Asante sana anko j kwa kweli tumejifuza mengi sana 😢😢😢😢😢😢 ss ni wanafamiliya ya anko j simulizi tunakupenda sana anko j mungu akupe maisha mazuri na mke mzuri pamoja na watoto wazuri❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂
@MoniqueNuru22 күн бұрын
Nalia sana kusikia simulizi hii ivi ni kweli kuna mtu anamoyo wa uyo dada emerase siamini hii kitu Mungu tupo moyo safi kama wa dada emerase🙏
@jazlajazlamdidi3008 Жыл бұрын
😭😭😭😭 hichi kisa kimeniliza sana itoshe kusema nakupenda sana uncle j wetu🌹🌹.
@NatashaHope-ot1cw5 ай бұрын
Kwa kweli anko j katika simulizi zote ulishawahi kusmulia this is one of the sadest storie which has made me learn that in this life in what ever we do lets put our hope and trust in God mungu akubariki sana you make my day.
@esthermibaleo1900 Жыл бұрын
Mungu asifiwe. Mungu tushindiye, tupe hekima ya kweli kama dada Emerina tukumbushe kuomba na kusamee kila siku za maisha yetu Amen 🙏
@catherinekadima Жыл бұрын
Amen
@marymanase92178 ай бұрын
@@catherinekadima18
@TauhidaSaid-k7q Жыл бұрын
😭😭😳😭😭ekh mungu we pitisha huruma yko kwa wanawake wanoptia mateso
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Jamani ni huzuni Sana matezo haliyo pitiya nashukuru kuwa halipokeya yesu kristo kuwa bwana na mwokozi wako
@leahmajaliwa6575 Жыл бұрын
Anko Jay apewe ulinzi jamani sio kwa sauti hii🥰🥰 from buja 🇧🇮🇧🇮
@isabellachizi4346 Жыл бұрын
Painful story 😢😢😢 dunia kweli sio yetu watu ni wanyama ,I can't stop crying anymore 😢
@carolinamria8977 Жыл бұрын
Anko j hatari Sana ww🔥🔥🔥
@GraceMbone-bs9gq Жыл бұрын
Kwa kweli nilijaribu kuskiza miezi miwili nyumba lkn uzalendo ukanishida kwa masikutiko Sasa nimemaliza Asante anko kwa sauti bora
@MayasaMayasa-ns5qy6 ай бұрын
Hii cmulizi imeniliza mno najiona mm kabsa inaniuma sana cjui uschana ndo nn nikickia TU wenzangu wakicmulia m2 anasema mwanaune wangu wa kwanza n fulana ndye aliyenitoa ucchana wangu roho inaniuma sana kuwa cku kutwa na ucchana baada ya kukutana na mwanaune wangu wa kwanza hili jambo mm lnaniumiza sana ktk maisha yangu na litaendelea kunila had naingia kaburini inaumza mno uckie TU Kwa mtu omba yackukute mm hli linaniumiza mnoooooo ee mungu nisaidie niondolee kovu hli liliomo moyoni mwangu naumia mm mja wako
@yoelryobamagahu-rs8ni Жыл бұрын
Simulizi hii tamu kweli inaumiza
@mishelygodlisten1171 Жыл бұрын
Anko jay wetu huyoooo endelea kutuburudisha na simuliz mix mmejua kutuliwaza sana anko jay wetu
@FurahaIdama5 ай бұрын
simlizi ninahusu pia maisha yng japo kunatofauti kidogo nilimpenda mwanaume ambaye hata sasa siwez kusahau alipewa kesi nakutiwa ndani siku zote alizokaa sentoro pole post basi nilishinda hapo hadi polsi wakanichoka lkn siku yaliyopata uhuru alienda kulewa na mwanamke mwengine bila hata huruma huku nikiwa nauja uzito wake kitu kilichopelekea kuharibika kwa mimba mapenzi haya nyoko jaman
@raidaiteriteka Жыл бұрын
Ank j wangu 😢😢 hakika sijutii kuifahamu kazi yakk😢😢😢
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Anko jay hupo na huku haya tupo pamoja haya jamani tunainjoi tuu na simulizi tamuuu🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@جميلهخميس-ط5ث Жыл бұрын
Sitory za hivi hapana kwakwel watunzi mtuonee huruma wasikilizaji yani sitory ni kulia mwanzo hadi mwisho Aiseee😭😭😭😭😭😭
@ataamansi8941 Жыл бұрын
Maisha yalivyo nafurahia simulizi ambayo itanipa furaha yani hata kama mwanzo utakuwa mbaya mwishoni tufurahie,sio lisimulizi linazidisha stres inaondoa furaha kabisa, acha nirudie kwa mara nyingine simulizi za Lissa Mwalla,loo mbona TAMUUU halafu hazichoshi, bando linaenda halali kabisa, Lissa Mwalla anajua tena ajua sana utunzi wa mambo halisi yanayokabili binadamu leo, msimuliaji wake Anko Jei 👏
@جميلهخميس-ط5ث Жыл бұрын
@@ataamansi8941 Yani simulizi maumivu mwanzo mwisho hadi unajuta kuisikiliza hapana kwakwel😢
@TauhidaSaid-k7q Жыл бұрын
😭😭😳😭😭ekh mungu we pitisha huruma yko kwa wanawake wanoptia mateso 2:46:18
@maryrungwe Жыл бұрын
Hii simulizi imenitowa.machozi sana polesana emelida
@MoniqueNuru22 күн бұрын
Simulizi hii inanilinza Mungu wangu tusamee na pia tumejifunza mengi 😭😭😭😭😭😭😭
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Asante Anko J kwa simulizi nzuri ya mafundisho pole mama lmerida
@HabibaSaid-f8r Жыл бұрын
Doctor huna tofauati na mwalim wa mathe
@jennytugara9470 Жыл бұрын
Duh hadithi ya kusikitisha eti kijiji ulichozaliwa kinakutoa kafara eti Mvua hainyeshi Baba yako Mzazi anafanya unyama huu. Kumbe hata mapenzi kati ya wazazi na Watoto imekua mkataba kama ndoa tu. Uhusiano unaweza kwishaa na kuzikwa. Nilifikiri Mume au Mke ndio anaweza kuwa sumu. Asante Anko Jay nimejifunza sana🙏🏾
@SophiatembaTemba11 ай бұрын
Kwakweli hii simulizii😢😢😢😢😢menitoa sana machozi
@rahelbaduu4875 Жыл бұрын
Anko jay na huku upo bc sisi na wewe tu mwanzo mwisho hatukuachi 🥰🥰🥰
@MzakiDoro Жыл бұрын
Kwakweri ni maumivu makali mungu pekee atupinganie ss wanawake tunaopitia mateso makubwa,
@misrahmisrah876121 күн бұрын
Ankojay simulizi nzuri sana no ya kusikitisha sana yaani imenitowa machozi mpaka nashindwa kuongea roho inavyouma kwa simulizi
@hellenwanjiku98916 ай бұрын
asanty anikojeiiii Aki hiyo simulizi imeningusa Sana mbaka nimetoa machozi kusema kweli nifunzo kubwa Sana aki
@sophiebanga9533 Жыл бұрын
So sad simulizi nzuri saana kanzi nzuri saana kwa mtunzi
@fallymetoo191 Жыл бұрын
Anko J pamoja sana 👍🏻
@RashidaHamad-o2g5 ай бұрын
Watu hawana huruma jaman 😭😭😭
@zeyqueen9538 Жыл бұрын
Gonga like kama umelia on this story 😢😢😢😭😭😭
@salomesaedy8186 Жыл бұрын
U’re talented
@selfamitche3530 Жыл бұрын
Daah inauzunisha sana 😢
@swabrarashidi1082 Жыл бұрын
Dah so sad but good story
@khadija.kkhadija.k7885 Жыл бұрын
Pole merida yote yakidunia . ...asante kwa story tam sana
@PiliKhamis-mb6ty Жыл бұрын
Hii simulizi imeniliza sana jamani duuh moyo unauma sana
@queenlee9495 Жыл бұрын
😭😭😭😭Jamani Anko mbn ume niliza ivo jaman dooh pole sana mpenz mungu atakutia nguvu na watoto ni baraka hivo pambana na mwanao😒😒😒😓😭😭one love wana simulizi mix 💚💙💜
Wanawake jmn yapo yakuvumilia na mengine tusivumilie mateso hata mungu anakuona😢😢😢
@hawasaid2670 Жыл бұрын
Pole sana my love 😢😢😢😢😢😢😢
@leilasalim-2009 Жыл бұрын
😢😢kiukweli wanawake tunapitia changamoto nyingi sana wallah hata nikikumbuka siachi kulia mtu unahagaika na mimba unajifungua kwa uchungu kisha mtu anakupa manyanyaso kisha unaambiwa mtoto ni zawadi yake😢😢
@chantalmavandu4950 Жыл бұрын
Kweli hata mimi wanachukiya wanaume mno wa mama tuwejasiri mno
@shamsaismail7707 Жыл бұрын
Anko jay tupatie part 2 yke
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Hii story ya fanana na maisha yangu ndo siamin kama waeza msaidia mtu asifungwe jela kisha atoke jela anisahau na kuniachia mtoto kwale wanaume sitawaamin milele
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Pole sana mpendwa ndio dunia japo sio wote
@moeshajuma1271 Жыл бұрын
Very sad,pole dear 😢
@catherinekadima Жыл бұрын
Pole mpenzi ni wanaume jinzi walivyo
@AshuraAlly-f7w Жыл бұрын
Mmmh nabaki nalia tuu
@locyejohn4620 Жыл бұрын
Pole sana mpnz
@DeboraMwasweba-ij4qf Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭mhhh mateso bn mateso too much mateso duuu ni huruma kwakweli 😢😢😢
@rahmaayubu2514 Жыл бұрын
Story nzur asante anko J
@CarolyneWetala Жыл бұрын
It's so sad story but I personally nimelearn so so much 😢😢😢😢
@wardatothman2881 Жыл бұрын
imeniliza sana😢😢😢😢
@joykatakana1099 Жыл бұрын
For sure ckuweza kuimalizia coz inackitisha sana cwezi jizuia
@RehemMosh-io9btАй бұрын
Jamani. Ubarikiwe
@zuenahz5514 Жыл бұрын
Waoooooooooooh wajina wangu zuwena mungu akutangulie kwa wema wako ulomfanyia Emmy na mwanae😢😢😢aise nimejikuta nalia kwa simulizi hii
@binthassan9191 Жыл бұрын
Simulizi nzuri na yakuskitisha sana ,,asante sana msimuliaji tunaenjoy ❤❤
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Mhmm 😢😢😢😢😢😢😢jamani mwe😢😢😢😢😢😢 nashindwa hata kufikiri huyu baba Imelda jamani
@BahatiAlfani-x7t22 күн бұрын
😭😭😭WALLAH YINAUMA SANA JU WABINA DAMU SIO WATU WA MZURI KWELI
@ayishaayi5205 Жыл бұрын
Umejua kutumwaga machozi anko Jay huna bahaya😢
@ashamenza2212 Жыл бұрын
Anko jey bigup n smix
@nahimanajo8993 Жыл бұрын
Imenilza sana 😭😭😭 Anko Jay
@TauhidaSaid-k7q Жыл бұрын
anko j for life❤
@sedrickmalilo7 ай бұрын
Brother j actually nakukubali sana we kiboko mno yani mimi shabikiako mkubwa tu naishi Canada Ontario na kuku bali sana mzee kilasiku nakusikiliza af odari kweli kweli wakusimulia kiukweli sichoki kuku sikiliza aisey.
@Masterkhantz5 ай бұрын
Akika nalia kwa uchungu sana yani naahidi wanawake hote watakaoo kuwa karibu yangu na lazima nitekeleze that is my promise by God's face 😢 😭 😢 😭 😢 😭 😢 😭 😢😢😢😢😢😢
@najmasaleh5536 Жыл бұрын
Inaliza na kuhuzunisha haya nisubir itaishia vip. Allah tustir na vizazi vyetu😢
@Adonai810 Жыл бұрын
AMAZING STORY ANKO JAY 🔥🔥🔥🔥🔥
@nismaali2982 Жыл бұрын
Pole mway matatiz tumeumbiwa binadam mung atakusaidia ❤❤❤
Gonga like hapa kama umeguswa Kwa uchungu 😢😢😢na hii story ya ankoJay ❤❤
@ZaiZainabu-o4p2 ай бұрын
Jmn daah simuliz inauma iyi mateso makubwa sana😢😢
@بنتكينيا Жыл бұрын
Nimelia snaa😭😭😭😭
@polinlizzlizz Жыл бұрын
Kwanzia leo nimewacha mambo ya wanaume kabisa 😢😢😢😢😢
@lovenessyesse9053 Жыл бұрын
😂😂
@wardatothman2881 Жыл бұрын
😅😅😅
@IRENEJiresi9 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢
@mwanamisiabdalla5551 Жыл бұрын
Pamoja san anko j❤
@mayaalshukairi9485 Жыл бұрын
Uyo mkaka ningemuona ninge mtiya risasi sheteni
@najmasaleh5536 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭Lahaula walakuwata
@polinlizzlizz Жыл бұрын
Imelida pole sana 😢😢😢😢😢😢
@kevenkeven7381 Жыл бұрын
Jamani paka naliy😭😭😭😭😭😭
@RukiaYasini-dm1tr Жыл бұрын
Inasikitisha sana jmn
@shahrayn932 ай бұрын
Kwa mda mrefu nimerudia ino cmulizi kwa machozi mengi sna...nimelia vyakutosha cjui kwann naic maumivu ndani yangu 😭😭😭😭😭😭
@JANIFFERWAYUA Жыл бұрын
Nimeshanga sana na Sheria za Tanzania kuchukua adhabu mikononi mwao?na kutesa binadamu mwenzao?
@ZuhuraHamisi-fi9ryАй бұрын
Asalamu alaykumu vp Hali zenu
@PiliKhamis-mb6ty Жыл бұрын
Yani inauma sana inaliza
@racheluwda6552 Жыл бұрын
Nimashidwa kuvumilia nimajikuta nalia jamani Anko jay 😭😭😭😭💔💔💔
@KuvunaGonda-l4f9 ай бұрын
Haya twende nalo sambamba 🎉🎉
@chantalmavandu4950 Жыл бұрын
Kweli Mungu awalinde mama wote tunakipaji Mkubwa kwa kuleya watoto
@sophiebanga9533 Жыл бұрын
Pole saana dada
@ajiliamosi9102 Жыл бұрын
Jamani anko j unatutesa sana sema tu we hujui .wiki inaisha Lisa mwala hatukumbuki kweli tumesha ludia ludia sana hizi za nyuma mpaka tunajisikia vibaya Sana maana mb. Zetu zaishilia bila kusikia kibao cha Lisa jamani
@ataamansi8941 Жыл бұрын
Kweli kabisa narudia sana simulizi za Lissa Mwalla Mtunzi bora mno, hizi zingine hovywo mno haziendani na mambo halisi yanayokabili binadamu leo, wanalazimisha kutunga hawana kipaji kabisa, mfano hii simulizi, maiti ya mwanangu simulizi za hovywo mno.Lissa Mwalla kiboko hana kazi mbovu hakurupuki utunzi anaujua haswaa 👏
@leahmajaliwa6575 Жыл бұрын
Umeonaee lissa mwallah ajengewe sanamu ni lamata wasimuliz
@mwanaishakama3381 Жыл бұрын
Kweli kabisa adhiti za Lissa na Edga zinaendana na maisha halisia pia zina hatma ya story lkn wengine mtu anateseka mwanzo mwisho
@mwanaishakama3381 Жыл бұрын
Japo simulizi zao zinatutesa ss tulio gulf kwa kutuloeshea chupi😂
@ataamansi8941 Жыл бұрын
@@mwanaishakama3381 Mwanaisha wewe, mie aka sidhuriki na lolote ,no kulowa tumeumbwa tofauti, napenda simulizi zao ndivyo mambo halisi yanayokabili binadamu leo
@nellylewa44579 ай бұрын
Asante sana ankojay lkn inasikitisha sana😭😭😭
@MaryamKhamis-w9s Жыл бұрын
Story inaumiza na inasikitisha😢😢😢
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Hivi kuwahukimu binadamu wasio .na hatia kutaisha lini duniani😭😭😭😭😭😭
@saraasatenisanasimlizimixc9232 Жыл бұрын
Asate sana ako j
@MaracomKibocomplex7 ай бұрын
Anko j 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@hdhjdh775 Жыл бұрын
😭😭😭 nimeumia San
@Lela-l7g7 ай бұрын
Anko j mwambie lisa mwala atulekee simulizi bana juu lisa pekee niye ako n vitu moto moto