Annoint Amani - Chumba cha siri ( Official music Video )

  Рет қаралды 223,971

Annoint Amani

Annoint Amani

5 ай бұрын

#chumbachasiri#annointamani#
Ni vizuri kuficha baadhi ya mambo yetu muhimu saan,ili tufanikiwe kwenye maisha,
maana ni rahisi kuficha jambo jema unapo anza kufanya,baada ya kumaliza unalisema,hata kama sio kwa watu wote.
Lakini jambo lolote ambalo unaficha sana sana sana,
huwezi kabisa kusema ,mala nyingi halina uhalali kwa Mungu na jamii inayo kuzunguka 🙏
na jambo lolote lisilo halali kwenye maisha yetu,kwa kadri unavyolificha ndivyo linaendelea kukumaliza.
( NI BORA KUTENGENEZA NA MUNGU NA KUMWAMBIA MTU UNAE MUAMINI JAMBO LAKO,HATA KAMA NI GUMU VIPI ,
UTAKUA UMEJIWEKA HURU MAANA MFICHA MALAZI KIFO HUMUUMBUA )
Annoint Amani .
👇
Tiktok ,Annoint Amani tz ,
instagram,Annoint Amani tz,
whatsaApp & call
👇
+255767240181 = +255755099942 )
👇
Video,Directed by Stephen Kipande
+254 723 207135 )
Audio,A.E.A Tones studio,
prod by Meddy +255748262634
Dar es Salaam Tanzania )

Пікірлер: 397
@abelapolinary2763
@abelapolinary2763 Күн бұрын
From Facebook let gather here🎉
@MATEOJOSEPH-nc8gf
@MATEOJOSEPH-nc8gf 5 ай бұрын
Ambao mnakubali Anniont amani tujuane Kwa Like
@yusuphomari569
@yusuphomari569 5 ай бұрын
Me ni muislam lakn kwa hiz nyimbo za annoint napenda kuzickilza sana ,kwani zinafundisha jamii Moja kwa Moja hongera sana.
@jumannekamota4870
@jumannekamota4870 2 күн бұрын
Duuuuh huu wimbo atari sijawahi kusikia wimbo wenye ujumbe kama huu Tanzania 🇹🇿 ongera sana kijana naitwa Jumanne nipo Mbeya mbalizi
@dominickakhubula8880
@dominickakhubula8880 5 ай бұрын
Kaka mimi Nashukuru sana kwa wimbo zako zote za gospel..ila naomba hivii kuna ile wimbo uliimba usimzike bado yuko hai.pia tunge omba utuletee video yake please 🙏🙏kenya tunakupenda sana
@annointamani3285
@annointamani3285 5 ай бұрын
Usjal rafiki mzuri,iyo video utaiona tu kwa wakati wa Mungu,enderea kutuombea 🙏 Pia Tunashukuru sana kwa sapoti yako 🙏
@dominickakhubula8880
@dominickakhubula8880 5 ай бұрын
Okay nashukuru sana mtumishi wa mungu.acha tuzidi kumuomba mungu atujalie tuweze kupata video nyingi kutoka kwako
@user-gb3gi5cq3q
@user-gb3gi5cq3q 5 ай бұрын
Amen amen , MUNGU AIMIDIWE milele
@dominickakhubula8880
@dominickakhubula8880 5 ай бұрын
@@user-gb3gi5cq3q Amina Amina
@user-fq9zd6zl2v
@user-fq9zd6zl2v 5 ай бұрын
Nyimbo zako zimenifanya niwe jinzi nilivyo leo nakushukuru sana ndoto yangu siku moja nikuone mi natoka kenya.
@dr.bonface3458
@dr.bonface3458 5 ай бұрын
If tiktok brought you, lets gather here
@dauglaspaade9126
@dauglaspaade9126 5 ай бұрын
Mungu ndiye tu anajuwa Siri ya hiki chumba🙏🙏🙏🙏
@isaacwangui52109
@isaacwangui52109 3 ай бұрын
Nyota ya Dunia na ulimwengu mzima Yu hapa Amani .Mungu tulindie hii nyota tukaiskiza humu Kenya Kwa upendo na Kwa muda kweli
@hellenkhabwanditsa6983
@hellenkhabwanditsa6983 Күн бұрын
Wimbo mzuri sana ❤❤❤❤from kenya
@davidnjenga9292
@davidnjenga9292 4 ай бұрын
Wimbo mzuri ni fuzo kuu Barikiwa sana Annoint Amani ❤❤❤❤❤❤❤
@Jackel307
@Jackel307 5 ай бұрын
Kwa nini usishiriki nyimbo za annoint ikiwa ulisikiliza wimbo, tafadhali shiriki kila mahali wanahitaji kufikia angalau mamilioni ya maoni kwa mwezi, mwisho wa wimbo unanigusa tafadhali shiriki, ana sauti ya kushawishi, mimi na DRCongo 🇨🇩 , asante sana #Amani🙏🙏🙏
@user-is6js2we4p
@user-is6js2we4p Күн бұрын
wimbo mzuri sana wenye funzo aseeeee ila sisi wanawake tutafika mbingunk tukiwa hoi jamani, Mungu akusimamie Aman nakupenda sana my love bro endelea kumtumikia Mungu❤❤❤❤❤❤
@SeseKaboyi
@SeseKaboyi 3 ай бұрын
Nashukuru sana kaka kwaizi nyimbo zako zote ,Mungu akuongezeye pawa
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 5 ай бұрын
Waaa haya yaone tu kwa jirani 😢 Duu maumivu
@MRJ1308
@MRJ1308 19 күн бұрын
Ni wimbo tu hakuna mwanaume wa kuvumilia haya
@AnitaKahambungolole
@AnitaKahambungolole 4 ай бұрын
Kaka nyimbo zako aime ni bariki sana n'a kunipa muelekeo
@AliceNzambi-be1wr
@AliceNzambi-be1wr 5 ай бұрын
Nashindwa kusubiri mie harakisheni!!!!
@Agyy628
@Agyy628 2 күн бұрын
Waharakishe kufanyaj 😅😅
@winfridawilliam5045
@winfridawilliam5045 7 сағат бұрын
😂😂
@leemutheu2509
@leemutheu2509 5 ай бұрын
Big up Daddy Q
@user-yv4kq9ze5g
@user-yv4kq9ze5g 4 ай бұрын
kaka nyimbo zako zina ujumbe kweli mungu awenawe katka kazi zako
@user-hc6sv9lp1d
@user-hc6sv9lp1d 9 сағат бұрын
Wala hata sio wimbo kabisa mbali ni fundisho kwa upende mwengine tunaweza kusema kama ni historia. Nimeupenda sana wimbo huu.
@georginaopati9587
@georginaopati9587 5 ай бұрын
Mwimbaji bora huyu❤❤ He deserves more than (1M) Subscribers ❤
@kimaningugi2707
@kimaningugi2707 5 ай бұрын
Even more than a million, I love anoint
@getrineshuma3054
@getrineshuma3054 5 ай бұрын
Very true ❤❤
@mirriammueni5694
@mirriammueni5694 5 ай бұрын
kweli kabisa
@Esther65
@Esther65 22 сағат бұрын
From Facebook wapi likes
@dorcahnyabo4713
@dorcahnyabo4713 5 ай бұрын
siri yangu nampa mungu ndiye atakaye tatua siri yangu mungu akubariki kakangu twakupena sana from Kenya 🇰🇪 ❤
@ruthkhalayi5097
@ruthkhalayi5097 5 ай бұрын
Waaaa 😢 ukweli wote usha sema, this round sisemi kitu😭😭 ooh God please i need to download this🇰🇪🇰🇪
@benjaminwafula
@benjaminwafula 5 ай бұрын
eishi bro hichi kitu n kizito kweli kweli hata cha kuongezea sioni wanawake hii inawausu kupewa nafasi kidogo unaharibu mungu tusaidie waume
@EsterWanjiru-db8dw
@EsterWanjiru-db8dw 5 ай бұрын
Nice song l love it baba yetu.❤
@ghettostarkidz
@ghettostarkidz 5 ай бұрын
wow I love this song .................... Chumba cha siri
@lovenesjames5572
@lovenesjames5572 5 ай бұрын
Woow hongera rafk angu Mungu akupiganie ufike mbali Zaidi🙏🙏🥰
@gripmusiqnpictures
@gripmusiqnpictures 5 ай бұрын
Kaliiiiiii sanaaaaaaaa
@user-mv2ou6jw7p
@user-mv2ou6jw7p Күн бұрын
Shetani ana singiziwa Sana jdmani muombeni msamaha
@MargaretAtieno-xx7ys
@MargaretAtieno-xx7ys 3 ай бұрын
Tumebeba mangu Sana moyon jamañ
@doriswamzy
@doriswamzy 5 ай бұрын
Nice I love the song ❤nice work director Steve kipande
@user-sx6xb2hg3l
@user-sx6xb2hg3l 5 ай бұрын
I'm waiting
@AmosNguilla-wf5bu
@AmosNguilla-wf5bu 2 күн бұрын
Nimekukulenda kwa unavyoimba nipo zambia ndo Mala ya kwanza kukusikiliza na nitazidhi kukufuatilia ❤️❤️🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@AliceNzambi-be1wr
@AliceNzambi-be1wr 5 ай бұрын
Huyu mtumishi ahamie Kenya tafadhali!!! Tunakupenda sana tena zaidi kaka annoint
@filomenamsemwa4622
@filomenamsemwa4622 4 ай бұрын
Kwanini wewe usiamie tanzania 😂
@Johnmagambo
@Johnmagambo 2 ай бұрын
Wewe ndo inatakiwa uje tanzania😂😂😂
@SharonAgnes-fg4og
@SharonAgnes-fg4og 5 ай бұрын
Waiting
@mjosetvkeentertainment805
@mjosetvkeentertainment805 5 ай бұрын
Great work director Steve kipande and song is legit🔥🔥🔥
@AliceNzambi-be1wr
@AliceNzambi-be1wr 5 ай бұрын
CHUMBA CHA SIRI!!!! Mungu azidi kukubariki na akutumie zaidi kakangu!!! Congratulations 👏 endelea kuleta makubwa tunakupenda sana
@priscahkiyondi-om1lt
@priscahkiyondi-om1lt 5 ай бұрын
Amen this song has a strong message....sometimes faithfulness is Good.....Good work mtumishi we love you🙏
@vincentamulabu7274
@vincentamulabu7274 Күн бұрын
Mungu akubariki kwa huu wimbo
@ChanilaKitwima-zc6ko
@ChanilaKitwima-zc6ko 5 ай бұрын
Be blessed moreee the Servant of the Messiah let Him give you strength to work more!❤🎉
@ElizabethNyamai-me2id
@ElizabethNyamai-me2id 5 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@leemutheu2509
@leemutheu2509 5 ай бұрын
Director Kipande never fails
@MagretMathia-ng3cc
@MagretMathia-ng3cc 5 ай бұрын
Big up to the best director ever @steven kipande🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@calebnyariki6065
@calebnyariki6065 3 ай бұрын
Kaka Mungu akubariki sana kwa kazi anayofanya ndani yako.
@shadrecksitali80
@shadrecksitali80 3 ай бұрын
I love this song you are brasing
@ibrahimmaroa1894
@ibrahimmaroa1894 4 ай бұрын
Mimi nakuobea Kila siku Kaka mungu akubaliki uendelee kufaya kazi yako my brother 🙏🙏
@samuelkathanzu2689
@samuelkathanzu2689 5 ай бұрын
Shughuli safi steve
@user-ni5vx2vt9g
@user-ni5vx2vt9g 4 ай бұрын
Kweli moyo ni chumba cha siri, Jeremiah 17:9
@user-tu7ou9iz3c
@user-tu7ou9iz3c 5 ай бұрын
Jikaze kakagu jamani mngu akulinde siku zote
@user-xg2xg4mt2r
@user-xg2xg4mt2r 5 ай бұрын
Like ur song
@WASHINGTONEOLELA
@WASHINGTONEOLELA 5 ай бұрын
This song is teaching me so nicely God bless you bro
@StephanoBangala-no6su
@StephanoBangala-no6su 4 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda shetani hapendi kabisa hizi jumbe
@user-xg6rq1hk4o
@user-xg6rq1hk4o 7 сағат бұрын
This is true many fathers don't know whether the kids they have with his wives are his the one who knows is the mother, n kweli moyo n chumba cha siri
@polycarpwanzala7375
@polycarpwanzala7375 5 ай бұрын
Brilliant work, well directed...kudos to director Steve
@macrinafuraha-zg3mi
@macrinafuraha-zg3mi 8 күн бұрын
Waaah hizi nyimbo zako zanibariki halafu ile song ya msimzike bado yuko hai waah hio song niliipenda sana iko na mafunzo God bless you
@ruthkhalayi5097
@ruthkhalayi5097 5 ай бұрын
Waiting for this
@LynixMwash
@LynixMwash 21 сағат бұрын
Wanawake mue nautu chameni mtatua mapema shuali
@magrete483
@magrete483 5 ай бұрын
Tunangoja sana 🙆
@Lifetime9224
@Lifetime9224 5 ай бұрын
Congratulations mtumishi 🎉big song sir..
@MagretMathia-ng3cc
@MagretMathia-ng3cc 5 ай бұрын
The song is 🔥 the director @steve kipande is on fleek eve thing about this video is on fleek
@sammyfundiofficial5295
@sammyfundiofficial5295 2 күн бұрын
😅😅😅hii noma sana
@ABLE.OF.JESUS.20
@ABLE.OF.JESUS.20 5 ай бұрын
Sana daddy mm nimebarikiwa
@luwizetsobi7899
@luwizetsobi7899 5 ай бұрын
Even me am waiting come quickly from Kenya
@owitifred5472
@owitifred5472 5 ай бұрын
Very powerful message.Annoit be blessed
@user-wk2nw7jr9m
@user-wk2nw7jr9m 3 ай бұрын
I love anoint amani all his songs very powerful. I can not go a day without listening to his voice. May God continue to be with him. My favor Tanzania gospel musicians.
@user-du6dc9ty9i
@user-du6dc9ty9i 7 күн бұрын
The song has a big massage my guys ,,,,end that's why I surely say fear the people who are called ladies,,,,, 🙂‍↕️🙂‍↕️🙂‍↕️ ogopa ogopa usije ukafariki mapema Life is shots.
@EmmahMutio
@EmmahMutio 3 ай бұрын
Annoint napenda uimbaji wako sana,,, nahisi nkona mzingo wa uimbaji ila cjui nianzie wapi
@janetkhayosa356
@janetkhayosa356 5 сағат бұрын
Hakika moyo ni chumba cha Siri mno
@user-eo6ke4gq5x
@user-eo6ke4gq5x 10 күн бұрын
Mungu akupe maisha malefu Anton tupo pamoja kutangaza injili
@user-lf7ow5hd2d
@user-lf7ow5hd2d 5 ай бұрын
Amen 🙏 🙌 🙏 🎉
@SurprisedBeachVacation-gx4ku
@SurprisedBeachVacation-gx4ku 5 ай бұрын
I love your songs
@hollinessmasanju6518
@hollinessmasanju6518 15 күн бұрын
Hakika Mungu ni mzuri maishani mwetu ujumbe mkubwa mno
@peritanekesa9092
@peritanekesa9092 Күн бұрын
Mafunzo mazuri kutokana na huu wimbo
@magysamini9106
@magysamini9106 4 ай бұрын
Napenda nyimbo zako mtumishi wa mungu ❤❤❤❤❤❤🙌🙌🙌🙌
@nicholasmutua212
@nicholasmutua212 5 ай бұрын
I love your songs man
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 2 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kazi nzuri sana ujumbe mzito mno nimeipenda sana
@user-yy2qk8ow3e
@user-yy2qk8ow3e 3 ай бұрын
Asante Sana kaka nyimbo no nzuri Sana in mafundisho mengi kabisa mungu akuzidishie huduma❤❤❤❤
@aboudicell7838
@aboudicell7838 4 ай бұрын
Nashukuru sana kwa wimbo wenye ujumbe mzito sana🙏🙏🙏
@user-yd8nc6ds8v
@user-yd8nc6ds8v Күн бұрын
Nyimbo nzuli sana inamafunzo mengi
@soloprince3484
@soloprince3484 5 ай бұрын
Director steve nice 👍
@faithfey6886
@faithfey6886 5 ай бұрын
Ladies its good be faithful to our husbands
@user-km9jc4rq4t
@user-km9jc4rq4t 4 ай бұрын
Nashukuru kwa huu wimbo Kaka imenifunza jambo❤
@PeteroJet
@PeteroJet 3 ай бұрын
I love this. Am crying 😭😭 nkt ombea Kenya jameni
@user-un7gw7cm9i
@user-un7gw7cm9i 3 ай бұрын
God bless you my brother
@LATEST001-s5y
@LATEST001-s5y 3 күн бұрын
wIMBO MZURI,,ILA MBONA WANWAKE MSITULIE NA KUWA WAAMINIFU KATIKA NDOA JAMANI
@pendocravery6549
@pendocravery6549 4 ай бұрын
Anoitin mwanangu wewe kiboko barikiwa sana Mungu akutunze
@LovelyDrum-ec3pe
@LovelyDrum-ec3pe 4 ай бұрын
Safi sana ujumbe mzuri sana wanawake tupone
@frereezechielsong5282
@frereezechielsong5282 13 күн бұрын
Nabarikiwa sana nanyimbo zako mimini Ézéchiel toka congo
@dominickakhubula8880
@dominickakhubula8880 5 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@InnocentLukwawila
@InnocentLukwawila 3 ай бұрын
nice nice song mbinguni tutafka tmechoka sana
@Bramwel-wv1rm
@Bramwel-wv1rm Күн бұрын
you done good thing so tha family must know how that can live 😭😭😭😭😭
@user-yt7jc8wr1s
@user-yt7jc8wr1s 5 ай бұрын
Amen nangoja sanaaaa
@Nicholas-le4qp
@Nicholas-le4qp 5 ай бұрын
Moto sana mtumishi
@AgnesMkongwa
@AgnesMkongwa 4 ай бұрын
Mmh kapimeni tu dam wa Baba mnapingwa na kitu kizito
@ChristineNdinda-mv8pk
@ChristineNdinda-mv8pk Күн бұрын
Wimbo mzuri sana
@reginabarani4895
@reginabarani4895 5 ай бұрын
sichoki hata siku Moja kushikiza song zako hata siku moja
@user-oj8qb1ni2p
@user-oj8qb1ni2p 5 ай бұрын
AminAa❤❤
@DanielOsome
@DanielOsome 3 ай бұрын
Aaaha be blessed annoint amani.
@mycletaitas4194
@mycletaitas4194 5 ай бұрын
Mungu akubariki sana ujumbe mzuri sana❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@winfridawilliam5045
@winfridawilliam5045 7 сағат бұрын
Napenda sana dr wa DNA🎉
@johariali9512
@johariali9512 3 ай бұрын
Wimbo mzur kweli
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 134 М.
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 149 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 7 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 106 МЛН
Goodluck Gozbert - Usinipite (Official Video) SMS SKIZA 6983633 TO 811
6:05
Gozbert Ministries
Рет қаралды 168 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /12/ #love
32:35
BabaJoan
Рет қаралды 354 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 22 МЛН
Annoint Amani - Nashindwa kuyazuia Machozi ( 0ffial music video )
7:22
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 396 М.
Founder TZ - Mfano (Official Music Video)
3:22
Founder TZ
Рет қаралды 1,3 МЛН
Annoint Amani = Tumeachana ( official  Lyrics  video )
3:49
Annoint Amani
Рет қаралды 245 М.
Serik Ibragimov - Сен келдің (mood video) 2024
3:19
Serik Ibragimov
Рет қаралды 1,7 МЛН
QANAY - Шынарым (Official Mood Video)
2:11
Qanay
Рет қаралды 974 М.
Say mo & QAISAR & ESKARA ЖАҢА ХИТ
2:23
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 2 МЛН
BABYMONSTER - ‘FOREVER’ M/V
3:54
BABYMONSTER
Рет қаралды 69 МЛН
Zattybek & ESKARA ЖАҢА ХИТ 2024
2:03
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 338 М.