasitiHassan-x3j 4 ай бұрын
Kim jamani nakupenda buree 🤣🤣🤣
@beautifulafrica6886
@beautifulafrica6886 20 күн бұрын
🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
@DaudAlexander-g8y
@DaudAlexander-g8y 2 ай бұрын
Huyo dada SI wakwenye long house au
@PendoJoseph-vm1oc
@PendoJoseph-vm1oc 5 ай бұрын
Sengo kapatikana
@FayMumbe-l3b
@FayMumbe-l3b 2 ай бұрын
Mbwela lakini huwa mnalia Cha Ukweli???? sometimes mnatufanya ata sisi tulie😢😢
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@AshaNassoro-z9s
@AshaNassoro-z9s 22 сағат бұрын
Tanda unapenda kukonyeza mpk umelemaa jicho
@DzunyaSuleimani-tu1qh
@DzunyaSuleimani-tu1qh 5 ай бұрын
Mwakatobe alichemsha
@dominapeter6593
@dominapeter6593 6 ай бұрын
big up big kaka
@fortunegerishom1827
@fortunegerishom1827 5 ай бұрын
Movie ii kali jameni nliona mtu kaipost fb nkaamua kuifwatilia,,,,, alafu jina la ngoma jamani
@seziusu
@seziusu 10 ай бұрын
Mbwele, confirmed
@Fatuma-yg2qm
@Fatuma-yg2qm 9 ай бұрын
Next plz❤
@SadrathGMisana
@SadrathGMisana 6 ай бұрын
Una baya mpambanaji wangu
@FarhhFarhh
@FarhhFarhh 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@saidahmed9688
@saidahmed9688 9 ай бұрын
good movie
@ahmedmohammed9394
@ahmedmohammed9394 10 ай бұрын
Mbwela kaka nimekuona kwenye gari ya gongo la mboto umepanda mwisho walami ilikua unaelekea wapi mkuu?
@EvodearVenance-xe3xs
@EvodearVenance-xe3xs 9 ай бұрын
😂
@ahmedmohammed9394
@ahmedmohammed9394 9 ай бұрын
@@EvodearVenance-xe3xs Sasa unacheka nini boss?
@EvodearVenance-xe3xs
@EvodearVenance-xe3xs 9 ай бұрын
@@ahmedmohammed9394 ulivyo muuliza ulikuwa unaelekea wapi?😁jaman ndo umuulize umu kazini!! Kweli!! Muulize njee na kaz umu awez jibu
@malaikajadeni9434
@malaikajadeni9434 9 ай бұрын
Itakuwa loceshen
@ahmedmohammed9394
@ahmedmohammed9394 9 ай бұрын
@@malaikajadeni9434 Basi sawa
@MaokotoZingatua
@MaokotoZingatua 7 ай бұрын
😂😂😂🎉
@DeejDullah
@DeejDullah 9 ай бұрын
Maina umeama kwa chumvi nyingi
@CelineNdoki
@CelineNdoki 9 ай бұрын
Ww Zumba 550? Yass au zamani
@omarbosiomar8608
@omarbosiomar8608 10 ай бұрын
poa mbuyu ila sound track fatilia
@AbdallahMarinda
@AbdallahMarinda 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MwanakheriAbdallah
@MwanakheriAbdallah 9 ай бұрын
𝕌𝕪𝕦 𝕜𝕒𝕜𝕒 ℕ𝕒𝕞𝕡𝕖𝕟𝕕𝕒 𝕤𝕒𝕟𝕒 𝕄𝕓𝕨𝕖𝕝𝕒
@FadhilaAbubakari
@FadhilaAbubakari 8 ай бұрын
Mbwela naomba no yako please
@bensonchitiavi141
@bensonchitiavi141 9 ай бұрын
❤❤❤
@هياءعون-ل7ط
@هياءعون-ل7ط 10 ай бұрын
S😂😂😂😢😢😢😮😮😮
@MopiyanPapaa
@MopiyanPapaa 9 ай бұрын
@Najlahramadhan
@Najlahramadhan 6 ай бұрын
Q
@marynyota6146
@marynyota6146 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😢😢😢😢😢😢😮😮😮😮
@KIDAWAFILM
@KIDAWAFILM 10 ай бұрын
Vyema Sana❤❤
MTUMWA (FULL MOVIE)
1:34:49
ELIZA MIDEKO
Рет қаралды 53 М.
NAMPENDA 💝 (FULL MOVIE)
1:37:54
ZUMBA VEVO
Рет қаралды 128 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
ALCOHOL | FULL MOVIE
2:39:31
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 7 М.
USILA (FULL MOVIE)
2:02:03
ZUMBA VEVO
Рет қаралды 141 М.
UBAYA  | FULL MOVIE
1:26:09
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 94 М.
BAKORA FULL MOVIE
1:17:48
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 45 М.
WAGENI WA KIJIJI | Full Movie, A |
1:53:54
CHIBU TV
Рет қаралды 51 М.
CHOZI | FULL PART 1 |
2:31:37
KIM VEVO
Рет қаралды 150 М.
BI HARUSI / FULL MOVIE
3:03:10
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 403 М.
JEBI- Swahili Feature Film || FULL MOVIE
1:18:57
Jamaica Studio
Рет қаралды 319 М.
MWANAMKE FULL MOVE
1:32:45
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 376 М.
PENZI LA MAMA MKWE FULL MOVIE PART { 1 } episode 1 -10.      #directorgozi
3:25:31
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН