Nilikuwa mlevi sana nlikuwa nalala bar😪siku moja nikaenda mtembelea sis yangu akaniambia Kuna nyimbo angependa nisikize,,nyimbo yenyewe ilikuwa hii nashukuru niliposikia nyimbo Kesho yake nilienda kanisani Na dadangu nikaombewa nikatubu nashukuru Mungu Mimi sai nko busy Na Mungu Wangu🙏🙏
@coraldgervasy1272 Жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
Hongera mungu ni mwema kila wakati
@douglasagwata724 Жыл бұрын
God can do wonders in your life
@selinazmishti Жыл бұрын
Hallelujah 🙏
@mwimbajilyee3559 Жыл бұрын
Glory be to God 🙏
@mercywanza91414 жыл бұрын
Nice song Butati 🔥🔥 🔥 listening from Kenya angusheni likes wenzangu
@PapaTheKingKenya4 жыл бұрын
Nice am muscian too from Kenya ninapenda kufanya collabo na wewe butati +254707215825
@yassminzaid3034 жыл бұрын
listening from Saudia nice song 🔥 🔥
@ivykikechi39924 жыл бұрын
Wow
@charlesotwande57424 жыл бұрын
Inspiring️👍
@PapaTheKingKenya4 жыл бұрын
@JK Jonathan Labelnko hapa
@johnsonwanyangachika15854 жыл бұрын
Watu wa muhira kigoma. Kwa mama like zenu hapa nyimbo nzuri kwakweli
@karoltunduli1074 жыл бұрын
Kigoma is a home for most TZ artistes
@FrancisWesongaFranQ803 жыл бұрын
I’m
@IzackJRMbixe5 ай бұрын
Atali saanaa
@kirigimbogo64 жыл бұрын
Halleyuah from Kenya kama yakubaliki gonga like Amen
@Boaz-Gwanko4 жыл бұрын
This love is Endless,We love his music ,and we love him self, that is why we are waiting for this Video. #utukufukwa #Mungu. Kama unampenda YESU Gonga LIKE 100. MAPEMA.
@veredianangualo60444 жыл бұрын
mungu aendelee kukutumia mtumishi wa mungu
@georgeshaphy91114 жыл бұрын
God bless your work
@luciemumo9083 жыл бұрын
This song is underatted,it deserves more likes...that message is so clear and really inspiring. Come on bring those likes..😍😍😍#USINIKUMBUSHE!!
@monikahusein6822 жыл бұрын
Kaka BRAVO HONGERA ,HUU MWIMBO UMETOKA MBINGUNI NILIOTESHWA NAUIMBA ,KUNA KITU NILIMkosea Mung KITU ,nikawa najihukumu mwenyew ndio nimeomba Toba kw maombi lakin nikaon kama bado sijasamehewa ndio maana safanikiw mambo yangu kumbe baada y halo nikaoteshwa naimba kumbe AMESHA NISAMEHE
@boscojmseso70724 жыл бұрын
Saf Sana Butat kigoma tunaendelea kuwanyoosha like za Wana kigoma
@jamuhuri7066 Жыл бұрын
did you sing this for me??? i just cant get enough of this so,,,God me nko busy tu na wewe now and forever
@safrinecheboi37634 жыл бұрын
Sijui nilie😰😭 sijui nismile ☺️☺️😊🥰niko katikati naipeeeeenda ii wimbo Sana ❤️❤️❤️❤️ Touching enyewe tusikumbushwe
@dominiclokuremusic51783 жыл бұрын
aky apo umenena ukweli bro God bless you all wenye mnasikisilisa hii song mhali popote mpo
@FarhiyaKaporo Жыл бұрын
Hongera sana nyimbo nzur
@hilderrichard885 Жыл бұрын
Ni kweli unajua maisha yangu ila kwa sasa nipo buys na YESU wangu
@charlesnguma044 жыл бұрын
Aniseti nyimbo zako zavuma sana huku Kenya, we love your ministry bro, you are going far in Jesus name.
@zephaniayohani33143 жыл бұрын
Kweli umesema waambie mungu aendelee kukubbariki
@utube56172 жыл бұрын
I need the song cz i love it
@MichelineKabanga Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@juliananakwawi68632 жыл бұрын
Wimbo umenifariji kweli..much love from Kenya 🇰🇪 😍
@abischaikambale4764 Жыл бұрын
0
@peterisdory88444 жыл бұрын
Muha katika ubora wake Waha wote gonga like hapa km unaamini ipo siku yote yatabaki story
@jeannettekeza64344 жыл бұрын
Mimi Niko busy na yesu wangu! Mungu akubariki sana kaka yangu! Tuna barikiwa sana ! Sweden ✌🏽✌🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@PapaTheKingKenya4 жыл бұрын
Love yangu kutoka Kenya kwa huu wimbo Iko wapi?
@nephatkahinga65773 жыл бұрын
Uko juu brother,naomba mungu azidi kukuinua.
@lillytrikoi12464 жыл бұрын
Hapo rafiki yangu... Usinikumbushe ya kale. Mungu ameshaa sahau na amenipokea tayari.. Niko busy kutafuta mungu wangu na pesa. Nashkuru kwa huu wimbo 😥😥🙏. FROM KENYA👏🇰🇪🇰🇪
@kiprotichburett5542 Жыл бұрын
2023..still imekuwa story
@cleophacerupia44414 жыл бұрын
Huu wimbo kweli una ujumbe maana NENO linasema tukiwa ndani ya Yesu tumekuwa viumbe vipya na ya kale yamepita kweli hii nyimbo imenibariki sana
@amohsmwitah54634 жыл бұрын
Amiin
@naomysimon60032 жыл бұрын
Mim naom nimeguxwa na wimb huu
@joycerichard84002 жыл бұрын
Wimbo huu unanifatilia sana
@joycerichard84002 жыл бұрын
Nakupenda sana mungu akuongezee kipaji
@josephkizambunga4039 Жыл бұрын
@@naomysimon6003 so
@laurentjoseph56464 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana huu, hongera mtumishi wa mungu, Mungu akubariki sana.
@juhudimaheka74463 жыл бұрын
Huuu wimbo umenifanya nitoe koment ilikuwa si kawaida yangu Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu kwa KAZI ya kumtumikia Mungu
@MamaMary-ck4fc Жыл бұрын
Hakika ujumbe mzuri
@Linetkalendi4 жыл бұрын
First to watch from Kenya wapi likes
@PapaTheKingKenya4 жыл бұрын
+254707215825 muscian in Kenya too
@yassminzaid3034 жыл бұрын
very nice song I love it
@moisewasso6 ай бұрын
Nilikuwa mulevi sana lakini minaona kuikala mu yesu niraha sana tena sana kaka mungu akubariki sana naaongeze uduma iyi
@jobsimiyu3968 Жыл бұрын
This song vanee,,, usiyafanye Maisha ya samani unihukumie jamanii,, Kenyans wapi loove
@janedeogratius43104 жыл бұрын
Usinikumbusheeee yale ya zaman yoote Mungu amekwsha nisamehe na kusahau kabisaaa barikiwa Bro
@dorahogeto77692 жыл бұрын
This song needs to be sung in all Churches for all Christians to hear and let people be. We all have a past and God forgave us.
@MichelineKabanga Жыл бұрын
Traduction en français pardon
@mourinebulimo92943 жыл бұрын
Kutoka Kenya nimependa huu wimbo sana..
@safariburunkuma1663 Жыл бұрын
Nimeukubali hata mimi
@linahokello13834 жыл бұрын
Amen! Like za wakenya hapo!
@getrudefavour59514 жыл бұрын
Huu wimbo mtamu kweli....tunaurudia kila Mara kwa TV mie na wadogo zangu.Mungu haesabu makosa,Bali husamehe na kusahau.i love all your songs bro.more blessings
@rehemazabron93202 жыл бұрын
Nenoramungu
@vicentkalampise15484 жыл бұрын
Nyimbo nzuri Mtumishi wa Bwana, Mungu azidi kukuinua ktk kazi zako 🙏🙏
@AnnalineNyangaresi3 ай бұрын
Asante kwa huu wimbo unanibariki moyoni sana
@ArubinaChimuli Жыл бұрын
Halleluya ☦ much❤❤ love from kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪
@zuluhmasai40812 жыл бұрын
Asante kaka kwa nyimbo nzuri,tunapata ujumbe huo tukiwa kitale.
@chagambamercy3094 жыл бұрын
usinikumbushe..Mungu ameshanipokea imebaki story
@laurenyirampozehose26003 жыл бұрын
Yasikuchukuliye mda
@merrybernad87074 жыл бұрын
Wimbo huu umenifanya niyasahau mengi sana kama vile Mungu alikonesha but Mungu aendeleee kukutunza na kukutumia ipasavyo ili watu wake wapone kupitia nyimbo zako🙏🙏
@amohsmwitah54634 жыл бұрын
Wengi tunatoka hapo ila tunakua wasahaulifu
@jackrinempimba3744 жыл бұрын
Amen ubarkiw et...day nmetok mbal Mung axhanpokea uxnkumbxhee unayjua madhaif yang
@benedictoramukuzi37292 жыл бұрын
For sure this song touches my heart ♥. It makes me feel Jesus is the lord of all. Big up to all Christians world wide. God loves us. I'm kenyan nationality
@mercydaniel4505 Жыл бұрын
True
@furahaalenga95464 жыл бұрын
Mungu akubariki sana 🎶🎶
@shantelndulu56824 жыл бұрын
Naona from Kenya tuko wengi😘
@mubinamwanyiro46754 жыл бұрын
Usinikumbushe imebaki story Niko bize na mungu wng dah lisong zuri Sanaa imenibariki Mungu azidi kukuinua
@bensonoyaro1291 Жыл бұрын
Wimbo wenye upako, mafunzo na himizo. Usinikumbuze.
@everinachaless64897 ай бұрын
Ningesema lakini siwezi kusema yote kikubwa Nashukuru tu Mtumishi Mungu Akubaliki Sana kwanyimbo zako kwakweli nizuri sana zinanibariki sana Asante
@iamjuly9th3 жыл бұрын
much love from the US, I dont understand the languge but im in tears. only God knows my story
@bahatisudjonga13433 жыл бұрын
He is saying that people should not remind him of his past because his past was worst and now he is a new person in Christ Jesus
@kennedykioko2232 жыл бұрын
Good to
@fredrickodhiambo-by5pn Жыл бұрын
Amen, really touching
@gatawabiswalo374 жыл бұрын
barikiwa na Bwana
@joshuamokomba96992 жыл бұрын
wimbo mtamu kweli.....Mungu akubariki ndugu, kaka una nyimbo nzuri sana....much love from Kenya
@niyonzimasebirayi39234 жыл бұрын
Bwana akubariki sana mtumishi Aniseti kwa wimbo tamu huu
@clareamaya81354 жыл бұрын
Wow Wow Wow. I like the song all the way from +254
@rosemarykeitany24043 жыл бұрын
I like the very much it takes me high up to the sky
@estherndamoo75223 жыл бұрын
Waooooooooo ! Good
@judithnzuku18603 жыл бұрын
Nice song nimeipenda ile yangu yote uwezi amini kwamba ninausikilila dakika hakika wasikukumbushe kama Mungu amesha ya sahahu ww ni nani unikumbushe 🙏🙏🙏🙏🙏 barikiwa sana kakangu Aniseti Butati ebu naomba likes zenu wadau kama imewabariki
@kanamary72774 жыл бұрын
Wow!!asubuhi,mchana na usiku huu wimbo unitia nguvu
@MildredImela3 ай бұрын
Guys who is here 2024. Can't get enough of this song. Be blessed bro ❤❤❤
@lillianfred62703 жыл бұрын
God bless you butati my ever inspiring worshiper,,,, go go go and reach them, from Kenya Nairobi
@erickchuma8214 жыл бұрын
Safi Sana uko vizuri Sana kaka
@danymoh-c2h4 жыл бұрын
The past is gone, nolonger slaves of our past, thank you God. Great message
@joelkisembo44353 жыл бұрын
Amen
@glorymfyomi66953 жыл бұрын
True the past was gone
@scoviagervasi51752 жыл бұрын
Safi Sana,,, kakaangu!! Hapo uli2lia
@mariaphilp81182 жыл бұрын
Is gone forever,🙏🏼
@SaraRamama4 ай бұрын
Nko busy mm staki maneno wala mshenee maneno hayanisumbuii hii song mhhh
@mercywaithera48484 жыл бұрын
Can't get enough of this song listening to it over and over again...much love from kenya
@smartmwakipesile38422 ай бұрын
Namshukuru Mungu sana kwa huu wimbo umenifariji sana
@boniezekiel83334 жыл бұрын
Tuskubushane tutatoana machoz gonga like maisha yaendelee
@ancietakawira81168 ай бұрын
Amazing song and a teaching song wimbo huu niusikia nikielekea shule I have been searching it by the words I had from it finally I have got it God bless you dear bro aniset
@leonardmugura60222 жыл бұрын
Zimbabwe loves you ...I can hear you from the spirit realm
@vailethmlokozi12464 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 aniset kwa wimbo mzur umenibariki pia
@rizikitito30244 жыл бұрын
Yani ujumbe umejitosheleza huu yani sijui nielezeeje jmn ili linawakuta sana watu waliokuwa na historia mbaya nyumba sasa ukiokoka tu wanaanza uyu nae tunamjua tabia yake anajifanya ameokokaa uuuwi leo nawaambia msinikumbushe!!!
@estheramisiofficiel83043 жыл бұрын
Wow songa mbele
@chantaluwamahoro46484 жыл бұрын
Oh God, I repent of my sins...Come into my heart, from now until the day Jesus will return to take me home.
@arnestirarnestir834 Жыл бұрын
God bless u a man of God
@jacklinepeter24994 жыл бұрын
Wow... More 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 watching in Kenya Sema kublessiwa na song...... nisikumbuswe ya zamani
@charokazungu8455 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe,naitwa magunda kutoka Mombasa,napenda San hii song,ubarikiwe
@Juan-t2j5l Жыл бұрын
Direct to my wounded heart 😢😢😢 thanks 🙏🙏 brother,a sis from south Sudan who grew up in Kenya,Karatina.
@Modesta-yr6mcАй бұрын
Kwanza mimi maneno yao hayanisumbui kabisa niko busy na Mungu Wangu ❤❤❤❤
@dennismuthii64392 жыл бұрын
,, Nice song listening from Kenya,past is no longer current and it will never appear in Future😭.I will continue Finding you My Lord in every of my time🙏🙏🙏
@nelsonnyengela29204 жыл бұрын
Butati we ni fundi wimbo nimeuelewa
@charlesbaruti63942 жыл бұрын
Une très bonne chanson 👌... Même si tu connais mon passé, ne me le rappelles pas; Dieu m'a accueilli tel que je suis. Merci beaucoup cher BUTATI pour ce chant de gospel🙏
@marytitus72002 жыл бұрын
Great song butati listing from kenya ...i.like your messages .
@agnesskombe7122 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana ndugu, nyimbo zako🔥🔥zanifariji sana
@Angependo9141 Жыл бұрын
Papa Mungu alikubaliki unajua kuunda sanaaa ubalikiwe na Mungu azidi kukuongeza imani
Woi God umenitoa mbali I can't explain nahisi uchungu mwingi sana all I can say 😢😢😢is God always protect me😢😢😢nisirudi maisha ya kale😢😢😢😭😭😭😭😭
@milcakache1674 жыл бұрын
Much love from 🇰🇪
@ChetNjoroge-vi9mr6 ай бұрын
Mambo yangu yasikuchukulie muda yatakuchelewesha ❤❤❤ love this tafadhalii usinikumbesheeeeeee❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@felixnchimiye70193 жыл бұрын
The best song ever, watching from United States.
@CatharineNasipwondi-lk2hl5 ай бұрын
amen ❤❤❤ hallelujah yesu wangu well done Butati may God continue to bless you 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh mungu wangu ❤️❤️❤️
@lizsonny74602 жыл бұрын
I am blessed with this song being a new born again believer in Jesus Christ be Blessed man of God...I thank God for coming across this song 😍😍😍😍😍 from 🇰🇪 kenya
@habimanapascal44842 ай бұрын
Nakupenda sana from rwanda
@KaremboMutheu Жыл бұрын
Mungu akumbariki sana butati
@KAVAGEMEP4 ай бұрын
Good boy nakukubali sana na mimi nakuja sio muda mrefu kaka❤❤❤
@charlessithole93432 жыл бұрын
Great visuals, anointing vocals, well arranged instrumentals. Well done. Watching from Zimbabwe
@sheilanyanzira2794 Жыл бұрын
Amen
@frolandondole8837 Жыл бұрын
AMEN
@goodluckmmasa68244 жыл бұрын
kazi nzuri sana mtumishi
@mcjoshuatanzania3524 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI WIMBO MZURI SANA UMENIBARIKI SANA "Usinikumbushe"🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
ooooh that's true Butati nice song amen may God continue to bless you 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh mungu wangu 🙏🙏🙏
@bossshotstudios10454 жыл бұрын
Listening from Kenya What a blessing song 🙏 💥💥💥💥💥💥💥💥
@glorymbise25162 жыл бұрын
Amazing one my God bless you butati
@emilynatahmwaluma2744 жыл бұрын
If I say his songs are not on fire then I'll be lying keep it burning Butati
@zainaswalo79764 жыл бұрын
Ubarikiwe kwaujumbe mzurii mtumishi Mungu aendelee kukuinua viwango vyajuu zaidi
@fazohonlinemedia17144 жыл бұрын
Power of Jesus blessed man likes you moreee
@francismusyoka53849 ай бұрын
Mungu akubari uendelee kubariki wengine
@daphinemomanyi38764 жыл бұрын
Nimesahau ya kitambo usinikumbushe nice song am blessed
@eliamtani28402 жыл бұрын
Hii nyimbo umeimba vizuri sana. Kuanzia ujumbe hadi video.....hapa naona kabisa utukufu wa MUNGU, mtu akiangalia anaguswa kabisa na kila kitu. Na hiki ndicho tunachokihitaji kutoka kwako. .....imba kumtukuza MUNGU, imba kama hivi na video kama hii ili uguse watu waliombali na MUNGU maana kwa njia ya nyimbo utawavuta wengi. Hii nyimbo na ile WATAKUHESHIMU umeimba vizuri na video zake ni za kumuheshimu MUNGU. Hongera brother.
@chrispinmuhuna62054 жыл бұрын
Amen. May God bless you soomuch' Who else is blessed with the song?
@kelvinweke75644 жыл бұрын
Here I am
@amohsmwitah54634 жыл бұрын
Me too
@happykasian63044 жыл бұрын
Hakika imebak story
@loyceoduki11803 жыл бұрын
Hallelujah huu wimbo una massage nzuri,, mambo yangu ya zamani yasikuchukulie muda. umenifariji saana toka juzi mungu wa neema na azidi kusimama nawe mtumishi wa mungu tunned from kenya.