Kwa majina naitwa Catherine Solano, ni mzaliwa wa jiji la mbeya, na ni mtoto wa pili katika familia ya mzee Solano yenye watoto wawili ambao ni mimi Catherine na dadangu caren.
Пікірлер: 245
@lissamwalla5017 ай бұрын
Msela wangu anko Jay umetishaaaaaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤🎉🎉🎉😅
@ankojay_7 ай бұрын
😂😂🙌 Noma sana
@EpimackChami-g2f7 ай бұрын
Msela wangu anko jay vp
@salhatiddy7 ай бұрын
Napenda sanaaaaaa similz za lisaa mwala unajua nikwanini ? Kama unatkakujua. Niambie
@Zuhuranadadoita7 ай бұрын
Nakukubali saaana Lisa sikuhizi umepowa
@FatimaRamadan-s4f7 ай бұрын
@@ankojay_hii ni marudio au si nivile nazunguka u tube sana naona watu hawaijui lakin mm najua huyu kijana atakuja kumuokoa huyu mschana kwa kipogo cha huyu mzee
@TeklaNdekeja7 ай бұрын
Chimbo letu linamadini mengi hatuhami kila leo ktu kpya mwaaa ankojy Asante kuleta ksa Cha msela Lisa mwala ubalkiwe kpenzi ❤❤🌹🌹🙏🏃
@Lucy-vp8pm7 ай бұрын
Napenda sana sauti yako ankoj ❤❤❤❤pokea wale tunaikubali sauti ya ankoj like hapa
@omarympoyosy47327 ай бұрын
Leo nimekua wakwanza,, lisa mwala na anko j nyie ni nomaaaaaaaaaaaaaaa💥💥💥💥💥
@mimi_SAM247 ай бұрын
Aaaaa! Lisaaaaa 😍 ngoja tumckilize huyuu msela 😊
@Fatmamakame-q5w7 ай бұрын
Jamani leo sijachelewa sana msininyime like 5 ty naombeni😢😢
@Shadia5447 ай бұрын
Haya tena MSELA 😂JAMANIII KAFANYANINI TENA TUNASIKILIZA MNAJUA PENZI LA MSELA JAMANIII KAMA UMEWAHI KUWA NA MSELA LIKE 10 MICH U LISSA MWALL ❤
@MagegeSwaumu7 ай бұрын
Leo nimewahi wa 35 naomba like zena
@samychance7 ай бұрын
Eid Mubarak anko jay family 🎉🎉❤. Karibuni tuenjoy pamoja kula huku tukisliza sauti yetu Pendwa🎉🎉❤🎉
@FatumaRamadan.Mwalim7 ай бұрын
Thanks dear ❤
@Lucy-vp8pm7 ай бұрын
Nmechelewa wadau ila nmefika like jamani
@FaithPeter-j4w7 ай бұрын
Wao nimechelewa lakini nimewai🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NerryBosslady7 ай бұрын
Mashapik wa lisa mwalla tujuane ❤❤🎉
@EdithaJoseph-zt2xu7 ай бұрын
Jaman Lissa mwala hajawahi kutoa Boko tumsifieni mwanamke mwenzetu anajua huyu dada ❤❤❤❤
@ShamimSalum-z9b6 ай бұрын
Kabisa na mkubali sana
@EdithaJoseph-zt2xu6 ай бұрын
@@ShamimSalum-z9b kweli
@sandrahnsengo16 ай бұрын
Anajua sana Lisa yn me naskiliza story zake tu aloandika yeye😂
@MarionRaphael-d7v3 ай бұрын
Anajua anajua anajua tena
@christinahaule-p8i4 ай бұрын
msela ajatulia ata kidogo uyo mwanaume kazi kubadilisha wanawake tuu katulia ahhaha ❤❤
@YasintaHongela-j4s7 ай бұрын
Mie nazikubali sana simlizi za lisa Mwala Ankoj sauti yako tu ndiyo itaonesha uhalisia wa kilichoandikwa
@fallymetoo1917 ай бұрын
I'm no.1 thanks Ankoj nimekaribia
@Renneykim17 ай бұрын
Catherine ❤ mm huyo alaf n second born 😂😂 nipeni likes zangu za kutosha
@samychance7 ай бұрын
Vile siku hizi nawahi mpaka najihisi Binti mfalme😂, haya wekeni like zangu Kwa msela😂😂🎉
@MuzznaMo127 ай бұрын
nimecheka
@MuzznaMo127 ай бұрын
😂😂
@RodrigueNishimwe7 ай бұрын
😂😂😂
@esthermugoli45277 ай бұрын
😂😂😂
@japhetkisakabbn5177 ай бұрын
Àq1q1àà@@RodrigueNishimwe
@aliyhassan67157 ай бұрын
Wakwanz like n mm wapendwa
@usterbae7 ай бұрын
Kazi nzuri ankojay i appreciate your effort❤❤❤
@ZaiZainabu-o4p7 ай бұрын
Ancojey asante kwa kazi nzuri🎉
@AAa-it7nx7 ай бұрын
Woyooooo wako API wale wasela kama wewe msela kama mimi gonga like 😅😅
@FadhilunMohamed-je8en7 ай бұрын
Asante kaka nakuelewa sana. Dada Lisa mwala asante Nakupenda sana wewe Na simulizi zako
@binthassan91917 ай бұрын
Woyooooo 😂masela tujuane kwenye comment 😅😅, Ahsante Anko jay kwa kigongo kipya tunaenjoy sie,,tuliokua tumemiss simulizi za lissa Mwala tujuane kwa like jamani 🎉🎉🎉🎉
@Jasmeni-ns9dg7 ай бұрын
Haya mambo ya msela tusikilize kwa makini msisahau kunipa like zenu ❤🎉
@vumliatulizo48297 ай бұрын
8:14 8:19
@ChristinaJohn-gn9sp7 ай бұрын
First comment I love you anko jay
@sephrinewarenga27457 ай бұрын
Wow,kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love
@PaulinaLwena7 ай бұрын
Mwendo wakobe nipo,asante anko jay twende na msela wet 😊😊😊
@LizaLiza-v2m7 ай бұрын
❤❤❤❤LISA BEBEEEEE LISA WANGU MIE NAKUELEWA SANAAA OYA MSELA OYAAAAA❤❤❤😂😂😂
@lissamwalla5017 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Maryalphoncedr4xo5yp8b7 ай бұрын
Leo niwahi guys msininyime like zangu pls 😢😢😢😢😢
@EdithaJoseph-zt2xu7 ай бұрын
Sasa unalia nn au furaha imezidi
@ROSEROBERTROBART7 ай бұрын
😂😂😂😂😂@@EdithaJoseph-zt2xu
@Kellyperry9477 ай бұрын
ᴺᵈⁱᵒ ʰⁱᶻᵒ ˡⁱᵏᵉ ᵐⁱᵃ ᶻᵃⁿᵍᵘ ᵇᵘʸ ⁿʸᵃᵐᵃ 😅😅😅😅
@EdithaJoseph-zt2xu7 ай бұрын
@@ROSEROBERTROBART 🙌🙌
@EdithaJoseph-zt2xu7 ай бұрын
@@Kellyperry947 🙌🙌
@JosephinaDidas-cs6wo7 ай бұрын
Jaman leo mi nimewah naomben like
@DortheaMaria-ti5er7 ай бұрын
Haya wekeni like zangu kwa msela 😂😂
@victoriangasa7 ай бұрын
Vitu vya LISA MWALA MHUUU navijua hivii 😂😂❤❤🎉🎉ni vitamu kweli 😂
@aumuelly29097 ай бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤❤
@khadija.kkhadija.k78857 ай бұрын
Pamoja anko j tunafuraiya uwezo wako ❤
@ruthwaithera26507 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤..again from lissa mwala
@MishyYusuph7 ай бұрын
Woow!Ahsante sana Anko kwa simulizi yetu hii nzuri mpya,usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤️.
@avelinabaluhya28047 ай бұрын
Mtoto hakufundishwa vizuri huyo,ukipokea zawadi ya mtu hiyo ni ndiyo kwa ombi lake,lazima ukatae kila zawadi kama humtaki😂
@RahelIbrahim-id2li2 ай бұрын
Mama hana muda wa kumfundisha yuko busy na biashara ya samaki,kizazi hiki inatakiwa tuwaambie watoto vyote mpaka vya uzunguni
@JuddyJudith7 ай бұрын
Leo nimewahi nipe likes jamani😢❤
@DorcasMuomba-gd3sw7 ай бұрын
Asantee anko jay shukrani ila tunaomba Binti Lisa 🎉🎉🎉🎉
@mumbikibathi70367 ай бұрын
Mumbi Wa Naivasha Ndani Ndani wapi likes
@AngellaNdambuki7 ай бұрын
Wakwaza mie wadau like zenu nawapenda sana❤❤❤❤❤
@HemedBaruan7 ай бұрын
Duh jaman naomben like zenu
@TheresiaMnunga-cg1sd7 ай бұрын
😢😢Na mimi nimewahi leo guys naombeni likes zenu vipenzi ❤🎉😂
@christinemwendejuma44017 ай бұрын
❤❤❤ from Kenya Nairobi
@makayistevenmusso15207 ай бұрын
❤❤❤very nice my Frend simulilzi tamu cana
@Jennie-jk2ql7 ай бұрын
Ivi like uwa wanakula na Mimi naombeni Nile jamani
@fatimafoaani22636 ай бұрын
Nice story be blessed anko Jay ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@TechnoceFabien7 ай бұрын
Tuko pamoja ankojay ❤❤❤
@rizikibakari35987 ай бұрын
Shukurn 🙏 Ankojay wetu ❤️
@saumukambi85627 ай бұрын
Huna baya lakutupu raha nakujifunza Anko na lisa mwalaa Mungu awalindee❤❤❤
@WinniePretty-t1v7 ай бұрын
Anko Jay, msela anatishaaaaaaa😂😂😂😂❤❤❤❤ Romeo anatembeza ndundu loooh 🤣🤣🤣🤣
@patriciakyalo34547 ай бұрын
Asanti happy Eid eve
@FatumaHamisi-sr6yj6 ай бұрын
Msela sio poa anko🔥🔥🔥
@latifa73587 ай бұрын
Jamani mie nafikiri huyu Lissa Mwalla nimtu wambea, maana simulizi zake nyingi zinaelezea huko, natamani kufika nipaone mbeya palivyo,, anyway ngoja nisikilize Msela😊😊
@victoriangasa7 ай бұрын
Umeona hee hata mimi nilikuwa nafikiria ivo😂😂
@VictoriaFuka-iz6fi7 ай бұрын
Kweli atakuwa ni mtu wa mbeya simulizi zake zimedill na watu wa mbeya
@Babyfaty-m3y7 ай бұрын
Yaani anko asnte kwa hii simulizi kaz kaz lisa mwala tumsikilize na msela wke 😂😂😂
@HemedBaruan7 ай бұрын
Kwer atupoi
@HusnaAthumani-yr3kp7 ай бұрын
Jamn anko jay upewe mauwa yako🎉🎉🎉pia lissa 🎉🎉🎉
@AshaharounAbdalla7 ай бұрын
Weeee ankojay hongera nimeipenda msela
@avelinabaluhya28047 ай бұрын
Waooo!jamani Lissa huyooo❤❤❤🎋🎋🎋💐💐💐🌹🌹🌹🪴🪴🪴🥀🥀🥀🥗🥗🥗💃💃💃
@RahelIbrahim-id2li2 ай бұрын
Katika ubora wake
@avelinabaluhya28047 ай бұрын
😂😂😂😂 khaaa Romeo amekuwa nurse ktk chumba cha sindano watu wanaongia kwa foleni 😂😂😂😂😂😂😂
@ImmaculateMkhambe7 ай бұрын
Siwezi kaa bila kusikiliza simulizi n kama nko addicted
@VictoriaFuka-iz6fi7 ай бұрын
Uwiiiii ya ankojay😂😂😂😂😂😂
@bahatifransis90197 ай бұрын
Sija imaliza lkn nimependa mashoga kupatana❤
@agnesagnes52887 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤cjachelewa xn
@TeklaNdekeja7 ай бұрын
❤❤
@SalhaMohd-k7y7 ай бұрын
Umeuwaiyooo
@DeodathaMasoud-uo9jf7 ай бұрын
I♥♥ anko j $ lissa mwala
@fallymetoo1917 ай бұрын
Eid Mubarak 🎉🎉🎉
@FatumaRamadan.Mwalim7 ай бұрын
Minal faizina fii dhunia wali ahera inshallah
@GhaithaMussahaji7 ай бұрын
Nimewahiii jaman maajabu 😂😂😂😂anko jay nakupenda mie🤣🤣🤣nauguwa
@KhadijaKassim-k8d7 ай бұрын
Asante sana ankojay Allah akulipe kheri Inshaallah ❤❤❤❤
@FatumaRamadan.Mwalim7 ай бұрын
Amin
@roselambert67007 ай бұрын
Awww Lisa mwala ❤
@MarieNgabo7 ай бұрын
Nalalisha viporo sana lakini ni mupe bi dada Lisa mwala mauwa yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@zindunadjuma83867 ай бұрын
Oooooooh Lisa upewe mauwa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏
@EstherJoram-gt4lt7 ай бұрын
😂😂😂jaman dakika zote hiz nimecherewa
@Amina-rg2xb7 ай бұрын
Waoooo ank Jay nilikumiss kweli
@EmmeMrrras7 ай бұрын
Kazikazi ankooo ❤❤🎉🎉
@AshaharounAbdalla7 ай бұрын
Ahsante anko KWA smulizi hii
@مريمكينيا-ش8ح7 ай бұрын
Asante anko
@ZaiZainabu-o4p7 ай бұрын
Tunaomba part3 ancojey plz
@IreneFuraha-y6z7 ай бұрын
Nice simuliz kaka anko
@ayishaHabibu6 ай бұрын
Kwani leo unaumwa 😢mbona sauti yako aiko okay
@RusyJackson7 ай бұрын
Tuko pamoja ukisikia ankoj anacheka ujue🔥🔥🔥🔥🔥
@UmayyaNkya-ze3ri7 ай бұрын
Mie pia nimewahi wa 240 😢😢msela kafanyeje tena huku😊😊twende kaz leo biz biz na eid jmn 😔😔ndo nimeachiwa sasa 😅😅
@SamsonFikili-pv4xk7 ай бұрын
Anko j napend san simuliz zak lakin kuna simuliz naitafutatag inaitwa house boy nikihitafut aiji muhusik Sam jasmin qeen
@SamsonFikili-pv4xk7 ай бұрын
Ntaipataj
@linnerphilip42607 ай бұрын
Anko jay Safar hii usipochelewesha utakua umetiaha sana
@avelinabaluhya28047 ай бұрын
Hiiiiii 😮😮😮 hakuna siri jamani,chefu
@WaridiMoshi7 ай бұрын
Ila amonaizi
@Kellyperry9477 ай бұрын
ᴹᵘˢⁱᵏᵃⁿʸᵃᵍᵉ ᵐˢᵉˡᵃ😅😅😅
@janethdaud2017 ай бұрын
Lisa mwala ninakukubali sanaa💏
@latifaalfa10347 ай бұрын
Aweeeeeeeeeeeeeee
@Izoodaddy7 ай бұрын
Ngoma Kali kinoma hii
@aminanuranassor6607 ай бұрын
Very stor so much ❤❤
@SalimaEdwin4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉waooooo
@VictoriaFuka-iz6fi7 ай бұрын
Ulete tu msela.ni nzuri mno😅😅
@AminaMuhammadkuzenza7 ай бұрын
Ankooo........❤
@FurahaBishari7 ай бұрын
kweli ango ji simulizi tamu❤
@hamidabaliyanga25847 ай бұрын
Asante sana Ankojay
@SuzanTimoth7 ай бұрын
Jamn anko jy unasaut nzur htr vp simulizi ya msela mwenderezo wake upo mpk ngapi