Asante sana kwa kuweka Hizi Video. Nilikuwa natafuta sana😭 Ubarikiwe.
@zawadingonyani1958 Жыл бұрын
Amen dady
@sarahkingunza1516 Жыл бұрын
Asante dady
@EvalineT60 Жыл бұрын
1. Hasira 2.Laana ya maneno (wazazi,watumishi) ulimi 3. Korinto 1, 16:19 (kushinda kwa ufahamu) Wapo wapingao (rehema za Mungu kushinda). 4.zaburi 27:3 (ukiwa unakaribia kufanikiwa jeshi linakuja kinyume na wewe) Jeshi linaenda sehem yenye mjongeo (kileleni) 5.waovu (adui na watesi) Ukianza kushine ndo wanakuja. (Zaburi 27:4) Kuwaza vibaya-unakosa usingizi Kisukari,presha, magonjwa ukose amani +furaha 6. Zabur 106:39 Waabuduo sanamu,wanatoa watoto zao nk…. (Nimepewa mamlaka ya ardhi na anga) Waabuduo sanamu ukiwaachilia wanachafua ardhi yako Ukiwaachilia wachafue unakuwa chini ya laana.! Waabuduo sanamu natakiwa kuharibu kazi zao, kuwatiisha chini ya msalaba, na kuwaaribu, wasibaki kuishi. 7. Zaburi 116:3 Huzuni sio nzuri unakuwa dhaifu Kiroho +kimwili Huzuni ya kifo . Kutokuruhusu kabisa Huzuni ni maradhi ya hatari Huzuni ikikaa mda mrefu unapata bumbuwazi (despression) uponyaji ni upendo sio maombi! 8.shida kutoka kuzimu Kuna nguvu ya kuishinda kutoka kwa Mungu Mara zote inakuonyesha kama unakufa Ibada za sanamu >huzuni ya kifo Zaburi 116 ni pendo tu ndo litaweza kunifanya niondoke kwenye shida ya kuzimu
@annemalesi576 Жыл бұрын
Thanks mtumishi , u've really simplified for me to take notes..ur genius.
@annemalesi576 Жыл бұрын
Thanks mtumishi , u've really simplified for me to take notes..ur genius.
@oscanyakunga Жыл бұрын
Amen
@OmanOman-gv8qb Жыл бұрын
Ameen baba
@nicksonmichael8478 Жыл бұрын
Amen God help me to move in this area
@elishajailosy8346 Жыл бұрын
Amen believe and still listening the words of GOD
@piusgervas9188 Жыл бұрын
@@elishajailosy8346 q
@piusgervas9188 Жыл бұрын
Aa
@mussasaidy5968 Жыл бұрын
@@elishajailosy8346 0
@elishajailosy8346 Жыл бұрын
Kutoka Ni lazma na kuachiriliwa Ni lazma maana tumeachuliwa.Acha MUNGU akupe Miaka ming Appostle
@bintuamuli3992 Жыл бұрын
Kweli Mwenyezi MUNGU akuongezeye maarifa pia naitaji numba yako binafsi. Bintu kutoka Goma DRC.
@zawadingonyani1958 Жыл бұрын
Mwaka huu lazima tutoke
@LUDOVICKCHARUBIMBA-cd3nq6 ай бұрын
Maubiri
@yohanapaul49746 ай бұрын
Nimejifunza hapa
@suzanamwamwaja-zl7gi Жыл бұрын
Amen
@deliphinadeus8989 Жыл бұрын
Amina
@RamadhanMohamedi-gg2ep Жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana baba yetu kipenz mungu ukupe maisha malefu kwenye utumish wko