No video

Annoint Amani = Sasa Naona ( Now I see Official Video Skiza Code 9039320 To 811 )

  Рет қаралды 968,885

Annoint Amani

Annoint Amani

Күн бұрын

#annointamanisasanaona#
kipofi sio lazma uwe huoni macho ya mwili,Hapana hata upofu wa akili ni upofu, tena ndo upofu mbaya kuliko upofu wa mwili, maana ukiwa kipofi wa akili,Hata ukiwa na mali kias gani bado utaona maumivu na lawama nyingi kutoka kwa walio kuzunguka na ndugu zako,
Lakini Yesu amefanya tujitambue Rohoni na mwilini sisi ninani na tunatakiwa kufanya nini na mipaka yetu niipi,
Maana utajiri mkubwa hapa duniani sio mali bali ni kujitambua tu bas,
kuheshim cha mtu na kuheshim kidogo ukipatacho,
Pia kwenda na vitu vita 3 katika maisha,
neno Nisamehe ,
neno Pole ,
na neno Asante,
Hapo utaona maisha yatakavyokuwa mepesi na utapafa mafanikio makubwa sana rohoni na mwili )
Artist,Annoint Amani
Song,Sasa Ninaona ( Now I see )
Album,Mimi ndie Mungu pekee
Language Swahili
Booking
+255767240181= +255755099942
Instagram annoint amani)
Studio,A.E.A Tones prod by Meddy +255786849123
video, Directed by meddy & Yoel Mrisho

Пікірлер: 456
@annointamani3285
@annointamani3285 2 жыл бұрын
kipofi sio lazma uwe huoni macho ya mwili,Hapana hata upofu wa akili ni upofu, tena ndo upofu mbaya kuliko upofu wa mwili, maana ukiwa kipofi wa akili,Hata ukiwa na mali kias gani bado utaona maumivu na lawama nyingi kutoka kwa walio kuzunguka na ndugu zako, Lakini Yesu amefanya tujitambue Rohoni na mwilini sisi ninani na tunatakiwa kufanya nini na mipaka yetu niipi, Maana utajiri mkubwa hapa duniani sio mali bali ni kujitambua tu bas, kuheshim cha mtu na kuheshim kidogo ukipatacho, Pia kwenda na vitu vita 3 katika maisha, neno Nisamehe , neno Pole , na neno Asante, Hapo utaona maisha yatakavyokuwa mepesi na utapafa mafanikio makubwa sana rohoni na mwili )
@farajakasikile8846
@farajakasikile8846 2 жыл бұрын
Kabisa kabisa kipofu sio macho ya mwili tu ata ya kiroho kabisa
@mackrinaerenesto8237
@mackrinaerenesto8237 2 жыл бұрын
Amina mtumishi hakika ujumbe umefka mtumish
@maureenprosperity6335
@maureenprosperity6335 2 жыл бұрын
Kweli kaka
@chelangatnancy3329
@chelangatnancy3329 2 жыл бұрын
Amen
@chelangatnancy3329
@chelangatnancy3329 2 жыл бұрын
Barikiwa sans mtumishi wa mungu
@zipporaheric.
@zipporaheric. 2 жыл бұрын
Twende,sasa naona......From 🇰🇪 kenya am.your big fan.....You bless me
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@evelynstephen5428
@evelynstephen5428 2 жыл бұрын
Zippy,tunaona pamoja,
@annemule5886
@annemule5886 2 жыл бұрын
Wow kumbe uko huku mamangu wa kiroho🥰🥰🥰
@elzbelkopi1811
@elzbelkopi1811 2 жыл бұрын
12345689
@elizabethwambua8797
@elizabethwambua8797 2 жыл бұрын
Pia mi naona.zippy you are also my fan.you always bless my heart.
@DanielDePeterson
@DanielDePeterson 2 жыл бұрын
Enjiri yabwana isongembele Nami naona kwakweli
@burunga8686
@burunga8686 2 жыл бұрын
Heeeeee sasa naona Sabbas Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@TUMAINIMBEMBELA7
@TUMAINIMBEMBELA7 2 жыл бұрын
Nacgojuaga NI kukufurahia na huduma yako ndugu yangu wa uchungu
@sarahadonga6149
@sarahadonga6149 2 жыл бұрын
Shabiki wako mkubwa kutoka kenya
@annointamani3285
@annointamani3285 2 жыл бұрын
Asante sana dada ake wa Gharama Yesu yupo kazini💪
@sabbasburundi2404
@sabbasburundi2404 2 жыл бұрын
Hallelujah nabarikiwa sanaaaaaaaaaaaa
@annointamani3285
@annointamani3285 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Hallelujah ubarikiwe sana Jesus wa East Afrika 😂😂😂😂 King Sabbas kutoka Burundi heshima kwako 💪
@sabbasburundi2404
@sabbasburundi2404 2 жыл бұрын
Amen yaaani baraka tele
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki. 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@abdulazizali7701
@abdulazizali7701 2 жыл бұрын
Barikiwa kakangu mdogo... nabarikiwa nikiwa Dubai Bwana akuenue juu
@farajakasikile8846
@farajakasikile8846 2 жыл бұрын
Dady nasubiria video bonge la video bonge la ujimbe nakuamini dady UWA auniangushi
@annointamani3285
@annointamani3285 2 жыл бұрын
Usjal inakujaa, kama ambavyo unaamini bas usjal hapo ndani patakufanya usichoke kutazama video hii 😀😀😀😀💪
@farajakasikile8846
@farajakasikile8846 2 жыл бұрын
Ndani patachimbika silali hadi ni watch hii video naisubiri🔥🔥🔥
@sophiasophia6500
@sophiasophia6500 2 жыл бұрын
Amen
@annmunyi4333
@annmunyi4333 2 жыл бұрын
Swadakta ....wimbo mzuri umenichangamsha japo nipo hospitalini.nahisi nikiwa huru sasa....
@annointamani3285
@annointamani3285 2 жыл бұрын
Emeen Mungu akuhudumie zaidi 🙏
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki. 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@janetnduku6628
@janetnduku6628 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri,kweli nitamtaja huyu Mungu Kila wakati hata wakisema🔥🔥🙏🙏
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@rosadaproches9014
@rosadaproches9014 2 жыл бұрын
Nyimbo zako nzuri sanaaaa God bless you more man of God
@maureenmrembo4898
@maureenmrembo4898 2 жыл бұрын
barikiwa sasa nyimbo nzuri sana naskiza nikiwa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🥰🥰🥰
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki🇹🇿 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@rajabmugo3882
@rajabmugo3882 2 жыл бұрын
Wow wow Sasa naona, sitanyamaza nitasimulia kwamba naona....
@cookwithqueenladyj7459
@cookwithqueenladyj7459 2 жыл бұрын
Wooow 🔥🔥 song God bless you much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hellengithiaka8886
@hellengithiaka8886 2 жыл бұрын
Hallelujah!!! Wimbo poa zaidi umechangamkia Yesu na group yako Annoint!!! Sifa kwake … utukufu na sofa zote ni Kwa Yesu…. Hallelujah…. Baraka baraka upofu wa kiroho Mbaya Sana. Mungu atusaidie. Tuko wengi vipofu wa kiroho. Yesu tussidie kuona….shalom
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@everythinginlife8647
@everythinginlife8647 2 жыл бұрын
Kazi zuri nilikua nimemiss music yako ubarikiwe tunakupenda sana kutoka huku kenya 🇰🇪
@asantekwahuuwimbozubeda873
@asantekwahuuwimbozubeda873 2 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana ila hiyo kukata viuno tu no inaboa ila kwa wimbo na ujumbe aslimia 100 upo
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@upendokininki6897
@upendokininki6897 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana Kaka💪
@naturebclassic447
@naturebclassic447 2 жыл бұрын
Imenifikia bwana Annoint#Batimayo naona#ubarikiwe siku zote jitu la mbinguni
@sylvieirambona6834
@sylvieirambona6834 2 жыл бұрын
Love from Burundi🇧🇮
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki🇹🇿 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@jeannettekabumba2686
@jeannettekabumba2686 2 жыл бұрын
Mwenye ameona kama Yesu alikuwa Sabbas from Burundi anipe hutu tuvitu. Sasa naona. Asante Amani
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki🇹🇿 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@princehenry7113
@princehenry7113 2 жыл бұрын
Soko la gospal limetekwa na mtoto mdogo sana.... 👏👏👏👏 💪💪💪
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@mabughania1651
@mabughania1651 2 жыл бұрын
Syli
@kisiimilka2063
@kisiimilka2063 2 жыл бұрын
Nyimbo zako zanibaki uubiri hati madui washangae unabariki sana enda mbele
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki🇹🇿 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@lydianafula8527
@lydianafula8527 2 жыл бұрын
Haleluya naona ....from Kenya God bless you
@happinesskwamboka1540
@happinesskwamboka1540 2 жыл бұрын
Amen🙏 Amen glory🙏 to God in the highest heaven,wapi likes za annoint watching from saudia🇸🇦 I love your songs, keep the light shining 🌟🌟
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@winiakinyi9722
@winiakinyi9722 2 жыл бұрын
Amen
@AAA-xc9os
@AAA-xc9os 2 жыл бұрын
The best gospel artist
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki🇹🇿 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@salomemueni100
@salomemueni100 2 жыл бұрын
Kwetu kenya... Anoint asanti hii ni ufunuo.siitaji chochote hila jesu pekee maana batimayo naona.. AMEN AMEN AMEN
@egetinya2918
@egetinya2918 Жыл бұрын
Inspired song. I repeat it again and again. Touches me spiritually.
@unclenico9738
@unclenico9738 2 жыл бұрын
Likes za wakenya..
@PASKALIPETRO-bl1so
@PASKALIPETRO-bl1so 2 ай бұрын
Amani 1:20 1:25 1:28 1:30 1:31
@agneskikoti6964
@agneskikoti6964 2 жыл бұрын
Palee Calvary yote yalikwishaaaa,,, Sasa naonaaa💃💃 blessed is youuu
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki. 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@rachealmbuthia9373
@rachealmbuthia9373 Жыл бұрын
That song is very inspiring so mach.from Kenya🇰🇼🇦🇪
@afrikaone9609
@afrikaone9609 2 жыл бұрын
Hadi rahaaaa
@kisiimilka2063
@kisiimilka2063 2 жыл бұрын
Haya ni maandiko
@kingmasaku-theguniaman
@kingmasaku-theguniaman 2 жыл бұрын
Gonga ndipo that's good keep up
@shalom455
@shalom455 2 жыл бұрын
Wow mungu bariki nguvu yangu huyu unanibariki sana n nyimbo hi pokea ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💪 kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
@ndezwenayoacqueline8712
@ndezwenayoacqueline8712 2 жыл бұрын
Msaidie sabbastyle 🤝🤝sasa naona kbx
@timothywekesa490
@timothywekesa490 2 жыл бұрын
Wimbo nzuri,nabarikiwa nikiwa 🇰🇪
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki. 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@bernardkj
@bernardkj 2 жыл бұрын
U never disappoint jinsi Yesu asivyodissapoint..u r a mentor to me through music 🎵..naamini siku ya siku we shall meet,,#Naona Bernard kyalley from Kenya
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@cosmasmaweu-wx8nb
@cosmasmaweu-wx8nb Жыл бұрын
❤ barikiwa sana mtumishi pia mm Naona Kiwango kingine❤🎉
@alonetz3868
@alonetz3868 2 жыл бұрын
Achia hiyo ngoma ni kali kaka am saluti 🇹🇿🇹🇿👍
@stellamnyangulu2672
@stellamnyangulu2672 2 жыл бұрын
Ameni👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻 munguu azidiii kukuinuaaa adii viwangooooo vingineeee
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki🇹🇿 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@estherakinyimagio8668
@estherakinyimagio8668 2 жыл бұрын
Naona nimeinda
@marionraphael2191
@marionraphael2191 Жыл бұрын
Amen inatia moyo sana,unapojiona huwezi Mungu hukuwezesha 💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻
@melkiaelisha3624
@melkiaelisha3624 Жыл бұрын
Sasa naonaaaa Hallelujah 💪
@yobratheone9876
@yobratheone9876 2 жыл бұрын
Wow ..gud job ..napenda uibaji wako ....kutoka Kenya barikiwa sana
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki🇹🇿 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@annesilwe
@annesilwe Жыл бұрын
Ata mmi mungu nipe macho ya ndani nione,tuwe na Imani kwa Kila jambo
@user-ho7eb8mk5l
@user-ho7eb8mk5l 11 ай бұрын
Kaka annoint mungu akubariki nyimbo zako za nitia moyo Kila siku
@user-yh1uf5zg6v
@user-yh1uf5zg6v Ай бұрын
I am a ugandan in Kenya but next month should go to see my people.
@AdonisSifa
@AdonisSifa 2 жыл бұрын
Aisee kali sana. Nimebarikiwa 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@sabbasburundi2404
@sabbasburundi2404 2 жыл бұрын
Umeona Yesu wew?
@AdonisSifa
@AdonisSifa 2 жыл бұрын
@@sabbasburundi2404 Nilimuona nikampigia hakupokea jamani 😂😂
@sabbasburundi2404
@sabbasburundi2404 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁 alikua busy na wanafunzi wake
@AdonisSifa
@AdonisSifa 2 жыл бұрын
@@sabbasburundi2404 Ila leo Batimayo nataka kuona
@norahbochere3089
@norahbochere3089 2 жыл бұрын
Yesu anaweza yote kwa imani
@mikesoi
@mikesoi 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 bro hii nae imeweza, choreography ya dance pia 👍👍🇰🇪 🇹🇿
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki. 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@janetmutisya5977
@janetmutisya5977 2 жыл бұрын
Hapo sasa Anoint Amani you never dissapointed God bless you ....watching from Kenya 😘😘😘
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki. 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@dorothykerubo167
@dorothykerubo167 Жыл бұрын
Amen hiyo wimbo imeninguza roho sana naomba pia Mimi mungu anitendee Jambo kama batimayo
@fanny4338
@fanny4338 2 жыл бұрын
Bioutif gospel 😍😍🔥🔥🔥💯
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki. 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@user-pv5im5hr8n
@user-pv5im5hr8n 5 ай бұрын
Annoint aman Sasa naona
@isaacapus5815
@isaacapus5815 2 жыл бұрын
I see now from Uganda May God bless you brother for teaching people
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki. 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@naomycherono5540
@naomycherono5540 2 жыл бұрын
Everything is possible to God powerful message God bless you in Jesus mighty name am blessed 🙏🙏🙏🔥🔥🔥💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@saimonipartimayo7518
@saimonipartimayo7518 Жыл бұрын
annoint mtumishi wa mungu ubarikiwe sana nyimbo nzuri
@marykerubo5308
@marykerubo5308 2 жыл бұрын
Amen Amen Sasa naona
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki🇹🇿 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@LameckStivin
@LameckStivin 3 ай бұрын
Yari kwishaaaaaaaa
@isaacnyaribo79
@isaacnyaribo79 2 жыл бұрын
Isaac from kenya great fan of yours ,great dancers too🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤God bless you bro
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki. 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@samwelzali1050
@samwelzali1050 2 жыл бұрын
Nimependa hii kuliko zoote ..mmhh...
@caronyanchama2567
@caronyanchama2567 2 жыл бұрын
All the way from Kenya 🙏🏽🙏🏽
@MerikiakizaSungura
@MerikiakizaSungura Ай бұрын
pigakazi bilakuogopa maneno
@davidmramba7684
@davidmramba7684 2 жыл бұрын
Everything is possible through GOD tuko pamoja sasikiza nyimbo zako nikiwa kenya
@Nkotanyi1990
@Nkotanyi1990 2 жыл бұрын
Amen Amen
@diveske1388
@diveske1388 2 жыл бұрын
Sabbas ✌️
@sabbasburundi2404
@sabbasburundi2404 2 жыл бұрын
😁😁😁😁
@elitahhungulu3122
@elitahhungulu3122 2 жыл бұрын
Amen amen
@jonaschuga9061
@jonaschuga9061 Жыл бұрын
Annoith mtumishi wa Mungu aliye juu nazipenda kazi zako hakika wewe umeitwa kabisa ktk utumishi huo,kama lilivyo jina lako Mungu azidi kukujaza upako mkuu
@user-bb4ed4hj8q
@user-bb4ed4hj8q 2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sanaa kaka kweli all the way kutoka uarubuni Nyimbo zako uwa zinatia nguvu wakati niko chini ubarikiwe
@charitykanini686
@charitykanini686 2 жыл бұрын
Amen amen amen naona sasa from 254 twaona sasa blessings from above as you continue ministering through your songs za guza wengi nikiwa mmoja wao
@telewajacob511
@telewajacob511 2 жыл бұрын
Waah safi sana
@user-jy4op6wx3s
@user-jy4op6wx3s 2 жыл бұрын
Amen, amen wacha tuone hili tuone njia ya kwenda mbinguni
@AsAs-ko3ny
@AsAs-ko3ny 2 жыл бұрын
Ameen mtumishi nabarikiwa sana na nyimbo zako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@alicejillo5002
@alicejillo5002 2 жыл бұрын
Kabisaaa, Sasa naona twende na Yesu
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki🇹🇿 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@pastormzirayofficial2048
@pastormzirayofficial2048 2 жыл бұрын
Mtumishi Hongera Sana
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki🇹🇿 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@mtumbili
@mtumbili 2 жыл бұрын
Everything is possible through God🙏🙏keep shinning Amani🔥🔥🔥
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@gervaycharles9290
@gervaycharles9290 2 жыл бұрын
@@sifamwakaniemba443 .
@gervaycharles9290
@gervaycharles9290 2 жыл бұрын
@@sifamwakaniemba443 0
@gervaycharles9290
@gervaycharles9290 2 жыл бұрын
@@sifamwakaniemba443 .
@gervaycharles9290
@gervaycharles9290 2 жыл бұрын
@@sifamwakaniemba443 I
@winniematheka6808
@winniematheka6808 2 жыл бұрын
I like this song nyce one Mungu akinibariki pia wewe akukumbuke,....frm Kenya
@ruthmusyoka493
@ruthmusyoka493 2 жыл бұрын
you really bless me bro.blessing song .keep it up mtumishi
@rehemamkumbo2082
@rehemamkumbo2082 2 жыл бұрын
Oyooooooooooo safi sana mwana wa mungu.
@safinabarusi3975
@safinabarusi3975 2 жыл бұрын
Amina Amina 👏👏
@elliceylameck8268
@elliceylameck8268 2 жыл бұрын
Asant hi video tuliingoj kwa muda
@anielytuva9838
@anielytuva9838 2 жыл бұрын
Balikiwa mtumishi napenda huduma yako natokea Kenya
@nancynyachama5058
@nancynyachama5058 2 жыл бұрын
Amen God bless you napenda nyimbo zako xana
@joanjj5461
@joanjj5461 Жыл бұрын
Gud job man of God barikiwa sana unapo endelea nakuieneza injili ya Mungu barikiwa sana
@naominaliaka694
@naominaliaka694 2 жыл бұрын
From Kenya pokea baraka tele
@graceriziki254
@graceriziki254 2 жыл бұрын
Powerful song kaka hata mimi naona🙏🙏
@mananijames1720
@mananijames1720 2 жыл бұрын
Blessed from Lodwar,Kenya
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@dboyjosphat6205
@dboyjosphat6205 2 жыл бұрын
Mimi binafisi nimefurahi sana kwa nyimbo zako
@gladysmukonyo8403
@gladysmukonyo8403 2 жыл бұрын
Napenda unapo mtumikia Mungu bila kujichanganya keep the fire burning Anoint.
@mwana2168
@mwana2168 Жыл бұрын
Napenda nyimbo zako kaka mungu akubark😘😘😘😘
@silviaattal8897
@silviaattal8897 2 жыл бұрын
Hongera Sana wimbo wako utufariji Sana Amin
@everlynjohn5467
@everlynjohn5467 Жыл бұрын
Wooow i feel more than blessed nkiskiza ngoma zako from,🇰🇪 mungu akubariki sana
@brianuniquecop943
@brianuniquecop943 Жыл бұрын
Naweza kuona sasa....mob love from kenya...🙏
@user-ll9bj9xj4r
@user-ll9bj9xj4r 4 ай бұрын
Amen mtumishi kwa kazi nzuri 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@lumosinewton9333
@lumosinewton9333 2 жыл бұрын
Nilikuwa nmesahau huyu superstar,nmerudi
@sheilachemutai7849
@sheilachemutai7849 2 жыл бұрын
Keep it up brother watching from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪God bless you Soo much 🙏
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki. 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@lilianikyando1338
@lilianikyando1338 Жыл бұрын
Pendasana kaka mung akuinue zaid
@nifernyawira3638
@nifernyawira3638 2 жыл бұрын
WOW that's amazing 💯💖🙏🙏🎶😘
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 жыл бұрын
Mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu utabariwa na wimbo huu Ahsante na MUNGU akubariki. 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@cylvelays4713
@cylvelays4713 2 жыл бұрын
Imebidi nisubscribe ..yesu ndio msaada was ukweli.. milelel
@FaithMulandi-ou1sf
@FaithMulandi-ou1sf 6 ай бұрын
Nyimbo zako mtumishi za nibariki tu sana.
@zipporahbonareri1018
@zipporahbonareri1018 2 жыл бұрын
Sasa naona twende nalo be blessed from Kenya you are good funny 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
ANNOINT AMANI - NABII FEKI KULA CHUMA HICHO ( OFFICIAL VIDEO )
5:58
Annoint Amani
Рет қаралды 231 М.
123 GO! Houseによる偽の舌ドッキリ 😂👅
00:20
123 GO! HOUSE Japanese
Рет қаралды 5 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
Annoint Amani - Ulichagua Kunichukia (official music Vdeo )
5:19
Annoint Amani
Рет қаралды 434 М.
Annoint Amani = Wewe ni Nani ? ( official video )
4:59
Annoint Amani
Рет қаралды 1,4 МЛН
Fortune Mwikali’s Wedding. Landing in a helicopter.. See full video
10:40
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 1,1 МЛН
KINGWENDU KAPAKIZA ABILIA JINI  KAZI YA BODA BODA NGUMU
7:37
Kibibi Comedy
Рет қаралды 4,3 МЛН
Annoint Amani - Bila Roho Mtakatifu ( official music video )
5:59
Annoint Amani
Рет қаралды 335 М.
MWIZI WA KUKU PART 1A (MZEE MAJUTO) Official Bongo Movie
34:01
Zuuh Ally
Рет қаралды 425 М.