Рет қаралды 106
Hot News
Limbu Buluba mwenye umri wa Miaka 35 mkazi wa Nkololo wilayani Bariadi mkoani Simiyu amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kike mwenye umri wa Miaka 2.