Anguko la Umoja wa Kisovieti (USSR): Jinsi Dola ya Kisovieti Ilivyoporomoka

  Рет қаралды 8,520

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 20 сағат бұрын
Wooo hoooo ombi langu limekubaliwa asante sana SNS 🎉❤❤
@allahisone6386
@allahisone6386 15 сағат бұрын
@SNS🎉
@aminaali792
@aminaali792 18 сағат бұрын
Makalaya 360 is the best i never missed it big up Bro Sky ❤😍
@lucasalbertomseti1578
@lucasalbertomseti1578 19 сағат бұрын
Moja ya makala niliyo kuwa naisubiri kwa hamu sana asante sana Sky
@emmanuelmwandu.3126
@emmanuelmwandu.3126 19 сағат бұрын
Ahsante kwa Makala nzuri. Binadamu akichoshwa na unyonyaji, hofu hutoweka, badala yake huchukua maamuzi ya kujinasua alipo nasa.
@Franklinmushi
@Franklinmushi 3 минут бұрын
The man himself Sky asante sana kaka #snsforlife
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 23 сағат бұрын
Makala 360 🔥🔥🔥💯💯💯
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa 22 сағат бұрын
Asante kwa story nzito na kutuelewesha nini kilicho tokea
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 22 сағат бұрын
Habari nzuri sana
@EustaKimoshi
@EustaKimoshi 20 сағат бұрын
Walimu wa kirusi waliokuwa wakifundisha baadhi ya sekondari za Tanzania walifunga virago. Walikuwa walimu wazuri sana wa advanced maths na physics
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 19 сағат бұрын
Duh
@allahisone6386
@allahisone6386 15 сағат бұрын
WALIFUNGA VIRAGO KISA NIINI?
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 22 сағат бұрын
Umoja Wa kisoviet ulianguka haikuwa sababu na urusi kuanguka ilibaki imara💪 U soviet ulianguka brics inainukia 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 19 сағат бұрын
Nayo itaanguka tu
@shabanimaeda5008
@shabanimaeda5008 19 сағат бұрын
Hapana itakuwa ngumu maana mataifa yaliyopo BRIC na yanayotaka ingia yapo na umuhimu mkubwa na nguvu kubwa.na unajitegenezea uhitaji wake..sasa hivi dunia ina elekeaa jua linapochomoza"Mugabe"​@@christinewomanoffaith5479
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 18 сағат бұрын
@@christinewomanoffaith5479 we kama nan
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 17 сағат бұрын
​@@christinewomanoffaith5479Chawa wa mashoga ww
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 8 сағат бұрын
Bricks nayo haitafika mbaliii😂😂😂
@albertmallya4192
@albertmallya4192 17 сағат бұрын
Imekaa kimkakati zaidi😅
@IceCube-o6s
@IceCube-o6s 23 сағат бұрын
Baaaaaas hapo nimefurahia ombi langu limekubaliwa😂😂😂❤❤❤
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 22 сағат бұрын
Hyo hata usipo kula ukisha pata food ya brain huwa na furaha 😊😊all the time
@SomaliWeyn-c1h
@SomaliWeyn-c1h 22 сағат бұрын
makaka nzuri mzee safi
@hajisalimmhina3983
@hajisalimmhina3983 18 сағат бұрын
Fanya research mwenyewe
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 22 сағат бұрын
Ahsante
@hajisalimmhina3983
@hajisalimmhina3983 22 сағат бұрын
Sio kweli ,
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 20 сағат бұрын
Lete ukweli tuupate
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 19 сағат бұрын
Kupinga bila kutupa huo ukweli Haina maana
@radjabusuleiman6486
@radjabusuleiman6486 19 сағат бұрын
Unawajuwa taliban wewe?
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 15 сағат бұрын
​@@radjabusuleiman6486😂😂😂
@moricerwakatale3201
@moricerwakatale3201 2 сағат бұрын
naungana na ww sio kweli, hizi ni story kutoka katika literature za magaribi
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 14 сағат бұрын
Warus wa buza hawapendi kabisa habari hizi
@raydanfrenk
@raydanfrenk 19 сағат бұрын
Kumbe urus ni nchi ya kishetan tangu zaman 😢😢😢
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 14 сағат бұрын
Kwa ukatili ni sehemu ya tabia kuu
@ThePlants-zc3rp
@ThePlants-zc3rp 5 сағат бұрын
nakala nzri sana
@FredWabwire-w3q
@FredWabwire-w3q 4 сағат бұрын
Ndomaana sijawaipenda warusi , sai wanajifanya wazuri kwa wafrika but wakipata uwongozi waduniya ,watatudhulumusana.
@radjamtaki5597
@radjamtaki5597 Сағат бұрын
Fikiria vizur kabla ya kuongea,kwan sahz udhulumiwi???ni bora warus kuliko hao wanaojifanya wema kumbe nyuma ya pazia ni wabaya vibaya mno
@Timothymchomi
@Timothymchomi 15 сағат бұрын
tanzania na ccm
@alikhamis633
@alikhamis633 18 сағат бұрын
Makala 360 iko poa sana
@Timothymchomi
@Timothymchomi 15 сағат бұрын
kwa mara nyingine urusi inapigwa na ukraine tena😅😅😅
@hajisalimmhina3983
@hajisalimmhina3983 18 сағат бұрын
Hizi ni story za magharibi
@raydanfrenk
@raydanfrenk 18 сағат бұрын
Tupe zako mkuu itapendeza😅😅😅
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 16 сағат бұрын
Wewe tuambie kilichosababisha kuvunjika kwa umoja wa kisoviet
@KarimShabaniNAHIMANA
@KarimShabaniNAHIMANA 18 сағат бұрын
Ans mnajuwa kutupatia gabarit nyeti
@AnjelMwaluka
@AnjelMwaluka 23 сағат бұрын
Mnazid kunifurasha
@danieljoseph7120
@danieljoseph7120 16 сағат бұрын
Ccm lini na nyie 😢😢😢
@salminijumasalminijuma6213
@salminijumasalminijuma6213 23 сағат бұрын
Bado na dj smaa atuletee ile makala ambayo ametuahidi asijifanye anajisahaulisha
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 19 сағат бұрын
👍👊✌️.
@RichWise671
@RichWise671 16 сағат бұрын
Already remade it 🔥👽🪐
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 23 сағат бұрын
Mwambie Sma hatujasahau
@AnjelMwaluka
@AnjelMwaluka 23 сағат бұрын
Nilkuwa naisubili saana hii pia naomba ufafanuzi kwanini urusi haikuwa na makoroni africa
@ms123ru
@ms123ru 2 сағат бұрын
Makala nzurii ila 😅😅 izi taarifa sio za ukweli 😅😅😅😅 aya makala niya watu wa magharibu
@NeversMutega
@NeversMutega 22 сағат бұрын
Kama unakubal i SNS gonga like
@anny19988
@anny19988 20 сағат бұрын
Na mimi ombi langu fanyeni SNS kuhusu uwepo wa ofisi ya NATO kwenge ofisi za AU Ethiopia.Pleaseeee
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 8 сағат бұрын
Heee, NATO imewakaa ofc adis Ababa Ethiopia,😢😢😢
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 16 сағат бұрын
Ivi czech slovakia Yugoslavia nazo zilikuwepo kwenye umoja huu?
@Pedeshee01
@Pedeshee01 15 сағат бұрын
Hapana,Yugoslavia ya Tito ilikua na nchi kama serbia,slovenia,montenegro,croatia,kosovo,bosnia&herzogovina
@nasororashidi7051
@nasororashidi7051 17 сағат бұрын
Makala ya kimagharibi hii, ingawa kunabaadhi ya vitu vinaukweli.
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 16 сағат бұрын
Ambavyo sio vya ukweli ni kama vipi?
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 22 сағат бұрын
Sky ,kremea ni nchi gani mbona siiyoni hapo?
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 14 сағат бұрын
Cremea ni sehemu ya jimbo ndani ya ukrein
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 12 сағат бұрын
​@@lusajomwaipopo5042 Kihistoria walipewa na Urusi Ndiomaana Urusi amelichukua hilo eneo Mwenyewe😷
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 сағат бұрын
@@lusajomwaipopo5042 ooh ok ahsante
@moricerwakatale3201
@moricerwakatale3201 2 сағат бұрын
Goberchev alikua kibaraka wa magharibi tu na hizi story zinatoka kwenye literature za magharibi tu
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 14 сағат бұрын
Mbona unarusha picha za vita ya piki ya Dunia sio za 1980
@joeboa3139
@joeboa3139 21 сағат бұрын
Leta makala ya bomu la tsar
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 23 сағат бұрын
SNS HAWANA JAMBO DOGO. KAMA UNAIKUBALI SNS USIPITE BILA KULIKE
@raymrash
@raymrash 20 сағат бұрын
Dola ya Iran inakwenda kuanguka soon
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 19 сағат бұрын
Yes itaanguka
@AyubuRashid-j7g
@AyubuRashid-j7g 8 сағат бұрын
Nani anaweza kumuangusha muira n au unaota
@raymrash
@raymrash 7 сағат бұрын
@@AyubuRashid-j7g kulikuwa na dola kubwa kabla ya Iran leo hii wako wapi!?
@MsAggie5
@MsAggie5 22 сағат бұрын
Ndo tunayopitia Tanzania, maumivu ya ujamaa tunayaona, chama kimoja, ufisadi wa viongozi, hao wasiojulikana wanavyoendelea kutumaliza na hatuna tunachoweza kufanya, viongozi wamekuwa watawala kama ufalme, wakiongoza wao na familia zao. Badala ya kuongoza wao wanatawala
@anny19988
@anny19988 20 сағат бұрын
Shida Sio chama Kimoja, shida ni tabia za watu. Mbona China imeendelea kwa huohuo Ujamaa na Chama Kimoja??. Tabia za raia ambao baadae wanakuwa viongozi, watumishi etc Ndio zitaamua nchi iweje. Kama tabia zenu ni mbovu hata muwe na vyama 100 ni Sawa na bure. What matters is PEOPLE .
@MsAggie5
@MsAggie5 20 сағат бұрын
@@anny19988 Chama kimoja ni mfumo WA ujamaa na ndiko tulikotoka. China kweli Wana chama kimoja lakini sio wajamaa tena ila wao hawalindani, waziri akifanya ujinga anapelekwa mahakamani na sheria inatendeka na viongozi wanalijua hilo. Ona alivyoanza Magufuli kuwaadhibu viongozi au kuwafukuza kazi walifanya upuuzi ilikuwa Jambo zuli labda nasi tungefika mbali, lakini nae akawa anatawala zaidi ya kuongoza, wasiojulikana kama wote na wananchi tunaogopa hata kujitetea. Ujamaa si Jambo rahisi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 19 сағат бұрын
​@@anny19988well said Tatizo watu ,mfumo unaowaweka shida tupu Halafu tunawalaumu wazungu as if wanatulazimisha wakati Kuna watu wasomi na akili zao wanawaz familia zao na sio nchi zao
@SaneMwezi
@SaneMwezi 19 сағат бұрын
Lima mvua zinanyesha
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 19 сағат бұрын
China imebaki na ujamaaa wa kisiasa ktk uchumi ni beberu na bepari mkubwa tuu​@@anny19988
@zawadimpayo3839
@zawadimpayo3839 22 сағат бұрын
Putin atauludisha akishinda vita ya ukreani
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc 22 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 19 сағат бұрын
Ndoto hizo ye mwenyewe walewale tu
@emanuelidamiani2943
@emanuelidamiani2943 17 сағат бұрын
Sasa niwaulize swali wana sns, huwa mnatuambia hawa warusi hawana historia ya kushindwa vita, mbona leo unatuambia afghanistan(taliban) waliwashinda????.
@anny19988
@anny19988 15 сағат бұрын
Afghanistan kugumu weweee😂😂😂. Hamna aliepamudu. Ila pia Marekani walisapoti makundi ya waasi ili kuzuia wasovieti. Hayo makundi ndo baadae yaligeuka Taliban na Al Qaeda. Yaani magaidi wote wa dunia unaowajua ni Made by US . Marekani inawatengeneza kwa manufaa yao halafu wakishindwana wanawaumiza wao
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 19 сағат бұрын
Nchi zote zinazoishia na '...stan'😅 Aisee zilikuwa nchi nyingi
The Armenia and Azerbaijan war, explained
9:26
Vox
Рет қаралды 3,8 МЛН
Cuba in chaos following blackouts
8:12
Times Radio
Рет қаралды 68 М.
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 77 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 32 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
Marx | Learn English through Story | Graded Reader
1:48:12
WooEnglish - learn english through story
Рет қаралды 127 М.
The Rise of India's Private Space Firms | Momentum
24:02
Bloomberg Originals
Рет қаралды 311 М.
How drone technology is changing warfare | BBC News
16:46
BBC News
Рет қаралды 154 М.
Why the U.S. Military Spends So Much Money
28:24
Johnny Harris
Рет қаралды 2,1 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 77 МЛН