Mwanafunzi ashambuliwa na fisi akiwa anaenda shule.

  Рет қаралды 278

Hot News

Hot News

Күн бұрын

Mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Somanda 'A' wilayani ya Bariadi mkoani Simiyu, Hollo Malugu (14) ameshambuliwa na kujeruhiwa na fisi wakati akiwa anaenda shule.
Tukio hilo limetokea leo Machi 10, katika mtaa wa Izunya ambapo mama wa mtoto Mwasi Masinge Sumbuka ameeleza kuwa mtoto aliondoka nyumbani majira ya saa 12 asubuhi na baadae alisikia yowe ndipo alipotoka kutazama kinachoendelea na kukuta mtoto akiwa chini anagaa gaa.
Mganga mkuu wa hospitali ya mji wa Bariadi Judith Ringia amethibitisha kumpokea mgonjwa huyo na kusema kuwa wamempokea akiwa katika hali mbaya na kumpa huduma ya kwanza na kumpa rufaa ya kwenda hospitali ya kanda Bugando kwa ajili ya matibabu zaidi.

Пікірлер
Why UK 🇬🇧 is going Bankrupt? : Detailed Economic Case Study
20:37
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 37 МЛН
CHEKI WEZI WA MIFUGO WALIVYONASWA. #SIMIYU
5:40
Hot News
Рет қаралды 834
1972 Andes Plane Crash Survivor
31:17
Nitish Rajput
Рет қаралды 2,1 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 430 М.
80 Year Olds Share Advice for Younger Self
12:22
Sprouht
Рет қаралды 1,7 МЛН