Asante Anko Kwa simulizi ya ujumbe na mafundisho kweny maisha yet and love every day❤
@agnesagnes52888 ай бұрын
Aiseeee ankoj ubarikiwe xn nice voice ❤❤❤❤
@FatimaRamadan-s4f8 ай бұрын
Amin
@EdwardDismass8 ай бұрын
Wewe trna
@Nawmi-p9b8 ай бұрын
Yaa original voice 😂😂😂😂 we love ❤❤❤❤ you
@FatimaRamadan-s4f8 ай бұрын
Much love ❤
@AjrasMobile-q8j8 ай бұрын
Najiliwaza na simulizi hii wakati naisubili bint Lisa😊 asante anko j kwa kutwambia yanayoendelea duniani😢
@NadzuwaGofwa8 ай бұрын
Asante Ankojay kwa kutuleta simlizi zenye mafunzo mungu akubariki na akupe maisha marefu
@SusanNeema-re3hr8 ай бұрын
Nice simuliz anko jay 🎉🎉
@Jasmeni-ns9dg8 ай бұрын
Aya jaman mm leo wakwanza like zenu kwenye ngoma jipya🎉🎉
@UmayyaNkya-ze3ri8 ай бұрын
Kaka hukoseagi tunakusapot kila simulizi ❤❤❤
@medinahsamita39818 ай бұрын
Asante sana ankojey kwa simulizi ❤❤❤
@SarahM-bq7us6 ай бұрын
Asante babu sitaenda kwa nganga tena wacha niombe mungu
@fetreshazKhamisi8 ай бұрын
Pamoja sana anko jay 🇴🇲❤️
@Oumaymahmm7 ай бұрын
KAKA YANI WEWE😂😂😂😂😂NOMA KWA TAFSIR ❤❤❤❤❤
@teddysananga8 ай бұрын
Ally Mbetu, simulizi zako hazichoshi🎉🎉 msimuliaji pia upo vereee🎉🎉
@GabrielyShephatia6 ай бұрын
Kak sn unajuw sn yn u have good creative..
@priscillahsirya65448 ай бұрын
Nimewaiii team kuwai tujuane hapa❤❤❤❤❤❤❤
@FatimaRamadan-s4f8 ай бұрын
😊😊😊
@violetmulya8 ай бұрын
Once again the voice we are addicted to ❤❤❤❤❤
@AyoubAyoub-p3c8 ай бұрын
Anae mkubali anko J agonge like ap
@JuliasMboya-wv7le7 ай бұрын
Nakubali san
@Evaline-n1p8 ай бұрын
Oooooyoooooo wakwaaanzaaaaa 🎉🎉🎉❤❤❤
@MoshiMoshi-qy8dq8 ай бұрын
Ni mwendo wa ku enjoy 🎉🎉🎉❤❤❤
@Arafat-c8z8 ай бұрын
😂😂😂 Mawazo muoga san😂😂😂
@gssmarter11068 ай бұрын
Scorpion 🦂 ♏ 🦂 from Zambia
@aumuelly29098 ай бұрын
Love anko Jay ❤❤❤ahsante
@AishaNanzua8 ай бұрын
Wa kwanza leo❤❤❤❤
@aminaomarimaidi8 ай бұрын
Chezea milioni weye😃😃
@QueenElizabethmamy8 ай бұрын
😅😅😅😅
@FatumaHamisi-sr6yj8 ай бұрын
Huna baya anko wetu 😍😍 kazi nzuri sana kaka ally mbetu🥳🥳
@MishyYusuph8 ай бұрын
Ahsante sana Anko kwa simulizi yetu hii nzuri,tuko pamoya.
@fatimafoaani22638 ай бұрын
Nice 👍 story be blessed anko Jay wetu kipenzi ❤❤❤🎉🎉🎉
@FarajaFesto-i6c8 ай бұрын
Asanteee anko mapesa ♥️♥️♥️
@LilianOsimo8 ай бұрын
Asante Sanaa anko jay wetuuu kwa simulizi nzuri❤🎉🎉
@TodosiaMuhagama7 ай бұрын
Una simulizi nzuriii
@WwEe-qc7tc8 ай бұрын
Heri nichelewe ila nisikose tuu kupata tuu huu uhondo Anko jay shukrani MUNGU azidi kukutunza na kukupa afya njema kwani wewe umekuwa wamaana sisi wengi tulioko gulf
@ThuwaibaMbarikiwa-l6e8 ай бұрын
Hee ❤no one🎉🎉🎉
@YohanaMwakaje7 ай бұрын
Kazi zingine daaaa😭😭😭😭😭
@Oumaymahmm7 ай бұрын
😢😢😢
@aminanuranassor6608 ай бұрын
Very stor so much ❤❤
@JudyErick-e5l8 ай бұрын
Nice Anko j ❤
@HappyMichael-mw8th6 ай бұрын
Nzur san anko jay
@neemafesto81268 ай бұрын
Huna baya anko jay 😢nakupenda sana
@Sidrasidra6368 ай бұрын
Acha nisikilize❤ 😊
@JoyceJulius-r6g8 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤❤ abadani asilani hakuna mpinzani wa anko j ni wewe tu maisha yote
@RachelGunda-h2m8 ай бұрын
Anmo j naomba simliizi ya I I love you sehemu ya mwisho humu siioni sikukusikiza please
@RosemaryDismas-z7x8 ай бұрын
Umetisha🔥
@catherinemalaki9238 ай бұрын
Jamani Uncle Jayyyyy please we neeeeed the part 2😭😭 asap
@MbukeMvanga-wc5xk8 ай бұрын
Wakwanza jaman 🎉🎉
@Zuhrasaidi-sb8ps7 ай бұрын
Asante kwa simulizi nzur ya mafunzo😢
@Oumaymahmm7 ай бұрын
YANI WE MBABA NAMBA 1 SIMLIZI NA ALLAH AKUPE MAISHA MAREFU AAMIN❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@aminarama16338 ай бұрын
MashaALLALH
@mayajuma36368 ай бұрын
Mashaallah
@saadamohammed74318 ай бұрын
Hatime ancojay kaingia uwanjani mungu akubariki ❤❤❤❤❤
@Zena-z1m8 ай бұрын
Wakukaribia na mwisho tujuane 😂, ila chelewa ufike
@babag71388 ай бұрын
Ankoy simulizi nzuri much luv ❤
@SarahEzekiel-d9n8 ай бұрын
Nimewahi namimi leo angalau kidogo😊😊
@pendopoly8 ай бұрын
Apani. Kazitutu. Ankojey. Mungu. Aku Baliki. 🙏🙏❤️❤️
@@essisalman7379 we acha tu m iyo sehem ya kwanza tu ucku niliota hii ya pili imetoka leo hata cjasubutu kuifungua
@LukhayhiyaMachumu-e7r8 ай бұрын
Wakwanza jamani ndani ya anko jay nipen like zangu ❤❤❤
@LisperNjeru-bv3gb8 ай бұрын
Waoow ❤❤❤
@SharifaNgulipa8 ай бұрын
ally mbetu anapenda simulizi zakutisha me naogopa😢😢😢
@bahatimrutu32432 ай бұрын
😂
@rizikibakari35988 ай бұрын
Shukurn 🙏 Ankojay wetu ❤️
@luckynoah7 ай бұрын
Kazi nzuri sana kiongozi
@TeklaNdekeja8 ай бұрын
Nimewah kdgo 🎉🎉🎉 achaniklizee
@PhoebeWafula-d6c8 ай бұрын
Part 2 plzzzzzz ankojoy ❤❤
@Dianamichael-b3n8 ай бұрын
Imeshatoka
@angellandambuki7948 ай бұрын
Hii kiboko ankojay 😂😂😂😂😂
@Rahema1238 ай бұрын
Good job ❤ ❤
@Petitegift8 ай бұрын
YAN UWAGA NAPENDA SIMULIZI ZA KULIKO ZAMA PENZI. ASANTE ANKO J ❤️ JITAIDI UWE UNATUTOLEA ZA IVI ❤🙏🏽
@NahiratyMachela8 ай бұрын
Minapenda za mapenzi au kwakuwa mimi niyatima wa mapenzi wa uarabuni 😂🙌
@Petitegift8 ай бұрын
@@NahiratyMachela hahaha Enjoy nazo sio mbaya pia
@MwanaidAlly-ce7dr8 ай бұрын
Amazing l love it❤❤❤
@MatumainiGloria8 ай бұрын
Wakwanza leo jamani ❤🎉
@hakizimanatatuhakizimana61868 ай бұрын
Iyo kazi siitakii Ankooo
@OliverNyange8 ай бұрын
Ankoj leta pat2 yake basi jaman
@RosehalubhaHalubha-nu3sv8 ай бұрын
Anko nakupenda tuu bure ❤❤❤😊
@EdinaAosa8 ай бұрын
Ongera sana kwa kazi nzuri
@LillianIdi-fh6vb8 ай бұрын
I'm number one
@aminaomarimaidi8 ай бұрын
Kabisa dah🤔 Yataka moyo kweli afu inasemeka ukifanya kazi katika chumba Cha maiti lazima uwe dk 0 mbele😂😂😂
@AnithaeliasyAnithacharlesy8 ай бұрын
Jaman kila mtu wa kwanza kaaah😂😂😂
@violetmulya8 ай бұрын
Hii simulizi imerudiwa kama mnaikumbuka vizuri
@fatimejamal16868 ай бұрын
Zafanana tu
@violetmulya8 ай бұрын
@@fatimejamal1686 ni simulizi moja dear ngoja labda sehemu ya pili itakua na utofauti lakini hii ya kwanza zinafanana mwishowe kuna sehemu wataleta mama alikufa na ujauzito
@merry4868 ай бұрын
Jamani anko lisa yukowapi
@AminahMswahili8 ай бұрын
Asante sana anko jay
@Fatum1128 ай бұрын
Wauuu?..Amazing voice 🎉🎉🎉
@glorylyimo60378 ай бұрын
The number one voice ❤❤❤❤
@Dasoor-tt3vf4dj8i8 ай бұрын
Siyo washisho sanaa
@festinamwakipale39197 ай бұрын
Na bado.watu.wanajiunga freemason.nawahurumia.sana.
@Remsyjay4828 ай бұрын
Wakwanza naombeni likes zenu wacha nikae kwa kutulia nione kama yaliyomo yamo😂😂
@nchidabajuma94018 ай бұрын
Part 2 anko jay
@mariam-yw3nn8 ай бұрын
Asante angalau nimesikia sauti yako
@nurafedrick3788 ай бұрын
Yani utajiri huo koma bora tuu niosher luta inne zawarabu napata halali yangu lkn sio hiyoo yakuadhibu maiti