No video

Annoint Amani = Tumeachana ( official Lyrics video )

  Рет қаралды 254,946

Annoint Amani

Annoint Amani

Күн бұрын

#tumeachana#annointamani
WATUMISHI WA MUNGU TUWE MAKINI SANA KWA WAKATI HUU WA MWISHO,
SHETAN ANAJUA NAMNA AMBAVYO KANISA LIME HESHIMU NDOA,
HIVYO AMEMUA KUTUMIA NJIA HIYO ILI KUHARBU KANISA,
UNAWEZA UKADHAN UMEOA MKE AU UMEOLEWA NA MME SAHIHI,
KUMBE NI SHETAN ANAETAKA KUHARIBU UHUSIANO WAKO NA MUNGU,
USHAURI,
KAMA UTAONA KABISA KWA HAKIKA NDOA ULIYO NAYO INATAKA KUKUTOA KWA MUNGU KABISA,
USIKUBARI KUBAKI NA HUYO MTU,
MAHUSIANO YAKO NA MUNGU NI MUHIMU SAANA KWA WAKATI HUU WA MWISHO MAAMA TUKO MWISHON KABISA,)
ANGALIZO KABRA YA NDOA,
USIINGIE KWENYE NDOA KWA KUTAZAMA MWONEKANO WA NNJE AU KISHAWISHIWA NA TABIA YA MDA MFUPI,,
BALI TAFUTA SANA KUMJUA ROHONI ZAIDI KULIKO MWILINI,MTU UNAETAKA KUINGIA NAE KWENYE NDOA,
MAANA UKIKOSEA TU
,UWE NA UHAKIKA KWA IMANI UTAENDA MOTONI,
NI BORA LAWAMA KULIKO KUMKOSA MUNGU KABISA .
👇
( MUNGU ANACHUKIA KUACHANA
LAKINI SIO KWA KILA WANA NDOA,
BALI MUNGU ANACHUKIA KUACHANA KWA WANA NDOA SAHIHI,WANAO SHINDWA NA JARIBU LA NDOA NA KUAMUA KUACHANA,,
MUNGU ATUSAIDIE TUMALIZE MWEMDO SALAMA )
Annoint Amani
Song,Tumeachana
( Language Swahili )
👇
Annoint Amani For booking
Instagram Annoint Amanitz,
Tiktok Annoint Amani tz,,
WhatsApp &Call +255767240181 = +255755099942)
👇
VIDEO, Directed by Meddy ( A.E.A)
AUDIO,A.E.A Tones studio producer by Meddy
Dar Es salaam Tanzania )

Пікірлер: 139
@FainesKapange
@FainesKapange 24 күн бұрын
Good job My brother
@InnocentCornflowers-uk9zl
@InnocentCornflowers-uk9zl 16 күн бұрын
I FEEL FOR YOU MY GREAT SINGER .....ANYWAY MY WISH IS TO SEE YOU MY BEST GOSPEL ARTSIST
@GideonSimiyu-ys4fb
@GideonSimiyu-ys4fb 4 ай бұрын
Wauu nice song king of gospel
@estermachea3373
@estermachea3373 Жыл бұрын
Good song congratulation dady
@christianbenbellacomedy9621
@christianbenbellacomedy9621 Жыл бұрын
Hapo Sawa
@joyluka4315
@joyluka4315 Жыл бұрын
Nice one Mtumishi
@emanuelaugust
@emanuelaugust Жыл бұрын
NEC song ubarikiw mtumish
@mercychepkuruisongs4598
@mercychepkuruisongs4598 Жыл бұрын
Wau Amani ni funzo maridadi kabisa
@pilisimkondanzoka
@pilisimkondanzoka Ай бұрын
pole annton
@idayagicheha
@idayagicheha 10 ай бұрын
Wimbo iko sw❤
@JulithaSimon
@JulithaSimon Жыл бұрын
Ucjali kakautampata mwingine atakaye kujali zaidi
@user-yp8km9yl3x
@user-yp8km9yl3x 10 ай бұрын
This is perfect mtumishi
@user-pl4hr5oc7w
@user-pl4hr5oc7w Жыл бұрын
Woow good song
@InnocentMigide-rs1zg
@InnocentMigide-rs1zg Жыл бұрын
Annoint you are annointed
@yourchoiceshow931
@yourchoiceshow931 Жыл бұрын
Aki annoint hata kama mmeachana mbona unanionyesha ugalivile namiss 😅😅😅. God bless you brother for this ❤ 🎵
@user-yu9ks7zl4e
@user-yu9ks7zl4e 9 ай бұрын
Nice song🎉❤❤
@marymuduwa9571
@marymuduwa9571 Жыл бұрын
Enjoy bro nice time dear good hasuband work wonderful May God bless you and give you a wife who knows God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@faithtimamu9832
@faithtimamu9832 Жыл бұрын
❤❤❤😂😂😢pole sana ndio ilivo
@benkhulu-ce9ts
@benkhulu-ce9ts 10 ай бұрын
Amen🙏🙏
@johnmbua4948
@johnmbua4948 Жыл бұрын
i will be the first one to listen
@rosemukiri3207
@rosemukiri3207 Жыл бұрын
God. Bless you .man. Of God
@lujainn1538
@lujainn1538 Жыл бұрын
Mtumishi hii ni style gani ya kinyozi kua na mfano mwema kwa vijana
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 Жыл бұрын
Amen mtumishi hii wimbo nikali sana wacha niowe mimi 🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏
@phanesure743
@phanesure743 Жыл бұрын
Acha Mimi niowe mtumishi sitawezana
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 11 ай бұрын
🥰🥰🙆🙆ameen
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 11 ай бұрын
🔥🔥🔥wooooiiiiii😂😂😂😂kalisana❤
@mikejmusic254
@mikejmusic254 Жыл бұрын
Vurugu na madharau aiiiih barikiwa anoint amani nyimbo za kufunza na kuimuza na kufunza zidi viwango vya juu juu sana
@jamesrugaspel3876
@jamesrugaspel3876 Жыл бұрын
Hongera kk
@user-qv7uo4cn1u
@user-qv7uo4cn1u 9 ай бұрын
Nice song
@FrankwasafiJustin-fn6pm
@FrankwasafiJustin-fn6pm Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana😂 Wario comment wote juweni kwamba hayo si mafundisho yanayo tufaa kwa majira turiyo nayo kwa sasa you tube Andika PASCHOL kassian WAMBIENI WATU (Naamini utakubali)
@angelmwakambonja5459
@angelmwakambonja5459 Жыл бұрын
Mungu anachukia talaka mtumishi Usimwache mke wa ujana wako Mpaka amekupa huyo jua Mungu amekwaamini kuwa unamuweza
@user-bw2pb8zy3g
@user-bw2pb8zy3g 10 ай бұрын
Ninapenda sana nyimbo zina ujumbe ndan yake mungu akupe nguvu uzidi kumtumikia bwana yesu amina
@PendaelHagaiMRPH
@PendaelHagaiMRPH Жыл бұрын
Nice songs brother
@ZetyZety-if6jq
@ZetyZety-if6jq 2 ай бұрын
Umejaribu kwel
@bridgitikadil6416
@bridgitikadil6416 Жыл бұрын
Good song bro welcome Kenya
@peterkaykenya3161
@peterkaykenya3161 Жыл бұрын
Ugali bado kuiva bwana eeee
@naomnyaboe8163
@naomnyaboe8163 Жыл бұрын
Shetani anapenda wamjao mungu ndio awapotezee wakati wasipate mda WA kuomba hayo ni mafundisho mutumishi mungu aendelee kukuinua
@pellagiamukora426
@pellagiamukora426 Жыл бұрын
Woooow Nice My brother that's awesome song
@menovicmushy1032
@menovicmushy1032 Жыл бұрын
umetumia biblia gani inayoshauri wakristo kuachana,hapo umechemsha MTUMISHI❤❤❤❤❤❤❤❤
@uoyuop2307
@uoyuop2307 Жыл бұрын
Wow❤❤❤
@user-jg5fo1gh2f
@user-jg5fo1gh2f Жыл бұрын
👍
@jutonmbilinyi412
@jutonmbilinyi412 10 ай бұрын
Opo good san
@faithmutei152
@faithmutei152 Жыл бұрын
Ukimwacha bingini hufiki.mungu hapendi talaka
@user-lh7st3bx8t
@user-lh7st3bx8t Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
@prophetessjulymwende8885
@prophetessjulymwende8885 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤wooow
@samuelkabue6820
@samuelkabue6820 Жыл бұрын
Amina mtumishi, Mungu atusaidie🙏
@CharlesSafary
@CharlesSafary 2 ай бұрын
Hiyo ni bongo au kwaya
@user-sm8fk3fc1f
@user-sm8fk3fc1f Жыл бұрын
Nice song ,,,mungu mbele
@faykasyoka9503
@faykasyoka9503 Жыл бұрын
nice song
@danielkamwela
@danielkamwela Жыл бұрын
Himebaki kidogo tuu tufikishe laki mbili
@tabby1725
@tabby1725 Жыл бұрын
Waaa mchungaji talaka sisuluhisho suluhisho nikuomba Mungu akupe moyo wa kuvumilia na kumuombea mkeo amrudie Mungu
@magnusmedard6971
@magnusmedard6971 Жыл бұрын
HUO MUDA WA KUOMBA ANAUPATA WAPI NA UMESIKIA AKITAKA KUOMBA ANASUMBULIWA😂😂😂 HII DHANA YA KUTOACHANA NI MBAYA WANAUMIA WATU VBAYA HUKO
@tabby1725
@tabby1725 Жыл бұрын
Wakati wa kuomba inakuwa siri yako na Mungu wako si lazima ajue kuwa unaomba hata kama mko na yeye
@tabby1725
@tabby1725 Жыл бұрын
@@magnusmedard6971 Omba sirini naye Mungu atakujibu kwa uwazi
@anaelmiraji
@anaelmiraji Жыл бұрын
Pole jmn duuu unapitia masahibu hmm 😢😢
@naomnyamoitaosiangochannel5552
@naomnyamoitaosiangochannel5552 Жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏
@raphaelymsilu6691
@raphaelymsilu6691 Жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana ♨️🤗 Bora nibaki single,,, barikiwa mtumishi wa Mungu
@nurulumwesa5805
@nurulumwesa5805 Жыл бұрын
Kaka oaa usiseme hivyo kabisaa si vzl
@sweetmenthol1083
@sweetmenthol1083 Жыл бұрын
Iyo zima ya kwako yote😊😊😊😊nice song keep it up ndoa ndoano kweli i salute it..mbaka tizi unapoga na mitungi jamani
@vickynthenya7088
@vickynthenya7088 Жыл бұрын
Reality
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 Жыл бұрын
Umeoa lini wewe....au ni ujumbe tu
@angelmsasani8384
@angelmsasani8384 Жыл бұрын
😅😅😅😅 jaman kaka annoit ndoo ukule ugali mkubwa ❤❤❤❤
@silviak1776
@silviak1776 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Haruna-dd5iq
@Haruna-dd5iq 8 ай бұрын
Waimba injil wengi shetan alishawateka, kama hapo hakuna unachofundisha Zaid ya kuhamasisha watu kuachana,
@hesbonmartin
@hesbonmartin Жыл бұрын
wow! good work mdau
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele Жыл бұрын
Ongera KUBWA ƙwakweli Mtumishi ANNOINT Amani
@amaniyona3134
@amaniyona3134 3 ай бұрын
Hapa ume upiga mwingi Broz
@mercykache4235
@mercykache4235 Жыл бұрын
Amen 🙌
@redboyking-music
@redboyking-music Жыл бұрын
🤝🤝🤝🤝achana
@user-jn7pb4pc5k
@user-jn7pb4pc5k 11 ай бұрын
Nice song with great messsage
@aminakhalid300
@aminakhalid300 Жыл бұрын
Eeeh lovely song, lakini ile SITOKI KIZEMBE ni zaidi
@denisbuya7498
@denisbuya7498 Жыл бұрын
Lkn msisahau mungu ana chukizwa n talaka
@paulopetro-dw7ji
@paulopetro-dw7ji 11 ай бұрын
Unapointi kubwa Kwa talaka ni dhambiiii
@priscajoseph261
@priscajoseph261 Жыл бұрын
Tunga hapo kwa mke weka mme
@hakikamkabili2586
@hakikamkabili2586 Жыл бұрын
Kweli mtu asiombe yamkute jamani 😢
@roycoolboy928
@roycoolboy928 Жыл бұрын
Utatamani ukufe au umpe sumu yeye afe 😅❤
@jamesmutua766
@jamesmutua766 Жыл бұрын
❤from Kenya 005🇰🇪🔥⛵🛥️🚤atulazimish atakma twajua ndini pia cc tunayo mioyo ya kuumia na kupenda
@BrendaImoding-zx8mk
@BrendaImoding-zx8mk Жыл бұрын
❤❤❤😂nice song
@pacificah5575
@pacificah5575 Жыл бұрын
Nice 👍 song ❤️🙏
@phelisterschelimo
@phelisterschelimo Жыл бұрын
Nice song but consider forgiveness the man of God
@AdonisSifa
@AdonisSifa Жыл бұрын
Its a sweet song 🔥🔥🤗
@mary-cm5je
@mary-cm5je Жыл бұрын
Wimbo kwawenye ndoa na mavundiso🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
Woooiiii😅😅😅🇰🇪weeeha
@fortunemwikali
@fortunemwikali Жыл бұрын
Wow❤ what a sweet song 😢Mungu mbele ndoa nyuma
@MistaToo
@MistaToo Жыл бұрын
Tumeachana naye kabisa 😢
@giftikakule8902
@giftikakule8902 Жыл бұрын
Amen amen MTUMISHI barikiwa sana na bwana
@lilianmuthoni8925
@lilianmuthoni8925 Жыл бұрын
Baraka Baraka mtumishi
@PelinaBreziack-bd2ub
@PelinaBreziack-bd2ub Жыл бұрын
❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@zlpporahgechemba3111
@zlpporahgechemba3111 Жыл бұрын
Very nice song be blessed
@user-wr2rp6lz9r
@user-wr2rp6lz9r 5 ай бұрын
Amen
@user-pm6hz7jq1k
@user-pm6hz7jq1k 11 ай бұрын
🙏🙏🙏
@georgesilvanus9506
@georgesilvanus9506 Жыл бұрын
Anoint huo ugali wote unataka kula mwenyewe😂
@patriceducate9002
@patriceducate9002 Жыл бұрын
I just love God's wisdom upon you to write very powerful songs full of messages the societ needs to know .God sld continue using u e fs to
@magnusmedard6971
@magnusmedard6971 Жыл бұрын
NDIO MMEACHANA LAKINI NDO ULE UGALI MKUBWA HVYO 😢😢NADHANI NA YEYE ANATAKIWA AOJIWE ATUPE SABABU KWA HUO UGALI MVUMILIVU NI MZAZI TU MWAYA😢😢
@JosephineNiyabiga
@JosephineNiyabiga 7 ай бұрын
👍👍
@RuthKyalo-we7dn
@RuthKyalo-we7dn Жыл бұрын
🙏🙏
@kambogatibaleka5017
@kambogatibaleka5017 Жыл бұрын
Very nice song 😅❤
@dennismuroria3286
@dennismuroria3286 Жыл бұрын
Tafuta mungu kwanza
@mariahrose1494
@mariahrose1494 Жыл бұрын
Wooow nice song 🔥 with a great message 💖
@marynyota6146
@marynyota6146 Жыл бұрын
👍🙏🙏🙏🙏🙏
@user-wr2rp6lz9r
@user-wr2rp6lz9r 5 ай бұрын
Aman napenda nyimbo zako mutumishi wamungu❤❤
@lilianiminza8982
@lilianiminza8982 Жыл бұрын
Nice song 🎵 👌
@pellagiamukora426
@pellagiamukora426 Жыл бұрын
9 minutes left can't wait
@ubuzimabwaclaudine9798
@ubuzimabwaclaudine9798 Жыл бұрын
mungu akubariki kabisa
@patienceglad9828
@patienceglad9828 Жыл бұрын
Amen,mafundisho mazuri wenye ndoa🙏
@lopoliso
@lopoliso Жыл бұрын
😅😅😅😅😅 Hata sisi tutaoa tu😁usijali😍
@prettyprincess2006
@prettyprincess2006 Жыл бұрын
Wow that's awesome and nice song ❤️
@ShockMusyokiKasee
@ShockMusyokiKasee 5 ай бұрын
Haungewezana na Mwanamke Mkenya, akija kwako alikuwa amenishinda pia
@naommoraa1197
@naommoraa1197 Жыл бұрын
Nice song mtumishi be blessed🙏🙏🙏🙏🙏
@tsumiduwe1406
@tsumiduwe1406 Жыл бұрын
KITU SAFI SANAAAA HUYO MKE HATUJAMWONAAA ANAVYOKUKOROFISHAAAAAAAA BARIKIWA SANAAAAA
@kennedykaye7960
@kennedykaye7960 Жыл бұрын
Am blessed by this song. Thanks bro.
@chrispinusngeywo4768
@chrispinusngeywo4768 Жыл бұрын
Wonderful song
@stellasticker
@stellasticker Жыл бұрын
🔥🔥 nice song 🙏🙏🙏
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 244 М.
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 42 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 22 МЛН
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 1 МЛН
SIFAELI MWABUKA-NYUMBANI NI NYUMBANI- karudi -kijijini kwao na kusalimia wazazi wake,
4:48
NI HERI KUONA NDUGU - PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP 174
8:08
PaPi Clever & Dorcas Official
Рет қаралды 1,1 МЛН
Annoint Amani - Chumba cha siri ( Official music Video )
11:52
Annoint Amani
Рет қаралды 279 М.
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 42 МЛН